wewe

Wewe Gombel is a female supernatural being or ghost in Javanese mythology. It is said that she kidnaps children.This myth is taught to encourage children to be cautious and to stay at home at night. Traditionally, the Wewe Gombel is represented as a woman with long, hanging breasts. Modern representations include vampire-like fangs. This is a popular spirit that also appears in comics.

View More On Wikipedia.org
  1. stabilityman

    JamiiForums Tanzania wewe msomi usikae nyumba isiyo na fensi

    yes nyumba Bilal fensi ni risk kubwa kubadili ukatae ukweli uko hivyo
  2. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni mtanzania, umevuka miaka 35 na huna Passport upo kwenye list ya watu maskini

    Nimegundua watu wenye passport hapa Tanzania ndio wenye nafasi kubwa sana ya kufanikiwa kuliko wasio na passport nimeshuhudia mimi mwenyewe na watu wangu wa karibu wakitoboa kirahisi sana wakiwa na passport kuliko wale wasio na passport kwasababu ya exposure wanayokuwa nayo kwenye sekta...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Watu wengi hawapo kwa ajili yako,wapo kwako kwa manufaa yao siku ukibaki wewe utaelewa hili

    pale unapougua, pale kazi inapokwama ndipo utajua ni nani alikuwa na wewe na ni nani alikuwa na kile ulichokuwa nacho. Huu siyo uchungu bali hii ni uchujaji wa asili. Mungu wakati mwingine anakuruhusu "ubaki wewe" ili akufundishe somo ambalo vigelegele haviwezi kukufundisha. Unapobaki wewe...
  4. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Inawezekana mwanaume akuumize binti mrembo kama wewe😏

    hii kauli imeharibu mahusiano ya wanawake wengi na kuwatoa kabisa kwenye ramani..
  5. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Wakikuacha sehemu, wakidai kuwa hawawezi kwenda na wewe, Wakirudi hakikisha hawakukuti walipokuacha

    Wakikuacha sehemu, wakidai kuwa hawawezi kwenda na wewe, Wakirudi hakikisha hawakukuti walipokuacha.
  6. My mee

    JamiiForums Tanzania Nini kilipelekea wewe kupima HIV?

    Uliumwa ugonjwa gani mpaka ukaamua kupima HIV. Je ulikutwa nao au.wasiwasi wako tu.
  7. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni muuzaji wa jerseys na una hii jersey, pliz check me

    2003/2005 edition
  8. B

    JamiiForums Tanzania Je, kuoa ambaye ameshazaa na wewe huna mtoto inaweza kuleta changamoto baadae?

    Niliwahi kuleta mada hapa miezi kazaa nyuma wale kijana wa miaka 26 na mtu mpenzi mtoto ana miaka 29, 1.Sasa yule mdogo wangu anasema akijaribu kuingia kwenye mahusiano na wasichana wenye miaka 25 kushuka chini wanaishia kugombana pia wanamkataa sana haswa hawa wa 18-25 anasema wanaomba hela...
  9. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Mzee Said, unaforce kutengeneza tatizo ambao halipo. Tz ilijijenga katika misingi ya kuheshimiana dini zetu. Wewe ni udini ndio unakusumbua.

    Mohamed Said Unatamani sana nchi hii ingekuwa chini ya caliphate, sasa kwa kuwa misingi ya dini katika siasa iliminywa na sera za nyeerere ili isipelekee taifa kugawanyika kidini na kugeuka kuwa lebanon sasa inapelekea kukuumiza sana kwa kudanganya watu kuwa TANU na nyerere waliua historia na...
  10. Equation x

    JamiiForums Tanzania Huwezi kuwa tajiri bila ya kuwa na watu wa kukufanya wewe kuwa tajiri

    Unaweza kuwa na mipango mingi, lakini hiyo mipango bila kuwa na watu sahihi wa kuitekeleza usitegemee kuwa tajiri. Hawa watu ndio watakao kutengenezea vitu, watakao fanya mauzo, watakao toa huduma kwenye taasisi yako, ndio watakao chimba madini n.k, na wewe kuweza kuingiza pesa na hatimaye...
  11. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wengine Wanatajirika Haraka, Wewe Ukibaki Maskini? (Soma hapa ufahamu)

    Habari wadau, Nianze na mzizi wa umaskini unatoka wapi: Na mzizi wa umaskini haupo katika aina ya kazi, haipo katika chanzo cha kipato. Uhusiano kati ya unachotengeneza na unachokitumia ndio mzizi ulipo. Je unachotengeneza na unachotumia inamaana gani? Kutengeneza thamani maana yake ni kwamba...
  12. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Dr Nchimbi hasingekuwa TISS ilifaa atumbuliwe, Sasa kwa Sasa ukimtumbua TISS Wana wewe, Shooo, utajuta kuzaliwa watampa nchi hii.

