dunia

  1. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Chanuo ataka kurudi kwa mumewe YJ aliyemdhilisha mitandaoni, hii dunia hii

    Mama aliniambia mwanangu kuwa uyaone, Kwa kweli mama nayaona. Bhana mi ni mtu wa kupost matukio mitandaoni, sasa katika kukusanya habari huku na kule nikapata hii eti yule dada alie tangaza kuvunja ndoa na mumewe, akasema jamaa kafulia hana hela kama alivo kua Dubai, janaume linakoroma, Lina...
  2. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Je sayansi imeweza kuelezea kila kitu au hata yenyewe ina limitations zake? haswa kwa dunia ya kiroho na imani ni ukweli upi upo nyuma yake

    KAribuni
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Waislamu wanaosema Ukristo sio dini huwa wana maana gani?

    Huwa nikiwasikia Waislamu wanaosema Ukristo sio dini naona kama wamechanganyikiwa au wenye hitilafu kwenye kichwa na hawaelewei maana ya dini. Dini duniani ziko kati ya 4,000 mpaka 10,000.
  4. Red black

    JamiiForums Tanzania Huyu ndio kiumbe hatari zaidi Dunia

    Huua watu 800k kwa mwaka
  5. R

    JamiiForums Tanzania Stupid UN, badala ya kujadili ukosefu wa demokrasia, mauaji, udikiteita wa African presidents mnajadili ramani ya dunia! Shame upon you

    Jadi ntakimeshaji udikiteita wa African presidents na mauaji ya watu wao. Mnajadili eti Greenland ni ndogo kuliko Afrika na ramani ya dunia haiko sawa. Haya ni ya kujadili, hadala ya kujadili ni kwa vipi UN itakomesja udikiteita wa , mauaji ya watu Africa.
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa (UN) wapiga kura kupitisha ramani mpya ya dunia ili kuonyesha ukubwa halisi wa Afrika

    Umoja wa Mataifa umepiga kura ya kupitisha ramani mpya rasmi ya dunia iliyobuniwa kuonyesha ukubwa halisi wa kijiografia wa bara la Afrika na maeneo mengine ya kanda ya ikweta. Mabadiliko haya yanalenga kuchukua nafasi ya "Mercator projection" (ramani ya kale ya Mercator), ambayo imekuwa...
  7. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Dunia inapaswa kumuelewa Mchina anapokuwa anapambana na Marekani na hata kumuunga mkono

    Kama kuna jambo ambalo dunia inapaswa kujifunza ni kutoka kwenye utawala wa Trump. Jamaa anaanzisha timbwili kila kona. Nataka nigusie timbwili lake na Canada. Jamaa ana mapendekezo ya mikataba kwa Canada ambayo serikali yoyote yenye kujielewa haiwezii kuyakubali. Yani ni sawa ukaue uchumi na...
  8. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Ramani Mpya ya Afrika

    🌍 Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha pendekezo la Afrika la kuwa na ramani mpya ya dunia inayoonesha uhalisia wa ukubwa wa maeneo. 🟢 Waliounga mkono: 164 🔴 Waliopinga: 1 ⚪ Waliojizuia kupiga kura: 6 📅 4 Septemba 2026
  9. K

    JamiiForums Tanzania Shujaa wa Haki za Wanawake Marekani, Gloria Steinem, Aaga Dunia

    Gloria Steinem, mwanaharakati nguli wa haki za wanawake na mwandishi wa habari nchini Marekani, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 92 nyumbani kwake jijini New York. Kifo chake kilitokea kwa amani Alhamisi asubuhi akiwa amezungukwa na watu wake wa karibu, baada ya kutumia takriban karne...
  10. life255

    JamiiForums Tanzania Maisha ya dunia na kifo — Kwa nini tunakimbilia kitu ambacho hatutaki kukipoteza?

    Kuna siku moja ambayo kila mwanadamu duniani ataamka na kugundua kuwa safari yake imefika mwisho. Siku hiyo haitajali una pesa kiasi gani. Haitajali una magari mangapi. Haitajali una nyumba kubwa kiasi gani. Haitajali una followers wangapi. Haitajali umejenga jina kubwa kiasi gani...
  11. H r n

    JamiiForums Tanzania Dunia ikuchanganye na mwanamke naye akuchanganye !

