yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Chunga sana mtu asilie kwa ajili yako

    Sio mapenzi, sio pesa sio Nini, jitahidi sana chozi la mtu lisidondoke wewe ukiwa chanzo. Una umiza hisia za mtu au watu, unajitapa we bingwa wa kuumiza watu kwenye mapenzi, una dhutumu una ibia watu una ua watu wanao tegemewa na familia zao, kisa pesa au kisa uonekane mzuri sana. Una kutana...
  2. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Wanasema kila nchi huwa ina mangenge ambayo yako nyuma serikali yenyewe Ndo yanaenesha USA na ISRAEL

    Najua wengi mnafahamu kwamba Israel wana endesha Rais wa USA kuna madoni yameweka system mkononi sema ya kule yanakula na Wananchi ya kwetu Afrika ni kausha Damu GUPTA na SA
  3. M

    JamiiForums Tanzania Huwa unatumia nini kuifanya nyumba yako iwe na harufu nzuri?

    Wakuu kila nyumba ina harufu ambayo wakazi wameizoea na kuhisi kawaida, ila mgeni ukiingia ndio utaiskia kama ni nzuri au mbaya, iwe ya marashi au uvundo. Kuna nyumba zinanukia vizuri sana, harufu murua sana hutatamani kutoka ukiingia. Kuna njia za Kiasili ambazo wengine hutumia kwenye nyumba...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Kesho (Tomorrow) and jana( yesterday) havipo, unavitengeneza tu kwenye akili yako

    Habari wanajf, kila siku huwa na sema hapa jf. Na leo nitasema kwa mara ya mwisho "ishi sasa (Now) hayo mambo ya kesho ,yatajipambania yenyewe". Matatizo ,maumivu ,na shida zote sio za lazima(unnecessary). Ni kwa sababu hukubaliani na wakati wa sasa (now),kwa sababu wakati wa sasa(now) mara...
  5. Dr leader

    JamiiForums Tanzania Mizigo yako unampa nani?

    MZIGO MZITO UNAMPA MPAGAZI, JE WA NDANI UNAMPA NANI? mzigo mzito mpe Mnyamwezi, Kwa sababu ana uwezo wa nguvu za mwili. Mzigo wa akili hakuna wa kukubebea Na huo ndio mzigo unaochosha kuliko anaoubeba Mnyamwezi. Huu hauonekani… lakini unakula nguvu kila sekunde. Chuki. Maumivu ya...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Tumia haya maneno Manne kwenye matangazo yako ili kuwashishi wateja wako wachukue hatua fulani

    Kwenye Uzi uliopita niliandikia neno Moja tu la kutumia ili kuwashishi wateja wako wachukue hatua unayoitaka kwenye Matangazo Yako Either iwe kupiga simu, kuboyfa link, kuweka order,kujaza fomu ya Mananuzi,kununua Bidhaa zako nk LAKINI Leo nitamalizia maneno mengine matatu ya kuyatumia...
  7. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kushuhudia mazishi yako ndotoni

    Kuota unashuhudia mazishi yako mwenyewe ni ishara ya wazi kuwa umenaswa kwenye rada za ulimwengu wa uchawi, ambapo wachawi na washirikina wanatumia madhabahu zao za giza kuratibu ukomo wa maisha yako kiroho na kimwili. Katika ulimwengu wa uchawi wa usiku, ndoto hii inaashiria kuwa nyota yako...
  8. Kitomai

    JamiiForums Tanzania Kama ungepewa Tsh 500 Million leo, ungewekeza kwenye nini?

    ❓ Kama ungepewa Tsh 500 Million leo, ungewekeza kwenye nini? 🏡 Ardhi 🏢 Apartment 🏠 Nyumba 🏬 Commercial Property Tuambie chaguo lako kwenye comments au WhatsApp. 👇 📞 0784 225 000 Kayinga Properties – Turning Opportunities into Investments. ✨
  9. Kitomai

    JamiiForums Tanzania Wekeza leo, Jenga kesho yako!

    Ardhi haiongezwi duniani, ndiyo maana uwekezaji wa ardhi na nyumba unaendelea kuwa chaguo bora. Fanya maamuzi sahihi leo kwa ajili ya mustakabali wako na wa familia yako. Uwekezaji wa mali isiyohamishika ni njia mojawapo ya kujenga utajiri wa kudumu. ✨ Jumamosi njema kutoka Kayinga...
  10. Kitomai

    JamiiForums Tanzania Geuza ndoto yako kuwa Anwani yako ya kweli!

    Jumamosi njema! Kila uwekezaji mkubwa huanza na uamuzi mmoja sahihi. Leo inaweza kuwa siku yako ya kupata nyumba au kiwanja cha ndoto zako. 📍 Viwanja vya Uwekezaji 🏠 Nyumba za Kupanga na Kuuza 🏢 Apartments na Commercial Properties 💼 Ushauri wa Uwekezaji wa Real Estate 📞 Piga Simu au WhatsApp...
  11. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Kama TIN number Yako inadaiwa inaweza kukuzuia kurenew Leseni ya Udereva?

