watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. Watanzania Wengi Wana Chuki, Wivu na Husda

    Nakumbuka miaka michache nyuma kuna msanii maarufu alinunua Rolls Royce. Kwa kweli mitandao ilichafuka kwa kebehi,kashfa na maneno mengi yenye mlengo hasi. Mara used, mara bei kaongeza sifurimara sio lake,mara matairi vipara basi tu ili mradi watu waliojaa sumu mwilini wazitoe na wamshushe...
  2. A

    Tindu Lissu na Watanzania wanasanifiana

    Tundu Lissu anawasanifu Watanzania kwa familia yake kuwa nje ya nchi na kuwa wanawe ni raia wa Marekani. Watanzania nao, wakiweno viongozi na wanachama wa Chadema, nao wanamsanifu Tundu Lissu kwa kumuacha abebe msalaba wake kwa ubwabwajaji wake. Ndo Dunia hiyo.
  3. J

    Mfumo gani wa kiuchumi unaweza ondoa mfumo wa Kidigitali? - Huu mfumo umewatajirisha watanzania wengi sana.

    ๐—™๐—ฅ๐—ข๐—  ๐—ฃ๐—”๐—ฌ๐— ๐—˜๐—ก๐—ง๐—ฆ ๐—ง๐—ข ๐— ๐—”๐—ฅ๐—ž๐—˜๐—ง๐—ฆ: ๐—๐—˜, ๐—จ๐—ž๐—จ๐—”๐—๐—œ ๐—ช๐—” ๐— ๐—”๐—Ÿ๐—œ๐—ฃ๐—ข ๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—œ๐——๐—œ๐—๐—œ๐—ง๐—”๐—Ÿ๐—œ ๐—จ๐—ก๐—”๐—ญ๐—”๐—Ÿ๐—œ๐—ฆ๐—›๐—” ๐—ง๐—›๐—”๐— ๐—”๐—ก๐—œ ๐—š๐—”๐—ก๐—œ ๐—ก๐——๐—”๐—ก๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—จ๐—–๐—›๐—จ๐— ๐—œ ๐—ช๐—” ๐—ง๐—”๐—ก๐—ญ๐—”๐—ก๐—œ๐—”? ๐˜”๐˜ธ๐˜ข๐˜ฌ๐˜ข 2025 ๐˜ฎ๐˜ข๐˜ญ๐˜ช๐˜ฑ๐˜ฐ ๐˜บ๐˜ข ๐˜ฎ๐˜ต๐˜ถ ๐˜ฌ๐˜ธ๐˜ข ๐˜ฃ๐˜ช๐˜ข๐˜ด๐˜ฉ๐˜ข๐˜ณ๐˜ข (๐˜—2๐˜‰) ๐˜ฏ๐˜ค๐˜ฉ๐˜ช๐˜ฏ๐˜ช ๐˜บ๐˜ข๐˜ญ๐˜ช๐˜ง๐˜ช๐˜ฌ๐˜ช๐˜ข ๐˜›๐˜ก๐˜š ๐˜ต๐˜ณ๐˜ช๐˜ญ๐˜ช๐˜ฐ๐˜ฏ๐˜ช 37.52 ๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ฑ๐˜ช๐˜ต๐˜ช๐˜ข ๐˜ฎ๐˜ช๐˜ข๐˜ฎ๐˜ข๐˜ญ๐˜ข ๐˜ฃ๐˜ช๐˜ญ๐˜ช๐˜ฐ๐˜ฏ๐˜ช 2.30, ๐˜ด๐˜ข๐˜ธ๐˜ข ๐˜ฏ๐˜ข ๐˜ต๐˜ข๐˜ฌ๐˜ณ๐˜ช๐˜ฃ๐˜ข๐˜ฏ ๐˜ข๐˜ด๐˜ช๐˜ญ๐˜ช๐˜ฎ๐˜ช๐˜ข 16 ๐˜บ๐˜ข ๐˜—๐˜ข๐˜ต๐˜ฐ ๐˜ญ๐˜ข ๐˜›๐˜ข๐˜ช๐˜ง๐˜ข. ๐˜ž๐˜ข๐˜ง๐˜ข๐˜ฏ๐˜บ๐˜ข๐˜ฃ๐˜ช๐˜ข๐˜ด๐˜ฉ๐˜ข๐˜ณ๐˜ข...
  4. J

