yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Usijipoteze ukijaribu kumfurahisha mtu ambaye hajali thamani yako

    Kuna watu wanajitoa kwa asilimia 100, wanatoa muda, upendo, na juhudi zote wakiamini siku moja watathaminiwa. Lakini ukweli ni kwamba si kila anayepokea juhudi zako anazithamini. Mahusiano mazuri hayahitaji ujipoteze ili ukubalike. Mtu anayekupenda kwa dhati atakuheshimu, atathamini uwepo wako...
  2. V

    JamiiForums Tanzania Elimu, Fedha, Zisikutoe Kwenye Nafasi yako Mwanamke.

    Sifa Kuu ya Nafsi ni kujihesabia haki hata kama imekosea, ni vigumu kukubali makosa, Sio Ajabu ukaona Mtu badala ya kutengeneza Mambo, anazidi kuharibu, kwani tayari Moyo Umeumia. Na watu wanaomsikiliza Wanaambukizwa Roho YA Uchungu na Ukosefu wakifikiri wanakuwa empowerd. Kumbe Cheo na Nafasi...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Ewe mmiliki wa kampuni, unafahamu ya kuwa leo 30 Juni 2026 ni siku ya mwisho kuwasilisha hesabu za kampuni yako Kwenda TRA?

    Hakikisha unawasilisha hesabu za kampuni yako kwenda TRA kabla ya 30 Juni 2026, tofauti na hapo kampuni yako itakuwa hatarini kulipa faini ya Tshs 300,000 kwa kila mwezi ambao hujawasilisha hesabu zako. Hii ni kwa mjibu wa kufungu 89 (1) ya Sheria ya usimamizi wa kodi (R.E 2023). Epuka kuingiza...
  4. JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu ngoja niwaambie kitu: Mwanamke atakayekubali kuwa chini Yako na kukusikiliza ni yule uliyemzidi Kila kitu tu

    Ngoja nipumzike siasa kidogo jioni hii: Unaishi na mwanamke ambaye mpo sawa almost Kila kitu usitegemee atakuheshimu kwenye ndoa, utabaki unalalamika ana kucheat na huna cha kumfanya. Kwa mfano: Salary advance mnaomba wote, kikundi/kikoba mnacheza wote, kwanye gari nauli mnabisha wote🤣, jero...
  5. JamiiForums Tanzania DC Magoti-Kisarawe: Ujumbe wako toka kwa wananchi, polisi wanyanyasa kwa ruksa yako usiku wa manane!

    "Brand ya Wanaume", DC Magoti wa Kisarawe akilalamikiwa vikali baada ya polisi kuvamia nyumba na kuvunja geti. Utaratibu wa ukamataji kwa PGO umezingatiwa? Clip inazunguka mitandaoni.
  6. JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu mkubwa wa kusomea Fani yoyote baada ya kumaliza shahada yako.

    1.Truck driving. 2. Heavy Duty machine operator 3.Tafsiri na mkalimani(Chinese) 4.Ufundi Bomba Kijana muhitimu wa elimu ya juu tumia miaka miwili baada ya kuhitimu kutafuta Fani ambazo zitakufanya uishi vizuri huku ukisubiri kazi ya Taaluma yako(academic qualifications) Ahsante
  7. JamiiForums Tanzania Mwana-JF usisahau kulog out kwenye akaunti yako ukishamaliza shughuli zako humu

    Mzee mmoja alinipa simu yake ili nimsaidie kuset kitu fulani. Nikakuta app ya JF kwenye simu yake 😯. Shetani aliniingia nikajisema, ngoja nijionee ID yake. Nilizama kwenye jukwaa nikaji-tag, kisha nikachukua simu yangu nika-screenshot kisha nikafuta ile post kwenye simu yake ili asijue kama...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Mahusiano Yasipoteze Ramani ya Maisha Yako.

    Salaam to everyone, Its my hopes that wote mna weekend njema. Kuna jambo limekuwa likinitafakarisha sana hivi karibuni kuhusu namna sisi vijana wa kiume tunavyoendesha mahusiano yetu ya kimapenzi. Well, kuwa kwenye mahusiano sio kitu kibaya na hata kumpenda mtu kimapenzi sio kitu kibaya...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa Heshima Kubwa, Dr. Leakey Tuna Ombi Moja Tu: Anzisha Podcast Yako

    Leo nilipita mitandaoni nikakutana na comment ya mtu mmoja, nadhani ni watoto walioanza kufatilia mpira juzi. Alikuwa anauliza, "Huyu Mzee Leakey ni nani?" Hakuwa anamfahamu. Kilichonivutia si swali lake, bali sababu iliyomfanya atake kumjua. Alisema amevutiwa na uwezo wa Dr. Leakey kuuchambua...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Baba yako analo?

