watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wote Wana Miaka 15, Lakini Mmoja Anaenda Gerezani: Je, Sheria Inawalinda Watoto Wote?

    Fikiria watoto wawili wa miaka 15. Wanasoma darasa moja, wana umri sawa na wako katika uhusiano wa hiari. Polisi wanapofika, mmoja anaenda nyumbani huku mwingine akiondoka akiwa amefungwa pingu. Mvulana. Hili ndilo linalofungua mjadala mkubwa kuhusu namna Kenya inavyoshughulikia mahusiano ya...
  2. JamiiForums Tanzania Walimu acheni kuuliza watoto "Mmeelewa?"

    Walimu wazuri wazuri , wanafunzi wazuri wazuri 🎵 Umeingia darasani, ukaeleza somo kwa nguvu zote. 😅 ukatumia mbinu zako shirikishi , mara onesho mbinu n.k Then unawaangalia wanafunzi wako unaasema: 👉🏽 “Mmeelewa?” Darasa zima: “NDIYOOO MWALIMUUU!” 😂😂 Lakini baada ya dakika tano tu unauliza...
  3. JamiiForums Tanzania Tabora: Polisi waanza kumsaka Mwalimu wa Madrasa mume wa wake watatu na baba wa watoto 17 ambaye ametoweka na kuacha familia yake ikiteseka

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora limeanza kufanyia kazi tukio la kutoweka kwa Shaaban Maulid Songela, mwalimu wa Madrasa na mkazi wa Mtaa wa Mlimanicity, Kata ya Ng’ambo, Manispaa ya Tabora, ambaye familia yake inasema hajulikani alipo kwa zaidi ya siku kumi. Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mliopo ndani ya ndoa watoto ndio chaguo la kwanza(wapende hao)

    Wakuu kwa wazoefu wanajua Hii code Kwa waliowahi kutoka na wake za Watu amini nakwambia,hao watoto uliobahatika kuzaa hao ndio ndugu zako,faraja yako wekeza nguvu hapo,ila huyo kiumbe wa pembeni amini nakwambia huyo ndio adui yako wa kwanza,sio jana sio leo sio kesho ipo hivyo, Kwa waliowahi...
  5. JamiiForums Tanzania Mtandao sio salama kwa watoto.

    --- "Kushiriki picha za watoto mtandaoni kunaweza kuonekana kuwa jambo lisilo na madhara, lakini pindi picha inapowekwa hadharani, inaweza kunakiliwa, kupakuliwa, kusambazwa tena, au kutumika nje ya muktadha uliokusudiwa awali. Hata mipangilio ya faragha haiwezi kuondoa kabisa hatari hizi...
  6. JamiiForums Tanzania Namna wenzetu wanavyowaandaa watoto wao kuja kuwa wasimamizi wa biashara zao

    Huyukushoto ni mtoto wa Mohamed Dewji,anaitwa ABBAS ndiye mrithi wa mali zote za ukoo na msimamizi (ameshateuliwa),sasa hivi anazunguka nae katika kila sula la biashara na anaingia naye kwenye vikao vya bodi ya wakurugenzi ya METL. Huyu katikati ni WAMKELE MENE , Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tandika - Chacha na Rahaleo (maarufu Mtaa wa Wahaya) wanaojiuza wanatuharibia Watoto

    Nina kero kuhusu eneo la Tandika, maeneo ya Chacha na Rahaleo, maarufu kama Mtaa wa Wahaya Wilaya ya Temeke, Dar. Kuna watu wanaofanya biashara ya ngono katika vyumba vilivyopo katikati ya makazi ya wananchi. Vyumba hivyo vipo ndani ya nyumba zetu za makazi, ikiwemo nyumba namba 115, na pia...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mkeo simpati, nataka kuja kuwasalimia watoto wangu. Tafadhari mwambie awalete kesho saa 3 asubuhi Matayo Hoteli

    Wanajamvi natumai hamjambo. Ungekuwa wewe ndo mwenye huyo mke Sasa ungemjibu nini baba watoto WA mkeo Hatua gani zingefuata Kwa mkeo ambaye wakati unamuoa umemekuta ana watoto wawili
  9. JamiiForums Tanzania Wazo la Project ya Kusaidia Watoto wa Shule Mabegi

    Nina wazo la kuanzisha project ndogo ya kusaidia watoto wa shule za msingi wanaotoka mazingira magumu kupata begi la shule lenye vifaa muhimu vya kujifunzia ndani yake—kama madaftari, vitabu, kalamu, mkebe n.k. Kwa sasa nataka kuanza kama initiative yangu binafsi, mimi na washikaji wachache...
  10. JamiiForums Tanzania Watanzania Tushikamane, Tusiwaachie watoto wetu nchi isiyo na amani!

