wewe

Wewe Gombel is a female supernatural being or ghost in Javanese mythology. It is said that she kidnaps children.This myth is taught to encourage children to be cautious and to stay at home at night. Traditionally, the Wewe Gombel is represented as a woman with long, hanging breasts. Modern representations include vampire-like fangs. This is a popular spirit that also appears in comics.

View More On Wikipedia.org
  1. Tujisahihishe Tz

    JamiiForums Tanzania Heche: Nimeambiwa tangu majuzi kwamba na wewe wanataka wakukamate wakubambikie kesi ya uhaini. Nataka nimwambie Samia, nipo tayari sitakimbia

    Ukisikiliza hii hotuba ya mh. Heche utagundua taifa hili tuna rasilimali ya watu wema sana na tunatakiwa kuwatumia kama taifa kwa manufaa yetu sote na Heche kwangu amethibitisha hilo baada ya Tundu Lisdu Msikilize https://youtu.be/0vuyOE2_9GA
  2. de Gunner

    JamiiForums Tanzania Nimeamini hakuna anaekujua zaidi ya wewe

    Kadri umri unavyozidi kusogea, nimekuja kutambua ukweli mzito kuwa no one knows who you are. Unazaliwa, unapewa jina, unaanza kufunzwa emotionally, matukio yatokeayo na namna ya kurespond. Unapata ufahamu unaenda shule, unamaliza unapata kazi, uaoa au kuolewa, unazaa then na wewe unaanza...
  3. Kubwa la Maadui

    JamiiForums Tanzania Kama wewe kidume kweli nitag

    Asilimia 99 ya vijana wanaocheza efootball wanaishi kwa waume wa dada zao Alamsiki
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa awajia juu waliomkosoa kuita wananchi Nguchiro asema 'Wewe kama siyo Nguchiro kime kuuma nini?'

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, anaweka wazi juu ya watu walioweka namba yake ya simu mtandaoni na watu wengine kutumia namba hiyo kumrushia matusi.
  5. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Nlisema mimi kuhusiana na huyu Member. Mkasema Chizi M. Wewe Mkorofi. Sasa amethibitisha

    Wakati nawaambia kuhusu watu kuwa ni akina annabelle mkasema Chizi Maarifa wewe ni mkorofi unawachukia tu rainbow kiasi kila mtu unamwona ni papaya. Sasa someni. Ame advance kwa sasa ameamua kuwa verified kabisa na ameweka na Tangazo hapo. Aliye na macho na aone. Hii ndo Jamiiforums. Jamaa...
  6. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Uzuri ni kwamba namba wote tunaisoma. Wakosoaji wa serikali waimba mapambio na kusifu na kuabudu serikali wote tuko kapu moja.

    Uzuri ni kwamba sukari ikipanda bei haichagui wewe ni mwimbaji mzuri wa mapambio au ni mkosoaji wa serikali namba inasomeka maumivu yako palepale. Ukienda kituo cha mafuta kuweka mafuta kwenye gari. wote tunaugulia maumivu kwenye bei ya mafuta haichagui wewe unasifia serikali au ni mkosoaji wa...
  7. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Unafikiri wewe unahitaji nini , unadhani nini kifanyike

    Kila mtu aandike mahitaji yake hapa , unataka nini kifanyike unatoa ushauri au maoni gani ,,
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Aisee mimi nafikiri africa sio mazingira safi kwa mtu alie introvert. Utaanza kusemwa wewe ni usalama😁

    _Ooh anajifanya, _anatumia madawa yanayo mpa ganzi muda wote, _huyu ni spy huyu, _anajikuta wa maana hataki kuongea na watu,
  9. C

    JamiiForums Tanzania Ikifikia hatua gani utajigundua kua wewe ni mraibu wa mitandao?

    Actually kama upo online na una peruzi muda huu, basi kuna uwezekano mkubwa kuwa wewe ni mraibu wa mitandao. Muda kama huu kwa watu wengi inapaswa uwe umelala, au uwe mbali na simu, labda tu kwa wale wanaofanya kazi zao mida ya usiku. Hivyo ukijikuta upo online muda huu ni dalili moja ya kuwa...
  10. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni mwanaume na unajipikilisha, juwa bado hujakua

    Kama wewe ni mwanaume na bado unaingia jikoni kupika au kujipikilisha, juwa bado wewe ni mtoto, bado hujakuwa; ukikuwa utaachana na hayo mambo. Unatakiwa uambiwe, kaka/baba/babu/mume/shemeji chakula tayari karibu mezani.
  11. ShesRise_1

    JamiiForums Tanzania Je, una tabia ya kuongea na wewe mwenyewe?