  11. JamiiForums Tanzania Kuwa mkweli kwa mambo yanavyoenda Baba au Mama yako anaweza shindwa kuwa Rais wa Tanzania? Kwa kigezo cha Uwezo wa Tuliyenaye sasa

    Tuwe wakweli kabisa Je Mzazi wako kama akipimwa na Samia Suluhu Hassan kwa mizania 1. Uzalendo 2. Elimu hata kama si degree 3. Maamuzi yenye busara kutoumiza watu 4. Uelewa wa Mambo ya Jamii Je mzazi wako anaweza shindwa iongoza Tanzania kama Rais? Maana zamNi cheo cha Urais was a...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyabiashara tunafungiwa biashara zetu na Manispaa ya Morogoro, ukichichelewa kulipa inaongezeka 50,000 kila wiki na huku wamefunga biashara yako

    Habari. Mimi ni mfanyabiashara wa salon ya kike katika Manispaa ya Morogoro, salon yangu imefungwabkwa wiki tatu sasa na makufuri ya Manispaa kwa kosa la kutolipia leseni. Nilienda ofisini kwao wiki iliyopita na nilipewa control number za malipo ya jumla ya 150,000 (Faini na leseni) lakini...
  13. JamiiForums Tanzania Nimepewa maono, Sheikh Mwaipopo unafuata kama ilivyokuwa kwa Sheikh Majini

    Sheikh Mwaipopo, Tanzania ni Kubwa kuliko CCM, kuliko Samia na Genge lake !!. Sheikh Mwaipopo, Mungu kanipa Maono, ilikuwa usubiriwe Usimame mbele Kuta za MAHAKAMA ujibu Tuhuma za Harakari zako za Kigaidi. Sasa Mungu amenena nami, kama alivyonena na Manabii wake juu ya Wafalame waovu, UNAFUATA...
  14. JamiiForums Tanzania Jifunze Kusema HAPANA: Linda Muda na Malengo Yako

    Jifunze kusema HAPANA. Kusema HAPANA ni muhimu kwa sababu si kila kitu kinachokuja kwenye maisha yako kinafaa kubeba muda wako, nguvu zako au akili yako. Watu wengi wanachoka, wanapoteza focus na wanabaki nyuma si kwa sababu hawana uwezo, bali kwa sababu hawawezi kusema hapana. Ukishindwa...
  15. JamiiForums Tanzania Ongeza AURA Yako: Jinsi ya Kuheshimika Bila Maneno

    Jinsi ya kuongeza AURA yako (Define Aura As Ule Utulivu Wenye Nguvu Unaomfanya Kila Mtu Akuheshimu Na Kuhisi Uwepo Wako Bila Hata Wewe Kuongea Sana). 1. Ficha michongo yako, weka matokeo mezani. Kuropoka sana kuhusu mipango yako kunavuja nishati (energy) yako bure. Matokeo huwa yana sauti...
  16. JamiiForums Tanzania Sugu ukikubali kudhulumiwa haki ya ubunifu wa wazo lako kimuziki safari hii nitakushangaa sana. Bado nasubiri response yako kuhusu hili tamasha.

    Ukiachana na mambo ya siasa, Sugu ni genius kwenye mambo ya biashara ya burudani. Fast toward, mwaka 2004 Sugu aliandaa / aliratibu tamasha maalumu la kutoa elimu ya na malaria na UKIMWI kwa vijana kwa njia ya tamasha la muziki. Sugu alienda hadi Marekani zaidi ya mara moja katika harakati za...
  17. JamiiForums Tanzania Milioni 3 za mazishi yako zitapatikana haraka kuliko laki 3 za matibabu yako

    Milion Tatu za Maandalizi ya Mazishi Yako Zitapatikana Kwa Haraka Kuliko Laki Tatu za Mchango wa Matibu Yako. Jamii ya Leo Kuna Ndugu Yao Anaweza Kua Anapitia Kipindi Kigumu Sana Katika Matibabu Yake na Kupelekea Kuomba Msaada wa Pesa Ili Aendelee Kupata Matibabu Ajabu Ndugu Hao Watashindwa...
  18. JamiiForums Tanzania Leo Ndiyo Siku Yako

    "Kifo chako kitakuja siku ya kawaida, katikati ya mipango ambayo haijakamilika, na dunia itaendelea bila wewe. Hivyo basi, ishi kidogo." Kifo chako hakitakuja kwa tangazo au maandalizi maalum. Kitakuja siku ya kawaida kabisa, ukiwa katikati ya mipango ambayo bado hujakamilisha, ndoto ambazo...
  19. JamiiForums Tanzania Hebu Tuseme Ukweli, Ni Members Gani wapo Kwenye Ignore List Yako?

    Kila member wa JF ambaye amekaa hapa muda mrefu naamini kuna member mmoja au zaidi yuko kwenye ignore list yake... mimi huwa na-ignore mtu kwa sababu kujifanya ananijua sana...yaani mtu uliwahi ku post labda kwenu singida post ya mwaka 2017 huko ila mtu leo 2026 anakuja ku comment kwenye thread...
  20. JamiiForums Tanzania Je, Wewe Ni Overthinker? Jua Nguvu Yako Halisi

    Kama wewe ni overthinker basi una akili sana… Kama wewe ni overthinker, huenda hujui kuwa una aina fulani ya akili ambayo watu wengi hawana… Watu wengi wanapofikiria, wanaona kitu kimoja tu. Lakini wewe? Akili yako inaenda mbali zaidi. Unaweza kukaa kimya sehemu moja, lakini ndani ya kichwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…