Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Ghati Zephania Chomete anawakaribisha katika Kongamano la Bima la Afya kwa wote, Mgeni rasmi ni Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Kanali Evans Mtambi
Kongamano hili litafanyika Agosti 21, 2026 katika Hotel ya CMG, Tarime Mjini.
▪️Fursa kwa Makundi Maalum...
KONGAMANO LA BIMA YA AFYA KWA WOTE
▪️Fursa kwa Makundi Maalum.
▪️Ujenzi wa Bweni la Wasichana.
▪️Mhe. Ghati Z. Chomete
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara.
📆 21 Agosti, 2026.
📍CMG Hotel, Tarime Mjini.
CCM na Serikali yake washakata pumzi. Wana CCM wanategemea kula kupitia kwenu.
Nawashawishi Wafanyabiashara wote Tanzania kuiunga Mkono CHADEMA.
Watanzania tushikamane tusaidiane CHADEMA ili tujikomboe.
Vinginevyo kila mtu atafikiwa kwa wakati wake.
Mambo ya pingu mlikuwa mkicheka mkiona...
Kuna muda ata nashindwa Kuelewa wallah…..
Mimi ni Mjasiliamali niko na wazazi wote 2 na nakaa kwetu by the way
Mama angu ni mtu ambae amekua akinikwamisha jamaaan 😮💨 mzee alipanga kunipa pesa ya mtaji kuniongezea biashara ikue nilisagiwa kunguni jamaan mara mimi nakopesha sana silipwi, mara...
Taifa linakuwa na msomi kama huyu Dk Denis Muchunguzi litafika mbali kweli?
Msomi mzima anajikomba badala ya kueleza ukweli na uhalisia wa siasa mbovu zinazoendelea nchini.
Wasomi kama akina Dk Sengondo Mvungi hawatatokea tena. Hawakujikomba wala kujipendekeza.i
Dk Denis kusifia uovu wote wa...
Kuna jambo linahitaji mjadala wa wazi, bila ushabiki wa kisiasa wala kumhukumu mtu kabla ya mchakato wa kisheria kukamilika.
Wakili Peter Madeleka amekumbana na hatua za polisi katika mazingira yanayohusishwa na masuala yake ya kisheria. Wakati huo huo, mwaka 2023 mfanyabiashara Rostam Aziz...
Wanajamvi habar kwenu?
Nimetafakari kwa mujibu wa ufuatiliaji wangu dhidi ya kesi hii ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa chama Cha demokrasia na maendeleo chadema. Nilichogundua wote waliokwisha kutoa ushahidi wote ni mapolisi na bodaboda na bajaji?
Pia hakuna mwanamke yeyote mpaka Sasa...
Utengano au talaka kati ya wazazi mara nyingi huacha majeraha makubwa, lakini waathirika wakuu katika migogoro hii huwa ni watoto.
Leo tuangazie uamuzi muhimu sana wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Mwanza (Rufaa ya Ndoa Na. 03 ya 2021) kati ya Aloyce Masalu Mapembe na Paulina Romanus...
N:B: Uzi huu kwa namna yoyote ile haushinikizi kukataa watoto wa nje wala kuoa wanawake wenye watoto, bali unaeleza nature ya mwanadamu kwenye kutaka kuwa karibu na asili yake kadri anavyokua.
Nimewahi kuona familia kadhaa ambazo ndani yake kuna watoto waliozaliwa nje ya ndoa, na baadaye...
Juzi kati baada ya kusoma bandiko la mlevi min -me la kuhusu bintiye na kukosa upendo kwa mama yake, ambaye Wali kuwa separated na kumfanya min kuwa single father, so mtoto kukosa motherly presence ila fanya amchukie..
actually, ile issue ilinifanya nijione ndani yake.
Why..?
Kwa sababu...
Kwa upande wangu ilionivutia zaidi kuliko hata hii ya kijana wa kisukuma,msomi,Mtu mashuhuri Isaya yunge kumuoa mtoto wa Ruto,
Ilionivutia zaidi ni ile ya Mwamba wa kimasai kumuoa mtoto wa raisi mwinyi.
Na ambayo Haina mvuto hata kwa muonekano wao ni wale __ na __ (sijataja mtu), msije...
Kuanzia bakharesa, Azim Dewij , Yusuph Manji, Ghalib Mohammed na hata ukienda ulaya na duniani kote matajiri wote wawekezaji Katika soka wanapenda kubaki kama mashujaa nyuma ya camera, na sio kubwabwaja bwabwaja hovyo na kutafuta justification na public sympathy kama huyu muhindi mzaramo.
Au...
Nje ya hapo Africa kupata maendeleo ni nadri sanaa.
Wazungu wakikabidhiwa bara la Africa kama ambavyo livyo hivi sasa within 10yrs litakuwa very attractive and beautiful place to live.
Ukoloni Zanzibar haukuanzia kwa waingereza bali kwa walowezi waarabu wa Omani ambao walihamia zanzibar pamoja na ndugu ya sultani wao ambapo walimuweka akawa sultani wa zanzibar na kuanzisha utawala wa ukoloni wa kilowezi wa kiarabu.
Waomani hao wakatawala eneo la zanzibar na pwani ya afrika...
Pamoja na mabaya mengi ya Samia amesaidia kwa kiasi kikubwa kuwakuza viongozi wa Chadema na kukuza chama. Kitendo cha Chadema kutokuingia kwenye chaguzi fake zimeonyesha walikuwa sawa na ukweli Watanzania wanakubaliana nao. Yaani Samia alifanya makosa makubwa sana kupuuza Ushauri kabla ya...
Kutoka kwangu mwenyewe The Palm Beach
1. CHADEMA inawataarifu wana CHADEMA wote, wafuasi, wapenzi na wote wanaounga mkono mapambano dhidi ya uhuru, haki, demokrasia na utawala wa sheria ktk taifa na nchi yetu popote pale mlipo hapa nchini na duniani kote kwamba, tutakuwa na mapokezi makubwa...
Mwasisi wa katiba hii,Ni Nyerere, aliitumia kuendesha utawala wa kiimla,Mfano kuzuia wapinzani wake kusafiri nje ya maeneo fulani,kuaminisha watu kuwa Fikra zake ndio bora na zidumu ( alikuwa na Machawa waliosifia kila kitu alichosema/ kufanya)
Nyerere alifadhaisha sana wapinzani wa sera...
Kuna kipindi nilikuwa naamini kwamba ili watu wakukubali ni lazima uwe karibu nao, uwashirikishe kila jambo na uzingatie maoni yao. Nilikuwa nahofia kuitwa mbinafsi, mwenye maringo au mtu anayejiona. Kadri nilivyojaribu kuwafurahisha watu, ndivyo nilivyozidi kugundua kuwa huwezi kamwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.