Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.
Kuna ukweli kiasi gani Wazanzibar walikuwa wanafinyanga vichwa vya watoto kutengeneza shepu nzuri za kichwa kwa kupunguza vichogo?
Mbona huwa naona vichwa vya Wazanzibar wengi vya kawaida tu kama vya Watanganyika!
Toka mwezi uliopita kumekuwa na zoezi la kuwapatia watoto chanjo, hususan wale wenye umri wa miaka 10 na chini, ambapo wahudumu wamekuwa wakifika kwenye nyumba mbalimbali.
Kesho zoezi hilo linaendelea, na hata kwenye baadhi ya makanisa limetolewa taarifa kuhusu utoaji wa chanjo hizo. Hali hii...
Vijana wa kitanganyika wanajiwehusha kuhusu mahari kwa watoto wa kike.
Hii tabia siyo bahati au wanafanya makusud ila ni ya kurithi.
Kijana anaekuja na hoja yake kuhusu kupinga kuwatolea wanawake mahari,
Ni kwasababu amerithi tabia kutoka kwenye familia /ukoo wake na jamii aliyokulia...
Mode hide my id
Kumekuwepo na changamoto kubwa ya watoto kutapika na kuharisha hapa wilaya ya manyoni,wodi ya watoto kwa sasa hakuna ugonjwa mwingine unaoongoza kwa kuwa na wagonjwa wengi kama huu wa kutapika na kiharisha
Ttunaomba serikali itoe ufafanuzi,isijekuwa ni kipindupindu tayari...
Mke wa ndugu yetu amefariki baada ya kuumwa kansa kwa muda mrefu, kabla hajafariki amefichua siri kwa mumewe kwamba mtoto wao wa mwisho si mwanae bali ni mtoto wa shemeji (rafiki wa mumewe) ambaye alishafariki kwa ajali miaka 5 iliyopita.
Kabla ya usaliti, huyo shemeji alikua ni mtu wa karibu...
Maono ya Waraka wa masaa 120 ya mwezi September 2026 kutoka kitabu cha wenye mamlaka (Waamuzi).
Tazama, siku zitakuja ambapo watu wa nchi watakusanyika katika majira ya mashaka, na nyoyo zao zitajawa na maswali kwa sababu hawatajua yaliyo mbele yao.
Nao watasema, “Ni nani atakayetutangulia? Ni...
Mwigizaji mashuhuri wa filamu nchini Rwanda, Sandra Ishimwe, anayejulikana zaidi kama Nadia katika mfululizo maarufu wa "City Maid," ametoa wito mzito kwa wazazi kuchukua jukumu la kuwafunza watoto wao jinsi ya kufanya maamuzi sahihi wanapochagua watu wa kuingia nao kwenye mahusiano ya...
Serikali imeagiza kuondolewa kwa vikwazo vya umri katika utoaji wa kadi za Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida) ili kuhakikisha watoto walio chini ya miaka 18 wanaweza pia kusajiliwa rasmi.
Agizo hilo lilitolewa na Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba mnamo Septemba 16, 2026, wakati wa kilele...
Shule ya Sekondari ya Mazinge (Mazinge Secondary School) ipo katika Mkoa wa Shinyanga, Wilaya ya Shinyanga Mjini (Shinyanga MC), kwenye Kata ya Ndembezi.
Ni shule ya serikali ya mchanganyiko (wavulana na wasichana) kwa ngazi ya Kidato cha Kwanza hadi cha Nne (O-Level) yenye namba ya usajili...
Vijana wa Dar es salaam, mara tu baada ya kuingia chuuo kikuu, mwaka wa kwanza , ananza kuishi na mwanamke kama mume na mke, baada ya miaka 2 wanakuwa mke na mume kisheria(presumption of marriage).
Wanahitimu na kupeana mimba maana huwa wanafanya mapenzi kila siku bila kutumia kondom.
Wanapata...
Habari wadau.
Binafsi najiuliza sana. Why now days shule binafsi nyingi zinaweka masharti ya mtoto kusoma pre form one kwao. Kabla hata hajaanza form one.
Na hapo unakuta hao watoto wametoka kusoma english medium primary schools.
Kweli mtoto aliesoma mtaala wa kiingereza kwa miaka saba...
Mfumo wa elimu unaopendekezwa na Elon Musk uitwao 'Ad Astra' likiwa neno la kilatini likimaanisha kuelekea kwenye nyota ni mfumo ambao aliuanzisha kwa siri mwaka 2014 baada ya kamua kuwatoa watoto wake kwenye Shule za kawaida akiamini kuwa shule za kawaida hazifundishi watoto namba ya kufikiri...
Makete. Takribani watoto wanne kati ya 10 wenye umri wa miaka 10 hadi 14 mkoani Njombe hawajafikia kiwango cha chini cha umahiri katika kusoma, huku watatu kati ya 10 wakikabiliwa na changamoto katika kuhesabu.
Takwimu hizo zimeelezwa wakati wa kufungwa kwa mafunzo ya walimu na wawezeshaji wa...
Nimesikiliza video za hawa vijana ambao ndio wanaomaliza mafunzo ya JKT wakiongelea kuhusu mtu atakaendamana atatolewa haja kubwa, au atoe Shs 20,000 nk.
Imenisikitisha sana.
Japo watu wanasema vijana hao ni mihemuko yao bonafsi, sikubali hilo hata kidogo. Haiwezekani vjana wote hao, wa kike...
●Awasihi Watanzania kuchukua Vitambulisho vyao vya Uraia.
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema Serikali kupitia Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) itaanza kuchukua hatua za kuwasajili na kuwatambua watoto walio chini ya umri wa miaka 18, ikiwa ni sehemu ya kuimarisha mfumo wa...
Ujenzi wa Shule Mpya ya Makulo, iliyopo katika Kijiji cha Makulo, Kata ya Nkinto, Wilaya ya Mkalama, yenye thamani ya TSh milioni 300.2, umeleta matumaini mapya kwa wananchi wa eneo hilo na unatarajiwa kuondoa adha ya wanafunzi kutembea umbali mrefu kufuata elimu.
Awali, wanafunzi wa Kijiji cha...
Fikiria watoto wawili wa miaka 15. Wanasoma darasa moja, wana umri sawa na wako katika uhusiano wa hiari. Polisi wanapofika, mmoja anaenda nyumbani huku mwingine akiondoka akiwa amefungwa pingu.
Mvulana.
Hili ndilo linalofungua mjadala mkubwa kuhusu namna Kenya inavyoshughulikia mahusiano ya...
Walimu wazuri wazuri , wanafunzi wazuri wazuri 🎵
Umeingia darasani, ukaeleza somo kwa nguvu zote. 😅 ukatumia mbinu zako shirikishi , mara onesho mbinu n.k
Then unawaangalia wanafunzi wako unaasema:
👉🏽 “Mmeelewa?”
Darasa zima:
“NDIYOOO MWALIMUUU!” 😂😂
Lakini baada ya dakika tano tu unauliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.