watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. Half american

    Wazazi/walezi wafundisheni watoto kuwa na kiasi kabla tamaa zao hazijawameza.

    Matukio ya kikatili na ya mauaji yanazidi kuongezeka. Visa ni vingi sana. Kuwa na mali na uwezo wa kiuchumi ni vizuri sana ila visigeuke kuwa tishio la uhai wako. Tamaa zinawamaliza wengi. Ndio mwanzo wa usaliti, dhuluma, kuminya haki ya mwingine n.k. Kwa bahati mbaya kuna baadhi ya wazazi...
  2. R

    Huwa unafuatilia anachofanya mwanao Mitandaoni?, Ripoti ya UNICEF inasema watoto Milioni 15 wamekutana na Maudhui ya Kingono

    Kadri siku zinavoenda Mtandao ya kijamii inaonekana kutokuwa sehemu salama kwa watoto kutumia bila usimamizi, kwani wanaweza kukutana na maudhui hatari au yanayoweza kuwaathiri. Nchini Marekani, Meta, kampuni inayomiliki Instagram na Facebook, hivi karibuni ilikubaliana kumaliza nje ya...
  3. A

    KERO Kilangalanga Sekondari, Walimu wanamnyima Mwanangu cheti kisa hajalipa 40,000 ambayo walimu walitaka walipwe kuwasimamia watoto kuingia prepo

    Mimi ni mzazi wa mwanafunzi aliyemaliza kidato cha sita Kilangalanga Sekondari, nikiri kuwa ni kweli mtoto wangu hakulipa hiyo fedha kiasi cha sh. 40,000 kama ambavyo walimu walitaka kila mtoto alipe fedha hiyo wakidai ni kwa ajili ya kuwasimamia wajisomee usiku wakati wa prepo. Walimu...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    Serikali; mzazi anayetaka na kudai matunzo ya mtoto asikae na Mtoto. Full stop!

    SERIKALI; MZAZI ANAYETAKA NA KUDAI MATUNZO YA MTOTO ASIKAE NA MTOTO. FULL STOP! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Hii iwe kwa Mzazi wa kike au wakiume. Yaani Baba au Mama. Huruma sio malezi. Mmeamua kuachana msisumbue watu hapa. Mmeamua kuzalishana huko msisumbue watu. Watoto ni wenu...
  5. David Harvey

    Pongezi kwa Wanawake Wanaolea Watoto, Nimejaribu na Kugundua Ukubwa wa Kazi Hii

    Kulea watoto ni zaidi ya kazi. Weekend iliyopita, mke wangu alienda kwenye msiba ,alifiwa na shangazi yake. Sehemu ya msiba iko karibu na makazi yetu, takribani kilomita 20 hivi. Nilimwambia aende, na kwamba mimi nitakuja siku ya mazishi,Nilimshauri asiende na watoto. Wakati huo, dada wa kazi...
  6. Eli Cohen

    Utawala wa JF, pale inapokuja mtu kupost picha ya mfanya tukio au mhanga wa tukio ni vyema picha iwe yake mwenyewe na sio ikiwa na watoto wake wadogo

    Huu ndio utu. Hii ndio ethics Sio wema kabisa watoto hawa wawe exposed na kuwa targeted. Sio kila mtu anakili ya alfajiri, watu vichwa vyao vimejaa giza. Maxence Melo Cookie Payge Active 255Fixer
  7. BRN

    Watoto wa 2010

    Bado miaka miwili kizazi cha watoto wa kike wa 2010 wanaingia sokoni. Kizazi cha watoto wa 2000 kitapotea na kuwa mishangazi kama walivyo watoto wa 1990. Je watakuwa maarufu kama hawa wa 2000?
  8. Crocodiletooth

    Kwanini watoto wazuri na warembo penzi lao huangukia kwa watu wa shoka?

    Nimejiuliza sana juu ya hili bila kupata majawabu hebu tujuzane hapa!,wazee wa shoka huwamega watoto wakali sana,au kwa sababu hawana kuremba remba na ubishoo mwingi?🧐🧐😃
  9. Robert Heriel Mtibeli

    Tunataka Waziri wa Wanaume. Hizi za kusema Waziri wa jinsia sio kweli. Aliyepo ni waziri wa wanawake na watoto.

    TUNATAKA WAZIRI WA WANAUME. HIZI ZA KUSEMA WAZIRI WA JINSIA SIO KWELI. ALIYEPO WAZIRI WA WANAWAKE NA WATOTO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Wizard ya Maendeleo ya jamii, jinsia na watoto. Inafanya kazi kwa kiwango fulani. Labda tuite kiwango fulani kizuri katika mambo kadhaa. Ila mimi...
  10. Miguel Felix Gallardo

    DHANA POTOFU YENYE MADHARA MAKUBWA: KUENDELEA KUTESEKA KISA WATOTO MWISHOWE MNAUANA.