    Wakuu habari ! Maisha kwa mwanaume kamwe hayajawahi kuwa rahisi in everything. Unatoka alfajiri na mapema kwenda kusaka mkate wa familia then unarudy om unakutana na makelele kutoka kwa wife 💔 haulizi umeshindaje wala habari za kazi unakutana na magic ambazo hazina msingi now ndo nakumbuka...
  12. Red black

    JamiiForums Tanzania Je , dunia tunayoishi ni halisi au ni ndoto ya pamoja au mfumo wa simulation?

    Niko hapa kujifunza.
  13. Red black

    JamiiForums Tanzania Hii bundiki ndio imetumika na kuuzwa zaidi Dunia na imeleta maafa ya kutisha.

  14. insane

    JamiiForums Tanzania Hakuna mwisho wa dunia

    Dunia haina mwisho kwa maana kwamba siku ya kiama (heaven and hell). Dunia itaendelea kuwepo barafu zitayeyuka milima itaongezeka spishi zitakufa na nyingine kuzaliwa hata binadamu watabadilika taratibu sana kuwa kitu kingine au hata kufa kabisa kama ilivyokuwa kwa dinosaur mazingira...
  15. Supapawa

    JamiiForums Tanzania Tukiwachunga hawa 👇mabwana wawili tutaishi vizuri na Dunia itakuwa salama

    Mmoja ulimi, mwingine dushelele! 😎 Wawili hawa wala hawana mfupa lakini shughuli yao huwa ni pevu. Basi nyote nawasihi muwachunge hawa mabwana wasije wakaleta mabalaa. Ni hayo tu kwa leo.
  16. R

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mfalme Harald V wa Norway afariki akiwa na umri wa miaka 89

    Mfalme Harald V wa Norway amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 89, baada ya kulazwa hospitalini wiki iliyopita kwa matibabu ya ugonjwa nadra wa damu. Ikulu ya Oslo imesema mfalme huyo alifariki kwa amani saa 06:35 kwa saa za eneo (04:35 GMT) siku ya Ijumaa katika Hospitali ya Taifa ya Oslo...
  17. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Siri ya Utulivu na Mafanikio

    Baada ya kukua na kutambua jinsi watu wanakuwa controlled na hisia. Watu ambao hawajui kuwa less attached na kupannic. Huwa sio kwamba ni wakali au wagai gai by nature. Na pia sio watu wakali by nature, huwa ni so weak. Ila ile reaction ina wa manipulate kudhani wako sahihi. Kadri unavyo...
  18. Sodoku Myebusi

    JamiiForums Tanzania Wapashiwa jamii ambayo inakuwa kwa kasi sana. Na Dunia ina wapromote sana hawa watu

    Wapashiwa ni kabila au jamii ambayo kwa sasa imekua sana. Miaka ya nyuma ilikuwa ni uchafu na laana kuwa Mpashiwa. Kwa sasa unakuta wanasiasa, wanamichezo, waigizaji, wanadini, wanamuziki, watu baki ni wapashiwa. Sifa za Wapashiwa. 1. Hawana msimamo. Yaani anaweza kuwa aliumbwa mwanaume ila...
  19. Tomaa Mireni

    JamiiForums Tanzania Alichosema Ali B ni ukweli kwa Dunia ya sasa

    Japo upendo ni bora kuliko kila kitu ila pesa inaweza kuvunja kila kitu. Nakumbuka hata mkoani nakotoka pesa inaweza kukufanya ukawa kama mungu mtu, kila mtu unaweza kumtuma na kumkoromea. Ukiwa na pesa makosa yako kwa wazazi watapewa wengine, iwe ni wadogo zako au kaka zako, ukiwa na pesa...
  20. Red black

    JamiiForums Tanzania Kwanini hatuhisi kama Dunia inazunguka kasi ya maelfu ya kilomita kwa saa?

    Kwanini hatuhisi kama Dunia inazunguka kasi ya maelfu ya kilomita kwa saa?
Back
Top Bottom