tanzia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    TANZIA MwanaJF mwenzetu QUIMICA amefariki dunia

    Habari zenu wakuu, poleni kwa majukumu. Kwa masikitiko naleta kwenu taarifa za msiba wa member mwenzetu wa Jamii Forums, aliyekuwa akitumia ID ya Quimica. alikuwa akipatiwa matibabu hospitali Kuu ya Taifa Muhimbili, amefariki usiku wa kuamkia leo. "Bwana alitoa, na Bwana ametwaa; jina la Bwana...
  2. Jaji Mfawidhi

    TANZIA: Doctor Sokile kuzikwa muda huu Mara Mjini!

    Bodaboda aliyemgonga doctor Sokile pale Sayansi Dar es salaam siku ya 30-10-2026 na kumuua sijui anajisikiaje saa hii. anazikwa leo 6-11-2026. BODA BODA ASIYE NA LESENI ALIYEKUWA ANAKIMBILIA ABIRIA WA ELFU MOJA AMETTULIA MTU HUYU:1 Elimu ya Juu: Ana Shahada ya Uzamivu (PhD) katika Masomo ya...
  3. Meneja Wa Makampuni

    Tanzia: Mzee Wangu, Wilinasi Mwendawila Sikanyika Amefariki Dunia na Kuzikwa (1951 - 2026)

    Wana-JamiiForums, Kwa masikitiko makubwa na majonzi mazito, ninawataarifu kuhusu kifo na mazishi ya mzee wangu mpendwa, Mzee Wilinasi Mwendawila Sikanyika, aliyefariki dunia tarehe 25 Oktoba 2026 katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mbeya (iliyopo Wilaya ya Mbeya Mjini, Mkoa wa Mbeya) akiwa na...
  4. Jemima Mrembo

    Tanzia: Mwanafunzi wa kidato cha kwanza Kizimkazi Raiyan Hemed Amour auawa kinyama.

    Mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza katika Shule ya Kizimbani aitwaye Raiyan Hemed Amour, amepatikana akiwa amefariki Oktoba 4, 2026, baada ya kuanza kutafutwa tangu Ijumaa, huku akiwa amekatwa mkono Mmoja.
  5. Kennedy

    TANZIA Dkt. Daniel Lema, Mwanzilishi wa Radio Safina iliyopo Kaloleni, Arusha amefariki

    MKURUGENZI WA HUDUMA YA SAFINA REDIO ARUSHA MAMA, HELLEN DANIEL LEMA ANASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MUME WAKE MPENDWA AMBAYE NI MUASISI WA HUDUMA YA REDIO SAFINA ARUSHA DR. DANIEL LEMA KILICHOTOKEA JUMATANO YA SEPTEMBA 23 2026 KATIKA HOSPITALI YA SELIANI JIJINI ARUSHA (ALMC). MIPANGO YA MAZISHI...
  6. Stunnaman008

    TANZIA Bi Fatma Karume Afariki dunia, akiwa na umri wa miaka 97

    Inna lillahi wa Inna ilayhi rajioon May Allah Ta’ala grant her and all marhoomeen total Maghfirah and Jannatul Firdaus May Allah Ta’ala grant all the bereaved Sabrun Jameel and Aafiyah Aameen Aliyekuwa Mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, Mama Fatma Karume...
  7. U

    TANZIA Kamanda wa Polisi ACP Jonathan Shana afariki Dunia

    Ni huzuni & majonzi Ameumaliza mwendo Kazi ya Mungu Haina makosa Mshiriki, Mzee wa Kanisa na Muinjilisti wa Kanisa la Waadventista Wasabato Mjini Kati Arusha Alishiriki vema akitoa Zaka na Sadaka Aliishi vizuri sana na washiriki Wenzake Alikuwa Mnyenyekevu na mwenye hofu ya Mungu...
  8. Bujibuji Simba Nyamaume

    TANZIA:- Buluba James amepatikana akiwa amekufa baada ya kupotezwa/ kutekwa mwezi wa sita

    TANZIA Kwaya ya AICT Nyarugusu, wanasikitika kutangaza kifo cha Mwl Buluba James (1997-2026) Mwl Buluba alipotea tangu mwisho wa Mwezi June 2026 alipoiaga familia yake kuwa anaelekea Mkoani Morogoro kununua Kinanda(used) kwa watu aliokubaliana nao. Kinanda hiki kilikuwa ni sehemu ya...
  9. Mshana Jr

    John Heche moments special thread

    John Wegesa Heche ni mwanasiasa mashuhuri nchini Tanzania na sasa anahudumu kama Makamu Mwenyekiti (Bara) wa chama kikuu cha upinzani cha CHADEMA. Anajulikana sana kwa hotuba zake zenye ushawishi mkubwa, uwezo wa kuhamasisha wananchi kuanzia ngazi ya chini, na harakati zake za dhati za kupinga...
  10. Kipenzi Changu

