yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania LAMINE YAMAL, NAOMBA msikilize walau Ally Nipishe na Fraser, kuhusu wanawake utajifunza kitu, anachomaanisha baba yako

    Mawazo kina yametawala kichwa changu, ila uwezo Sina kulitawala jicho langu, Hii ni baadhi ya mistari kutoka Kwa ally nipishe kijana alie wika sana enzi hizo, huyu dogo alipata masala, Iko hivi, baada ya dogo kuwika sana, alipata limama inasemekana ni la kizanzibari, huyo mama akaingia kwenye...
  2. JamiiForums Tanzania Jaribu, kutathmini IQ yako

    Mtu yeyote mwenye IQ kubwa ndani ya miaka 10 aliyoajiriwa, inamtosha kabisa kuwa amejiajiri. Itakuwa ni ajabu, una zaidi ya miaka 10 kazini, na umeshindwa kujiajiri. Hii inatafsiri, IQ yako iko chini. Jaribu, kutathmini IQ yako.
  3. JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Drafti la kibongo tukutane hapa. Uje na copy yako uambulie kichapo

    Salaam, Wakuu tukutane kijiwe cha drafti hapa: Kama kawaida mimi nipo kijiweni. Game langu ni dakika tatu (3) zikizidi tano (5) tu sitaki anayesinzia. Ingia hapa create akaunti yako dakika moja chap kisha tuanze mtanange. https://www.playok.com/en/tzdraughts/#
  4. JamiiForums Tanzania "Constituency" Yako Ndiyo Siri Kuu ya Mafanikio ya Shirika Lako

    Shirika lolote lisilo la kiserikali (NGO au Nonprofit), kufanikiwa katika utafutaji wa rasilimali fedha (fundraising) mara nyingi hutokana na kuomba fedha kwa watu sahihi. Kimsingi, fundraising yenye tija inahitaji uelewa wa kina na wa kimkakati wa "constituency" yako au kundi la watu wenye nia...
  5. JamiiForums Tanzania Mwanasiasa anachekesha Kama sio ndugu yako

    Hawa wanasiasa wanacheke Kama sio ndugu zako dadeki Cheki hizi sauti mbuzi 🤣🤣
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni mhitimu wa digrii au diploma ya kodi na bado hujapata ajira wala fursa ya kupata uzoefu wa vitendo, taarifa hii ni kwa ajili yako.

    HALA TAXPRO LAUNCHPAD Programme imeandaliwa mahsusi kwa ajili yako. Ni programu ya kukuongezea ujuzi na uzoefu wa vitendo katika taaluma ya kodi, na haitakugharimu ada yoyote ya mafunzo. Awamu ya kwanza ya programu itahusisha wahitimu 15 pekee, kulingana na idadi ya vitendea kazi vilivyopo...
  7. JamiiForums Tanzania Vijana, thamani yako haipimwi na kiasi cha pesa ulichonacho. Usikubali kuingizwa kingi na wanawake

    VIJANA, THAMANI YAKO HAIPIMWI NA KIASI CHA PESA ULICHONACHO. USIKUBALI KUINGIZWA KINGI NA WANAWAKE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Vijana wengi leo wanaishi chini ya shinikizo kubwa ili kuthibitisha thamani yao kupitia pesa. Unaambiwa bila pesa huwezi kupendwa, kuheshimiwa au kuwa mwanaume...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo sababu ambazo hupelekea wakati mwingine umeme kukatika katika

  9. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kwa maisha ya zamani sasa hivi tungemsoma kama Nabii mkubwa

    Hamjambo! Bila kuwa na maneno mengi. Ni hakika katika nchi yetu kama ingekuwa zamani basi leo hii tungekuwa na Nabii aitwaye Tundu Antipas Lissu. Anatimiza vigezo vyote vya kuwa Nabii. Nimewasoma kina Daniel, Ezekiel, Kina Yeremia, kina Isaya na wengineo. Kwa mambo anayoyafanya Lisu ni wazi...
  10. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa Nini Hutakubaliwa Kupiga Picha Ballot Paper Yako 2027? IEBC Yaeleza

    Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imefafanua kwa nini wapiga kura hawataruhusiwa kupiga picha ya ballot paper baada ya kuweka alama kwa mgombea wanayemtaka katika Uchaguzi Mkuu wa 2027. Kamishna wa IEBC Ann Nderitu amesema hatua hiyo inalenga kulinda moja ya misingi muhimu ya uchaguzi...
  11. JamiiForums Tanzania Kama ulisoma Biology na unaamini kitimoto ni haramu kwa sababu hacheui, nenda kadai ada yako tu kilaza mkubwa wewe