    NDUGU WATANZANIA HASA WANAUME NAOMBA TUBADILIKE. HATA KAMA TUMEUMBIWA MATESO.KUNA VITU KAMA HESHIMA NA UTI USIPOKUWEPO AU KUUPATA KUTOKA KWA MWANAMKE HALI YA HEWA HUMO NDANI ITAKUWA YA MVUA ZA EL NINO.KUEPUSHA SHARI KAMILI PIGA CHINI MAPEMA.USIPUUZIE RED FLAGS🚩🚩🚩 HUNA UWEZO WALA KIPAWA CHA...
  11. Financial Analyst

    Ahmed Khalifa: "Linda nchi zenu, utambulisho wenu, mustakabali wa watoto wenu. PIGA MARUFUKU Uislamu wa kisiasa"

    Ahmed Khalifa ni mchambuzi wa kisiasa anaehishimika sana mashariki ya kati.
  12. Equation x

    Watengenezee watoto wako ndugu wa kutosha

    Kama mzazi, jitahidi kuwa na watoto wengi ata 50 kama unaweza kufyatua,ili leo na kesho usipokuwepo, watoto wako wawe na ndugu wa kutosha. Hii ya kuzaa kitoto kimoja au wawili, ni kumfanyia ukatili mtoto wako kwa kumnyima kuwa na ndugu wa kutosha. Leo hii wewe, mkeo na ndugu zako mmekata...
  13. S

    SI KWELI Je, wanawake wakila ndizi pacha inaweza kuwafanya wazae watoto mapacha?

    Habari JamiiCheck, ni upi uhalisia wa madai haya kuwa iwapo mwanamke atakula ndizi pacha atapata ama atakuwa na uwezekano wa kupata watoto mapacha?
  14. Robert Heriel Mtibeli

    Kama mkeo hataki kulea watoto wako ambao hajawazaa. Usimlazimishe ni haki yake. Tafuta Yaya umuajiri alee watoto wako.

    KAMA MKEO HATAKI KULEA WATOTO WAKO AMBAO HAJAWAZAA. USIMLAZIMISHE NI HAKI YAKE. TAFUTA YAYA UMUAJIRI ALEE WATOTO WAKO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mtu asibebe msalaba wa mwingine au mzigo wa mwingine kama sio hiyari yake mwenyewe. Kama ilivyo kwako mwanaume, sio wajibu wako kumlea mtoto...
  15. King Kong III

    SWIMMING POOL NA USALAMA WA WATOTO MAJUMBANI

    Umuofia Kwenu wana JF, Swimming pool si sehemu salama kwa mtoto bila ulinzi. Ndugu wazazi tuache ushamba usio kuwa na kichwa wala miguu ,kuna mambo mengine yaache yawapite hata kama una hela ,unajenga swimming pool nyumbani just for showoff ila hujui ABCs zozote za kumiliki Swimming Pools...
  16. Yoda

    Ni kweli Wazanzibar walikuwa wanafinyanga vichwa vya watoto?

    Kuna ukweli kiasi gani Wazanzibar walikuwa wanafinyanga vichwa vya watoto kutengeneza shepu nzuri za kichwa kwa kupunguza vichogo? Mbona huwa naona vichwa vya Wazanzibar wengi vya kawaida tu kama vya Watanganyika!
  17. Marcy

    Chanjo wanazochomwa watoto kwa kila nyumba ni kwa ajili ya nin

    Toka mwezi uliopita kumekuwa na zoezi la kuwapatia watoto chanjo, hususan wale wenye umri wa miaka 10 na chini, ambapo wahudumu wamekuwa wakifika kwenye nyumba mbalimbali. Kesho zoezi hilo linaendelea, na hata kwenye baadhi ya makanisa limetolewa taarifa kuhusu utoaji wa chanjo hizo. Hali hii...
  18. Zerock

    Vijana wa kitanganyika wanajiwehusha kuhusu mahari kwa watoto wa kike

    Vijana wa kitanganyika wanajiwehusha kuhusu mahari kwa watoto wa kike. Hii tabia siyo bahati au wanafanya makusud ila ni ya kurithi. Kijana anaekuja na hoja yake kuhusu kupinga kuwatolea wanawake mahari, Ni kwasababu amerithi tabia kutoka kwenye familia /ukoo wake na jamii aliyokulia...
  19. mwenye shamba

    Tunaomba serikali ichunguze hili tatizo la watoto kutapika na kuharisha hapa manyoni.

    Mode hide my id Kumekuwepo na changamoto kubwa ya watoto kutapika na kuharisha hapa wilaya ya manyoni,wodi ya watoto kwa sasa hakuna ugonjwa mwingine unaoongoza kwa kuwa na wagonjwa wengi kama huu wa kutapika na kiharisha Ttunaomba serikali itoe ufafanuzi,isijekuwa ni kipindupindu tayari...
  20. Binti wa zamani

    Dilemma: Mke alikiri mtoto wa mwisho si wa mume na kisha akafariki. Mshaurini mume afanyaje baada ya huu usaliti

    Mke wa ndugu yetu amefariki baada ya kuumwa kansa kwa muda mrefu, kabla hajafariki amefichua siri kwa mumewe kwamba mtoto wao wa mwisho si mwanae bali ni mtoto wa shemeji (rafiki wa mumewe) ambaye alishafariki kwa ajali miaka 5 iliyopita. Kabla ya usaliti, huyo shemeji alikua ni mtu wa karibu...
Back
Top Bottom