watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Mkeo simpati, nataka kuja kuwasalimia watoto wangu. Tafadhari mwambie awalete kesho saa 3 asubuhi Matayo Hoteli

    Wanajamvi natumai hamjambo. Ungekuwa wewe ndo mwenye huyo mke Sasa ungemjibu nini baba watoto WA mkeo Hatua gani zingefuata Kwa mkeo ambaye wakati unamuoa umemekuta ana watoto wawili
  2. stephenga

    Wazo la Project ya Kusaidia Watoto wa Shule Mabegi

    Nina wazo la kuanzisha project ndogo ya kusaidia watoto wa shule za msingi wanaotoka mazingira magumu kupata begi la shule lenye vifaa muhimu vya kujifunzia ndani yake—kama madaftari, vitabu, kalamu, mkebe n.k. Kwa sasa nataka kuanza kama initiative yangu binafsi, mimi na washikaji wachache...
  3. C0000-5068-428-1

    Watanzania Tushikamane, Tusiwaachie watoto wetu nchi isiyo na amani!

    Kuna wakati Taifa linahitaji siyo tu viongozi, bali pia umoja wa mioyo, matumaini na mshikamano wa watu wake. Leo tunapoangalia Tanzania yetu, tunapaswa kukumbuka kuwa amani tuliyonayo, fursa tunazojenga na maendeleo tunayoyatazamia ni urithi ambao tunapaswa kuulinda na kuendeleza kwa pamoja...
  4. O

    Nakuru Level 5: Vifo 11, Watoto wachanga watatu, huku mgomo wa wauguzi ukiendelea

    Hospitali ya Nakuru Level 5 imeripoti vifo 11 ndani ya saa 24, huku watoto watatu wachanga wakiwa miongoni mwa waliofariki, wakati mgomo wa wauguzi ukiendelea nchini. Mgomo huo, ulioanza Julai 29, 2026, umeathiri huduma katika hospitali kadhaa za umma, huku maeneo ya uzazi na huduma za watoto...
  5. M

    Mbunge ahoji Watoto kuingiliwa kinyume na maumbile na Makocha

  6. Oscar Lyrics

    Nawezaje kupata watoto mapacha?

    Hi guys, Nawezaje kupata watoto mapacha?, ikiwa kuna mtu ana uelewa juu ya jambo hili naomba kufahamishwa tafadhali. Najua humu jukwaani kuna ma great thinkers wa kutosha. Naomba kuwasilisha.
  7. Roving Journalist

    Responded Itigi DC: Wazazi watatu ndiyo hawajatoa michango ya chakula Shule ya Msingi Mitundu B ila Watoto wao wanapewa chakula

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kuandika kuwa baadhi ya Wanafunzi wa Darasa la Saba katika shule ya Msingi Mitundu B katika Halmashauri ya Itigi DC wanasoma hadi usiku bila kula, hali inayoweza kuahiri afya na uelewa wao, ufafanuzi umetolewa. Afisa Habari wa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi...
  8. Sodoku Myebusi

    Asilimia kubwa ya Wake zetu wanataka tuwe kwao vile ambavyo hawataki watoto wao wakiume wawe kwa wake zao- Sodoku Myebusi

    Mke anataka mshahara wote umkabidhi yeye. Anataka umsikilize yeye kuliko mtu mwingine yeyote Duniani. Wanawake wengi wanapenda mwanaume ambaye kwake atakuwa bwege. Afanye kila kitu ambacho mwanamke huyo atataka. Mali zote ziandikishwe jina lake mwanamke. Mume awahi kurudi nyumbani, akiweza...
  9. R

    Unatetea katiba mbovu ambayo kila mtu anaweza kugundua makosa /mapungufu iliyonayo

    Unatetea katiba mbovu ambayo hata kipofu na kiziwi wanaweza kui palpate na kugundua makosa /mapungufu iliyonayo. Best katiba kama za marekeni mnazisfia, mnasahau kuwa ziliundwa/ziliandikwa na watu waliojitoa mhanga kama Lisu. Mjue likitokea la kutokea muungano ukavunjika, your beloved ones will...
  10. masai dada

    Nani yupo kwenye age ambayo baba wa makamo anakutaka na watoto chini ya miaka 25 wanakutaka?

    Nani yupo kwenye age ambayo baba wa makamo anakutaka na watoto chini ya miaka 25 wanakutaka? Vyovyote unavyofanya kwenye maisha hakikisha unafanya mazoezi Usiache
  11. Nyani Ngabu

    Hivi Nchimbi hana watoto, kaka, dada, mabinamu, na ndugu wengine wa karibu?

