Wewe Gombel is a female supernatural being or ghost in Javanese mythology. It is said that she kidnaps children.This myth is taught to encourage children to be cautious and to stay at home at night. Traditionally, the Wewe Gombel is represented as a woman with long, hanging breasts. Modern representations include vampire-like fangs. This is a popular spirit that also appears in comics.
Hii ni hoja yangu tu si lazima kila mtu akubaliane nayo.naamini kuna dalili ambazo zinaweza kuonyesha moyo wa mtu unavutwa zaidi kumtafuta Mungu.
Ya kwanza ni pale unapokuwa peke yako hasa usiku. Unaweza ukawa unatembea au ukaamka ghafla bila hata kukusudia ukautazama mwezi bila sababu ukaanza...
Siri ya Kuepuka Huzuni na Unyonge Kwenye Maisha:
Punguza Matarajio
Moja ya vyanzo vikubwa vya msongo wa mawazo na unyonge kwenye maisha ni tabia ya kutarajia watu wafikirie na kutenda kama unavyofikiria wewe.
Tunapoweka matarajio makubwa kwa watu, tunajisahau kuwa uhalisia wa maisha yao na...
Shida kuna machawa hapa wa CCM hata kuvuka burundi wameshindwa.
Huu ni ushaidi kuwa balozi zetu siku kikinuka pambana wewe.
Mfano tumeona africa ya kusini pale balozi zao zikifanya jitihada kuwatoa raia wao.
Ila haoa tz ndo kwanza wanatangaza Amani na kudai vikosi vya kuvunja amani vipo nyuma...
Wewe Mwigulu Nchemba ni muongo sana.
Na inavyoelekea, kusema uongo ni asili yako [pathological liar].
Unadanganya kipumbavu sana. Na kufanya hivyo ni moja ya dalili za kuwa pathological liar.
Unaropoka tu kuwa watu wamepewa hela waandamane.
Hutoi ushahidi wowote ule. Ukibanwa kidogo tu...
Ladies punguza kuringa kuna siku utazeeka afu wale mahandsome au wenye hela unaowapenda waliokupendea sura watakuacha watahamia kwa pisi zingine za wakati huo, sa sijui utakua mgeni wa nani on those days😳
Na changamoto ni kwamba wale wanaowapenda kwa dhati mara nyingi hawanaga pesa currently...
Sheikh Mwaipopo, Tanzania ni Kubwa kuliko CCM, kuliko Samia na Genge lake !!.
Sheikh Mwaipopo, Mungu kanipa Maono, ilikuwa usubiriwe Usimame mbele Kuta za MAHAKAMA ujibu Tuhuma za Harakari zako za Kigaidi.
Sasa Mungu amenena nami, kama alivyonena na Manabii wake juu ya Wafalame waovu, UNAFUATA...
Wanabodi
Japo uchawi upo na wachawi wapo na wanaloga!, anayeruhusu hicho kilogo kikufikie, au uchawi ukufikie, na kulogeka ni wewe mwenyewe bila kujijua, wewe unao uwezo wa kuzuia kulogeka bila kwenda kwa mganga yeyote au bila kutumia zindiko lolote bali ni kwa kujitambua tuu kwa kutumia...
Jipimie kuwazidi hawa waajiriwa wa taasisi kubwa kubwa, uweze kutengeneza angalau milioni 10 na zaidi kila mwezi, watumishi wachache sana wanavuka hapo ukiunganisha posho, mshahara na vidili. basi hio ndio iwe target yako.
Watumisi hasa wa serikali wana uhakika wa misahara, posho na vidili...
Mlinzi wa John Heche,take care,narudia yake care usidhanie unalinda jokeri
Yeye jukwaani ananyumba akiwa anaongea wewe umesimama pahala pamoja tu,
Take care kiapo chake ni either ufe au afe.
Hivi Tundu Lissu wakati wa kupigwa risasi kwa Nini hakuwa na ulinzi ilihali alikuwa mnadhim mkuu wa...
