yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. RSM Dominik

    JamiiForums Tanzania ANGEKUA NDUGU KAKA, DADA AU BABA YAKO UNGEJISIKIAJE?

    Nimeona habari ya vifo vya mahabusu na polisi waliopata ajali wakielekea mahakamani huko singida, na komenti nyingi mitandaoni wanashangilia haswa kwa kifo cha askari sasa nawasihi watanganyika muache masihara kwenye mambo yenye usiriaz nadhani akili zitawakaa sana yakiwakuta personal ktk...
  2. O

    JamiiForums Kenya Jirani akitupa duvet yako, unaruhusiwa kumwagia maji machafu nguo zake ambayo ameanika?

    Mzozo kati ya majirani umeibua mjadala kuhusu haki, mipaka na namna tunavyoshughulikia migogoro katika maeneo tunayoishi. Mwanamke mmoja amesimulia jinsi alivyokasirishwa baada ya jirani yake kudaiwa kutupa duvet yake mara kwa mara. Badala ya suala hilo kumalizika kwa mazungumzo, hali ilizidi...
  3. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania FUNGUA AKILI YAKO KIJANA ACHA KUZUNGUSHA MIKONO NA CHADEMA!,JAMAA WAPO KAZINI KWAO!,WEWE UNAZUNGUSHA TU.

    #Tanzania Kozi 8 Zinazolipa kwa Dola leo hii Bongo hakuna vyeti! 1. FUNDI WA MIGODINI (Mining Technician) - Geita, North Mara, Bulyanhulu wanalipa Dola 4,000 - 12,000 Watanzania tuna madereva tu. 2. URUBANI WA BALLOON - Dola 600 KWA SAA 1 (Hii ndiyo fursa kali zaidi!). 3. TOUR OPERATOR WA...
  4. bless on

    JamiiForums Tanzania Siri za Kioo: Je, Kinabeba Nafsi Yako?

    Imani ya kale zaidi duniani kuhusu kioo inasema hivi: Taswira yako kwenye kioo si picha tu. Ni sehemu ya nafsi yako. Katika tamaduni za kale, watu waliamini roho inaweza kujitenga na mwili na kuonekana kwenye maji yaliyotulia ama kwenye kioo. Kitu chochote kilichovuruga taswira hiyo...
  5. kamdinyo

    JamiiForums Tanzania First date yako ilikuwaje? Nini kilikushangaza?!

    Tulipanga siku, muda na hoteli ya kukutana, kama mnavyojua tena kunakuwa na hisia mchanganyiko, hamu ya kuonana, hofu na vitu kama hivyo. Siku ya siku nikajiandaa mapema nilifika saa nzima kabla ya muda tuliopanga kukutana ili kuweza kuyasoma na kuyazoea mazingira ya hapo. Sikujiandaa tu kwa...
  6. Dalali wa Mjini

    JamiiForums Tanzania Nipigie simu kama unauza Gari yako

    Habari wakuu. Kama unauza Gari yako itanunuliwa tu. au unataka kubadirisha Gari yako kwa Gari nyingine nipigie simu. Pia kama unarafiki yako anauza Gari nipigie simu tuokote pamoja. Aina ya magari yanayohitaji ni haya. (1) Subaru Non Turbo au Impreza. (2) Gari yoyote aina ya Toyota. (3)...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kumekuwa na uharibifu mkubwa wa mazingira jijini Mwanza na hivyo kuharibu uoto wa asili

    Mwanza ni jiji lililokuwa likivutia kwa mandhari yake ya kipekee ya miamba, vilima na uoto wa asili. Hata hivyo, katika miaka ya hivi karibuni kumekuwa na uharibifu mkubwa wa mazingira, huku hatua za kudhibiti hali hiyo zikionekana kuwa ndogo. Kutokana na ukuaji wa miji, maeneo ya vilima kama...
  8. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo mtiririko wa gundu unavyokufikia kupelekea utafutaji na amani ya maisha yako kuwa wa tabu sana

    Ushawahi jiuliza inakuwaje tajiri anahonga hadi nyumba mwanamke lakini mwanae akimuomba hata ps3 anakuwa mkali sana, Matajiri hutumia njia ya sex na mabinti wengi ili ku -extend energy ya utajiri wao wa giza. Sasa unakuta hawa mabinti wana kuwa carriers wa roho nzito na giza ndani yao...
  9. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Lema alipokutana na Heche jana alitikea Sea Cliff hotel au Arusha?

