wengine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ophonso

    JamiiForums Tanzania Mdomo umewaponza kwa kuwashutumu wengine wanatoa kafara ndugu zao

    Hakuna kitu kibaya sana kama ulimi. Usipouchunga ulimi wako utakuletea aibu, madhara kwako na kwa wengine. Hii familia imekuwa inaropoka sana wengine wakipoteza wapendwa wao tena katika mazingira ya kawaida tu ya kifo kama ajali au magonjwa. Utasikia tu eti Wamemtoa Kafara. Mtu kafa kwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Unafiki wa Marekani: Wakati Marekani ikishinikiza wengine kuitenga Urusi kiuchumi, yenyewe haiko tayari kuitenga Urusi maeneo inayofaidika nayo

    Marekani ni mnunuaji mkubwa sana wa mafuta yasiyosafishwa toka Urusi!! Hilo ni eneo nyeti sana kwake kiuchuni. Jana katika hotuba yake muhimu kwa Taifa, mataifa ya ulaya yalitegemea Biden kutangaza kususia ununuaji wa mafuta toka Urusi, na kwa mshangao wao hakugusia kabisa jambo hilo. Hata...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Sijui ni mimi tu au kuna wengine pia?

    Jamani mimi hata mwanamke awe mzuri namna gani, kama anachonga/ananyoa/anapunguza nyusi lazima anishinde. Sipendi kuona nyusi za mwanamke zimechongwa. Yaani niko tayari kumvumilia mwanamke mchafu, mvaa mawigi, muweka mikope ili mradi tu hachongi nyusi. Siku hizi najitahidi sana ninapozungumza...
  4. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Deep thinking: Utu wako uujuao wewe ni tofauti na matoleo tofauti ya utu wako katika fikra za watu wengine. Ujifikiriavyo sivyo uonwavyo!

    Maisha ya mtu yeye pekee ndie anaeweza kucheki muvi nzima ya Maisha yake kuanzia kumbukumbu, tabia, siri, fikra, hisia, mahusiano, mwili, udhaifu, anachopenda, n.k. katika muvi hio watu wataaambulia clips za hio muvi ama picha mnatona screenshots zitazojenga toleo lako la lengine katika fikra...
  5. Stroke

    JamiiForums Tanzania Dhambi ya Ukabila ni Mbaya tumeanza na Wamasai wengine Watafuata

    Miaka 61 baada ya kuwa na Tanganyika huru leo tunashuhudia kampeni kubwa na ya aina yake katika taasisi mbali mbali hapa nchini ya kuwataka wamasai ambao wamekuwa wakiishi katika maeneo hayo kwa zaidi ya miaka 60 kutakiwa kuya hama makazi yao ambayo vizazi na vizazi wamekua wakiita nyumbani...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mapenzi hayako Fair. Wakati mpenzi wa Zamaradi kawekwa kwenye bango la mil. 6, wengine hata kwenye phonebook hampo

    Watu wanapendwa asikwambie mtu, lakini wewe unatendwa na kupondwa. Wanaumeeeeee! Mpo? Mwenzenu anapendwa mpaka anawekwa kwenye bango lakini wengine hata kwenye phonebook hampo ama mme-seviwa kwa jina la "Guruwe ama Nguruwe" Mapenzi kizunguzungu hata kwa wanawake maana wapo wanaohongwa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Napingana na Mahakama kuzungumza na Mbowe peke yake bila watuhumiwa wengine, watuhumiwa watatu wanatetewa na Mbowe Kwenye Haki yao ya Kula?

    Askari ma gereza wamemfuata FREEMAN Mbowe, anahitajika ofisini kwa Jaji katika kikao cha pamoja na mawakili wa pande zote (serikali na utetezi), Washtakiwa wengine watatu bado wamebakia kizimbani. Hapa Kuna utata na mahakama imeshindwa kabisa kusimamia Haki, ushahidi wa Upande wa utetezi...
  8. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Tribute to Silent Heroes & Heroines: Hongera “Idara” Kuhudumia Wastaafu Wake Till D-Day!”. Je Huu Sio Ubaguzi?!. Why Only Some but not All of Them?!

    Wanabodi, Hii ni makala ya Jumapili iliyopita. Naendelea na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", leo ikiwa ni makala ya Tribute to certain Silent Heroes and Heroines, na kuipongeza “Idara” kwa kuwahudumia wastaafu wake hadi mwisho!” kifoni, lakini nina swali, nikiamini binadamu wote ni...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Nimevutiwa na mpango wa CHADEMA wakukusanya rasilimali na kuboresha makazi ya akina Lingwenya, Azory na wengine wanaougulia machungu

    Nimefanikiwa kukutana kijiweni na baadhi ya viongozi wa Bavicha wakiwa Mwanza nakujadiliana nao kuhusu mikakati Yao ya muda mfupi katika eneo la kusaidia jamiii wakasema wanalo wazo soon litamature na Kuanza utejelezaji. Mawazo Yao yamejikita kufanya haya Kwa jamiii 1. Familia ya Azory GWANDA...
  10. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Idadi ya Wamasai inaongezeka. Je, idadi ya nyumbu na wanyama wengine haiongezeki? Kwanini Wamasai wasiongezeke, wao sio binadamu?

