yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kama maisha yako hayasomeki usifikirie kabisa kufuga mbwa aina ya Belgian Malinois

    Kwa mtu ambaye maisha yake hayana utulivu au hayana ratiba maalumu, Belgian Malinois mara nyingi si chaguo sahihi. Kwa nini? 1. Anahitaji mazoezi mengi sana. Si kutembezwa dakika 20 tu ukaona inatosha. Mara nyingi huhitaji saa 1–2 au zaidi za mazoezi makali na shughuli za akili kila siku. 2...
  2. JamiiForums Tanzania Nawashauri wazazi ukiona binti yako ni mpole na mwenye maadili ya kweli fanya ukale wa kumtafutia mchumba asizeekee nyumbani

    Kuna mabinti wanajiheshimu sana hata ile namna ya kumfuata kumtongoza huwezi ipata kabisa na mara nyingi huwa wamenyooka katika maongezi yao Kuna mmoja nakutana nae kwenye mitikasi yangu na namjua pia, hadi sasa hana mtoto wala hajaolewa kimuonekano ni mtu wa 1980s hivi huwa najiambia ningekuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Best kolabo yako ni ipi hapa

    Misosi na soda Mazoezi na maji Mmea na mikito Mmea na vikali Mmea na vilevi Huchagui hubagui
  4. JamiiForums Tanzania Ipi picha yako bora kwenye Kombe la Dunia 2026?

    Katika Kombe la Dunia 2026, maelfu ya picha zimeonyesha matukio makubwa, furaha, huzuni na kumbukumbu ambazo zimebeba hadithi za mashindano haya na kila picha ina simulizi yake.
  5. JamiiForums Tanzania Je biashara yako ina social media accounts lakini hazileti wateja?

    Je, Biashara Yako Ina Social Media Accounts Lakini Hazileti Wateja? Au upo busy na unahitaji mtu wa kukusaidia kumanage social media accounts zako?? Habari wakuu, Leo kuwa na Instagram, Facebook, TikTok au LinkedIn account pekee haitoshi. Kinachotofautisha biashara zinazokua na zinazobaki...
  6. JamiiForums Tanzania Kiumbe kinachokula nishati yako (The Pain-Body)

    Uliwahi kugundua kuwa kuna siku unaamka ukiwa na furaha na amani tele, lakini ghafla baada ya saa chache labda kwa sababu ya neno moja dogo uliloambiwa, au wazo moja tu baya lililopita kichwani unajikuta unadondokea kwenye giza nene la hasira, huzuni, au unyonge ? Hiyo hali haitokei kwa bahati...
  7. JamiiForums Tanzania Jinsi simu yako inavyokuibia matumaini ya maisha bila wewe kujua

    Simu yako inaweza kuwa kifaa cha kukuungizia pesa, lakini kwa sasa ndio adui mkubwa anayefuta ndoto zako taratibu bila wewe kugundua. Unacheka nayo kila sekunde huku ikinyonya muda wako. Angalia mambo haya matano unavyojiua kiuchumi na kiakili: 1. Usumbufu wa milio ya meseji Simu inalia kila...
  8. JamiiForums Tanzania PFP PSYCHOLOGY: Diagnosis ya picha Cha profile Mtandaoni. Unataka kujua PFP yako inasema Nini kuhusu wewe?! Pitia hapa

    Kama Kuna kitu hujawahi kukigundua kwa muda mrefu basi ni hii👉 "Namna picha ya profile yako inavyokuelezea wewe ni mtu wa aina gani ndani na nje ya mitandao ya kijamii." Hata hapa jamiiforums kabla yakusoma hoja ya mtu, kabla hujaangalia mada zake, na hata kabla hujajua yuko upande gani wa...
  9. JamiiForums Tanzania Kama unaona mtoto wako uwezo wake ni mkubwa haijalishi uwezo wako, omba msaada au tumia pesa yako, hapa Tanzania ni sehemu kuua ndoto za watoto

    Sio uwongo yani kama wazazi na mliopo hapa jifunzeni kukabiriana na roho za hapa. Wamewamaliza sana T.O wa tanzania wengine wakawa wanafundisha twisheni na wengine wakaishia kuchekwa na wasio soma. Kuna dogo hapa mzazi wake aligundua mtoto wake sio level hii nchi ,kwa uwezo wake aliona bora...
  10. JamiiForums Tanzania Epuka Watu Hawa 5 Leo Kwa Faida Yako

    Leo ni siku nyingine ya mapambano, na unahitaji kila tone la nishati (energy) na utulivu wa akili ili kufanikisha mipango yako. Lakini kumbuka, watu unaoruhusu wasogee karibu yako wanaweza kukupa mzuka wa kupambana au wakakunyonya nguvu zote ukabaki na unyonge kama simu yenye chaji 2%. Kama...
  11. JamiiForums Tanzania Hudama za ISP tanzania kama Umeweka server yako mwenyewe tanzania ukiunganisha nao.

