yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. Gospel KTV

    JamiiForums Tanzania Ipo Siku Kiu yako Ya Anasa itaisha ila Utakua Umechelewa

    IPO SIKU KIU YAKO YA ANASA ITAISHA, ILA UTAKUWA UMECHELEWA Andiko kuu: Luka 15:11–24 Andiko la kutafakari: Mhubiri 12:1 Kuna wakati mwanadamu anaweza kuona maisha kama hayana mwisho. Ana nguvu, ana muda, ana marafiki, ana fedha au ana matumaini ya kupata fedha. Anaweza kutamani starehe, sifa...
  2. chumanile

    JamiiForums Tanzania Tuambie majina yako ya utani tukujue wewe ni wa kishua au mtoto wa kitaa

    Members. KILA MTU ana maisha Fulani ivi ameyaishi. Katika ukuaji wake. Tukiwa bado wadogo tuna jishepu kutokana na maisha HALISI ya kwenu na wazazi wetu. Mimi binafsi nimeisha maisha ambayo ata ukiniambia niyarudie sito kubali. Nimeisha katika MAZINGIRA magumu mno, KIASI Cha kujitegemea nikiwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tuambie hali ya mahusiano yako kwa kutumia kipande cha wimbo

    Kwa upande wangu mimi kipande cha wimbo kinachoelezea mahusiano yangu hiki: May be this love not for me........ I'm single....I'm Single again by Konde boy Wewe Je?
  4. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Namna neno la Mungu kutoka kwenye Biblia linavyoweza kukupa MAARIFA kwenye maisha yako

    Mimi namwamini Mungu katika Yesu kristo na President ambitionist 𝑺𝑰𝑵𝑨 𝑲𝑨𝑵𝑰𝑺𝑨 𝑯𝑼𝑫𝑼𝑴𝑨 𝒀𝑨𝑵𝑮𝑼 𝑵𝑰 𝑶𝑵𝑳𝑰𝑵𝑬👉🏿 𝑵𝑨𝑺𝑯𝑨𝑹𝑬 𝑵𝑬𝑵𝑶 𝑳𝑨 𝑴𝑼𝑵𝑮𝑼 𝑵𝑨 𝑾𝑨𝑻𝑼 𝑶𝑵𝑳𝑰𝑵𝑬 𝑳𝑰𝑾𝑬𝒁𝑬 𝑲𝑼𝑾𝑨𝑷𝑨 𝑵𝑮𝑼𝑽𝑼 𝒀𝑨 𝑲𝑼𝑬𝑵𝑫𝑬𝑳𝑬𝑨 𝑲𝑼𝑷𝑨𝑴𝑩𝑨𝑵𝑨 𝑲𝑾𝑬𝑵𝒀𝑬 𝑴𝑨𝑰𝑺𝑯𝑨, 𝑴𝑩𝑰𝑵𝑼 𝒁𝑨 𝑲𝑰𝑭𝑰𝑲𝑹𝑨 (𝑴𝑨𝑨𝑹𝑰𝑭𝑨) 𝑵𝑨 𝑴𝑰𝑼𝑱𝑰𝒁𝑨 𝙒𝙖𝙚𝙗𝙧𝙖𝙣𝙞𝙖 4:12 𝑀𝑎𝑎𝑛𝑎 𝑁𝑒𝑛𝑜 𝑙𝑎 𝑀𝑢𝑛𝑔𝑢 𝑙𝑖 ℎ𝑎𝑖, 𝑡𝑒𝑛𝑎 𝑙𝑖𝑛𝑎 𝑛𝑔𝑢𝑣𝑢...
  5. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Kiswahili Kigumu!: Kitu Kikiwa Chako Peke Yako, Ndio Chako, Kikiwa Chako na Wengine, Sio Chako, ni Chenu, ana Akiwa Mtu Sio Wake ni Wao!.

    Wanabodi, Lugha ya Kiswahili japo ni lugha rahisi na Kiswahili fahasa ni kigumu, na moja ya masomo magumu kupata alama ya A enzi zetu, lilikuwa ni somo la Kiswahili. Matokeo yangu ya form 4, nimepata A 2, ya somo la Siasa na somo la Kiswahili, hivyo mara moja moja, ikitokea kuna makosa madogo...
  6. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Acha Yaliyopita, Ishi Sasa: Jenga Kesho Yako

    Wakati mwingine tunashindwa kupata amani katika maisha ya sasa kwa sababu akili zetu bado zinaishi kwenye yaliyopita. Kuendelea kurudia yaliyotokea, au kujuta hakubadilishi matokeo; kunachukua tu muda na nguvu ambazo ungeweza kuzitumia kujenga maisha yako ya leo na kesho. Kuachilia yaliyopita...
  7. Website Tanzania

    JamiiForums Tanzania Nitakupatia domain name na kukutengenezea email ya kampuni au biashara yako kwa 50,000 tu

    OFFA YA LEO TU. Sasa unaweza kuiipatia email ya kampuni yako au biashara tako rasmi kwa Tsh.50,000 tu. achana na gmail.com bali utapata domain kama biasharayako.co.tz na email tako rasmi yaani info@biasharayako.co.tz. wahi sasa offa hii ni kwa wateja 5 tu. Email yako utaipata ndani ya masaa...
  8. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Usiruhusu Shida Kuungana Dhidi Yako

    "Usifanye kosa la kuruhusu shida ziungane dhidi yako, hakikisha shida haziwi na umoja, zifitinishe, zigonganishe na zichanganye kiasi kwamba badala ya kuhangaika na wewe zihangaishane zenyewe kwa zenyewe ili wewe upate muda wa kufurahia maisha katikati ya shida moja na ingine."
  9. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mwanmke usilinganishe ndoa yako na ndoa za wengine

