ili

Ahupuaʻa (pronounced [əhupuˈwɐʔə]) is a Hawaiian term for a large traditional socioeconomic, geologic, and climatic subdivision of land. It usually extends from the mountains to the sea and generally includes one or more complete watersheds and marine resources. The predominant traditional system in the eight high islands of the main Hawaiian Islands was based on the ahupuaʻa. Each ahupua‘a contained a cross section of island resources and they were managed within a complex social system associated with each area. The general belief is that each ahupua‘a met the needs of the local population, with excess for tribute and trade.

View More On Wikipedia.org
  1. kavulata

    Mwenyewe alitaka afungwe jela ili afanane na Nyerere na Mandela. Tupunguze mihemko ya kukata rufaa tupate radhi yake

    Mheshimiwa Lissu anatamani afungwe ili awe siti moja na Nyerere, Kenyatta, Mandela, Kaunda na Mugabe. Nadhani tumuache aendelee na kifungo. https://youtube.com/shorts/HOJXYfboUkA?si=p1x7sIbU9YOctQuL
  2. Ritz

    Thomas Massie wa Republican Party amechukua hatua ya kumshtaki Pete Hegseth ili kumwondoa madarakani, kutokana na vita vya Iran

    Wanaukumbi. 🇺🇸 Thomas Massie amewasilisha hoja ya kumshtaki (impeach) Pete Hegseth kuhusiana na vita dhidi ya Iran. Anamtuhumu Hegseth kwa kuanzisha vita bila idhini ya Bunge, kukiuka kanuni za ulinzi wa raia, na kulipiza kisasi dhidi ya wakosoaji wake. Mashtaka hayo yanahusu pia operesheni...
  3. nzalendo

    Akashika kichwa ili aingize

    Naam safari ilikuwa ndefu sana toka alfajiri mpaka mida ya jioni jioni hivi..... Tukafika pahala tukaamua kuegesha gari ,,,zamani hizo nyumba za wageni zilikuwa chache sana. Mwana mama akatoa mkeka,akautandika. Mie nika ambaa ambaa kando kando ya barabara kutafuta kuni. Nikaweka mafiga na...
  4. instinct desire

    Moderators hongereni kwa kazi, mnafanya Kazi usku na mchana. Nashauri tuwe tunalipia post ili mpate posho kidogo.

    Tunaomba tuendelee kutanguliza upendo na uzalendo kwa Taifa letu la Tanzania, endeleeni kufuta post zote ambazo hazizingatii maadili na miiko ya Taifa letu. Jambo la mwisho napendekeza tuwe tunalipia post walau elfu 5 kwa post ili moderators mpate posho kidogo. Hii italiheshimisha jukwaa letu...
  5. R

    Dunia nzima inakulaani Pilato

    Nimepitia mitandao yoooooooooooooooooote ya ndani na je, woooooooooooooote wanakulaumu hukutenda haki. Kwa makusudi kabisa unamtesa mtu wa watu, mpenda haki asiye na hatia! Laana hizi hazitakuacha salama mbele ya Mungu. Zitakuacha salama kwa uliowaabudu ukatenda UOVU kutenda maovu! exception...
  6. Carlos The Jackal

    Wapuuzi wanajaribu kulisema Kanisa kifungo cha Lissu ili 'kuliblackmail'. KANISA siku zote litaendelea kuisimamia Haki Kwa Maneno na Matendo

    Huo ndio wajibu wa Kanisa. KANISA haliwezi tishwa tishwa na Wauaji waoga wa Watanzania waloua Maelfu ya Vijana Oktoba 29 2025. KANISA halikuwah kushindwa na Mamlaka yoyote ile chini ya Jua. Hata hivo, Kanisa lingekaa kimya, maana yake ni kuhalalisha Utawala wa chuma na gharimu wa Nduli Idi...
  7. Carlos The Jackal

    Watu wajingajinga kama Nnape Nauye, wanajaribu Kumbagaza na kutumia TUNDU LISSU, ili wateuliwe Tena, Kwahiyo Nape Ulikua wapi wakati wote wa Kesi?

    Wajinga mna kazi sana, yaan muda wote wa kesi ya Lissu, hukuwahi hata kufunua Domk lako, Leo baada ya Lissu kufungwa Kisiasa , unalipa Media, ikualike ,ujifanye unaongea ongea, ili Yule mjinga wa ELIMU mbalimbali Aliyeua Watanzania Oktoba 29, akuone?. Kwa upande mwingine, unaamini Wewe na Genge...
  8. Eli Cohen

    Sugu mama yake alikufa akiwa nondoni, kabendera mama yake alikufa akiwa nondoni, SHAURI YENU.

    You have to be ready to face consquences. Magu (jiwe) anajua vizuri haya yote
  9. Echolima1

    Ili uwe upiganie wa Palestina lazima ubwabwaje yafuatao!!

    Jinsi ya Kuwa "Mtaalamu wa Palestina" Rudia "mauaji ya kimbari," "ubaguzi wa rangi," na "Mauaji ya kikabila" kila siku, katika kila mazungumzo, bila kujali mada. Huna haja hata ya kujua jinsi ya kupata "Palestina" kwenye ramani. Huna haja ya kuwa umewahi kukutana na "Mpalestina" au kuzungumza na...
  10. Lamomy

    Ikitokea leo kipenzi chetu Tundu Lissu akishinda kesi yake dhidi ya Jamhuri, kipi utafanya ili kuonyesha furaha yako?

