Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.
Meta, kampuni inayomiliki Facebook na Instagram, imekubali kulipa hadi $17.1B (Tsh. Trilioni 45.1/=) kumaliza kesi iliyohusisha madai kwamba mitandao hiyo iliundwa kwa namna inayoweza kuwafanya watoto na vijana kuwa na utegemezi wa matumizi ya mitandao.
Kesi hiyo, iliyohusisha majimbo 29 nchini...
Hapa ni malimbe,sehemu inaitwa nyamalango,kwa mbele kuna migahawa ambayo wanafunzi wa SAUT na wakazi wa eneo hili hujipatia chakula chao pamoja na mahitaji mengine
Uchafu huu huachwa hovyo hovyo pasipo kuchukuliwa kwa hatua husika na hivyo kuhatarisha afya za wanafunzi na wakazi wa eneo hili...
Nipo Ugenini huku Mikoa ya Kaskazini, nimekuta kwenye hii familia watoto wana tabia ambayo imenishangaza sana na wazazi wanachukulia poa tu,
Jana tulikwenda sehemu wakanitembeze nione miazingira wakati tunataka kwenda watoto walitaka kwenda nasi, wazazi wakasema wababi wafanye kazi za shule...
Katika hotuba yake kwenye maadhimisho ya Maulid, Sheikh Mziwanda amewakosoa wanaosema Tanzania hakuna maendeleo
"Uhuru ukikosa mipaka ni uwendawazimu... Sasa kuna uhuru wa kusema lolote na chochote popote... Uhuru huu utatuharibia taifa letu."
"Tusio kila kitu cha kuiga. Wenzetu wameamua...
Watanzania acheni kushabikia siasa za hovyo...kauli za lissu ndo zimeathiri Kila kitu kwa watumishi na wananchi wa kawaida.
Naweza kusema lissu amekuja kuharibu ustawi wetu alaaniwe na Kila mtanzania mzalendo.
Leo hii tunaona aibu hata kuomba serikali iongeze mishahara kwasababu tunajua...
Mahusiano ni jambo zito sana ila ndoa ni nuclear ya mambo mazito mnoo.
Wengi wapo na wenzi wao physically kwa sababu inambidi tu kutokana labda ndoa au watoto wanao share pamoja ila kihisia yupo na mtu mwingine kabisa
mwanamke inamuuma kuwa walivitafuta pamoja na mmewe na hata kuna kipindi...
ardhi
baada
ila
kutokana
labda
lawyer
mdada
msibani
mtu
mtu mwingine
mwingine
ndoa
nyumba
pamoja
sababu
share
wao
wapo
watotowatoto wawili
wawili
wengi
Mfano ona hapa majina ya baadhi ya Watoto wa Rais Museveni ni ,
1.Muhoozi Kainerugaba
2.Patrice Rwambogo
3.Natasha Museven Karugire
Kwa sheria za Tanzania unaonekana hauna mtoto sijui mpaka ukaape mahakamani na usumbufu mkubwa sana.
=======
Pastor Patience Rwabwogo, binti wa Rais wa Uganda...
Asilimia kubwa ya sisi wazazi tunaojitambua haturuhusu watoto waangalie au wasikilize nyimbo za bongo fleva sababu nyingi hazina maadili.
Ila cha kushangaza unaenda kwenye mahafali unakuta mtoto anakata viuno na kuimba mabongo fleva eti ndio burudani siku ya mahafali.Manyimbo yenyewe...
Salaam zangu kwako ni hizo. Nilikupenda sana kama mpigania uhuru kumbe MPIGANIA TUMBO.
WARUDISHE BEN SAANANE , Mawazo na wengine waliokufa wakiamini ulikuwa mwenzao na kujitoa uhai wao in order to show solidarity with you.
Warudishe watoto wa watu.
Wakuu, hawa watoto wetu sometimes wanajua sana kutuaibisha/ kutuangusha.
Jumatatu iliyopita nilishiriki mahafali ya darasa la Saba ya binti yangu. Mambo yalikwenda tu vizuri mwanzoni, lakini baadaye hali ya hewa ilichafuka kidogo.
Hali ulianza kubadilika pale watoto walipoanza kuonesha vipaji...
Watoto ni matokeo ya ngono, Na wala sio baraka wala zawadi kutoka kwa Mungu yeyote.
Ndiyo maana “slay queens ” wanatafuta pesa ili kutoa mimba, wakati mke mgumba wa mchungaji anatafuta mtoto kwa muda mrefu. Na mimba haishiki.
I'm out.
Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Watoto (UNICEF) limeipongeza Serikali ya Tanzania kwa hatua kubwa zilizopigwa katika kuboresha afya, lishe, elimu na ustawi wa watoto, na kuahidi kuendelea kushirikiana na Serikali katika utekelezaji wa malengo ya maendeleo yaliyoainishwa...
Walimu wanamchango mkubwa sana kwa taifa. Imagine mwalimu anafundisha madarasa mangapi ? Let say kafanya kazi miaka 15, watu kibao wamepita katika mikono yake.
Fikiria mwanajeshi ana mambo mengi ya kumpa ahueni kwanza nauli halipi. Pia hata bank riba za mikopo ni ndogo. Pili wanaposho kila...
Mwanamume kutoka Kisii, Jones Bogonko Onchonga, amekamatwa baada ya kudaiwa kujifanya kuwa kasisi wa Kanisa Katoliki katika Kaunti ya Turkana.
Kulingana na Kanisa Katoliki la Jimbo la Lodwar, Onchonga alitumia nyaraka zinazodaiwa kuwa za kughushi ili kujitambulisha kama kasisi aliyeidhinishwa...
Wale wapenzi wa WATOTO👭👬👶
Karibu kwenye uzi wa picha za watoto na simulizi zao
Kama una story yeyote kuhusu watoto share iwe nzuri au ya kusikitisha
Watoto wametokana na sisi wenyewe ni damu yetu, wanakuzwa ndani yetu na wao ni sehemu yetu
Watoto wana uzuri wao wa kipekee sana...
Wanajamii Forums, leo naomba tupitie kwa ufupi magwiji wa muziki wa dansi ama Rumba wa Afrika Mashariki na Kati, kazi zao zilizotukuka, na jinsi vizazi vyao vinavyolinda urithi huu wa kihistoria.
Tasnia ya muziki wa kizazi cha dhahabu (Golden Era) barani Afrika ilitawaliwa na ubunifu mkubwa wa...
Kama inavyoonekana hapa Gen Z uwezo wenu wa akili umethibitika kuwa ni mdogo na hiyo ipo wazi tunaiona hata kwenye maisha ya kila siku. Hata hivi juzi kuna mhadhiri wa chuo kikikuu cha Dar es Saalam alieleza pia.
Hivyo mnatakiwa mtuheshimu sana sisi kaka na dada zenu Millennial.
This major...
Watoto 115 wamefanyiwa upandikizaji wa vifaa vya kusaidia kusikia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, hatua kubwa kwa Tanzania kwani awali watoto wenye uhitaji wa huduma hii walilazimika kupelekwa nje ya nchi. Sasa huduma hii inapatikana hapa nchini, ikitoa matumaini mapya kwa watoto na familia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.