wote

  1. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Nataka nifungue mgahawa ambao nitakuwa nikionyesha video za Prof Janabi muda wote kama burudani

    Nimeamua kuja na huu ubunifu. Hela nitapiga. Unapata msosi huku ukitazama video za Prof Janabi akishauri mambo ya afya. Itakuwa ni burudani kwa wateja wangu. Natumaini wateja watafurahi. Una maoni gani kuhusu hii idea?
  2. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Kutana na Kijana Anaishi Kwenye Maji Muda Wote Kama Mamba, Kisa Kizima Hichi Hapa

    Katika kijiji cha Beldanga, kilichopo Wilaya ya Murshidabad nchini India, kuna kisa cha kusikitisha na kinachovuta hisia cha kijana mwenye umri wa miaka 16, Iqbal Sheikh. Kwa miaka mitano sasa, Iqbal anajikuta katika hali isiyo ya kawaida inayomfanya atumie siku kadhaa akikaa ndani ya mabwawa...
  3. Son of Israel from Africa

    JamiiForums Tanzania CCM wote walioko TUNOJUA NI WATANGANYIKA tujitenge tuhamie CDM wotee .

    Wala sina mdaaa Ushauri nii huuu WATANGANYIKA WALIOKO CCM TUHAME TUHAMIE CDM TUKAIPIGANIE TANGANYIKA NAWAHAKIKISHIA ASUBUHI TUU TUNAPATA TANGANYIKA HURUU KABISA. Sitaki ushaurii nimeamua kusema Maana asilimia kubwa ya wanotekwa ni WATANGANYIKA TUU! Ila angalizo akina Lucas Mwashambwa...
  4. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Waraka Kwa Wakristo Wote: Yezebeli Kahaba Mkuu ni Hatari LAKINI...

    Nanukuu mafungu yafuatayo toka kwenye kitabu pekee kitakatifu. Ufunuo wa Yohana 2:20 [20]Lakini nina neno juu yako, ya kwamba wamridhia yule mwanamke Yezebeli, yeye ajiitaye nabii na kuwafundisha watumishi wangu na kuwapoteza, ili wazini na kula vitu vilivyotolewa sadaka kwa sanamu. 2 Wafalme...
  5. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Namshangaa Mzee Ulimwengu haoni wazee wenzake wote walishaikimbia Chadema yeye ndo anajitokeza mwishoni inamaana hasomi nyakati?

    Huwezi ukawa Mzee mwenye busara halafu ukawa chadema watu lazima wakushangae, kulikuwepo na wazee wenye hekima wote walikimbia baada ya kugundua kuwa chadema ni Chama cha matapeli wasiojali utu wa watu, kwahyo Mzee ulimwengu amekubali kutukanwa na watu chadema. Kwa mfano: Uchaguzi wa ndani wa...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Watanzania wote hatuwezi kuwa viongozi. Mwenzako akipata mpongeze. Usimchukie

    NB: Nina Akili Ndogo Sana Major Generals wote hawawezi kuwa CDF au CoS. Graduates wote hawawezi kuwa wafanyakazi wa serikali. Commissioners wote wa Polisi hawawezi kuwa IGP. Wanasiasa wote hawawezi kuwa wabunge, madiwani au Rais. Mwenzako akipata mwambie "Hongera sana dada/kaka yangu. Ninaomba...
  7. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Kiranga: "Dhana ya kumuomba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote ni contradiction"

    Mmoja ya vijana wayahudi waliokuwa katika camps za mateso alizokuwa amejenga hitler kwa ajili ya kuangamiza kizazi cha kiyahudi aliandika hivi ukutani "KAMA MUNGU YUPO BASI ANATAKIWA KUNIOMBA MSAMAHA" Wamama wanalia sana katika maombi, wameteswa, vizazi vyao vimeharibika ila watesi wao ndio...
  8. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania BIMA YA AFYA KWA WOTE: KAYA 276,000 ZASAJILIWA

    Hadi Juni 2026, jumla ya kaya 276,000 zimesajiliwa katika mfumo wa Bima ya Afya kwa Wote, sawa na asilimia 100 ya kaya zilizolengwa katika awamu ya kwanza. Hatua hiyo inaendelea kuimarisha upatikanaji wa huduma za afya kwa wananchi.
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Utekelezaji wa ahadi za siku 100 na Bima ya Afya kwa Wote ni ahadi hewa

    ACT Wazalendo imesikitishwa na taarifa na kauli za Serikali zinazotolewa kupitia vyombo vya habari, majukwaa mbalimbali na Bungeni kuhusu mwenendo wa ugharamiaji wa huduma za afya nchini, hususan utekelezaji wa Bima ya Afya kwa Wote. ACT Wazalendo imefanya tathmini na kubaini kuwa, licha ya...
  10. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Maria Surungi: Deo Ndejembi ni Mzanzibari, Muislamu, pia ana uraia wa Uingereza

