dunia

  1. Alexido jz instagram

    Asante dunia miss grand international imetishaaaaaa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 huko haendi fala, maswali yanatisha, mmexico kingereza cha mchomoa

    Miss grand huku sio pa mchongo, Mzee Kuna maswali unaulizwa ya papo kwa papo, inabidi kichwani uwe njema. Mmexico ashindwa kingereza hata muecuador nae lugha gongano hapo ndio jihan alipo piga hat trick tusomeni wazee. Jihan jihan jihan, achana na hawa wazee wa jf wao siasa Kila muda, wazungu...
  2. Roving Journalist

    Watu zaidi ya 30, wakiwemo Askari wa Jeshi la Polisi, wamefariki Dunia katika ajali Morogoro

    Watu zaidi ya 30, wakiwemo askari wa Jeshi la Polisi, wamefariki dunia na wengine 37 kujeruhiwa katika ajali mbili tofauti zilizotokea usiku wa kuamkia leo mkoani Morogoro. Akizungumzia ajali hizo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Andrew Kantimbo, amesema ajali ya kwanza imetokea eneo la...
  3. adriz

    Nyani katema bungo ; Trump akubaliana na Putin Urusi kuingiza tani zake za Diesel Marekani na kwenye soko la Dunia

    Moja kwa moja... Kutokana na Vita vinavyoendelea kati ya Russia na Ukraine Marekani na mataifa ya Ulaya wakaiwekea vikwavyo vingi Russia mpaka kwenye Gas na mafuta yao . Marekani na Trump wakawa wakali kwa mataifa ambayo yalikuwa yanaendekea kununua mafuta ya Russia mfano mzuri ni India ...
  4. comrade_kipepe

    Dunia Ina mengi yasioeleweka.

    Wakuja town wanatafuta kazi badala ya kutafuta PESA. Hawajui kupata kazi ni kazi sana kuliko kupata pesa. Wengi hapa mjini wana pesa ndefu lakini hawana kazi/ajira SHTUKA.
  5. Kaka yake shetani

    Margaret Hamilton: Mwanamke Aliyesaidia Apollo 11 Kutua Mwezini Afariki Dunia Akiwa na Miaka 90.

    Margaret Hamilton, mwanamke aliyeongoza timu iliyotengeneza programu za kompyuta za safari ya Apollo 11, amefariki akiwa na miaka 90. Mwaka 1969, kompyuta ya Apollo 11 ilipata hitilafu muda mfupi kabla ya kutua mwezini, lakini programu aliyosaidia kuunda iliendelea kufanya kazi muhimu na...
  6. kavulata

    Dunia inaomba marais wote wangekuwa wanawake, Tanzania tumeitangulia dunia

    Wanaume wamezidi ubabe, hawakubali kujishusha kwa maslahi ya wote, tabia ambayo inailetea hasara dunia yote. Wanaume hawaamini kama unaweza kumkosoa, kumuelekeza, kumfukuza au kumuagiza mtu bila kufokafoka kwanza. Wanaume hawaamini kama unaweza kufanya jambo zuri la maendeleo bila mbwembwe...
  7. O

    Ilianzia Kama Utani: Raia wa Nigeria Afariki Angani Akirejea Nyumbani Ndani ya Ndege ya Kenya Airways"

    Tukio la kusikitisha limetokea angani ndani ya ndege ya shirika la Kenya Airways (KQ) iliyokuwa ikisafiri kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA), Nairobi kuelekea Lagos, Nigeria, baada ya abiria mmoja wa kiume kupoteza maisha kabla ya ndege hiyo kutua. Jinsi Tukio...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    Ukiwaza dunia imekosewa au haijakamilika ujue tayari umeyabananga. Dunia iko perfect asilimia mia moja.

    UKIWAZA DUNIA IMEKOSEWA AU HAIJAKAMILIKA UJUE TAYARI UMEYABANANGA. DUNIA IKO PERFECT ASILIMIA MIA MOJA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Ukishasikia mtu anakuambia dunia hii haijakamilika. Imekosewa. Au sehemu sahihi ujue tayari keshaingizwa kingi. Yupo ndani ya mifumo ya wajanja na wahuni...
  9. J

    Watu Weusi na Waislam tunaenda kutawala Dunia, Wazungu na Wachina hawazaliani tena, wamechoka

    Hii ndio Hali ya Dunia inakoekekea. Japo ndio wavumbuzi wa teknolojia za kisasa zilizorahisosha maisha hapa duniani lakini kwa sasa hawazaliani tena. China, Korea na Japan ni karibia wazee tupu, baada ya vizazi viwili watakuwa wamepungua kwa zaidi ya nusu China wapo bilioni 1.4 sasa hivi ila...
  10. kavulata

    Mnyika anaipaisha Tanzania kidemokrasia mbele ya IPU

    Mnyika ameithibitishia dunia mbele ya wajumbe wa IPU (wabunge wa dunia) kuwa Tanzania kuna uhuru mkubwa wa kusema na kukosoa serikali na demokrasia kubwa sana ya kiwango cha dunia. Hiki anachokifanya Mnyika na chadema cha kusema na kuikosoa serikali na viongozi wakuu mbele ya ujumbe mzito wa...
  11. Kaka yake shetani

    Ni basi tu kuna serikali ila uislamu unatamani kumaliza dunia nzima

    Nimejipenyeza sana mda mrefu kutafiti tafiti ila nimegundua hii imani inataka kumaliza dunia. Ukiangalia tokea historia na mafundisho yao yamejaa chuki,kuangamiza na kuforce wanayotaka. Sio kwamba wote ni wabaya au kuna watu wanapenda kwenye imani yao ila ukigundulika unaonekana kama muhasi...
  12. Kaka yake shetani

    Kwanini wanadamu wakitoka nje ya dunia wanapewa namba na sio majina yao?

