Tunajikita kushangaa watu wenye mafanikio kwasababu ya makosa ya wazazi wetu....
Wazazi wetu walizaliwa kipindi cha fursa wao badala wasome shule wakawa wanashinda wanawinda vindege maporini matokeo yake wakazaa watoto hawana hata mtu wa kuwa-inspire Wapo Wapo tu, Leo hii ndo hao wakiona mtu...
Tukikubali ku normalize binadamu kupotea kama vile mtu unavyopoteza funguo au goroli, halafu kunakuwa hakuna outrage kwenye jamii, tutakuwa tunawapa ushindi mkubwa sana Samia na hao watu wake.
Hivi inawezekanaje kwa mtu aliyekuwa makamu wa Rais ajiuzulu hiyo nafasi yake halafu watu tunakuwa...
Tuseme nae amechangia kufanya jihad na akafa kama mpambanaji.
Akipokewa huko, atapewa mabikra hawa kama straight men wengine?
Sasa najiuliza, atawaweza kweli? Au kuna mbdadala wake ?😁
Hii nilichelewa kuigundua aisee, baadhi ya wanawake wengi wanapenda wanaume machachali ambao wanatamaa ya tendo mda wote, na wanapenda ile siku ya kwanza tu unayokutana naye ukamuomba tendo na ukamlilia kabisa akakupe siku hiyo hiyo
Na ukimkuta yupo kwenye mood anaenda kukupa chap tu ...
Tulikuwa kwenye msiba mmoja huku Buhigwe Kigoma, tulikuja kumsindikiza jamaa yetu aliyefiwa na dada yake, kufika msibani watu walikuwa wengi tu kama kawaida ya msiba huku watu wakiendelea kumsadia mfiwa shughuli za pale kama kuandaa chakula.
Cha kushangaza baada ya kumaliza kupka kila mtu...
Ukisikiliza speech ya tajiri namba moja,unaona mtu kilaza sana ambaye unaweza kudhani hakupita hata shule yoyote.
Jambo hili linanifanya niamini utajiri ni majaliwa ya Mungu tu,na ukishaupata,unautumia utajiri wako kudhulumu watu ili uzidi kuwa tajiri.Na uzuri unapata machawa ambao ndio watakupa...
TULIOOA
Watu wengi, hususan Wanaume waliozingua kwenye ndoa zao wana brag sana kuhusu uzuri wa ndoa, kama ulioa na clear purpose, huwezi kuwa unajieleza sana kuhusu maamuzi yako. Kama ndivyo, umezingua so unajaribu ku justify maamuzi yako kwa kuyapaka rangi yaonekane mema. Tuliooa kwa akili...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesisitiza dhamira yake ya kuimarisha ushirikiano na Taasisi ya Africa50 pamoja na wanahisa wengine ili kuharakisha utekelezaji wa miradi ya kimkakati ya miundombinu barani Afrika.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar (Mb)...
Nashqngazwa na hawa warembo wa Jf, wanamashauzi kinoma ujue mpaka mtu amekufungulia ni kwamba kavutiwa kutoka moyoni kwasababu "The true love come from unknown" Ebu fikiria yaani Jf yote hii mtu kakuchagua wewe tu huoni hiyo ni bahati ya mtende. Sasa basi kuanzia leo tukiwaandikia nyuzi hapa...
Mara kadhaa nimeona na nimesikia stori za baadhi ya maafisa wa LATRA, hasa jijini Dar es Salaam, wanavyotekeleza majukumu yao ya kuwakamata madereva wa bodaboda na Bajaj.
Kinachonishangaza ni kuona baadhi ya maafisa hao wakiwa katika operesheni za ukaguzi na ukamataji bila kuvaa sare au mavazi...
Anonymous
Thread
bajaj
bodaboda
bodaboda na bajaj
control
control number
hawataki
kutoa
latra
maafisa
number
sare
wengine
Nauliza tu kwa nia njema.
Hivi hawa Watanzania ambao kila siku tunaambiwa wanahangaikiwa sana mambo ya CHADEMA ni hawa hawa ninaowaona mitaani au kuna kundi jingine ambalo mimi sijawahi kuliona?
Maana mimi naona hawa hawa
wanaokesha kwa Mwamposa
wanaofungua Instagram kila dakika kuangalia...
Wanasiasa kumbukeni madaraka hukoma, sasa kama mtawatendea wengine mabaya kipindi cha uongozi wenu, huenda moja kwa moja msione madhara kwa sasa.
Ila kesho hao ambao mnawatendea mabaya wakishika hatamu ya uongozi vizazi vyenu havitakuwa salama.
Sishangai kuona baadhi ya viongozi hasa Africa...
Eti wakuu, mnamuona huyu konda? Kumbe inawezekana tu wakavaa vizuri ila huwa wanavaa kama vile hawajitaki, unakuta hata wakivaa zile sare zao wanavaa ilmradi tu.
Yanapozidi moyoni inabidi kuyatoa hdharani.. Lakini katika kuyatoa hakikisha unakuwa makini kwakuwa mwisho wa siku inabidi ubaki kuwa wewe!
Yatoe lakini kwa tahadhari kubwa kwakuwa privacy yako ni kubwa na ni muhimu kuliko changamoto unazopitia... Ili mwisho wa siku usibaki na majuto yasiyo na...
NYUMBA ambayo baba si msemaji, au NYUMBA ambayo mwanamke ndio msemaji wa mwisho Huwa na anguko.
Huwa nawaelewa wanawake ambao hutafuta hata mwanaume lofa tu kikubwa awepo nyumbani ili NYUMBA isikose mwanaume ndani faida ni nyingi sana.
Nimemkumbuka yule Binti alie kua akiishi na mama yake...
Habari wadau,
Nianze na mzizi wa umaskini unatoka wapi: Na mzizi wa umaskini haupo katika aina ya kazi, haipo katika chanzo cha kipato. Uhusiano kati ya unachotengeneza na unachokitumia ndio mzizi ulipo.
Je unachotengeneza na unachotumia inamaana gani?
Kutengeneza thamani maana yake ni kwamba...
Kero yangu ni ujenzi holela unaoendelea maeneo ya Kariakoo, mamlaka zifanye ziara za kushtukiza, maeneo mengi mafundi wako ghorofa ya 8 au yoyote ile ya juu lakini kuwakuta wakiwa hawana vifaa vya kinga hilo ni jambo la kawaida.
Unakuta wananing'inia huku miguu wamevaa yeboyebo, hakuna mwenye...
Anonymous
Thread
hawana
kariakoo
kujenga
mafundi
mafundi ujenzi
ujenzi
usalama
vifaa
wengine
"Ndugu" Emanuel Nchimbi kwa sasa hivi namchukulia kuwa ni mfungwa kama tulivyo wengine wote, waTanzania tusiofurahishwa na mwenendo na mwelekeo wa taifa letu ulivyo kwa sasa.
Sina shaka yoyote, kwamba wapo wengine wengi huko huko aliko Nchoimbi ambao hawajapata ujasiri wa kusema, kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.