    Kuna mambo mengine sio kila kitu wafahamu maana vyengine watanzania wanaona ni kama wao bado wapo kwenye zama za nyani walivyo aminishwa na CCM kwa karne hii. Server zangu nyumbani kwenye mfumo wa internet imeharibu biashara zangu kupitia API nilizounganisha kwa wanaofahamu alafu unaombwa...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Haya ni Mambo Manne Yatakayo Tokea Kampuni Yako Isipo File Beneficial Ownership

    Habari Mjasiriamali, Karibu kwenye Episode 2 ya Business Compliance series" na Leo tunaongelea"Beneficial ownership" Kila Kampuni Ina wajibu wa Kusajili beneficial owners ndani ya siku 30 baada ya Kusajili Kampuni. Hili ni takwa la kisheria ambalo kila Kampuni inalazimika kulifuata kama...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kumruhusu mtu aliyekuacha kurudi kwenye maisha yako, umemruhusu akuchukilie poa!

    Anachoongea kwa maandishi "Na nikuambie siri ya watu wanaorudi katika maisha yako. Wanao rudi au unaokubali kurudi. Kwanza, lazima ujuwe kwamba katika level ya watu kudharaulika, wewe uko kwenye level ya deki hiyo. Au ile bamba tunayoweka mlangoni kabla hatujaingia ndani tunafuta miguu yetu tu...
  14. JamiiForums Tanzania Jina la Biashara ni Mali Yako. Je, Limeshasajiliwa?

    Jina la Biashara ni Mali Yako. Je, Limeshasajiliwa? Watu wengi huwekeza muda, fedha na ubunifu kujenga biashara zao, lakini husahau kulinda kitu cha kwanza kinachowatambulisha, ambacho ni jina la biashara. Fikiria hali hii. Umeanzisha biashara, umetengeneza nembo, mabango, kurasa za mitandao...
  15. JamiiForums Tanzania Ukiingia kwenye mtego wa kukopesha ili tu kujenga mahusiano mazuri na wateja, ujue unachimbia shimo ambalo linaweza kuizika biashara yako.

    Wafanyabiashara wengi hawafi kwa kukosa wateja, wanafia kwenye madeni ya wateja wao 👇🏾 Kuna dhana imeenea sana kwenye biashara kwamba ukitaka kupata wateja wa kudumu lazima uwe mwepesi wa kuwakopesha. Wapo hata wataalamu wa biashara wanaoshauri kuwa kwa mazingira fulani kutoa bidhaa kwa mkopo...
  16. JamiiForums Tanzania Mwanaume, tunza pesa yako itakayokulea wewe mwenyewe mpaka mwisho wa maisha yako, mwanamke sio ndugu yako

    Jana jioni niliweza kuwatembelea wazee kadhaa waliostaafu na wengine wafanyabiashara wakubwa kiasi (mitaji yao bilioni kadhaa). Wengine wametelekeza majengo na biashara zao na kuamia mikoa mingine ili kuepuka fedheha aliyoipata kwenye mahusiano kwa mkewe. Wengine wameamua kuoa mara nyingine...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje unajenga nyumba ya makazi karibu na higway? Hujali usalama wa familia yako

    Unakuta mtu kajenga nyumba ya kuishi 40m kutoka bara bara kuu tena imejitenga na centre hivyo magari kwa maeneo hayo yanatembea spidi kubwa. Angalau 100m kutoka barabara kuu ni salama kwa makazi endapo gari litaacha njia.
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini friji yako inakula umeme kuliko pasi? Siri ya inverter unayopaswa kujiua.

    Watanzania wengi tunadhani Pasi au Jiko la umeme ndivyo vinamaliza LUKU. Lakini ukweli ni huu: 👇 Pasi unatumia dakika 15, jiko unatumia saa 1, lakini Friji linatumia saa 24 kila siku. Kama friji lako siyo la teknolojia ya Inverter, basi unamiliki "mnyonyaji" wa siri ndani ya nyumba yako. Hapa...
  19. JamiiForums Tanzania Ipi ni nyimbo yako Bora ya muda wote?

    Yakwangu ni Aikon--Ghetto hii nyimbo jamaa aliitunga kwa ustadi wa hali ya juu sana.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kijana ulieajiriwa bila mkataba wa uhakika, hakikisha una ofisi kabla ya 35, mabosi wanawakwepa 35+, usisubiri kujifunza kwa uchungu life starts at 40

    Tanzania, kwenye sekta nyingi nje ya Serikali na makampuni machache makubwa, ajira mara nyingi hazina uhakika wa muda mrefu. Ukiongeza na tabia ya baadhi ya waajiri kupendelea waombaji wa umri mdogo ambao hawajavuka 30 za mwanzoni, ni risky kubwa sana kuendelea kuweka matumaini yako hapo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…