wote

  1. Uwezi niamini ila iko hivi wapinzani wa Freeman mbowe wote watapewa kesi za uhaini

    Najua uwezi niamini ila ndio iko hivyo, wapinzani wa Freeman Samila suluhu Hassani wote watapewa kesi za uhaini kuanzia tundu Lisu,Heche na wale vijana wote waliompinga mbowe note my word.niko hapa sifi leo nasikiliza mziki wa injili kupitia star tivi hahahaha
  2. PostGE2025 Kanisa Katoliki kila Jumapili tunaombea marehemu wote, ila wa Oktoba 29, 2025 tuna maombi maalumu maana waliuawa kikatili

    Siku ya kumwombea Nyerere hufanyika kila mwaka, misa ya Mkapa hivyo hivyo, misa ya wafu wote waliotangulia mbele ya haki sisi uwa tunaiadhimisha tu. Tofauti ya marehemu wengine na hawa wa Oktoba 29, 2025 tunawaombea ibada maalumu kwa maana hawa waliuawa na wahuni, wezi wa kura, majizi wa...
  3. M

    Naichukia sana CCM na wote wanaoishabikia

    Matatizo yote ya watanzania yamesababishwa na yanaendelea kusababishwa na CCM. Ndugu yangu ameenda Muhimbili akiwa anaongea anatembea ila amerudi kakatwa mkono, haongei na hatembei. Yaani uzembe wa madaktari umesababisha akatwe mkono na asiweze kuongea. Walimuwekea drip ya dawa ikawa inaflow...
  4. Je Wajua Haramu Isipoharimishwa ni Halali? Batil Isipobatilishwa ni Halali?. Licha ya Ubatili Wote, Matokeo ni Halali, Ni Rais Halali!

    Wanabodi Japo sikusomea fani ya ualimu, lakini kwa kadri uzee unavyoninyemelea, nimeanza kujiona kama mwalimu humu, kuwafunza madogo humu mambo makubwa wasio yajua!. Somo la leo ni somo la Haramu sio tuu inavyoweza kugeuka halali, bali haramu nyingine ni baraka. Mada kuu ni Je wajua kuwa...
  5. Bima ya afya kwa wote: Laki moja na nusu inakatia bima familia ya watu watano

    TUUMEWASHA MSHUMAA Tupo hapa Mtwara kwenye Uzinduzi wa Bima ya afya kwa wote awamu ya pili Viwanja vya sabasaba Awamu ya Kwanza ilikuwa Bima ya afya kwa watu wasio kuwa na uwezo kama wazee nk. Hii awamu ya pili inahusu watu wote mimi na wewe. Uzuri ni kwamba, bima hii ya afya, ukiwa na Laki...
  6. Kumwita mwenyekiti wa Chaso na kumuacha Kiliba ni ukorofi. Hatuwezi kuwa na taifa ambalo vyombo vya dola wanataka watu wote wawe upande mmoja.

    Hamjambo! Nilimsikia Dogo Kiliba alichoongea. Kwa upande wake hakukosea. Aliongea kwa haki na uhuru wake. Kulingana na uelewa na maslahi yake. Sioni tatizo katika hilo. Baadaye akaja Dogo mwingine aitwate Zakayo ambaye ni Mwenyekiti wa CHASO huko Mwanza. Akimjibu Dogo mwenzake. Wote wametoa...
  7. L

    Mkoa Wa Dodoma Umebahatika Kutoa Viongozi Wakubwa Karibu Wote Kuanzia Makamu Wa Rais John Ndejembi ,Waziri Mkuu John Marecela na Spika Jobu Ndugai.

    Ndugu zangu Watanzania, Mkoa wa Dodoma ni Mkoa Pekee Ama Miongoni Mwa Mikoa Michache Sana Nchini Ambayo Imebahatika Kupata Bahati ya Kutoa Viongozi wakuu Wa nafasi ya pili na tatu pamoja na Katika Mhimili wa Bunge . Ambapo Katika Nafasi ya Umakamu wa Rais Imeweza Kumtoa na Kulipatia Taifa...
  8. Wito Mawakili Kushikamana, Kusimama Imara Kudai Haki, Heshima na Utu kwa Kusimama na Rais wa TLS Wakili Boniface A.K. Mwabukusi.

    Wanabodi, Hii ni Taarifa muhimu kutoka TLS. Nime C& P TAARIFA KWA UMMA Baraza la Uongozi la Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) linaendelea kufuatilia kwa ukaribu shauri la maombi namba 4 ya mwaka 2026...
  9. Watu wanaoishi katika umaskini uliokithiri duniani huwaza kuhusu ngono na uchawi, wakiamini kuwa wamelogwa

    Utafiti unaonyesha kuwa 100% ya watu wanaoishi katika umaskini uliokithiri duniani huwaza kuhusu ngono na uchawi, wakiamini kuwa wamelogwa na ndugu zao au kwamba mmoja wao alitolewa kafara. Huwezi kumkuta maskini akiwaza maendeleo; never! Mawazo yao ni ngono, unafiki, umbea na majungu...
  10. Bima ya afya kwa wote iliishia wapi?