    Mfumo gani wa Kiuchumi unaoweza Ondoa kabisa tatizo la ukosefu wa mitaji? - Watanzania wakipata mtaji wanatajirika haraka sana

    ๐—ฃ๐Ÿฎ๐—• ๐—”๐—ก๐—— ๐— ๐—ฆ๐— ๐—˜ ๐—–๐—”๐—ฃ๐—œ๐—ง๐—”๐—Ÿ ๐—”๐—–๐—–๐—˜๐—ฆ๐—ฆ: ๐—๐—˜, ๐—›๐—œ๐—ฆ๐—ง๐—ข๐—ฅ๐—œ๐—” ๐—ฌ๐—” ๐— ๐—”๐—จ๐—ญ๐—ข ๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—œ๐——๐—œ๐—๐—œ๐—ง๐—”๐—Ÿ๐—œ ๐—œ๐—ก๐—”๐—ช๐—˜๐—ญ๐—” ๐—ž๐—จ๐—ง๐—”๐—ง๐—จ๐—” ๐—–๐—›๐—”๐—ก๐—š๐—”๐— ๐—ข๐—ง๐—ข ๐—ฌ๐—” ๐—จ๐—ฃ๐—”๐—ง๐—œ๐—ž๐—”๐—ก๐—”๐—๐—œ ๐—ช๐—” ๐— ๐—œ๐—ง๐—”๐—๐—œ ๐—ž๐—ช๐—” ๐— ๐—ฆ๐— ๐—˜๐˜€? ๐˜’๐˜ข๐˜ต๐˜ช ๐˜บ๐˜ข 2023 ๐˜ฏ๐˜ข 2025 ๐˜ฎ๐˜ข๐˜ญ๐˜ช๐˜ฑ๐˜ฐ ๐˜บ๐˜ข ๐˜ฎ๐˜ต๐˜ถ ๐˜ฌ๐˜ธ๐˜ข ๐˜ฃ๐˜ช๐˜ข๐˜ด๐˜ฉ๐˜ข๐˜ณ๐˜ข (๐˜—2๐˜‰) ๐˜บ๐˜ข๐˜ญ๐˜ช๐˜ฐ๐˜ฏ๐˜จ๐˜ฆ๐˜ป๐˜ฆ๐˜ฌ๐˜ข ๐˜ข๐˜ด๐˜ช๐˜ญ๐˜ช๐˜ฎ๐˜ช๐˜ข 106 ๐˜ฉ๐˜ข๐˜ฅ๐˜ช ๐˜›๐˜ก๐˜š ๐˜ต๐˜ณ๐˜ช๐˜ญ๐˜ช๐˜ฐ๐˜ฏ๐˜ช 37.52, ๐˜ฏ๐˜ข ๐˜ธ๐˜ข๐˜ง๐˜ข๐˜ฏ๐˜บ๐˜ข๐˜ฃ๐˜ช๐˜ข๐˜ด๐˜ฉ๐˜ข๐˜ณ๐˜ข ๐˜ธ๐˜ข ๐˜ฌ๐˜ช๐˜ฅ๐˜ช๐˜ซ๐˜ช๐˜ต๐˜ข๐˜ญ๐˜ช ๐˜ธ๐˜ข๐˜ฎ๐˜ฆ๐˜ง๐˜ช๐˜ฌ๐˜ช๐˜ข ๐˜ฎ๐˜ช๐˜ญ๐˜ช๐˜ฐ๐˜ฏ๐˜ช 2.79. ๐˜’๐˜ธ๐˜ข...
  5. Watanzania kwa nini tusianzishe kampeni ya kuikataa mahakama na watumishi wake ?