    Je, utachinja jogoo lako pendwa? Je, utafanya ibada ya shukrani kwa Mungu? Je, utaishukuru mahakama kutenda haki? Je, utashinda bar kulewa na kuiendeleza weekend kwa kishindo cha wakoma..!! Je, utaserebuka kwa muziki? Je, tutarajie mimba nyingi siku ya leo? Nyavu kutikiswa kwa wingi...
  11. U

    Taarifa Muhimu: Ili Democrats wamuondoe Trump madarakani kwa njia ya impeachment wanahitaji kura 67 za Maseneta

    Hamjamboni nyote? Nimeona nitoee taarifa hii mapemaa kuepusha mkanganyiko na sintofahamu. Basi nendeni kazini mkachape kazi
  12. 6 Pack

    Netanyahu akimbilia kujitetea kuwa Israel haikuhusika na shambulio la juzi ili kukwepa retaliation ya Iran. Trump apigwa za chembe.

    Niaje waungwana Ule msemo wa kunguru muoga hukimbiza ubawa wake umashaanza kutimia huko Israel, baada ya kunguru muoga ( shetaninyau ) kuogopa kukubali kuwa alihusika au kushirikiana na Marekani katika shambulio la juzi, hivyo kuwa salama na kuepusha maangamizi makubwa ambayo angekutana nayo...
  13. Samia atosha tukutane2030

    Mtoto akikua na kukuta wazazi wake ni maskini ana haki ya kuwatoa kafara ili atajirike

    Mtu hakuomba mumzae, nyie starehe zenu zimemleta mtoto Duniani. Anakula kwa shida Analala mahali pana vumbi Anavaa nguo used aka Mtumba. Hapo akikutoa kafara ili aondokane na umaskini yuko sawa tu
  14. J

    Mungu Hafanyi Biashara: Kwa Nini Amri Zake Ni Safi na Hazitaki Pesa Yako Ili Ubarikiwe

    MUNGU HAFANYI BIASHARA: KWA NINI AMRI ZAKE NI SAFI NA HAZITAKI PESA YAKO ILI UBARIKIWE Ukiingia kwenye mitandao ya kijamii au ukitembelea makanisa mengi leo, utakutana na ujumbe unaofanana: “Toa kiwango fulani cha pesa ili upokee muujiza wako,” “Nunua maji haya ya upako,” “Leta sadaka ya...
  15. Eli Cohen

    Ile model iliyobuniwa na Magufuli ili kuivurugua CHADEMA sasa imefanikiwa

    Ni ngumu sana mmea kukua kwa afya kama mizizi yake inachokonelewa chokonolewa. NJAA NA HOFU HAVIKAI MBALI.
  16. Mikopo Consultant

    CCM imechoka, upinzani umetepeta! Hii ni turufu kwa chama nitachoasisi ili kushika dola 2035!

    Mwaka mmoja na nusu umepita baada ya kuandika uzi wangu huu-- ' Hekaya za George Soros na Utabiri wa Anguko la CCM,' kwenye jukwaa hili adhimu! Mwenendo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) haujaboreka, bali umeendelea kuzorota na kufifia! Hii inafanya ile 'narrative' ya 'CCM haijabakisha maisha marefu...
  17. F

    Tuliaminishwa Mbowe ni bilionea, Lema unajaribu kumrudisha ulingoni ili iweje?

    Mbowe bilionea Mbowe ana hailcopter, Mbowe ana majumba kibao maghorofa na viwanda Hadi nje ya nchi, Sasa kwanini utake kurudi siasa ni upate hasara tena? Fanya biashara, si uliomba kustaafu? Yu wapi Chacha wangwe?
  18. Sifi Leo

    Mh rais waliopoteza ndugu ili uingie ikulu, wafidie tu Mama machozi yao yanaichafua ikulu mno mbinga!

    Ukiangalia ile clipunya Anger, ukiangalia ile clipu ya Baba anae mtaka mwanae amzike maana mpaka sasa alizika kiatu tu, Leo jioni nimekutana na nyingine ya Mwanamke aliyevalia kofia ya bwana ake analalama alimzika mumewe akiwa ameisha oza, na ana watoto wawili hawana msaada wowote,anaomba...
  19. L

    Hotuba Ya Lema Itafsiriwe kwa Kiingereza Ili Wazungu Wajue wazi kabisa Namna wanaharakati uchwara wamekuwa wakichochea Vurugu na machafuko hapa Nchini

    Ndugu zangu Watanzania, Lema ameongea ukweli Mchungu sana siku ya leo kwa kuonyesha namna wanaharakati uchwara akina Mange Kimambi na akina Maria Sarungi wamekuwa wakifanya uchochezi kuchochea vurugu na machafuko hapa Nchini huku wao wakijificha huko waliko ambako wanalishwa kama Makinda ya...
  20. Beira Boy

    Jumapili njema; kataa ndoa nakutakia baraka za mke sahihi ili ufurahie maisha ukiwa na mwenzie mpya

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Jumapili ya leo ni sikukuu ya watakatifu wote katika kanisa, tunasherekea upendo wa MUNGU BABA kwa matendo yake makuu na ya ajabu ya kumtoa mwanae wa pekee ili atukumboe Basi atukuzwe MUNGU mbinguni na atakatifuzwe mwanadamu ili siku moja...
Back
Top Bottom