Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).
Kama ulikua hujui kuwa TABIA YAKO inaendana na HERUFI YA KWANZA YA JINA LAKO wacha nikufahamishe;-
Unaweza ukabisha lakini huo ndio ukweli,
Nakwa kuthibitishia hilo admin wa group hili la Maajabu Ya Dunia ,
Nimefanya utafiti wa kutosha na kugundua haya yafuatayo,
Utafiti huu...
Akili Bandia (Artificial Intelligence - AI) haijaja na bunduki wala vita vya wazi, bali imeingia taratibu kupitia vioo vya simu zetu. Wakati wengi wakisherehekea urahisi unaoletwa na AI, kuna mabadiliko ya kimya kimya yanayotokea kwenye ubongo na maisha yetu ya kila siku:
1. Inaua Uwezo wa...
Man to Man , sio kila wknd lazma utoke na Masela sometimes tuliza mbupu kwa mke wako mpange mipango ya maisha na ku have fun kuna watu hawana muda kabisa na familia zao au hata kukaa na watoto
Hello business professionals,
mteja amelipia huduma kiasi cha Tsh milioni 1 ili afanyiwe kazi na akabidhiwe kazi yake Jumanne Tarehe 28/7/2026
Ghafla tu anapiga simu anaihitaji hio hela amepata dharura
Nifanyeje kuweka sawa hili swala?
Process za kazi yake zinaanza saa 11 jioni leo.
IPhone ni EYEPhone = inakuangalia
SmartTV ina uwezo wa kukurekodi ... haijaitwa smart bure
AI inatangazwa kutusaidia... ivi wenye GMAIL umeshagundua AI inasummarise email zako? manake inazisoma. Kote tunakowasiliana INSTAGRAM, WHATSAPP sasa AI imerahisisha kutufuatilia
* kuwa mtu wa kucheki...
Huhitaji tena:
(i). Kupoteza siku nzima foleni
(ii). Kutumia gharama za usafiri kwenda Dar es Salaam au Mwanza
(iii). Kuchanganyikiwa na taratibu ngumu za makaratasi
Sisi tunakusaidia hatua zote, kuanzia jina la kampuni, hati za usajili, TIN, hadi cheti chako rasmi cha BRELA vyote vikifanyika...
Wengi huwa wanajidanganya, kwa kusema fulani ni rafiki yangu wa katika shida na raha. Na wengine mpaka wanaitana shoga yangu n.k
Ila ukweli ni huu; wote ni wasaka fursa, ila kwa sasa mnapeana tu kampani za kupunguza machungu ya kuungua na jua la utosi.
Unafikiri huyo unayemuita rafiki yako wa...
Kwa mtu ambaye maisha yake hayana utulivu au hayana ratiba maalumu, Belgian Malinois mara nyingi si chaguo sahihi.
Kwa nini?
1. Anahitaji mazoezi mengi sana. Si kutembezwa dakika 20 tu ukaona inatosha. Mara nyingi huhitaji saa 1–2 au zaidi za mazoezi makali na shughuli za akili kila siku.
2...
Kuna mabinti wanajiheshimu sana hata ile namna ya kumfuata kumtongoza huwezi ipata kabisa na mara nyingi huwa wamenyooka katika maongezi yao
Kuna mmoja nakutana nae kwenye mitikasi yangu na namjua pia, hadi sasa hana mtoto wala hajaolewa kimuonekano ni mtu wa 1980s hivi huwa najiambia ningekuwa...
Katika Kombe la Dunia 2026, maelfu ya picha zimeonyesha matukio makubwa, furaha, huzuni na kumbukumbu ambazo zimebeba hadithi za mashindano haya na kila picha ina simulizi yake.
Je, Biashara Yako Ina Social Media Accounts Lakini Hazileti Wateja?
Au upo busy na unahitaji mtu wa kukusaidia kumanage social media accounts zako??
Habari wakuu,
Leo kuwa na Instagram, Facebook, TikTok au LinkedIn account pekee haitoshi. Kinachotofautisha biashara zinazokua na zinazobaki...
Uliwahi kugundua kuwa kuna siku unaamka ukiwa na furaha na amani tele, lakini ghafla baada ya saa chache labda kwa sababu ya neno moja dogo uliloambiwa, au wazo moja tu baya lililopita kichwani unajikuta unadondokea kwenye giza nene la hasira, huzuni, au unyonge ?
Hiyo hali haitokei kwa bahati...
Simu yako inaweza kuwa kifaa cha kukuungizia pesa, lakini kwa sasa ndio adui mkubwa anayefuta ndoto zako taratibu bila wewe kugundua. Unacheka nayo kila sekunde huku ikinyonya muda wako. Angalia mambo haya matano unavyojiua kiuchumi na kiakili:
1. Usumbufu wa milio ya meseji
Simu inalia kila...
Mwanamke aliyefahamika kwa jina la Josephine David anadaiwa kuwa mwathirika wa mtego wa ajira bandia uliolenga kumshawishi kufanya vitendo visivyohusiana na kazi aliyoahidiwa, kabla ya kuchafuliwa jina kupitia mitandao ya kijamii baada ya kukataa matakwa ya mtuhumiwa.
Kwa mujibu wa taarifa...
Kama Kuna kitu hujawahi kukigundua kwa muda mrefu basi ni hii👉 "Namna picha ya profile yako inavyokuelezea wewe ni mtu wa aina gani ndani na nje ya mitandao ya kijamii."
Hata hapa jamiiforums kabla yakusoma hoja ya mtu, kabla hujaangalia mada zake, na hata kabla hujajua yuko upande gani wa...
Sio uwongo yani kama wazazi na mliopo hapa jifunzeni kukabiriana na roho za hapa.
Wamewamaliza sana T.O wa tanzania wengine wakawa wanafundisha twisheni na wengine wakaishia kuchekwa na wasio soma.
Kuna dogo hapa mzazi wake aligundua mtoto wake sio level hii nchi ,kwa uwezo wake aliona bora...
Leo ni siku nyingine ya mapambano, na unahitaji kila tone la nishati (energy) na utulivu wa akili ili kufanikisha mipango yako. Lakini kumbuka, watu unaoruhusu wasogee karibu yako wanaweza kukupa mzuka wa kupambana au wakakunyonya nguvu zote ukabaki na unyonge kama simu yenye chaji 2%.
Kama...
Kuna mambo mengine sio kila kitu wafahamu maana vyengine watanzania wanaona ni kama wao bado wapo kwenye zama za nyani walivyo aminishwa na CCM kwa karne hii.
Server zangu nyumbani kwenye mfumo wa internet imeharibu biashara zangu kupitia API nilizounganisha kwa wanaofahamu alafu unaombwa...
Habari Mjasiriamali,
Karibu kwenye Episode 2 ya Business Compliance series" na Leo tunaongelea"Beneficial ownership"
Kila Kampuni Ina wajibu wa Kusajili beneficial owners ndani ya siku 30 baada ya Kusajili Kampuni.
Hili ni takwa la kisheria ambalo kila Kampuni inalazimika kulifuata kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.