    Kila ndoa ina hali na mazingira yake, hivyo mwanamke hapaswi kupima maisha yake kwa kulinganisha na yale anayoyaona kwa wengine
  10. online GOVT applications

    JamiiForums Tanzania MEGA THREADS: OKOA MUDA NA PESA YAKO: Acha Mimi Nikufanyie Maombi Yote ya Serikali

    Habari Wakuu, Umechosha na foleni? Umechoka na mfumo unakwama? Umejaribu kujaza maombi lakini umekwama katikati? Usijali tena. Nipo hapa kukupa suluhisho la haraka, la uhakika na la kitaalamu kwa huduma zote za serikali na kitaaluma mtandaoni. Kazi yangu ni kuhakikisha unapata huduma yako kwa...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Je, ni salama kuanzisha mapenzi na rafiki yako wa karibu (Best Friend)? Shuhuda na Changamoto zake

    Wakuu salama, Kuna hili suala limekuwa likinitofautisha sana mawazo na marafiki zangu, nikaona si vibaya tukaleta hapa jukwaani ili tupate uzoefu wa pamoja na kubadilishana mawazo. Wote tunajua kuwa urafiki wa dhati ndio msingi mkuu wa mahusiano yoyote imara ya kimapenzi yanayodumu. Lakini...
  12. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mimi nafikiri wewe mshabiki wa man utd mwenzangu tuachane na matumaini tena, ili kulinda afya yako ya akili achana na kujipa moyo tena.

    Usiishabikie man utd kwa moyo kama ule uliokuwa nao kipindi cha fergie. Its over.
  13. Website Tanzania

    JamiiForums Tanzania Jipatie website ya kampuni yako au biashara yako kwa 120,000 tu

    Tour & Safari Companies Hotels & Resorts Lodges & Camps Travel Agencies Real Estate Companies Property Developers Construction Companies Architecture Firms Engineering Companies Law Firms Accounting & Audit Firms Insurance Companies & Brokers Banks & Financial Institutions Microfinance Companies...
  14. murthehelp

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Makamu wa Rais mpya, Mhe. Deogratius Ndejembi - safari yako inaanza, haya ni maoni yangu

    Wakuu, kama tunavyofahamu, hivi karibuni tumeshuhudia mabadiliko makubwa katika uongozi wa juu wa nchi yetu baada ya Dkt. Emmanuel Nchimbi kujiuzulu wadhifa wa Makamu wa Rais, na Bunge kumthibitisha Mhe. Deogratius John Ndejembi, aliyekuwa Waziri wa Nishati, kuwa Makamu mpya wa Rais. Ndejembi...
  15. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Linda Attention Yako: Usiwanufaishe Wengine!

    Kama Usipojifunza kuchunga attention yako au nini cha kuzingatia na nini cha kukipuuza , watu wengine wataitumia attention yako kutengenezea utajiri wao .
  16. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Haujafa leo kwa sababu haujafa leo, hakuna cha sijui haukuchaguliwa, mara siku yako haijafika ama haikuwa kwenye mipango

    AFYA DHAIFU UZEE AJALI KUULIWA KUJIUA AGENTS KAMA SUMU, TOXICITY hivi ndio visababishi vya vifo. Hakuna mwenye uwezo wa kukutumia kifo, hakuna roho yoyote ya kifo inayokuita. Hakuna aliepangiwa siku ya kufa, hakuna cha umependwa sana ndio maana umeenda, hakuna cha kuwa umelaaniwa sasa...
  17. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Usifungwe na historia yako

    Hakuna kitu watesi wanakipenda kama historia. Utahukumiwa kwa maamuzi na maisha uliyoishi jana. Utatiwa unyonge kwa historia yako mwenyewe uamini kuwa maisha ya jana hayabadiliki na ukishakosea ndio basi. Watesi huamini nyakati haziwabadilishi watu. Ulivyokuwa nyakati hizo ndivyo utakavyoendelea...
  18. Surya

    JamiiForums Tanzania Dalili mbili kuwa hatima yako ni kuwa Mtu Mkubwa na mkuu (Greatness)

    First, You never fit in Hujawahi kuendana na makundi au mifumo ya kawaida. Tofauti yako ndio alama ya ukuu wako. Ukijiunga na watu kwa jambo lolote wenzio watakua hawakuelewi na wewe huwaelewi, fikra zako ziko mbele ya muda ndio sababu. wanayoyapenda wengine wewe sio habari hata kidogo...
  19. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania LAMINE YAMAL, NAOMBA msikilize walau Ally Nipishe na Fraser, kuhusu wanawake utajifunza kitu, anachomaanisha baba yako

    Mawazo kina yametawala kichwa changu, ila uwezo Sina kulitawala jicho langu, Hii ni baadhi ya mistari kutoka Kwa ally nipishe kijana alie wika sana enzi hizo, huyu dogo alipata masala, Iko hivi, baada ya dogo kuwika sana, alipata limama inasemekana ni la kizanzibari, huyo mama akaingia kwenye...
  20. Equation x

    JamiiForums Tanzania Jaribu, kutathmini IQ yako

    Mtu yeyote mwenye IQ kubwa ndani ya miaka 10 aliyoajiriwa, inamtosha kabisa kuwa amejiajiri. Itakuwa ni ajabu, una zaidi ya miaka 10 kazini, na umeshindwa kujiajiri. Hii inatafsiri, IQ yako iko chini. Jaribu, kutathmini IQ yako.
Back
Top Bottom