Dunia nzima inakulaani Pilato

Dunia nzima inakulaani Pilato

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
53,068
Reaction score
104,639
Nimepitia mitandao yoooooooooooooooooote ya ndani na je, woooooooooooooote wanakulaumu hukutenda haki. Kwa makusudi kabisa unamtesa mtu wa watu, mpenda haki asiye na hatia!

Laana hizi hazitakuacha salama mbele ya Mungu. Zitakuacha salama kwa uliowaabudu ukatenda UOVU kutenda maovu!

exception ni CCM na Balile
 
Nimepitia mitandao yoooooooooooooooooote ya ndani na je, woooooooooooooote wanakulaumu hukutenda haki. Kwa makusudi kabisa unamtesa mtu wa watu, mpenda haki asiye na haia!

Laana hizi hazitakuacha salama mbele ya Mungu. Zitakuacha salama kwa uliowaabudu ukatenda UOVU kutenda maovu!
porojo za wakosaji bana:pedroP:
 
Ina maanan wawili wanaobaki hawakuhusika na uovu huo? Mbona sikuona dissenting judgement?
Ina maana wote walikubali UOVU ule. sas kwanini dunia nzima inamtaja kiongozi wa jopo?
 
Ina maanan wawili wanaobaki hawakuhusika na uovu huo? Mbona sikuona dissenting judgement?
Ina maana wote walikubali UOVU ule. sas kwanini dunia nzima inamtaja kiongozi wa jopo?
jitahidi kulaumu zaidi ili upate relief zaidi moyoni :1Head:
 
Kiongozi wa Jopo, historia yake inambeba, toka Mbeya, hadi sakata la DP world, kuja lile la jana.

Hawa wa chini walikua "ndio Mzee" tu.
 
Tulikushtaki kwa kubaka baada ya ushahidi wote tukagundua haukuhusika ila ulikutwa na pakiti ya condom mfukoni hivyo ulikua na nia ya kubaka.

Hayo utayapata kwa makada wenye akili za kiccm wakivaa na majoho wakijinasibu ni mahakama kumbe mabaraza ya sheria za CCM.
 
Ina maanan wawili wanaobaki hawakuhusika na uovu huo? Mbona sikuona dissenting judgement?
Ina maana wote walikubali UOVU ule. sas kwanini dunia nzima inamtaja kiongozi wa jopo?
Wote waliukubali uovu wa Samia.
 
Mithali 29:2.

“Wenye haki wakiwa na amri, watu hufurahi; Bali mwovu atawalapo, watu huugua ".
 
Hao Ndiyo Aina Ya Wakina Jacob's Mwambegele
 
Lilaaniwe TUMBO liliomzaa yule mwanamke wa kuzimu
 
Back
Top Bottom