    Na walizungumza nini kwa mfano? Na mbona facial expressions na body language zao hazina chemistry ya pamoja na kwamba ni kama vile hakuna cha maana kilichojadiliwa miongoni mwao jana? au wewe umeobserve nini politically miongoni mwa mafahali hao wawili wanaokabiliwa na tuhuma za ufisadi na...
  10. N

    JamiiForums Tanzania AFCON 2027 Special Thread, Karibu utoe maoni yako

    NB: Nina Akili Ndogo Sana Nini kifanywe au kiachwe (kisifanywe) ili mashindano haya yafane? Karibu sana utoe maoni yako Mtanzania mwenzangu
  11. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Hauwezi kushindwa lolote unapokuwa peke yako: Jizoeshe kuingia ndani yako hauna mshindani wala cha kupoteza

    Maisha ya kuangalia Jamii inasema nini?, Dini inasema nini? Elimu inasema nini ni maisha ya kitumwa na yaliyojaa ushindani, hofu na mashaka. Ni maisha yanayolipa suala la kushindwa kipaumbele kuliko kushinda. Ni utumwa na gereza kuu dhidi ya uhuru wa mtu halisi. Mtu anapojirejelea yeye ndiyo...
  12. bless on

    JamiiForums Tanzania Mwanamke Sahihi ni Ulinzi wa Amani Yako waepuke hawa

    Kosa kubwa zaidi ambalo mwanaume anaweza kufanya katika ulimwengu wa leo siyo kufeli kibiashara, bali ni kumkaribisha mwanamke anayekuja kuharibu amani yake ya ndani. Maisha ya mwanaume ni uwanja wa vita wa kila siku; anapambana na uchumi, ushindani wa mtaani, na presha za jamii. Nyumba na...
  13. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Amka: Mungu hayupo mbali, yupo ndani yako acha kutia huruma kusubiria bahati.

    Je! Umechoka kuishi ukisubiria miujiza kutoka juu? Umekuwa ukiomba msaada kutoka kwa nguvu unayodhani ipo mbali nawe?⭕⭕⭕⭕⭕⭕ Ni wakati wa kufumbua macho yako sasa🚨 Ukweli wa ndani ni huu : Wewe si mtazamaji au muhanga wa maisha yako ila ni muumbaji.🗽 Ndani yako Kuna cheche ya uungu- Haupo...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kama kijana tabia gani inakufanya usifikie malengo yako?

    Wakuu, tupige stori kidogo Hivi Kama kijana ni Tabia gani inakufanya usifikie malengo yako?
  15. prida

    JamiiForums Tanzania Heche, kama Lema ana makandokando yako wakati sahihi wa wananchi kuyasikia ni sasa.Usibembeleze Lema asifanye press.

    Hiyo post ya Lema ya kuahirisha press inaonesha ni kweli anatishiaga kufanya press na hiyo post yake anamaanisha Heche kambembeleza kwa hotuba ndo mana akaahirisha na hiyo kusema ameahirisha ni KITISHO kuwa wakimzingua anaita press anamwaga uharo wa Heche sababu Lema inaonesha kabisa hampendi...
  16. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Maridhiano kati ya Serikali vs CHADEMA: Uzuri na upogo wa maoni ya ndugu huyu kule X-Twitter. Soma, Kisha toa maoni yako

    ================= (Full text from @EsirEid X-Twitter copy & paste) KWA NINI NAUNGA MKONO MARIDHIANO KATI YA SERIKALI NA CHADEMA? Wengine wanauliza: “Kwa nini unaunga mkono maridhiano? Mbona tumepambana mpaka hapa?” Kwanza, tusidanganyane kuhusu tulikotoka. Lissu aliwekwa kizuizini hata kabla ya...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Janeth Rithe: Sasa hivi ukiingia kwenye siasa ujikane tu nafsi yako, kuna watu wamejifunza kuua na sisi tunatakiwa kujifunza kufa

    Akizungumza katika mahojiano na M & S Podcast yaliyorushwa Septemba 9, 2026, Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake wa Chama cha ACT-Wazalendo, Janeth Rithe, ameeleza kuwa mazingira ya sasa ya kisiasa nchini yanahitaji viongozi wenye kujitolea kama "sadaka" kuwa tayari kufa ikiwa una dhamira ya kuwa...
  18. Gospel KTV

    JamiiForums Tanzania Maisha Yako bila Yesu yatakua Magumu sana lazima Kuna Siku Utapotea

    Unaweza ukaona kama una akili nyingi ukadhani huhitaji msaada wa Yesu. Unaweza ukaona una pesa nyingi sana hivyo ukadhani humhitaji Yesu. Maswali je unayo furaha ya kutosha, unayo amani ya kutosha? Unao upendo wa kutosha? Je unao uvumilivu na ustahimilivu wa kutosha? Unamhitaji Yesu ndugu...
  19. Barakha John

    JamiiForums Tanzania Ukitumia Simu Hizi 7 Utatupa Hiyo Iphone, Pixel au Samsung Yako

    UZI …. Wakati naanza kazi ya kuuza simu mwaka 2021 , kuna kitu kilinishangaza kidogo … Wabongo wengi wakija dukani walikuwa wanaulizia sana Samsung , Iphones , Pixel , Tecno , Infinix lakini hali hii ilikuwa tofauti kwa wageni …. Kivipi ?…. Idadi kubwa ya Wachina n Wahindi sana sana na...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Kihampa na TCU yako

    I would like to raise a matter that I believe deserves serious reflection within the Commission’s responsibility for ensuring and maintaining quality in Tanzania’s universities. Professor, as TCU continues to emphasize quality assurance in higher education, have you ever asked yourself whether...
Back
Top Bottom