    Jan 26, 2026 Waziri Mchengerwa alitangaza kuanza rasmi kwa mchakato wa upatikanaji wa Bima ya Afya kwa wote nchi nzima kwa Awamu ya kwanza ,Mchakato ulilenga kaya 276,004 za wazee, watoto, wajawazito na wenye ulemavu ambapo gharama zote Serikali ndio italipa. Bima hiyo ilitarajiwa kugharamia...
  11. M

    Sijamuelewa huyu wakili juu ya chumo la pamoja. Mwanamke akukute umeshajenga ukiishi nae tu kwenye hiyo nyumba ni mali yenu wote!

    Huyu wakili anachochea mauaji ya wanandoa👇
  12. Dr. Bashiru Kakulwa peleka vijana wote baharini waachane na bodaboda. Mpaka muambiwe na nani?

    Kula samaki Tanzania ni anasa, samaki hawapo na wakiwepo ni ghali hata kama tuna mwambao mrefu sana wa bahari, maziwa na mito. Tunaonekana wote kama vile hatuna akili timamu kwenye kuweka vipaumbe vya taifa na hasa kwa vijana. Bahari, maziwa na mito ni rasilimali kubwa tayari inayohitaji akili...
  13. M

    Nawatakia ijumaa njema wakiristo wote wa jf.

    Ibrahim hakuwa Myahudi wala Mkristo, bali alikuwa mwenye kuelekea kwenye haki, Muislamu.” Suratul Aal-Imran, 3:67 Leo nimekukamilishieni dini yenu, na nimekutimizieni neema Yangu, na nimekupendeleeni Uislamu uwe dini yenu. Suratul Al-Maa'idah, 5:3 Na anayetafuta dini isiyokuwa Uislamu, basi...
  14. Wote walioukosoa Uongozi wakiwa Man U kilichowakuta walisepeshwa, vipi kuhusu Lisandro Martínez?

    Rúben Amorim: Nimekuja hapa kuwa Meneja wa Manchester United, si kuwa kocha. Kila Idara, ya Kusaka Vipaji, Mkurugenzi wa Michezo, wafanye kazi zao. Nitafanya yangu kwa Miezi 18 iliyosalia." Kilichofuatwa ~ ALIFUKUZWA Cristiano Ronaldo: Wamiliki wa klabu, Familia ya Glazers haijali... Hawajali...
  15. Responded Diwani wa Ilemi, Baraka Zambi: Vijana wote ambao wapo tayari kuacha uhalifu, ofisi ya Kata ipo tayari kuwapokea

    Wakazi wa Kata ya Ilemi Jijini Mbeya wakizungumzia hoja ya kuzorota kwa hali ya ulinzi na usalama katika eneo hilo. Diwani wa Kata ya Ilemi, Baraka Zambi pamoja na viongozi wa serikali za mitaa wamesema kuwa licha ya kuwahi kutokea kwa baadhi ya matukio ya uhalifu, hali ya usalama imeendelea...
  16. Napendekeza pawepo na sheria ya kuwazuia waliotorosha na kuzificha familia zao ughaibuni, wazuiwe kugombea nafasi za kisiasa ngazi zote nchini Tz.

    Hii itaimarisha uzalendo na uhakika wa usalama wa Taifa letu. Na itasaidia sana kuondoa wagombea na wanasiasa wenye tamaa za madaraka, wanaozurura na tiketi za ndege mifukoni mwao. Lakini pia hii itasaidia kudhibiti utitiri wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi ndani ya taifa letu...
  17. Nashindwa kuelewa viongozi wote znz na sio tanganyika mpaka mkuu wa mkoa.

    Ni kwamba nchi imefikia kujipendekeza hata kesho raisi hakitokea malawi mtaenda kushinda huko na kuendesha mambo ya nchi huko.
  18. Kwa nini washiriki na washindi wa urembo (u miss) wote wa Tanzania hawana makalio makubwa?

    Washiriki na washindi wote wa mashindano ya u-miss Tanzania hawana makalio makabwa na ni wembamba. Je kutokuwa na makalio makubwa ni kigezo kimojawapo cha kushiriki mashindano ya urembo au wanawake wenye makalio makubwa na wanene kuna vigezo wanakosa vya kushiriki mashindano ya urembo ?
  19. Responded Rais wa FEMATA, John Bina: Tutawashtaki Waliohusika Kula Hela za Wachimbaji Waliolipia Safari ya Canada

    Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Madini Tanzania (FEMATA), John Bina, amesema viongozi wote ndani ya Shirikisho hilo wanaodaiwa kutapeli fedha za Wachimbaji wadogo watafikishwa Mahakamani na kuhakikisha wanarejesha fedha hizo. Wachimbaji hao walilipa zaidi ya Shilingi Milioni 11 kwa...
  20. Dunia inaomba marais wote wangekuwa wanawake, Tanzania tumeitangulia dunia

    Wanaume wamezidi ubabe, hawakubali kujishusha kwa maslahi ya wote, tabia ambayo inailetea hasara dunia yote. Wanaume hawaamini kama unaweza kumkosoa, kumuelekeza, kumfukuza au kumuagiza mtu bila kufokafoka kwanza. Wanaume hawaamini kama unaweza kufanya jambo zuri la maendeleo bila mbwembwe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…