    ‼️UASILI WA DEO NDEJEMBI KUMBE UNA UZANZIBARI‼️ Kumbe Mama yake Ndejembi ni Mpemba anayeishi London? Eh watu mna siri! Alafu TISS bana mnamkubalia kimama amteue alafu mnakuja kutulalamikia pembeni Sasa wamemwaga data ila mambo kadhaa muhimu: 👉🏽Deo Ndejembi ni mjukuu wa Mzee Ndejembi ila...
  11. E

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo Yaituhumu Serikali Kufeli Ahadi ya Bima ya Afya kwa Wote

    Dk Elizabeth Sanga Chama cha ACT Wazalendo kimesema utekelezaji wa ahadi ya siku 100 ya Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu Bima ya Afya kwa Wote umeshindwa kuwafikia wananchi wengi, huku kikidai kuwa watu maskini wanaendelea kukosa huduma muhimu za matibabu na vipimo vya kibingwa. Katika tathmini...
  12. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Siri ya Utulivu na Mafanikio

    Baada ya kukua na kutambua jinsi watu wanakuwa controlled na hisia. Watu ambao hawajui kuwa less attached na kupannic. Huwa sio kwamba ni wakali au wagai gai by nature. Na pia sio watu wakali by nature, huwa ni so weak. Ila ile reaction ina wa manipulate kudhani wako sahihi. Kadri unavyo...
  13. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Tanzania TALMUD: Adamu aliwaingilia kimwili wanyama wote duniani

    Talmud ni kitabu cha mafundisho ya kidini cha Wayahudi. Eti kinasema bwana Adamu aliwapiga nao wanyama wote hapa duniani kabla ya kuletewa bibie Eva. Dunia ina mambo sana. Ila hii inafanya nisishangae ukatili wa Wayahudi, akina Netanyahu. Oyaaaa, Echolima1 Myahudi wa Chanika, hii habari ya...
  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania “Nimezungumza na wanaume matajiri zaidi duniani, na wote wameniambia kwamba majuto yao makubwa zaidi maishani yalikuwa ni kuoa.” — Rapper 50 Cent

  15. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Katika kipindi cha miaka miwili ijayo asilimia 100 ya kaya zitakuwa zimesajiliwa katika Mpango wa Huduma ya Bima ya Afya kwa Wote

    Na Benny Mwaipaja, Addis Ababa Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khams Mussa Omar, amesisitiza kuwa katika kipindi cha miaka miwili ijayo asilimia 100 ya kaya zitakuwa zimesajiliwa katika Mpango wa Huduma ya Bima ya Afya kwa Wote ikiwa ni dhamira ya Serikali ya kuwekeza katika rasilimali watu...
  16. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu wa CHADEMA kufukuza wachaga wote ndani ya chama chao, hawataweza kuendelea kuvumilia kudhalilishwa kwa Mbowe

    Wiki hii imeanza kwa wafuasia wa Lissu na Heche kumshambulia vikali mwasisi wa CHADEMA mheshimiwa Freeman Aikael Mbowe baada ya yeye kuhudhuria sherehe za uzinduzi wa bwawa la umeme la Nyerere. Kiukweli Mbowe kadhalilishwa sana kwa siku kadhaa. Ninampongeza kwa ukimya wake kuonyesha ukomavu wa...
  17. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Nipo hapa kuwajibu wote walioona kuwa Lissu anatafuta 'Public sympathy'

    Habari za wakat huu mwanaJF. Kwa wapenzi na wafuatiliaji wa siasa za Nchi hii nahisi leo imekua siku ya somo kubwa sana katika kuelewa siasa za mapambano ambazo Lissu amekua nazo kwa zaid ya miaka 20. Sasa basi Leo katika kuendelea kutoa utetezi wake, Jabali la Siasa Lissu ameonyesha historia...
  18. ryan riz

    JamiiForums Tanzania Je kila mahusiano na mwanamke aliyekuzidi umri anafaa kuitwa mshangazi? Au wote mnaweza kuwa wazee tu...

    Yaani unakuta mtu anamiaka 42 alafu anamahusiano na mwanamke ana miaka 48 alafu anasema anamiliki mshangazi ....!!!!! Huyo si mzee mwenzie tu... Mshangazi aitwe na vijana wa miaka 18 mpaka 35... Ila kwa sisi wa miaka 40 mahusiano na wanawake waliotuzidi umri ni WAZEE WENZETU..
  19. M

    JamiiForums Tanzania Juma Duni Vs Mbowe: Wote wenyeviti wastaafu

    Wote wenyeviti wa wastaafu vyama vyenye nguvu kwa kila upande. Zanzibar vs Tanzania Bara. Juma Duni bado tunamuona yupo kimkakati na ACT WAZALENDO, anaongea kauli za ACT za mwenyekiti wake, yupo karibu na nwenyekiti wake. Jee MBOWE bado pamoja na chadema? Kama yupo mbona hatumuoni kuhusu swala...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Wananchi 23,000 wasajiliwa Bima ya Afya kwa wote - Mara.

    Wananchi 23,000 wasajiliwa Bima ya Afya kwa wote - Mara. Video na Channel Ten
Back
Top Bottom