TANZIA Dkt. Isaac Ndodi afariki dunia

TANZIA Dkt. Isaac Ndodi afariki dunia

Duuuh! Mimi kweli mwanga sasa nianze kujitafakari
222289.jpg

Nov 13 nilim google sana mtu huyu hadi instagram kuna kitu nilikuwa nakitafuta
 
Kumbe alikuja nenepa hivi?
Mara ya mwisho kumuona ni 2008.

Ajaliwe pumziko jema aiseee, aliweza
Kutushika na vipindi vyake vile,hadi mchele tulikua hautoshi na tuliacha kupikia sufuria na kupikia vyungu!

Achilia mbali kula malimali mia mpka moja kisha moja mpaka mia!!!
RIP. alipiga sana hela kwa utapeli wa tiba mbadala huyu jamaa
 
RIP Daktari.

Mambo ya nguvu za kiume nilianza kuyasikia kwenye matangazo yake. Nilikuwa napata mawazo sana, like what and how?? 😌
Alipoanza kuzungumzia hizo porojo ndio ulikua mwisho kumsikiliza sio huyo tu JJ Mwaka alipoanza kuzungumza kuhusu masuala hayo ndio ilikua mwisho kumsikiliza hata Shekhe Yahaya Hussein alipoanza kuzungumza kuhusu haya masuala ndio ilikua mwisho kumsikiliza.. wao walisahau kanuni za maumbile walijizungumzia kitu ambacho hawakuwahi kukiishi walizungumza kitu cha kwenye makaratasi ni sawa na kilimo cha Vanilla na Mr. KUKU

RIP Ndodi ukalale unapostahiri
 
Placebo effect ni sayansi na inafanya kazi pia. Unakumbuka alizunguliwa na Dr. Kigwangala wakati akiwa waziri wa afya?
Aliyezinguliwa na HK ni Dr Mwaka.
Kigwanomics alimzingwa Mwaka make jamaa alikuja na pigo za kitapeli kuvaa zile ndude wanazotutishia madokta... kwa kusema "hema..." huku kakupachika nacho kifuani huku yeye anasikilizia masikioni.
Sasa mwaka alikuwa anazuga navyo hivyo huku kapigilia mawani na yale maguo meupe ukimuona utajua dr si ndo huyu sasa kumbe tapeli tu linajua kuchanganya majani ya papai mixer mbegu zake + majani ya milonge longe!

Anyway pumzika salama mzee ndodi umepiga pesa ndefu sana kwenye mafundisho na diagnosis zako!

Nakumbuka nilitimba ofsini kwako mwaka 2010 mwishoni nikiwa nampambania mzee wangu though ikawa hakuna namna mshua akaniaga!!
 
Hapana, nina dalili zote za uchawi na nilianza toka September
Basi usifurahie kuwa na changamoto hio kama ni kweli itakutesa mkuu.
Mimi nimemaliza MD kitambo kidogo lakini kipindi Nilivyokuwa internship mtwara hospital x nilianza kuumwa mara naota natoa tiba au natibia watu. baadae nkaambiwa huyu anatakiwa awe mganga wa jadi.
Kijana nashukuru mungu mzee wangu haamini katika hayo mambo alisema ni heri akafa kuliko kuwa mtu wa namna hio.
Alipambana na kutoa pesa mbaka Sasa nna miaka 5 ni mzima kabisa.
Lakini nnachopenda kukwambia usitamani kabisa hayo mambo utateseka vibaya sanaaa.
 
Kuna watu wengi sana walipona mkuu, baada ya kusanda hospital watu sio wajinga kama unavyodhania
Mkuu huyu huduma yake ililenga watu matajiri tu.
Hohehahe walinufaika na vipindi vyake kupitia TVs na redio basi.
 
Back
Top Bottom