Siku chache zilizopita niliwapa stori ya rafiki yangu wa kijani ambaye amenisaidia kuona upande mwingine wa dunia ya freelancing. Wengi mliuliza:
"Huyo rafiki ni nani?"
Leo nimeamua kumleta rasmi.
Jina lake ni FIVERR.
Usichanganyikiwe na kizungu, ngoja nikuelezee kwa lugha rahisi.
Fikiria una...
Nchi inaendeshwa na bajeti ya mikopo ,tutegemee siku moja mabeberu kuja kututawala tena .
Watanzania ni lini wataambiwa takwinmu za deni na watasikia deni likishuka chini na siyo kila takwimu inapotolewa ni kuongezeka kwa namba tu hivi wewe kama kiongozi huoni AIBU.
Zaidi ya Trilion 100........
Mshana Jr hii elimu naomba nikupe uweze kuwajibu.
Ila nimeona mpaka kwenye teknolojia sio jina ila kwenye mambo mengi ambayo tunafanya kama binadamu.
mfano namba 9 inaweka kuwa 6 hapa ndio binadamu wakapishana.
Mfano 3 kwa mwengine ikawa B.
Kwa nini 6 iwe jicho la ufahamu .
Mwanasayansi...
Kama wewe ni overthinker basi una akili sana…
Kama wewe ni overthinker, huenda hujui kuwa una aina fulani ya akili ambayo watu wengi hawana…
Watu wengi wanapofikiria, wanaona kitu kimoja tu.
Lakini wewe?
Akili yako inaenda mbali zaidi.
Unaweza kukaa kimya sehemu moja, lakini ndani ya kichwa...
Yess
Kuna ile dini zinaamini kuwa wewe kama ukifa kama sio dini fulani hautaingia mbinguni, hautamuona M/Mungu na utaangamia milele motoni
How dini zina ubaguzi kiasi hichi yaani waislamu pekee ndio wataingia peponi au wakristo/waisrael pekee ndio wataingia mbinguni, mtu wa dini tofauti...
Uponyaji upo ndani mwako,ukifika level ya pili ya ufahamu magonjwa, umasikini, wachawi,tamaa ya ngono,ulevi na negative energy zote ukaa mbali na wewe kwa sababu wewe ni adui.
Kwanza naomba kwa nitakae mchukiza kwa hiki ninachoenda kukiandika hapa tusameheane ila nitasema ukweli na ukweli tupu sitosema uongo.
Niende moja kwa moja, kwanza brother huyo binti au mwanamke kabla hujamuoa hakikisha unamjua vizuri nje ndani.
Sio unamjua juu juu tu kisha unapapatika kutaka...
Leo hii unajiuliza maswali lukuki yanayokuumiza kichwa bila majibu, maswali kama;
1. Inakuwaje TRA wananiletea assessment za madeni ya riba na adhabu (Interest and penalties) wakati kampuni yangu haijaanza kazi?
2. Kwanini TRA wananisumbua kila mwaka wakinitaka kufile annual return wakati...
Mwanamke anaweza kusamehe na kusahau ukimfanyia unyanyasaji, ukimpiga, ukimcheat n.k, lakini kamwe hawezi kusamehe ukionyesha udhaifu. Soon or later atakuadhibu tu.
Sasa utajuaje kama wewe ni mwanaume dhaifu kwa mwanamke.
-Unampa kipaumbele zaidi yako
-Unalia mbele yake
-Upo emotional sana...
Kwa namna ambavyo hii serikali imekuwa ya kidhalimu hakuna mtu mwenye roho ya ubinadamu anaweza kuitetea,na hakuna mwenye roho ya utu anaweza kukubali kunyamaza kimya.
Wasomi wamekuwa washenzi wakuliangamiza taifa kwa vipande vya pesa mbaya zaidi umri wao wengine umesha kwenda,nguvu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.