Wewe Gombel is a female supernatural being or ghost in Javanese mythology. It is said that she kidnaps children.This myth is taught to encourage children to be cautious and to stay at home at night. Traditionally, the Wewe Gombel is represented as a woman with long, hanging breasts. Modern representations include vampire-like fangs. This is a popular spirit that also appears in comics.
1. Wewe mwanamke ambaye mpaka saa hizi ajatandika kitanda toka alipo amka. Eti yupo busy na kusaka noti. Hahahahaha wewe ni bachela sio wife material hata iweje. Ndio mnaotuchafulia cv wanawake.
kama upo ukome
2. Wewe mwanamke ambaye hadi muda huu ajui mumewe anakula nini ila yupo beautfull...
Wakuu salama?
Muda unakimbia... msemo maarufu sana.
Sasa wale madingi, kitaa ama ofisini ama church ama msikitini mliokuwa mnawaona wanoko.
Sasa huu ndo wakati wako, madogo wanakudiss unaeza wasanua.
Wapo na weww kimachale machale..
Ila tu madingi wa sasa noma sana, sio wanyonge kihivyo...
Mtu amesoma na ana Phd lakini anaingilia suala ambalo lina mkataba kisheria.
Kama muwekezaji ameingia kima kosa basi halmashauri au waliofunga nae mkataba wauvunje kama kweli ni voidable contract.
Sasa habari ya kutaka upewwa maelezo kibabe mbele ya kamera ya nini? Wewe sio sehemu ya mkataba...
Je Mungu alishamaliza kuumba ?
Tunatambua Mungu aliumba ulimwengu kwa siku 6 na ya saba akapumzika, sasa je baada ya hapo hakupumzika tena mpaka leo imekuwa tu mwendo wa kuumba viumbe wapya kuanzia binadamu ,wanyama, wadudu ,mimea nk?
Au ameset kila kitu kwenye automode kiwe kinajiendesha tu...
Mara kadhaa nimekuwa nikiwaambia Wazanzibari (Hasa watoto wa hapa Forodhani) na sasa vijana wa kitanzania kwa ujumla wake
Yale mambo baadhi ya vijana watamba nayo eti kuzaliwa maeneo ya Forodhani, Kariakoo, Ilala, Temeke au wasema "mimi nimezaliwa hapahapa Kinondoni wala si Mtu wa kuja🤣
Mfano...
Siku chache baada ya kukamatwa kwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Songea Vijijini, Thomas Masorwa, kwa tuhuma za rushwa zinazohusiana na madai ya kushawishi wapiga kura kumpigia Victor Mhagama wakati wa mchakato wa kura za maoni, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imemuita na...
My people,
Unapomuacha mtoto wako aache sahani mezani baada ya kula sio tu kwamba unamfanya awe na tabia mbaya bali unamtengenezea mazingira ya kuwa na future mbaya huko ukubwani.
Mtoto anapomaliza kula na kisha mzazi ukamuondolea sahani yake,hii inamjenga mtoto akilini kwake kwamba kuna mtu...
Kuna baadhi yetu waTanzania wanaoamini kwamba kuna watu, nchi au makundi toka nje ya nchi hii watakaokuja kutuondolea shida ya utawala wa maguvu unaotukabili sasa hivi.
Watu wanasubiri ICC au akina Trump waje hapa na kunyakuwa viongozi waovu wanaotukandamiza sasa hivi, ili tupate ahueni.
Watu...
Unawazoesha askari kuua kwa kuwapa laki mbili mwishoe waje kukuua na wewe wakizoea na watapewa laki mbili na mtu mwengine shetani hana rafiki.
Suala la mauaji yanayoendelea na utekaji litakuja kumgharimu na yeye hivi karibuni shetani muuwaji hana rafiki hatukupaswa kupuuzia katiba ya nchi ni...
Kwa kifupi nafasi yako kwa siasa zetu ni Nyeti.
Itumie kuleta HAKI.
Watetee wahanga wa D29, wape faraja
Jitenge na adhabu ya Munhu wako! Mauaji haya yalikuwa.makubwa!
ITUMIE KUITETEA TANGANYIKA ( ingawa kipengele hiki ni kigumu)
Jiepushe na upofu wa kutoona kuwa hapa HAKI inavunjwa...
Miaka ya hivi karibuni asilimia kubwa watu wengi hawana furaha na wana upweke kupita kiasi . na mimi nikiwa mmojawapo
Je ni sababu zipi zinazopelekea watu kuwa na upweke na tufanye vitu gani tuweze kuondokana na upweke ????
J.K. Rowling, mwandishi mashuhuri wa Uingereza, mtayarishaji wa filamu na mwandishi wa skrini, anayejulikana duniani kote kupitia mfululizo wa vitabu vya Harry Potter, anazungumzia kwa msimamo dhana ya ushindani wa kisiasa. Anasisitiza kuwa siasa za kidemokrasia lazima zijengwe juu ya mjadala wa...
Mimi navyo fahamu,watu ambao wameshafika kuandika vitabu wanauwezo wa maarifa kuyatumia.
Ila hapa tanzania ni tofauti asilimia kubwa mfano Yeriko nyerere hata ujasusi wenyewe hawezi.
Sasa huyu bwana Joel ni maneno mengi unaweza kusema jamaa anaweza maisha yake binafsi kumbe sio bora hata...
Gambo kumbuka ulipokuwa na DC na baadae RC.
Je, matendo yako yalikuwaje? Uliwafanyia nini watanzania?
Karma imekuwahi sana, haijataka ichelewe. Na bado utaendelea kukiona cha moto.
Usijifungamanishe na wana Arusha
Huyu mwamba katika kipindi kifupi ameweza kuharibu mizizi ya magenge ya uharifu/madawa ya kulevya na uongozi wa ubadhilifu uliokuwa umeikumba nchi hio miongo na miongo.
Leo nimetimiza siku 54 bila kupiga punyeto naamini hii ndo itakuwa safari yangu ya mwisho katika kutimiza lile nililokuwa napigania muda mrefu. Nimeanza hii shughuli 2012 nikiwa bado nasoma, ilifika mahali kwa siku napiga hata mara 3 mpaka 5.
Kila nikisema niache nitakaa wiki baada ya hapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.