    Kuna wakati Taifa linahitaji siyo tu viongozi, bali pia umoja wa mioyo, matumaini na mshikamano wa watu wake. Leo tunapoangalia Tanzania yetu, tunapaswa kukumbuka kuwa amani tuliyonayo, fursa tunazojenga na maendeleo tunayoyatazamia ni urithi ambao tunapaswa kuulinda na kuendeleza kwa pamoja...
  11. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nakuru Level 5: Vifo 11, Watoto wachanga watatu, huku mgomo wa wauguzi ukiendelea

    Hospitali ya Nakuru Level 5 imeripoti vifo 11 ndani ya saa 24, huku watoto watatu wachanga wakiwa miongoni mwa waliofariki, wakati mgomo wa wauguzi ukiendelea nchini. Mgomo huo, ulioanza Julai 29, 2026, umeathiri huduma katika hospitali kadhaa za umma, huku maeneo ya uzazi na huduma za watoto...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge ahoji Watoto kuingiliwa kinyume na maumbile na Makocha

  13. JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata watoto mapacha?

    Hi guys, Nawezaje kupata watoto mapacha?, ikiwa kuna mtu ana uelewa juu ya jambo hili naomba kufahamishwa tafadhali. Najua humu jukwaani kuna ma great thinkers wa kutosha. Naomba kuwasilisha.
  14. JamiiForums Tanzania Responded Itigi DC: Wazazi watatu ndiyo hawajatoa michango ya chakula Shule ya Msingi Mitundu B ila Watoto wao wanapewa chakula

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kuandika kuwa baadhi ya Wanafunzi wa Darasa la Saba katika shule ya Msingi Mitundu B katika Halmashauri ya Itigi DC wanasoma hadi usiku bila kula, hali inayoweza kuahiri afya na uelewa wao, ufafanuzi umetolewa. Afisa Habari wa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi...
  15. JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya Wake zetu wanataka tuwe kwao vile ambavyo hawataki watoto wao wakiume wawe kwa wake zao- Sodoku Myebusi

    Mke anataka mshahara wote umkabidhi yeye. Anataka umsikilize yeye kuliko mtu mwingine yeyote Duniani. Wanawake wengi wanapenda mwanaume ambaye kwake atakuwa bwege. Afanye kila kitu ambacho mwanamke huyo atataka. Mali zote ziandikishwe jina lake mwanamke. Mume awahi kurudi nyumbani, akiweza...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Unatetea katiba mbovu ambayo kila mtu anaweza kugundua makosa /mapungufu iliyonayo

    Unatetea katiba mbovu ambayo hata kipofu na kiziwi wanaweza kui palpate na kugundua makosa /mapungufu iliyonayo. Best katiba kama za marekeni mnazisfia, mnasahau kuwa ziliundwa/ziliandikwa na watu waliojitoa mhanga kama Lisu. Mjue likitokea la kutokea muungano ukavunjika, your beloved ones will...
  17. JamiiForums Tanzania Nani yupo kwenye age ambayo baba wa makamo anakutaka na watoto chini ya miaka 25 wanakutaka?

    Nani yupo kwenye age ambayo baba wa makamo anakutaka na watoto chini ya miaka 25 wanakutaka? Vyovyote unavyofanya kwenye maisha hakikisha unafanya mazoezi Usiache
  18. JamiiForums Tanzania Hivi Nchimbi hana watoto, kaka, dada, mabinamu, na ndugu wengine wa karibu?

    Tukikubali ku normalize binadamu kupotea kama vile mtu unavyopoteza funguo au goroli, halafu kunakuwa hakuna outrage kwenye jamii, tutakuwa tunawapa ushindi mkubwa sana Samia na hao watu wake. Hivi inawezekanaje kwa mtu aliyekuwa makamu wa Rais ajiuzulu hiyo nafasi yake halafu watu tunakuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Pongezi kwenu Single Mothers

    Today I would like to celebrate single mothers. I may not have been raised by one but the burden of single motherhood is not lost on me. One of my ex is a single mother. She has one lovely boy! From what i see her go through, my admiration and respect for her goes higher each day. Single...
  20. JamiiForums Tanzania Watu maskini hawapaswi kuzaa watoto

    Kama huna chakula usilete njaa zaidi duniani
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…