wote

  1. MsemajiUkweli

    WanaCCM wote Tarime waliohamia CHADEMA na kupokelewa na Heche warudi tena CCM!

    Siku 7 zilizopita kuna thread ililetwa hapa ikitoa taarifa kuwa wanaCCM wote wa tawi la Kiterere kata ya Bumera katika jimbo la Tarime wamejiunga CHADEMA baada ya aliyekuwa kiongozi wa kijiji kwa tiketi ya CCM kukatwa jina lake katika kura za maoni ya kuchagua wagombea kwa tiketi ya CCM. Thread...
  2. Bilionea kid

    REUBEN KIGAME: Mwimbaji wa gosple mkali kuliko wote Africa

    Hili halina ubishi huyu jamaa anatalanta ya kipekee sana Licha ya kuwa hana uwezo Wa kuona tangu kuzaliwa kwake (KIPOFU) Lakini anauwezo MKUBWA Wa kupiga vyombo vingi vya mziki Sauti yake ni ya kipekee na ya tofauti sana hafanani na mwanamziki yoyote yule Reuben kigame ni mkenya anaishi...
Back
Top Bottom