wote

  1. Hivi vyama vya upinzani vikifutwa alafu ikabaki CCM tuu. Na raia wote tukiunga mkono

    Nawaza tuu au wanapingana wao kwa wao? Campaign za uchaguzi hakuna Msemaji wa chama hakuna Uhaini lazima uwepo lakini Utekaji lazima uwepo lakini Rushwa lazima iwepo Haki za binadamu Ubadhirifu utakuwepo
  2. 3

    Miss Rwanda: Wanaume wote ni wanyama

    Aliyekuwa mshindi wa pili wa Miss Rwanda 2015, Miss Uwase Raissa Vanessa, ameingia kwenye mzozo mkali na watumiaji wa mitandao ya kijamii baada ya kuchapisha ujumbe kwenye Instagram akidai kuwa wanaume wote ni 'wanyama'. Katika mfululizo wa jumbe alizochapisha, mrembo huyo alionekana...
  3. K

    Mkuu WA JWTZ , IGP na mwenyewe Kingai ni wateule WA rais je kauli ya kusema wote wanataka Lisu akutwe na hatia haiwezi athiri hukumu?

    Wadau habari zenu, HIVI kauli ile ya Kingai mahakamani akimwambia lisu na lisu akaisema hadharani mahakamani mbele ya majaji hawezi kuwafanya majaji kushindwa kutoa hukumu Kwa haki wakizingatia kauli ya Kingai ndo kauli ya bosi wa mihimili yote. Au ndo hukumu tayari Wanasheria na wadau...
  4. Amani, utulivu na usalama wa uhakika Tanzania ndio kichocheo na kivutio kikuu cha utalii, biashara na uwekezaji wote mkubwa unaoendelea nchini.

    Hongera serikali sikivu ya CCM, chini ya Rais shupavu na mchapakazi hodari, Dr.Samia Suluhu Hassan, kwa kazi kubwa na nzuri sana ya kudumisha umoja, amani na usalama wa waTanzania, na kutengeneza mazingira mazuri, rafiki na bora zaidi ya kuchochea na kuvutia watalii, wafanyibiashara na...
  5. Duh! Wapinzani wake wote wamegonga mwamba!

    Wamechallenge almost kila kitu alichosema. Wamehoji, wamefungua kesi, wamehamasisha wengine wawe wapinzani, wameleta arguments zao… wamepiga kelele.. lakini kuna statement yake moja wameshindwa kabisa kuipinga: “Kwa maana u mavumbi wewe, nawe mavumbini utarudi.” (Mwanzo 3:19) Ukweli ndio huo...
  6. O

    Kuna haja ya kuwa na Sheria inayoongoza michango kwa shughuli za vyama vya Siasa inchini.

    Ninatoa pendekezo la Serikali kuandaa Muswada wa Sheria ya kusimamia michango ya shughuli za Vyam vya Siasa nchini ili kuzuia watu au makundi ya watu wasio na maadili kuhusika kwenye michango ya shughuli za vyama kwani kwa sasa kumejitokeza tabia ya watu wanaojiita wanaharakati kuchangia au...
  7. Nina tatizo la kutopata internet ruta ya airtel. Ili ni tatizo la wote au mimi peke yangu?

    Nina wiki sasa siwezi access internet kutumia ruta ya airtel. Nililipia unlimited bundle 70k lakini nimetumia siku moja tu ndio nilibahatika kupata internet.niliongea nao kwa simu sikupewa majibu ya kueleweka naona uko wanaajiri watu wajinga wajinga wa kuokota wa bei chee maana ilibidi nikate...
  8. Q

    Mashahidi watatu wa Lissu waliobaki (IGP, CDF na DCI) wote wapo nje ya nchi

    Mhe. Lissu: Mhe. Msajili amenitaarifu kuwa Mashahidi wote watatu CDF, IGP na DCI walipelekewa wito wa mahakama Dodoma, hata hivyo haikuwezekana kuwaserve nakala za summons kwasababu wote watatu wapo nje ya nchi.
  9. A

    KERO Wanafunzi wote 295 wa Chuo cha IAA waliokata rufaa, rufaa zao zimekataliwa. Inawezekanaje?