    NAKWAMBIA hivi Dr Emanuel Nchimbi hasingekuwa TISS kwa KAULI yake dhidi ya katiba mpya kufaitiwa na kuwataka watu waitafte ili Hali wanao itafuta wanapewa kesi za ugaidi angekuwa katumbuliwa tayari. Ulinzi wake ni idara na usinior wake, magufuli hakumtaka huyu mtu hata yeye hamkutaka magufuli...
  13. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Tetesi:-Endapo kama wewe upo fb na uliwahi kutoa maneno ya kichochezi jiandae!

    Utapelekwa mahakamani,na uchochezi wako,yaani kile ulichochochea kwa kukiandika kita wekwa mbele yako!,utakana lakini kwa nguvu ya teknolojia itakutambua,kwa tarehe,muda na sasa uliyoweka utumbo wako!,ubaoni / #Uzito wa ulichoandika kitaelekeza aina ya kifurushi unachostahili kupewa! Kwa kosa...
  14. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Dunia bila uwepo wako. Wewe ni nani hasa? (Soma hadi mwisho, itabadilisha mtazamo wako)

    Wadau za wakati huu, Tuna muda kidogo hatujaonana uzi wangu wa mwisho wiki kama 3 zilizopita lakini katika kukaa kwangu na kufikiria nimefanya uchambuzi pamoja na utafiti mbalimbali kuhusu hii mada yetu hii ya leo. Mada hii ya leo imeibuka baada ya siku moja swali hili kutokea: "Kama...
  15. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Sikatai wewe ni jasiri ila humfikii huyu dogo wa Dizonga

    Ishu sio kulala na Ashawo kichakani huku akiwa na Rand 2000 mfukoni ( Kama laki tatu na ushee ya kibongo) . Ishu ni kupiga chukuchuku ( Kufanya Raw Sex/ Sex bila condom) na Malaya wa DURBAN NATAL.. 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇 Man Robbed After Dispute Over Sex Worker Payment: Verulam CBD - KZN A man was...
  16. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Katika vita ya Midle East wewe uko upande gani?

    Mimi bila kupepesa macho nipo upande wa IRAN,Japo watu wamegawanyika katika munktadha wa kidini wakirsto wanapendelea ISRAEL Wakidhani ni Nchi Takatifu lakini ni Shetani na hatambui wa Roma! Pia Mimi sipendi watu wanaoonewa bila sababu mfano Vita ya Urusi ns Ukraine mimi nipo URUSI,kwanini...
  17. M

    JamiiForums Tanzania wewe ni mtu wa kuchill nyumbani au wa kutoka kwenda viwanja, vijiweni, n.k ?

    Wewe ni mtu wa kuchill nyumbani 🏡 au wa kutoka kwenda viwanja
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ili uwe maskini, subiri maisha yakubadilikie bila wewe kubadilika

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Watu wengi husubiri siku nzuri zije, nafasi ijitokeze, au mtu fulani abadilishe maisha yao. Lakini maisha hayabadiliki kwa sababu muda umepita; hubadilika pale fikra, maamuzi na tabia za mtu zinapoanza kubadilika. Maisha yako hayabadilishwi na kile unachofikiri...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Chezea CHADEMA Dodoma wewe. Makao Makuu ya Nchi

    Hii ni Dodoma
  20. bless on

    JamiiForums Tanzania Jinsi simu yako inavyokuibia matumaini ya maisha bila wewe kujua

    Simu yako inaweza kuwa kifaa cha kukuungizia pesa, lakini kwa sasa ndio adui mkubwa anayefuta ndoto zako taratibu bila wewe kugundua. Unacheka nayo kila sekunde huku ikinyonya muda wako. Angalia mambo haya matano unavyojiua kiuchumi na kiakili: 1. Usumbufu wa milio ya meseji Simu inalia kila...
Back
Top Bottom