watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Waziri wa Madini: Ni marufuku kwa mtu asiye Mtanzania kusambaza bidhaa au huduma zilizotangazwa kufanywa na Watanzania

    Waziri wa Madini Anthony Mavunde akiwasilisha Taarifa ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Madini kwa mwaka wa fedha 2026/2027 leo Aprili 27, 2026 Bungeni Dodoma, amesema: "Tume ya Madini itaendelea kutekeleza na kuhakikisha kuwa kampuni zinazomiliki leseni za madini zinanunua bidhaa na huduma...
  2. Carlos The Jackal

    Kwa Samia na CCM yake ni Vita ya 'Mamlaka', Kwa Watanzania kupitia CHADEMA ni Vita ya ku 'survive', CDM ya sasa si Chama tu, ni Imani

    Licha ya Kumshikilia Lissu, Bado Watanzania wamezidisha Mapenzi yao kwa CHADEMA Licha yaashambulizi meengi dhidi ya Viongozi wa CHADEMA , Wanachama , bado Watanzania ndo Kwanzaa wanazidi kupenzika na CHADEMA. Yaan CHADEMA ya sasa, ni IMANI AMBAYO IMEZAA FALSAFA kwa WATANZANIA. Je, ni nani wa...
  3. M

    Nchimbi: Hakuna Siku mawazo ya Watanzania yatafanana. Hili ni taifa la watu wanaofikiri, si Taifa la Mawe

    Kwenye Usiku wa Mtanzania uliofanyika Ukumbi wa JNICC, Dar es Salaam, Aprili 26, 2026, Makamu wa Rais Emmanuel Nchimbi alisema kuwa Msisitizo wa Rais kwa siku ya leo ni mshikamano wa nchi yetu, anasema kwenye umoja, kwenye amani tunakwenda vizuri isipokuwa tunachangamoto kwenye mshikamano...
  4. figganigga

    John Heche: Huyu Mama alitoa ndege iendea Dubai kuwaokoa ndugu zake dhidi ya Mabomu ya Iran si Watanzania

    Salaam, Leo Makamu Mwenyekiti akiwa kwenye Mkutano wa Ndani ya chama huko Kibamba Shule Dar Es Salaam, amesema Huyu mama anayeongoza Nchi, alitoa ndege ifuate ndugu zake na Familia yake huko Dubai kwa gia ya kwamba wanawafuata Watanzania Wasidhuriwe na Mabomu ya Iran. Kama alitoa ndege...
  5. McLaren

    Rais Samia: Kwa tunavyokwenda hivi, mshikamano wa Watanzania unaachia polepole

    Wakuu, Akizungumza kwenye kongamano la UVCCM la kuadhimisha miaka 62 ya Muungano Rais Samia amesema huko tunapoendea mshikamano wa kitaifa unaendelea kupungua "Nimeacha neno mshikamano. Na hapa ndipo nataka vijana tutafakari. Neno mshikamano. Tunavyokwenda hivi, mshikamano wa Watanzania...
  6. Mto wa mbu

    Watanzania Wana shida gani mbona hawalipi kisasi( Retaliation)Kwa walioua ndugu zao?

    Watanzania sijui mna shida gani , Kuna familia nyingi mno zimetendewa vibaya sana na watawala na vyombo vya usalama, waliowatendea unyama wanajulikana lakini hakuna anaelipa kisasi. Uonevu utaisha siku watu wakianza kulipa kisasi, yanayotokea Tanzania yangetokea south America pasingekalika...
  7. McLaren

    Msemaji Mkuu Wa Serikali Gerson Msigwa awaita walipa kodi 'Nguchiro'. Ni kiburi cha aina gani hiki?

    Alichoandika Gerson Msigwa leo kwenye ukursa wake wa X Kuna shida gani namba ya Mtumishi wa Umma kuwekwa hadharani? Mbona kwenye website ya Bunge kwenye kila profile ya Mbunge wameweka namba zao? Kwenye websites za Halmashuri na taasisi nyingine za Serikali namba za viongozi zote ziko...
  8. Sifi Leo

    Hii nimeiona Tanzania, ripoti ya vifo vya watanzania 518 tu inatolewa na makofi yanapigwa, tumeanza lini utaratibu wa kupiga makofi msibani?

    Nipo Moshi hapa, jirani yangu mzee Massawe alipoteza mwanae wa kike tena mtoto huyo mmoja tu na jinsia ya kike, akiwa dukani maeneo ya ubungo siku ya October 29. Wakati inawasilishwa ripoti yeye alienda kwenye kaburi la mwanae na kuanza kulia, Mimi kama jirani niliposikia vilio nilisogea kwake...
  9. passioner255

    Hongereni watanzania kwa kuikataa hii report ya feki ya tume ya Samia

    Nawapongeza watanzania kwa kuikataa report feki ya tume ya Samuya.Nimeona mapokeo katika mitandao mbalimbali,ukiacha maraboti wengi wamekataa. Tumeonesha kwamba taifa haiwezi kuponeshwa kwa uongo.tumekataa Uongo. Na msijali kwa sababu huwa mshahara wa dhambi ni mauti...
  10. USSR