    Leo Chuo kimetoa majibu kuhusu appeals zilizowasilishwa na wanafunzi mbalimbali, wakiwemo wanafunzi wa Shahada za Uzamili (Masters). Kwa masikitiko makubwa, wanafunzi wote 295 waliowasilisha appeals wamejulishwa kuwa maombi yao yamekataliwa kwa sababu hayakuonekana kuwa na hoja za msingi...
  10. D

    Naomba radhi wote niliowakwaza

    1. Mods, wengine mlifika Hadi inbox kunionya. Mbarikiwe sana.🙏🙏 2. Members wote niliotukana nao, ikiwemo Leo. Mnisamehe 7*70 3. Members walioyashuhudia matusi yangu na kuwakera. Siijui kesho, Wala wahusika wa kesho......natubu. Siijui Wala kuikumbuka faida yoyote ya matusi, ujinga tu maana...
  11. Gen Z amkabia trafiki kwa juu. Ambana Trafiki kwa kumrekodi muda wote ili asipokee rushwa

    Wakuu Kijana mmoja anayejulikana kwa jina la Ezra Kachelo amezua gumzo kubwa kwenye mitandao ya kijamii nchini Kenya kumfukuza afisa wa polisi wa usalama barabarani (trafiki) aliyekuwa akituhumiwa kupokea rushwa kutoka kwa madereva wa matatu katika Kaunti ya Kiambu. Katika video iliyosambaa...
  12. J

    Waislamu wanadai Manabii wote kabla ya Mohammad walikuwa Waislamu; Je Nuhu naye pia?!

    Kama Nuhu alikuwa Muislamu ilikuwaje akawachukua pia Nguruwe na tena akakaa nao ndani ya safina kipindi chote cha gharika?! Ona picture
  13. Lema, Sugu, Martin masese na Boni yai mnatafakarisha. Na wew Hilda newton acha kuleta migogoro kwenye chadema yenu

    God bless lema , Sugu ,MMM, na kibonge boni yai ukiwatafakari kwa kina Kuna namna utaanza kupata mashaka juu ya uaminifu wao kwa chama chao cha chadema. Mienendo Yao ya kisiasa Haina tofauti na makada kadha wa kadha waliotekwa na kupoteza maisha , Tena makada maarufu na nguli ambao ukosoaji wao...
  14. Hivi unajiskiaje age mates wako wote kuona wanaoa?

    Binafsi huu mwaka nimeona takriban watu 7 nilosoma nao na age mates wame uta majiko.. Mimi ndo hata hilo wazo sina.. Ila nahitaji kuwa a dad to my kids, then why the heck sichukui hatua? Bado sijajiweka in the position kupata mtu sahihi na ninao a fresh tu Wakuu this is insane mpaka unaogopa...
  15. Q

    Rambirambi zigawanywe kwa Wajane wote kwa usawa

    Tunaambiwa Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir alikuwa na wake watatu, basi ni busara rambirambi zitagawanywa kwa usawa hasa kwa bi mdogo. Ni hayo tu kwa leo.
  16. R

    Si kweli kuwa Kifo ni kifo tusilete taharuki. Lazima kilete taharuki. Poleni familia za wote waliopoteza wapendwa wao in this era of political turmoil

    Wazungu wanazema time will tell! Time has spoken now. KIFO NI KIFO LAZIMA KILETE TAHARUKI. Haya yote watu kwenda Kizimkazi ni kwa vile KIFO SIYO KIFO, LAZIMA KILETE TAHARUKI. Nadhani kuna SOMO tumejifunza na Mwalimu wetu aliyesema kifo ni kifo tusilete taharuki amepata jawabu akina Familia ya...
  17. Mwekezaji anayefichwa anayetaka kuinunua Sinza yote, ni mama mmoja wa Kizanzibari na kijana wake wa kiume, Master mind wa ufisadi wote.

    Mgogoro kati ya wamiliki wa nyumba Sinza dhidi ya wizara ya ardhi, nyumba na makazi unazidi kutanuka kila uchao, huku wizara na madalali wake wakikataa kabisa kumtaja huyo anayetambuloshwa kwa jina la Muwekezaji. Taarifa tulizovujishiwa sisi wamiliki wa hizi nyumba, ni kwamba anayetaka kutwaa...
  18. H

    Watanzania wote tuingie kwenye bima ya afya. Tutaepukana na matatizo mengi sana ambayo tumeyatafutia majawabu ya dharura, - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu

    Watanzania wote tuingie kwenye bima ya afya. Tutaepukana na matatizo mengi sana ambayo tumeyatafutia majawabu ya dharura, lakini yanahitaji yapate majawabu ya kudumu
  19. Uimara na umadhubuti wa CCM unatokana na umoja na mshikamano uliopo miongoni mwa wanachama wake na waTanzania wote kwa ujumla.

    Na hiyo ndio siri ya kustawi na kuimarika kwa nguvu ya CCM kila uchwao, tofauti na upinzani wa Tanzania ambao udhaifu wao kiujumla, unatokana na chuki binafsi baina yao, uhasama baina yao, migawanyiko baina yao, tamaa, ufisadi na uchu wa vyeo na madaraka miongoni mwao, kitu kinachowafanya...
  20. Bima ya Afya: Kinga kwa Watanzania Wote

    Watanzania wote tuingie kwenye bima ya afya. Tutaepukana na matatizo mengi sana ambayo tumeyatafutia majawabu ya dharura, lakini yanahitaji yapate majawabu ya kudumu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…