    Je, una tabia ya kujiongelesha mwenyewe? Mfano kujipa maoni binafsi au kujiambia: Hiki ninachofanya si sahihi sitaki tena Kuna wakati kujisemesha mwenyewe ni muhimu sana ukweli ni kwamba hakuna anayekujua zaidi ya unavyojijua wewe mwenyewe. Kuna tabia zipo ndani yetu ambazo si rahisi mtu wa...
  12. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kama umeajiriwa na kazini kwenu hakuna lunch wala hela ya usafiri, wewe na boss wako tafuteni kazi nyingine!

    Hii serikali unaguzi hauishi. Wote na degree moja, ila mwingine kapewa nyumba, ana posho /hela ya nauli na mshahara wa moto. Wewe uko na basic ya 1.2m na unavimbishiwa na boss, mkuu wa hidara, mkuu wa section nk. Mahala pako na shida. Kama vipi tuwe tuna reshuffle. Si wengine ata kaunda suti...
  13. H r n

    JamiiForums Tanzania Usimcheke binadamu mwezako kwa maradhi yanayomkabili ingali wewe bado unapomua

    Kuna kamtindo cha baadhi ya watu kubeza wenzao kuhusu ugonjwa fulani ambao umemkuba au unamsumbua kwa sababu tu ya mambo ya ku view majambo ya dunia au ushabiki fulani, ikitoka kutofautiana huko alafu mmoja wapo apate ugongwa mwenzake unakuta anatumia ile weakness ya ugonjwa kumbeza mwenzake...
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Wairan wenyewe ni mashabiki wa US na Israel ila wewe mwenzangu wa daraja mbili unalaani vikali matendo ya mabwenyenye😁😁

    Ni kipi haswa ulichosimamia😁😁 muuaji ayatollah anaeua watu wake kwa ajili ya madaraka au watu wa iran ambao kiasili ndio wenye nchi? Hakuna unajua wewe zaidi ya ushabiki, unashibikia IRGC kwa maana wana wakilisha unyama ulionao ndani yako na unyama wa itikadi mnayo share nao.
  15. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Peter Msigwa: Watu wanakuhitaji pale tu wanafaidika na wewe

    Amekuja gundua kwa kuchelewa sana. Huyu Msigwa alitembezwa sehemu nyingi za nchi kabebeshwa picha. Kama falah, taahira na msukule. Sasa anashtuka. Too late. Na simu zake hawapokei. Hana issue tena kwa sasa. Siyo deal. Ameshadharaulika hana mbele wala nyuma.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Britanicca ndio wewe? Unajisikiaje sasa?

    Nafuatilia hali ya Iran, sidhani kama Iranian regime inaweza ika survive kwa masaa 48 yajayo kutoka sasa. Police wa Iran wamegoma kupokea orders za IRGC. Reza Pahlavi, ambaye ni crown prince wa Iran anayeishi nchini Marekani, ametuma ujumbe kwa majeshi ya Iran kufanya chagua la kihistoria kwa...
  17. X

    JamiiForums Tanzania Leo wajanja wengi mitandaoni wamekiri ni bora kuoa bikira. Lile pango limewatisha

    Mabroo tunaposema muoe bikira mjue tunawatakia mema. Eti ana degree tutasaidiana maisha, sawa mwanetu
  18. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Nimewaza sana, hivi kweli unaweza ukajitabiria Jambo ambalo linaloenda kukutokea Mbele bila Wewe kujua?

    Wakuu, Nimewaza sana, hapa kuna kitu nilikua nakitafakari nikajikuta nimeingia deep sana nikachukua remote control nikaweka mziki fulani wakati naendelea kusikiliza nikahamisha mawazo nikaingia kwenye nyimbo ya G Nako ft. CHIN Bees & Nikki Wa II - AROSTO Sasa nikaruka moja kwa moja kwenye...
  19. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu mstaafu ninakukumbusha kuwa wewe si wa kuaminika

    Unakumbuka kuwa uliwahi kufanya mazungumzo ikulu na Rais Magufuli enzi hizo. Jambo kubwa kwenye mazungumzo yako lilihusu vi "memo" toka kwa wakubwa vikiwataka mtoe hukumu wanazozitaka wao wakubwa! Mheshimiwa kwa maneno yako ulilalamika kuwa hivyo "vimemo' vinawapa wakati mgumu kwenye maamuzi...
  20. Rebuild

    JamiiForums Tanzania Wewe kaza fuvu Tu kuhusu kuoa

    Kijana tafuta pesa baada ya hapo Sasa tafuta BIKRA wako weka ndani. Endelea Kula Maisha. Sitaki maswali mengi nipo zangu na-meditate hapa.
Back
Top Bottom