Nashqngazwa na hawa warembo wa Jf, wanamashauzi kinoma ujue mpaka mtu amekufungulia ni kwamba kavutiwa kutoka moyoni kwasababu "The true love come from unknown" Ebu fikiria yaani Jf yote hii mtu kakuchagua wewe tu huoni hiyo ni bahati ya mtende. Sasa basi kuanzia leo tukiwaandikia nyuzi hapa...
Mara kadhaa nimeona na nimesikia stori za baadhi ya maafisa wa LATRA, hasa jijini Dar es Salaam, wanavyotekeleza majukumu yao ya kuwakamata madereva wa bodaboda na Bajaj.
Kinachonishangaza ni kuona baadhi ya maafisa hao wakiwa katika operesheni za ukaguzi na ukamataji bila kuvaa sare au mavazi...
Anonymous
Thread
bajaj
bodaboda
bodaboda na bajaj
control
control number
hawataki
kutoa
latra
maafisa
number
sare
wengine
Nauliza tu kwa nia njema.
Hivi hawa Watanzania ambao kila siku tunaambiwa wanahangaikiwa sana mambo ya CHADEMA ni hawa hawa ninaowaona mitaani au kuna kundi jingine ambalo mimi sijawahi kuliona?
Maana mimi naona hawa hawa
wanaokesha kwa Mwamposa
wanaofungua Instagram kila dakika kuangalia...
Wanasiasa kumbukeni madaraka hukoma, sasa kama mtawatendea wengine mabaya kipindi cha uongozi wenu, huenda moja kwa moja msione madhara kwa sasa.
Ila kesho hao ambao mnawatendea mabaya wakishika hatamu ya uongozi vizazi vyenu havitakuwa salama.
Sishangai kuona baadhi ya viongozi hasa Africa...
Eti wakuu, mnamuona huyu konda? Kumbe inawezekana tu wakavaa vizuri ila huwa wanavaa kama vile hawajitaki, unakuta hata wakivaa zile sare zao wanavaa ilmradi tu.
Yanapozidi moyoni inabidi kuyatoa hdharani.. Lakini katika kuyatoa hakikisha unakuwa makini kwakuwa mwisho wa siku inabidi ubaki kuwa wewe!
Yatoe lakini kwa tahadhari kubwa kwakuwa privacy yako ni kubwa na ni muhimu kuliko changamoto unazopitia... Ili mwisho wa siku usibaki na majuto yasiyo na...
NYUMBA ambayo baba si msemaji, au NYUMBA ambayo mwanamke ndio msemaji wa mwisho Huwa na anguko.
Huwa nawaelewa wanawake ambao hutafuta hata mwanaume lofa tu kikubwa awepo nyumbani ili NYUMBA isikose mwanaume ndani faida ni nyingi sana.
Nimemkumbuka yule Binti alie kua akiishi na mama yake...
Habari wadau,
Nianze na mzizi wa umaskini unatoka wapi: Na mzizi wa umaskini haupo katika aina ya kazi, haipo katika chanzo cha kipato. Uhusiano kati ya unachotengeneza na unachokitumia ndio mzizi ulipo.
Je unachotengeneza na unachotumia inamaana gani?
Kutengeneza thamani maana yake ni kwamba...
Kero yangu ni ujenzi holela unaoendelea maeneo ya Kariakoo, mamlaka zifanye ziara za kushtukiza, maeneo mengi mafundi wako ghorofa ya 8 au yoyote ile ya juu lakini kuwakuta wakiwa hawana vifaa vya kinga hilo ni jambo la kawaida.
Unakuta wananing'inia huku miguu wamevaa yeboyebo, hakuna mwenye...
Anonymous
Thread
hawana
kariakoo
kujenga
mafundi
mafundi ujenzi
ujenzi
usalama
vifaa
wengine
"Ndugu" Emanuel Nchimbi kwa sasa hivi namchukulia kuwa ni mfungwa kama tulivyo wengine wote, waTanzania tusiofurahishwa na mwenendo na mwelekeo wa taifa letu ulivyo kwa sasa.
Sina shaka yoyote, kwamba wapo wengine wengi huko huko aliko Nchoimbi ambao hawajapata ujasiri wa kusema, kama...
Askari wa Jeshi la Polisi nchini, wameuzingira Msikiti wa Kichangani uliopo Magomeni, ambao awali ilidaiwa aliyekuwa Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Walid Omari Kawambwa, angekwenda kuswali Swala ya Ijumaa.
Katika mitandao ya kijamii kulisambazwa taarifa za waumini kujikusanya katika msikiti...
Kuna account humu JF zimefunguliwa na watawala kwa ajili ya kutumiwa na group la watu wanaolipwa kwa ajili ya kujibu, kukosoa, kukejeli nk thread ambazo zinatolewa ambazo zinaanika uobu wa serikali na viongozi wake.
Kwa mfano, unakuta Tlaatlaa au Mwanshambwa sio mtu mmoja. Ni account ambazo...
Kama kichwa Cha habari kilivyo hapo juu, ndugu zangu hapa namaanisha those with sober mind na sio machawa nimemsikiliza mtu anaitwa mchange online tv anasema Mnyika hakugombea ubunge 2015 Kwa kuwa hakukubaliana na ujio wa Lowassa sasa swali langu ni je huyo jamaa mchange akili zake ziko sawa au...
Kuna kipindi cha jamaa mmoja anaitwa sam chui mambo ya ndege.
Alikwenda sudani kusini kuangalia huduma za safari za ndege na mashirika ya misaada.
Kitu nilichoshtuka kuona nembo ya tanzania ya chakula nahisi ni nafaka sijui ni nafaka hipi.
Nitaanza na ili nyuma kidogo,Wakati miaka ya nyuma...
Huenda hii michezo ya ufisadi na matumizi mabaya ya ofisi, matumizi mabaya ya madaraka na matumizi mabaya ya rasilimali za chama chake kwa manufaa yake binafsi na familia yake alianza kufanya muda mrefu huko nyuma. Na huenda hiyo ndio tabia yake halisi ya kutamani kujilimbikizia mali za chama...
Hii project ilitakiwa kuwa kwa jamii kuridisha shukrani kama wakongwe wa fiesta mkaleta matukio kama kila mlicho fanya,kukumbusha maduka ,watu kampuni.
Hapa naona babu tale na cheo kesho sio mbali mtakuja kulia tukiwazika.
Nimefuatilia kwa makini mwenendo wa mijadala ya Tiktok nikagundua huwa hawatoki online.
Nadharia yangu miongoni mwao hizo live kuna Mapolisi na maafisa vipenyo ambao wanafanya kazi ya kuzirekodi na kujaribu kuvuruga mijadala ambayo inaweza ikawa na tija na mbinu. (Wapo wanafanya doria)
Katika...
Hamjambo!
Mfumo wa Dunia ni kama umbo la vidole vyako vya mkononi. Umbo la pyramid. Watu hawalingani.
Kuna watakaokula zaidi ya wengine. Kuna watakaokula vizuri zaidi ya wengine.
Ulaji.
Kula kwa urefu wa kamba walisema wahenga. Ni kweli. Nature ipo hivyo. Kila mtu ale kwa urefu wa kamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.