1. Mods, wengine mlifika Hadi inbox kunionya. Mbarikiwe sana.🙏🙏
2. Members wote niliotukana nao, ikiwemo Leo. Mnisamehe 7*70
3. Members walioyashuhudia matusi yangu na kuwakera.
Siijui kesho, Wala wahusika wa kesho......natubu.
Siijui Wala kuikumbuka faida yoyote ya matusi, ujinga tu maana...