    Eneo la hifadhi ya Ngorongoro ni zao la mkataba kati ya Serikali ya kikoloni ya Uingereza na viongozi wa kimila wa jamii ya kimasai na makubaliano yalikuwa ni kwamba, wananchi wenyeji wa Ngorongoro waondoke eneo la Serengeti na wasirudi tena waende Ngorongoro Mkataba wa Serikali ya kikoloni ya...
  11. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Vijana wengine Watatu wasadikiwa kupotea mikononi mwa Polisi

    Hizi taarifa zinazidi kutisha na kuumiza, Gazette la Mwananchi Online limeripoti kupotea kwa vijana watatu tangu tarehe 24/12/2021 Hadi Leo huku Jeshi la POLISI likishindwa kabisa kutoa maelezo ya wazi. My take: Huu utani POLISI wanaofanya kwa maisha ya Watu sio mzuri; walipotezwa Watu miaka ya...
  12. IKUNGURU IJIRU CHUKU

    JamiiForums Tanzania Hapo zamani, unakumbuka nini?

    Mwaka wa baraka
  13. MC44

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi wa Serikali kufuatia ajali iliyohusisha waandishi

    Ajali ya gari iliyohusisha gari ya serikali iliyobeba waandishi wa habari na hiace iliyobeba abiria tulitangaziwa jumla ya watu 14 walipoteza maisha 6 waandishi na 8 wananchi. Lakini leo wale waandishi 6 ndio wameagwa na waziri wao kuibuka. Tena kaka na matamko mengi na ya hovyo. Ila wale 8...
  14. KENZY

    JamiiForums Tanzania Kwanini wengine wawe na vitambi au wanene nawakati tunakulanao aina moja ya chakula?

    Hii hoja naileta kwenu kwa wataalum wa afya ili mpate kutuletea majibu stahiki,kwani asilimia kubwa ya watu tunaokaanao tunafanana lifestyle ya chakula, lakini utakuta mtu anahangaika na kupunguza unene ama kitambi na wakati huohuo kuna mtu anakaanae na kwa asilimia kubwa wanashare kinachutua...
  15. Richard

    JamiiForums Tanzania CCM imetudhihirishia kuwa ni chama Dola. Rais na Spika ni watu tofauti na Taaisisi ya Urais na Bunge ni vitu vingine

    Kitendo cha Spika wa Bunge la JMT kuandika barua yenye utata ya kujiuzulu na kisha kujitokeza hadharani kutamka kumwomba radhi raisi Samia Hassan, kina maana kubwa. Job Ndugai ametojitokeza ameomba radhi na kisha amejiuzulu na kuondoka. Huyu Spika si yule marehemu Adam Sapi Mkwawa na wala si...
  16. love life live life

    JamiiForums Tanzania Yaliyomkuta Magufuli kwa kinana, Nape, January na Wengine mama angefanyaje?

    Nawaza tu kama spika ameongea tena hadharani, akiwa katika mhimili unaoruhusu kufanya ivo. Je Samia angewafanya nini Nape, January, Kinana nk. ndani ya chama kwa sauti zilizovuja wakiunanga utawala wake kwa mfano?
  17. chiembe

    JamiiForums Tanzania Yanayompata Ndugai ni onyo kwa wengine "usimchezee chatu(taasisi ya Urais), gongo usimtupie, utaukosa ushindi"

    Wale waliodhani Wana deal na Samia, Sasa nadhani wanajua Wana deal na taasisi ya Urais moja kwa moja, taasisi hii ikifungua makucha yake, ni hatari sana. Pale Kuna full squad ambayo imeapa kumlinda Rais na Urais dhidi ya chochote, pale ndio chem chem ya ulinzi na usalama wa nchi. Ni angalizo...
  18. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Vijana waCCM wanajiona kuwa wao ni special kuliko watanzania wengine

    Vijana waCCM wanajiona kuwa wao ni special kuliko watanzania wengine. Yaani wanaweza kujitokeza hadharani kutoa hata vitisho kwa watanzania wenzao. Alafu wakijitokeza kuongea wanaongea kama wanachama na sio watanzania. This is not good guys, mambo ya chama ni wakati wa uchaguzi saivi...
  19. kavulata

    JamiiForums Tanzania Wengine wooote kopeni isipokuwa Rais Samia asikope.

    Hata ukikopa utalipa na hela yako. Fedha za mikopo ni hela zako pia. Nilikuwa nikiwakataza wanafunzi wa vyuo wasiziite boom pesa wanazokopeshwa na bodi ya mikopo na kuzitumia ovyo maana hizo ni fedha zao, sehemu ya mishahara yao, watazirejesha. Unapokopa nyumba au Gari hizo ni hela zako lazima...
  20. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Makasisi, wanasiasa na ufundi wa kubishana kimaadili: Msiwapotoshe wengine mwaka 2022 na kuendelea

    Mtandao wa intanet ni wa hivi punde na katika mambo mengi ni njia ya mawasiliano yenye nguvu zaidi kuliko watangulizi wake, yaani, telegrafu, simu, redio na televisheni. Kwa watu wengi vyombo hivi vya habari vimeondoa hatua kwa hatua urefu wa muda na umbali wa kijiografia kama vizuizi vya...
Back
Top Bottom