kichwa cha binadamu ni mithili ya tenki inapokea kila aina ya malighafi na bila kugoma labda ifike kwenye ukomo kulingana na ukubwa wa tenki hilo japokuwa asili ya tenki ni kupokea kimiminika lakini zipo malighafi ambazo huingizwa kwa namna tofauti madhara yake huaribu malighafi hiyo na...
Kuna watu wanadhania kuwa kiongozi mkubwa basi na akili huwa ni nyingi kuliko wengine!
Hii dhana ni mbaya sana kuwamo kichwani mwa yoyote kwasababu Uongozi ni hekima ya kushauriana na waliochini (waliopo site)!
Ifahamike kwamba waliochini ni wengi kuliko kiongozi mmoja!
Kumekuwepo na tabia...
Sikumbuki ni lini Siku za Sikukuu za Pasaka na Krismasi huwa Mvua hainyeshi karibia maeneo mengi ya nchi ya Tanzania.
Natamani na tarehe 2, 3 na 4 Mwezi May, 2022 pia Mvua zinyeshe ili nione na niamini pia kuwa kumbe hata Mwenyezi Mungu nae huwa anabalansi katika Utoaji wake wa Zawadi na Neema...
nimechelewa kuskiliza hii interview ya Kondeboy kwa ambao ni outdated news samahanini.
Hatuhitaji vijana wenye roho kama ya huyu jamaa, no wonder why our music is not doing well internationally . I do understand that competition exists in the world of business but not the extent of...
Huyu dada rafiki yangu wa muda toka tukiwa chuo. Jana alipenda tuonane tuweze ongea mawili matatu sababu ilikuwa ni weekend. Nilichukuana naye tukawa sehemu tunapata viburudisho then akaomba tunapoondoka tupitie somewhere nimchukulie kuku wa kuchoma. nikasema haina shida. So we went there...
Mchezo wa wa mashindano ya Azam mechi kati ya Yanga vs Geita gold imeonekana Kelvin Yondani kumkanyaga makusudi Fiston Mayele asiyekuwa na mpira. Hii haina tofauti na walichokifanya wachezaji wengine kama Mukoko na wengine waliowahi kufanya hivyo.
Angalia hapa
Itoshe kusema watu wa imani ile ni washari na wakorofi sana, ni wanafiki kuliko vipimo vyote vya unafiki ati dini yao ni ya haki, sasa haki gani ya kubugudhi wengine kama wewe umefunga ndio ulazimishe wa wengine wasiokua wa imani yako wafunge ?!!! Ebo !!
Mbona wengine hua wanafunga kwarezwa na...
Mzuka wanajamvi,
Katika hali hii ya uchumi wa duniani kudorora na city kupanda bei kupitia maelezo ni kuwa muangalifu Sana katika matumizi, kusave na usalama wako na familia yako.
Uhalifu umeshamiri na vitendo viovu kama umalaya n.k. Huu siyo wakati wakujionesha kwenye umma una pesa nyingi au...
Rais wa Zambia Mheshimiwa Hakainde Hichilema hajapokea Mshahara wake kutokana na hali Ngumu ya Kiuchumi kwa Miezi Nane iliyopita tokea aingie Madarakani.
Chanzo: Radio One Taarifa ya Habari Asubuhi hii.
Je, unadhani na Marais wengine unaowajua Weww hapa Barani Afrika wangekuwa na Uthubutu huu...
Watu sita wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya gari aina ya Fuso lenye namba za usajili T 239 AFB walilokuwa wakisafiria kuacha njia na kutumbukia kwenye korongo katika eneo la barabara ya Soni/Mombo wilayani Lushoto mkoani Tanga.
RPC wa Tanga, Safia Jongo amesema ajali hiyo...
Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ limetekeleza ahadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Samia Suluhu ambapo vijana wa JKT wameanza Kozi ya kuruti kundi la 41/22 yenye zaidi ya kuruta 2000 jijini Arusha.
Akizungumza katika mafunzo hayo ya kikosi cha KJ 833 Oljoro Arusha, Canali...
Wanabodi,
Japo Tanzania tunaagiza mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa, kwa uagizaji wa pamoja, yaani Bulky Procurement, lakini ubora wa mafuta hayo haufanani, mafuta ya TotalEnergies ndio mafuta bora zaidi, kutokana na kuongezwa kiambata kiitwacho excellium, kinachoyafanya mafuta yao...
Amesikika Abdul Nondo katika kipindi cha Medani za Siasa Star TV kwa niaba ya ACT, kwamba hata wao wanataka mno katiba mpya.
Pamoja na tofauti zilizopo yumkini Chadema au NCCR au CUF na ACT wanaweza kufikia hatima inayoweza kutuletea sote raha.
Ikumbukwe umoja ni nguvu. Bila kusahau adui yetu...
Miili miwili kati ya mitatu ya watu iliyopatikana juzi Ijumaa ilikutwa ikielea katika Mto Yala Nchini Kenya.
Mmoja ulikutwa umetobolewa macho huku ukiwa umekunjwa na kitambaa katika mdomo, mwingine ukiwa umezungushiwa nailoni juu ya kichwa na kufunika uso.
OCPD Charles Chacha wa Yala...
Kuanzia TRA kumbe mpaka TANROADS ni Mzee Mkapa ( RIP) alianzisha, sasa wengine miaka 10 walikuwa wanafanya nini Ikulu ? Angalau Mzee Mwinyi miaka 10 alipiga kazi pia, alifanya mengi sana ukichukulia ukweli kwamba aliongoza nchi kipindi kigumu sana cha mageuzi ila 2005-2015 ni lost decade...
Mtoto wa kiume anakuwa na hisia kwa namna yeyote vile kama binaadamu wengine. Ni vile wewe mzazi unamsaidia mtoto wako kukua kwa namna ambayo utamsaidia na kumuongoza.
Mtoto wa kiume anastahili kuogopa na hata kulia. Mzazi acha kumkataza mtoto wako wa kiume kulia maana tuna tabia ya kuwaambia...
Habari za leo Wana JF,
Nilishawahi kuwa na uhusiano na mwanamke kwa miaka mitatu, tukaachana ni mwaka sasa mi nishaoa na yeye inasemekana kashaolewa, kiukweli. Yule kiumbe amegoma kutoka kichwani kila mara namuota tunasex na mambo mengi kadha wakadha.
Pia, kinachochangia kumkumbuka ni kuwa...
Siku za karibuni watanzania wamekuwa wakishangazwa na yanayoendelea, ni kama walikuwa kwenye usingizi mzito wasijue ni nini kinachoendelea lakini kadiri usingizi unavyoisha ndivyo wanabaki kufurahi.
Baadhi ya vitu vinavyoshangaza na vimekuwa kama ndoto ya kutisha ni kama:
I) Iliwezekanaje...
Unakuta mwanaume hana pesa, kisirani saa zote amekunja sura, hawezi kuongea pole pole mda wote anaongea kama anapauka, sio handsome na hajui kuvaa. Mwanaume hana ata sifa moja ya kumfanya apendwe, yupo yupo tu.
Nyie wanaume mkiwa hamna pesa jitahidini kua vizuri sehem nyingine. Kua mchangamfu...
Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi amemteua Adriano Afonso Maleiane kuwa Waziri Mkuu mpya wa taifa hilo ikiwa ni muda mfupi baada ya kumfukuza kazi aliyekuwa akishika nafasi hiyo, Carlos Agostinho do Rosário.
Maamuzi hayo ya uteuzi yameenda pamoja na uteuzi mpya wa mawaziri kadhaa akiwemo Waziri wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.