    Wakuu habari. TIN number Yangu inadaiwa 2m deni la biashara na chombo Cha moto. Sasa Leseni Yangu inaenda kuexpire mwezi ujao tarehe Moja. Swàli langu je madeni Yangu yanaweza kuwa kikwazo Cha mimi kushindwa kurenew Lesen. Je Tax clearence certificate inahitajika?? Naomba muongozo Ahsante
  12. D

    JamiiForums Tanzania Usipitishe pesa yako yoyote NBC. Pesa inakaaje week nzima haifiki kwenye account

    Kichwa kinajieleza. Kama unapokea pesa yeyote kutoka Absa, Equity and the likes ya hizi bank zisizoshindana kutoa gawio serikalini, usipitishe hela yako NBC, They don't even know what they are doing. Pesa inakaaje week nzima haifiki kwenye account kutoka kwenye account ya internal ya hizo bank...
  13. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Demokrasia si kwa ajili yako na mimi. Ni mfumo wa kuwaserve elites.

    Mfumo wowote wa utawala huwa unawekwa na watu walioshika uchumi. Upo kuwaserve walioshika uchumi. Kabla ya ubepari kulikuwa na ukabaila. Kwenye ukabaila kunakuwa na mabwana(feudal lords/aristocrats) na watwana(serfs). Mabwana huwa wanamiliki eneo kubwa la ardhi. Wanawapangishia watwana maeneo...
  14. Desierto

    JamiiForums Tanzania Vipi umeshawahi kuharibu kitu cha rafiki yako? Mlimalizanaje?

    yaani unaachiwa kitu na rafiki yako mfano laptop mara inakuzimikia na bahati mbaya kuna vingine hata ukipeleka kwa fundi havifai tena kutibika au spea unakosa. hapo ni mawili ulipe pesa au urafiki pia ufe mazima. mm kama mimi sinaga tabia ya kulipisha mtu kitu. iliwahi nitokea nimenunua...
  15. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Je, unafahamu Credit Report yako? Taarifa yako ya UKOPAJI?

    Habari za wakati huu; Kwa wafanyabiashara na wawekezaji,kukopa ni sehemu ya ya kawaida kabisa ya maisha.Hata hivyo kuna wakati kwa kujua au kutokujua tunaonesha tabia ambazo zinaathiri uwezo wetu wa kukopa na wakati mwingine kutufanya tusikopesheke kabisa. Kwa mujibu wa sheria ya usimamizi wa...
  16. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Kwaheri Irene, nyuma yako mbele yetu, Innalillah Wainna Illah Rajuun, tusipuzie wanaotaka msaada na kuita matapeli

    Humu jf Kuna watu wana roho ngumu na mbaya sija pata kuona eti hadi I'd za kike, dah. Kipindi Fulani nilitukanana na jamaa humu, Kuna mtu alitaka msaada, jamaa akaanza kumita tapeli nikamvaa nikamwambia bro kama una wasiwasi usitoe sio uwe chanzo cha wengine kutotoa. Mapema majuzi nilikua...
  17. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Karibu sana Peter Msigwa, Roho yako ni Hai kwa CHADEMA, ila Mwili ndio Ulikua Dhaifu! Akili, Uwezo, Ubunifu, Busara zako sio za kukaa CCM, Pole sana!!

    Kwa Peter Msigwa, Akili, Uwezo, Ubunifu wake ndani ya CCM Ulikua ni 'Umefungwa'. Peter Msigwa nayemfaham yeye hawezi kaa kuvumilia Watu watekwe, Kuuwawa, Kusumbua Kanisa, Kufunga wapinzani Kufungia Chama , Maisha ya Mtanzania kua Juu, Gharama kupanda ,huku Mafisadi wachache wakijineemesha ...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Hadhi ya Mwanza na majiji mengine ipo wapi? Tukisema hizi ni dharau tunakosea? Bajeti na mikopo ni kwajili ya miradi ya Dar na Dodoma?

    MIRADI YA MIUNDOMBINU YA MAJIJI – BAJETI YA MWAKA 2026/27 1. JIJI LA DAR ES SALAAM BRT na Maboresho Makubwa ya Barabara I. BRT Awamu ya 3: Maktaba – JNA – Gongolamboto (km 23.3) II. BRT Awamu ya 4: Maktaba – Morocco – Mwenge – Tegeta pamoja na Mwenge – Ubungo (km 30.1) III. BRT Awamu ya 5...
  19. papag

    JamiiForums Tanzania Pastor Neema anaeleza kwa uwazi matumizi ya sadaka zinazotolewa kanisani, Nini maoni yako?

    Habari wakuu? Je kwa muktadha huu ni nini maoni au ushauri wako? Karibuni Pastor Neema anaeleza kwa uwazi matumizi ya sadaka zinazotolewa kanisani, akisisitiza kuwa sadaka hizo haziendi mbinguni wala hazichukuliwi na malaika, bali zinabaki hapa duniani kwa ajili ya kuendeshea shughuli za...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Showcase za kuhamishika. Nipe oda boss nkutengenezee yako

    showcase za kuhamishika.. boss wangu hizi showcase zinabadili kabisa muonekano wa seble yako.. seble yako inakuwa 🔥🔥 boss wangu ww jiamulie mambo tu😁 kwa kunipa oda nkutengenezee showcase yako.. tupo dar mbagala 0692477610
Back
Top Bottom