    Polisi wafunga comments za post ya Tanzia ya Richard Ambwao

    Hii ni kuzuia maneno ya chuki kutoka kwa raia.
  11. britanicca

    Magufuli alikufa kwa Corona hata kama maandiko ya awali yana match tulichosema Mwaka huo, tuache conspiracy

    Naona wananzengo wanaleta hata tweet nilizofuta sijaelewa kwanini zitrend muda huu! Kiufupi Magufuli alipuuza masuala ya wataalamu akaleta kujifukiza Kumbe anajimaliza yeye na battery ya moyo Ujumbe nilopewa na mstaafu hauna uhusiano na kifo chake Je kwanini trend now nisiletewe matatizo...
  12. T

    Afariki ghafla akiwa na mpenzi wake kwenye nyumba ya wageni "Guest House" huko mkoani Mara

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara, limetolea ufafanuzi juu ya tukio la kifo cha Chacha Ryoba (45), mkulima na mkazi wa Kijiji cha Kihumbu kilichopo Wilaya ya Bunda Mkoa wa Mara aliyefariki dunia baada ya kudaiwa kupatwa na shambulio la moyo akiwa nyumba ya kulala wageni na mpenzi wake. Jeshi hilo...
  13. DogoWaNjombe

    Mtu mmoja afariki kwa kung'atwa na nyuki eneo la Bweri, Musoma Mkoani Mara

    https://www.youtube.com/watch?v=Do0-6e7Bs-Q
  14. Inside10

    Muombolezaji afariki Dunia kwenye Msiba wa James Temba, Mwanafunzi Wa IFM Kilimanjaro

    Mwombolezaji Leah Ngowi, anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 60 mkazi wa Kiboriloni wilayani Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro, amefariki dunia akiwa kwenye msiba wa aliyekuwa mwanafunzi wa Taasisi ya Usimamizi wa Fedha (IFM), James Temba (24). Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo Mei 7, 2026...
  15. MamaSamia2025

    Nabii feki Uegber Angel adai Rais mstaafu wa Zambia Lungu alikufa kwa sababu alimkatalia kuingia Zambia

    Nabii feki Uegbert Angel toka Zimbabwe amedai mbele ya misukule inayomwabudu kuwa kifo cha Rais mstaafu wa Zambia Hayati Edgar Chagwa Lungu kimesababishwa na yeye kuzuiliwa kuingia nchini Zambia enzi za uhai wa Lungu. Amedai Hayati Lungu alimzuia kuingia Zambia. Ikumbukwe huyu nabii feki...
  16. Nyendo

    Marekani: Mtoto wa miaka miwili afariki kwa kula nepi

    Tukio la kusikitisha limeripotiwa kutoka katika Jimbo la Indiana Nchini Marekani ambapo Mtoto wa miaka miwili amefariki dunia kutokana na hali mbaya ya malezi na ukosefu mkubwa wa chakula Nyumbani kwao, taarifa za awali zinaeleza kuwa Wazazi walikuwa wakiwanyima chakula Watoto wao hali...
  17. Inside10

    TANZIA Meya Mstaafu Mahmoud Mussa Wa Jiji La Zanzibar Afariki Dunia

    Aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni na Mstahiki Meya Mstaafu wa Jiji la Zanzibar, Ndg. Mahmoud Muhammed Mussa amefariki Dunia leo Aprili 6, 2026. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Familia ambapo Maziko yatafanyika kwake Fuoni Mambosasa na Maiti itaswalia Msikiti wa Mwembeshauri...
  18. DogoWaNjombe

    Mwalimu Afariki Dunia baada ya kushambuliwa shambani Masasi - Mtwara kisa mgogoro wa ardhi

    Mwalimu wa Shule ya Msingi Mwongozo, Hidaya Chiwembi (51), ameuawa baada ya kupigwa kichwani na kunyongwa shingo kutokana na mgogoro wa mipaka ya shamba lake, kisha mtuhumiwa kutoweka. Tukio hilo lilitokea usiku wa Machi 28, 2026, katika kijiji cha Mdenga, kata ya Nangoo, wilayani Masasi, mkoani...
  19. O

    Fish Pond Mystery! Mtoto wa Miaka 3 Afariki Shuleni Drowning ama Kuna Kitu Kinafichwa?”

    A very disturbing incident imeibua maswali mengi sana after 3-year-old pupil Faiz Faraj tragically lost his life at Gilgil Hills Academy, Nakuru County. According to reports, the young boy alikuwa darasani kama kawaida until around 11AM when he was reported missing. Shockingly, saa mbili...
Back
Top Bottom