    Tukikubali ku normalize binadamu kupotea kama vile mtu unavyopoteza funguo au goroli, halafu kunakuwa hakuna outrage kwenye jamii, tutakuwa tunawapa ushindi mkubwa sana Samia na hao watu wake. Hivi inawezekanaje kwa mtu aliyekuwa makamu wa Rais ajiuzulu hiyo nafasi yake halafu watu tunakuwa...
  12. RRONDO

    Pongezi kwenu Single Mothers

    Today I would like to celebrate single mothers. I may not have been raised by one but the burden of single motherhood is not lost on me. One of my ex is a single mother. She has one lovely boy! From what i see her go through, my admiration and respect for her goes higher each day. Single...
  13. Papillon 1906

    Watu maskini hawapaswi kuzaa watoto

    Kama huna chakula usilete njaa zaidi duniani
  14. Jannatul Firdaus

    META yakubali kulipa hadi Tril. 45.1/=, kesi ya watoto

    Meta, kampuni inayomiliki Facebook na Instagram, imekubali kulipa hadi $17.1B (Tsh. Trilioni 45.1/=) kumaliza kesi iliyohusisha madai kwamba mitandao hiyo iliundwa kwa namna inayoweza kuwafanya watoto na vijana kuwa na utegemezi wa matumizi ya mitandao. Kesi hiyo, iliyohusisha majimbo 29 nchini...
  15. A

    KERO Uchafu Nyamalango: Hatari kwa afya ya wakazi wa eneo hilo

    Hapa ni malimbe,sehemu inaitwa nyamalango,kwa mbele kuna migahawa ambayo wanafunzi wa SAUT na wakazi wa eneo hili hujipatia chakula chao pamoja na mahitaji mengine Uchafu huu huachwa hovyo hovyo pasipo kuchukuliwa kwa hatua husika na hivyo kuhatarisha afya za wanafunzi na wakazi wa eneo hili...
  16. M

    Ulipokwenda ugenini, tabia gani za watoto zilikushangaza?

    Nipo Ugenini huku Mikoa ya Kaskazini, nimekuta kwenye hii familia watoto wana tabia ambayo imenishangaza sana na wazazi wanachukulia poa tu, Jana tulikwenda sehemu wakanitembeze nione miazingira wakati tunataka kwenda watoto walitaka kwenda nasi, wazazi wakasema wababi wafanye kazi za shule...
  17. Yoda

    Kuna umuhimu wa kufikiria kwa kina aina ya watoto mtu anaowataka kabla ya kuamua kuzaa ?

    Kuna umuhimu wa kufikiria watoto kabla ya watu kuamua kuzaa? Mfano kiwango cha akili cha mwenza wako na kimo.
  18. McLaren

    Sheikh Mziwanda: Watoto wa 2015 wanasema hii nchi hakuna maendeleo, ulikuwepo? Mnataka maendeleo gani?

    Katika hotuba yake kwenye maadhimisho ya Maulid, Sheikh Mziwanda amewakosoa wanaosema Tanzania hakuna maendeleo "Uhuru ukikosa mipaka ni uwendawazimu... Sasa kuna uhuru wa kusema lolote na chochote popote... Uhuru huu utatuharibia taifa letu." "Tusio kila kitu cha kuiga. Wenzetu wameamua...
  19. instinct desire

    Lissu angekuwa anaishi Marekani kwa mke na watoto wake Leo hii watumishi wa umma wangekuwa mbali sana kiuchumi.

    Watanzania acheni kushabikia siasa za hovyo...kauli za lissu ndo zimeathiri Kila kitu kwa watumishi na wananchi wa kawaida. Naweza kusema lissu amekuja kuharibu ustawi wetu alaaniwe na Kila mtanzania mzalendo. Leo hii tunaona aibu hata kuomba serikali iongeze mishahara kwasababu tunajua...
  20. Design Your Idea

    Mfiwa aanguka kwa mshituko baada ya mdada kuja na watoto wawili msibani na Lawyer akionesha WILL kuwa mdada na watoto hao wamegawiwa ardhi na nyumba

    Mahusiano ni jambo zito sana ila ndoa ni nuclear ya mambo mazito mnoo. Wengi wapo na wenzi wao physically kwa sababu inambidi tu kutokana labda ndoa au watoto wanao share pamoja ila kihisia yupo na mtu mwingine kabisa mwanamke inamuuma kuwa walivitafuta pamoja na mmewe na hata kuna kipindi...
Back
Top Bottom