    Tulikua na mahakama za kijadi ambazo zilisimamia mashauri kwa Haki na Usawa , kuzidi hii Mahakama ya hawa jamaa wa Law School zilizo chini ya CCM !! Kwa nini tusifanye kampeni ya kuikataa hii Mahakama sisi kama wananchi , tuikatae na watumishi wake wote. Mpaka pale itakapo thibitika...
  6. S

    Watanzania lazima watambue serikali haijali haki za wazawa na wawekezaji hasa Wachina, Waarabu na Wahindi wasipofuata haki hawachukuliwi hatua yeyote

    Hili lazima lieleweke. Kwamba ni matukio mengi sana yanaendelea nchini ambapo hawa wageni wanaokuja kama wawekezaji au wakaandarasi toka nje wanawadharau sana Watanzania na kutowatendea haki katika visa vingi sana. Watanzania wasitegemee katika visa hivi serikali itakuwa upande wa mwananchi...
  7. Watanzania wengi wana fikra duni sana kuhusu maadili wakifikiria zaidi ni mambo ya ngono, ushoga, na matusi tu

    Mahali popote ukisikia Mtanzania anazungumzia maadili ujue ana makasiriko na ugomvi dhidi ya ushoga, mavazi ya wanawake, wanafunzi kupata mimba labda na kwa mbali single mothers na matusi. Ni nadra ukute Mtanzania anatokwa na povu kuhusu kuporomoka kwa maadili akiwa anamaanisha rushwa, ufisadi...
  8. Amani , haki ni muhimu Kwa watanzania wote.

    Salaam jamiiforum. Tupendane,tuhurumiane,na tusameheane, maana hakuna mkamilifu kwenye uso wa Dunia. Tusilipiziane visasi,tusiumize kizazi kingine Kwa makosa ya kizazi kilichopita. Tusiendekeze itikadi na misimamo ya kidini,hii itatugawa mapema kama mwanga wa radi. Yaani mkatoliki ajione ana...
  9. F

    Maamuzi ya JK kurasimisha bodaboda kuwa ajira, yamegharimu maisha ya watanzania wangapi Hadi Sasa? Je tusitishe ama..

    Hili ni swali tu, Kwamba bila kujali faida za kiuchumi zitokanazo na maafisa usafirishaji wa bodaboda, tuangalie upande wa pili wa shilingi wa maamuzi haya, 1. Ni watanzania wangapi wamepoteza maisha au kusababishia mauti wengine kutokana na ajira hii ya bodaboda? 2.Je kusitisha shughuli hii...
  10. T

    Somo zuri kwa Watanzania..!

    Nchi ndogo km Botswana inaingia mara 20 kwa Tanzania..lkn wanaweza kuheshimiana, viongozi wanawaheshimu raia na raia wanaheshimu viongozi..appointments zinafanyika kwa merits..huwezi tarajia kwa mtu mwenye background km hii ya Profesa Kenosi aelekeze watu/raia wakosoaji wa serikali kutekwa...
  11. M

    Watanzania wengi wakienda majuu, mara nyingi hujikuta wakigombana na wanafamilia, ndugu na marafiki waliowaacha nyumbani

    Changamoto kubwa iliyopo sasa ni dhana kwamba kwenda nje ya nchi ni sawa na kupata utajiri wa ghafla, hali inayofanya familia kuwa na matarajio makubwa mno. Kila mtu, kuanzia wanafamilia hadi wajomba hadi marafiki, wanajiona wana haki ya kuomba pesa kwa kila jambo. Kiuhalisia, maisha ya...
  12. Kwa nini Watanzania tunapenda kuitana ndugu bila hata kuwa ndugu?

    Nimemsoma Ayubu Rioba Chacha anamuita Tundu Lissu ndugu yake na anamtakia maisha mema ya gerezani. Ninavyofahamu Lissu ni Mnyiramba au Mnyaturu wa Singida na Rioba ni wa makabila mojawapo ya huko Mara, sasa undugu wao unatokea wapi ?! Watanzania tunapaswa kufuta fikra na mawazo ya kwamba kwa...
  13. Huyu kiongozi bado anatuona watanzania wote ni wapumbavu kama hiyo mikatuni iliyomzunguka?yaani maccm?hizo barua Lissu alikuwa alimwandikia baba yake?