    Tuchukulie mbuzi, huyu ana matumbo 4, haya yanamuwezesha kula na kuhifadhi chakula, ndio maana unaweza kumkuta mbuzi sehemu haina majani lakini anatafuna. Maana yake alikula majani mapema lakini hakuyameza moja lwa moja akayahifadhi katika tumbo la akiba kisha BADAE ANARUDISHA MDOMONI ANATAFUNA...
  12. JamiiForums Tanzania Tangaza biashara yako bure kwenye tovuti ya Tanzapages

    Orodhesha Biashara Yako 🚀 Je, biashara yako inaonekana mtandaoni? Maelfu ya wateja hutafuta bidhaa na huduma mtandaoni kila siku nchini Tanzania. ✅ Sajili biashara yako kwenye Tanzapages ✅ Ongeza mwonekano wa biashara yako ✅ Fikia wateja wapya ✅ Onyesha bidhaa na huduma zako Anza kukuza...
  13. JamiiForums Tanzania Muonekano wako ni kama unavokula... Pia akili yako ni kama unavoilisha

    Ule msemo wa wadhungu 'you are what you eat' ni kweli kabisa... muonekano na afya yako vinaendana na tabia zako za kula - espesheli aina ya vyakula unavokula. ukila haraka haraka bila kutafuna vizuri unaingiza mabonge tumboni, hivyo tumbo na mwili vyatumia nguvu kubwa kusaga, na labda kushindwa...
  14. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupangilia chumba au sebule yako bila gharama:

    Watu wengi wanaamini kuwa ili uwe na sebule au chumba kinachovutia kama picha za kwenye mtandao, lazima utumie mabilioni ya fedha kununua samani za gharama. Ukweli ni kwamba, siri ya muonekano wa kisasa na wa kifahari (cozy vibe) ipo kwenye mpangilio, rangi, na vitu vidogo vidogo. Kama unataka...
  15. JamiiForums Tanzania Angefanya babu yako kule mbozi au Namanyere angeambiwa mchawi

    Picha inajieleza Taikuni la kuwastua wanaotapeliwa kiimani hasa wakristo Kubwa la Maadui
  16. C

    JamiiForums Tanzania Ijue calendar yako

    Calendarology ni elimu itufamishayo kwa usahihi personality zetu, vipawa vyetu na our life destination. Kupitia calendar codes (tarehe, siku, mwezi na mwaka) ni rahisi kujua personality yako, vipawa vyako na life destination yako. AINA ZA CALENDAR Kuna aina 3 za calendar, ambazo ni...
  17. JamiiForums Tanzania Watu wanne ambao unatakiwa kuwasamehe kwenye maisha yako

    Wa kwanza ni wazazi wako, Yes wazazi wako,wazazi wetu kwa namna moja au nyingine kwenye makuzi yetu kuna mambo ambayo huenda sio kwa ubaya au bila wao wenyewe kujua,tunajikuta wametukwaza sana na kutuachia majeraha makubwa sana. Tumekuwa tukiwalaumu,tukiwa chukia na saa nyingine kutopenda kuwa...
  18. JamiiForums Tanzania UJUMBE WA ASUBUHI: kwa sababu tu unaendana nao/navyo haimaanishi ndio stahili yako au ndio panakufaa/wanakufaa

    Sawa ni marafiki zako ila sio lazima uende nao. Sawa ni ndugu zako ila sio lazima uungane nao.
  19. JamiiForums Tanzania Mambo ambayo ni siri yako tu mwanamke hupaswi kumwambia mchumba wako au mume wako

    Kwenye maisha kuna vitu ambavyo hupaswi kumwambia mtu vinabaki kuwa siri yako siyo kwa ubaya ila unapovisema vinaleta machafuko Kwako mwanamke kuna vitu ambavyo hupaswi kumwambia mme wako 1.mtu aliyekutoa ubikra chonde chonde usije kumtaja hata kama akikuuliza mwambie achana na hayo ebu njoo...
  20. JamiiForums Tanzania Watu Wazima, Mnaowalaumu Vijana Kwa (UTOTO)

    Kwenu watu Wazima, Mnaowalaumu vijana Kwa Utoto Kuna (baadhi) ya watu wazima wale ambao umri umeenda, wamekuwa na tabia ya kuzodoa vijana wadogo au watu ambao bado hawajafikia umri wao Utasikia:👇 Yaani huyu utoto unamsumbua Huyu ana utoto mwingi Hajitambui Na maneno mengine mengi sana Lakini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…