    Kuna mada nimekutana nayo kuhusu kuwa sisi wanadamu ni namba na ndio maana namba zikizidi au kupungua sawa na ajari ya watu kumi masai mmoja. Kwa nini mpaka vitambulisho vina namba na ukiangalia namba hizo ni lazima kuwa watu fulani. Namba ni nini kwa elimu ambayo hata uzazi wanasema mtoto wa...
  13. I

    MUNGU, SIASA ZA DUNIA NA MKAKATI WA MUDA MREFU: KWA NINI URUSI INAJENGA MAKANISA AFRIKA?

    Urusi inapojenga makanisa Afrika, inaleta dini tu, au pia inajenga ushawishi wa muda mrefu? Swali hili limeanza kupata uzito kutokana na kasi ambayo Kanisa la Kiorthodoksi la Urusi (ROC) limepanua shughuli zake barani Afrika katika miaka ya hivi karibuni. Desemba 2021, ROC ilianzisha...
  14. livingroom_espionage

    Sasa kama dunia ipo miaka Bil 30 sisi mbona tupo binadamu bil 10 tu kwenye uso wa dunia ?

    Kingine kama kwanzia mwaka 0 mpaka 2000 Kabla ya Kristo ukipiga hesabu na mwaka 0 mpaka leo mwaka 2026 baada ya Kristo, inakuwa miaka elfu 4 kwanini bado mpaka sasa tupo watu bilioni 10 duniani kote ? Wengi mtasema ni Bangi ila Sio bangi, Nimewaza tu. Nawasilisha Nawasilisha.
  15. Manyanza

    Dunia inafahamu ukweli kuhusu kesi ya Tundu Lissu, Lissu ameiambia Mahakama akipatikana na kesi anyongwe mpaka kufa asipopatikana na kesi aachiwe huru

    ‪Dunia inafahamu ukweli. Ndiyo maana Tundu Lissu anasema akipatikana na hatia, anyongwe hadi kufa. CCM wanasema adhabu siyo kunyongwa pekee‬ ‪Tundu Lissu anaeleza Mahakama kwamba adhabu ya uhaini ni kuachiwa huru au kunyongwa hadi kufa. CCM wanasema Mahakama iamue kwa hisia tu‬ ‪Anyways...
  16. Design Your Idea

    Je ushawahi kufikiria kuwa katika hii dunia kuna watu wana vibali automatically na kuna wale wengine hata ulie vipi tabu ndio ujira wako hadi kifo?

    Kuna mtu unakuta matendo anayofanya na kero anazo fanyia wengine ni sawa sawa na giza lakini mtu huyo huyo hayampati magumu yoyote na kila analogusa linageuka kuwa dhahabu. Alafu kuna yule ambaye atasali sanaaaa, atalia sanaa na atapambana sana lakini magonjwa, majanga, vifo na aibu ndio...
  17. Eli Cohen

    Kifo chako kitakuja siku ya kawaida, katikati ya mipango ambayo haijakamilika na dunia itaendelea bila wewe. Hivyo basi achana na kushindana na maisha

    Usijalaumu kwa kuchelewa Usijalaumu kwa kusemwa Usijalaumu kwa kupitwa Usiogope kushindwa Sio lazima uwe tajiri kwa njia yoyote ile. Sio lazima uwa lidhishe watu kwa namna yoyote ile. ishi na asili, usiishi ya watu
  18. F

    Wicknel chivayo aifariki dunia kwa ajali ya helicopter 🚁

    Mfanyabiashara maarufu wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo amefariki dunia leo Septemba 30, 2026 kwa ajali ya helikopta akiwa na mkewe Lucy “Lulu” Muteke pamoja na watu wengine wanne. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Shirika la Utangazaji nchini Zimbabwe, limemnukuu mwanafamilia Herbert Chivayo...
  19. 1995El

    Hofu ya dunia na maisha

    HOFU YA DUNIA NA MAISHA — KUNA SIKU TUTAISHI BILA KUOGOPA? Kuna wakati unakaa kimya peke yako, halafu unaanza kujiuliza maswali ambayo huwezi hata kumwambia mtu. Kesho itakuwaje? Nitafika wapi? Nitafanikiwa kweli? Nitapata pesa? Nitakuwa salama? Watu ninaowapenda watabaki kuwa nami mpaka...
  20. Keynez

    Dunia imebadilika sana, hata hausikii ndege zikitekwa

    Dunia ya sasa imepoa sana. Kipindi fulani cha nyuma, minyukano ilikuwa mikali sana. Haupiti mwezi watu wanapiga tukio. Mara umesikia mapinduzi ya kijeshi kule, mara wahuni wameteka ndege wakairusha hadi destination fulani salama. Wahuni walikuwa wanateka hadi treni. Yaani ilikuwa dunia fulani...
Back
Top Bottom