    Nachukia sana ninapo ona jitu kama kiongosi limezungukwa na misitu,iliyojifunika minguo ya ccm wakisubiri uongo. Yaani leo hio kiongosi unawadanganya hayo maccm yakuwa Tundu Lissu aliandika barua za kuomba msamaha kabisa?ili jitu likoJe na mikengeza hiyo litakuwa pia ni kiziwi? halisikiii wala...
  14. O

    Watanzania Wawili na Mganda Mmoja Wakamatwa na Dawa za Kulevya za KSh3.6 Bilioni Kwale

    Polisi nchini Kenya wamewakamata raia watatu wa kigeni, Watanzania wawili na Mganda mmoja, kufuatia operesheni iliyofanikisha kupatikana kwa kilo 454 za dawa za kulevya zinazoshukiwa kuwa methamphetamine katika Kaunti ya Kwale. Dawa hizo zinakadiriwa kuwa na thamani ya KSh3.6 bilioni katika soko...
  15. Natamani hili suala la Lissu lifike mwisho, Watanzania tuijenge nchi yetu

    Tulifunzwa, mafahali wawili wagombanapo, zinazoumia ni nyasi. Hiki ndicho kinachoendelea nchini kwetu sasa. Kwahali ilipofikia sasa, kutafuta nani anamakosa haitatusaidia. Maana lipo wazi hakuna upande, kati ya CCM na CHADEMA ambao upo tayari kukiri na kuwajibika. Hii mivutano na vita za...
  16. Watanzania hawataki viongozi wa Serikali wamiliki utajiri wala miradi & biashara lakini viongozi hawataki kuishi maisha ya ufukara

    Mgogoro mkubwa uliopo Tanzania kati ya viongozi wa Serikali na Wananchi ni utajiri Idadi kubwa ya Watanzania hawataki viongozi wa Serikali wamiliki utajiri wala miradi & biashara, wanataka viongozi hao waishi maisha duni wakiamini maisha duni kwa viongozi wa Serikali ni ishara ya utawala bora...
  17. Watanzania washikamana zaidi, Upendo kwa Lissu waongezeka, Kila Mtanzania anaimba Lissu Lissu ,Maandamano yajayo yatawafurahisha

    Wametuua kwa Maelfu Oktoba 29. Polepole hajulikani alipo Nchimbi hajulikani alipo. Lissu anafungwa jela Kihuni. Ni nani aliyesalama ?.
  18. Ukipima reaction ya watanzania sasa kwenye mitandao ya KIjamii utaona mambo shwari ila ukienda mtaani mambo ni moto

    Zamani mambo mazito yakuibua hisia za wanainchi yalikuwa yanaishia uku mitandaoni unatamani yule mama mpika vitumbua pale au yule mwenye genge ufike agiza chakula ukute mijadala mizito kuhusu mustakabali wa nchi ila hapana ulikuwa unakuta shwari kama ilivyo mitandaoni leo hii yani kama hakuna...
  19. Watanzania wameonyesha ukomavu mkubwa kiakili na kisiasa. Gumzo kubwa ni hukumu ya kionevu aliyopewa Lissu wala sio harusi ya mtoto wa Ruto.

    CCM walivyo hawana akili za kisiasa walidhania watanzania watashobokea harusi ya mtoto wa rais wa Kenya huko Mwanza. Lakini kuanzia jana hadi leo hii watu wapo busy kujadili namna Lissu alivyohukumiwa kwa uonevu Huku hasira kali zikielekezwa kwa rais Samia na genge lake ambalo wananchi...
  20. Maombi ya Lissu kwa majaji dhidi ya hukumu yake, na kukaliwa kimnya, watanzania fatilieni kwa nini watoto wa majaji na mahakimu ni vichaa,ni matokeo..

    Sababu alizo zitoa Tundu Lissu mahakamani leo baada ya hukumu na kukataliwa kwa ukimya wa majaji walah vizazi vyao vitalaaniwa. Nimewahi kujiuliza hivi kwa nini Mahakimu wastaafu wa Tanzania baada ya kustaafu kwao vizazi vyao ukumbwa na mikosi kama utaila na kadhalika? Sio tu mahakimu hata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