    Kama ni kweli itakuwa Mungu ameamua kusimama na taifa na kuondoa waliopanga kumwaga damu za watanzania

    Alionekana tangu zamani kuwa na elements za kichochezi hadi leo asubuhi. tunasubiri kauli ya RPC wa Geita Sofia Jongo USSR
  11. L

    Bei za mafuta zawakamua Watanzania wakati migogoro ya Mashariki ya Kati ukiendelea

    Kila asubuhi kabla ya jua kuchomoza, Herry Msese huwa anaendesha daladala yake na kupita mitaa yenye shughuli nyingi ya Dar es Salaam, Tanzania, akiwasafirisha abiria wengi katika barabara yenye msongamano mkubwa. Hata hivyo, katika wiki za hivi karibuni, mafuta yamekuwa yakimtia wasiwasi...
  12. Traxtion

    Watanzania walikuwa wanataka tu viongozi bora

    Maisha yanatufundisha sio kila kitu unachokitamani unaweza kukipata, kuna vingine vinabaki kuwa ndoto tu. Watanzania walikuwa wanataka viongozi wenye akili, wazalendo, wanaotumikia wananchi, wanaosikiliza wananchi, wenye ukarimu, wenye upendo, wenye maono, wawajibikaji, wenye uwezo wa...
  13. Samia atosha tukutane2030

    Nina hasira sana na Mange Kimambi, ameharibu kabisa akili za Watanzania

    Watanzania sasa hasa vijana na wazee wachache hawaeleweki kabisa. Serikali hata ifanye jambo gani wao ni kukosoa tu Serikali inaandaa fursa kwa vijana, vijana badala ya kuamka kuziendea wako busy kusubiri post za vuongozi wa serikali mitandaoni waanze kukosoa . Kila kinachohusiana na serikali...
  14. L

    Bila Rais Samia kuwa Rais wetu hali ya Watanzania ingekuwa ngumu sana. Watu wangekuwa wanazungumza wenyewe barabarani kama vichaa

    Ndugu zangu Watanzania, Bila Mama yetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kuwa Rais wetu na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Hali ya Watanzania Ingekuwa ni Ngumu sana Hapa Nchini. Hali ingekuwa ni mbaya sana kiasi kwamba...
  15. O

    CHADEMA imewasaliti Watanzania

    Iwapo jambo hili ni kweli, basi ni wazi kwamba CHADEMA imewasaliti Watanzania. ma
  16. S

    Hivi kweli Watanzania tumeamua kujifanya hatuelewi Polepole na Tundu Lissu wapo walipo kwa sababu ya kutupigania sisi na Tanzania?

    Inasikitisha sana. Ona kwamba Pole Pole na Tundu Lissu, hadi leo, wanashikiliwa na Polisi kwa sababu ya kutupigania Watanzania na Tanzania kama nchi. Sasa kweli Watanzania tumeridhika na hali ya hawa watu wawili muhimu kuwekwa ndani na sie tukaona ni sawa tu, hatutaki kufanya lolote kuwapigania...
  17. M

    Asha Baraka aomba Simba ipewe uwanja kama ilivyopewa Yanga. Hivi haya ndio mahitaji ya Watanzania wabunge wanayojadili?

    Mbunge wa Viti Maalum, Asha Baraka amemwomba Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba kutoa uwanja kwa ajili ya klabu ya Simba kama ilivyopewa klabu ya Yanga Kweli pamoja na kero chungu nzima mbunge anaenda kuomba Simba apewe uwanja kama alivyopewa Yanga, hivi ndio vipaumbele vya wabunge wa CCM...
  18. M

    Tuwazuie watanzania wanaokwenda kusoma nchi za Magharibi

    Tuwazuie watanzania wanaokwenda kusoma nchi za Magharibi. Sababu kubwa kutapelekea nchi zetu za Africa ktk matatizo makubwa za kiuharakati na kuleta matatizo makubwa. Zipo nch kama Japqn, Korea Kusini , Malaysia, indonesia zipo mbele sana kielimu, tuwapeleke huko
  19. kimsboy

    Watanzania hatuhitaji mabadiliko tunahitaji Regime Change kwa sasa

    Nadhani mtakubaliana nami, sidhani kama Watanzania wanahitaji wanahitaji mabadiliko kwa sasa. Maana tukianza na mabadiliko kwanza majangili watatuchezea nakuleta lichama B maana wana watu wao kila mahali Suluhisho ni regime change kwa sasa baada ya regime change ndo mengine yafuate ikiwemo...
  20. Waufukweni

    Rais Samia atunukiwa Tuzo ya Heshima Nigeria kwa mchango wake kwa Jamii na Ubinadamu

    Uongozi wa Chuo Kikuu cha Jimbo la Nasarawa, Keffi (NSUK), umemtunuku shahada ya heshima ya udaktari Rais wa Tanzania, Samia Suluhu, kwa mchango wao mkubwa kwa ubinadamu na jamii kwa ujumla. Akipokea Tuzo hiyo, Samia amesema "Napokea utambuzi huu kwa unyenyekevu mkubwa na shukrani...
Back
Top Bottom