watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. Tlaatlaah

    Huenda vibaka wa kisiasa na wanaharakati uchwara waliotajwa kuchochea ghasia za Oct.2025, wakatimkia ughaibuni kabla ya kunaswa na mkono wa sheria

    Sote ni mashahidi kwamba, hali ya kisiasa nchini hasa baada ya tume ya jaji chande kuwasilisha ripoti yake kwa rais Dr.Samia Suluhu Hassan, tayari kuna kila dalili na mipango kwa hasa hawa vibaka wa kisiasa na wanaharakati uchwara nchini, ambao kwa namna moja ama nyingine wametajwa kushiriki...
  2. figganigga

    Wakati Madereva Watanzania wanateseka Kongo, Samia anacheka na Museven

    Hii Nchi hakuna kiongozi anayejali Watanzania bali wanajali pochi zao. Madereva wanateswa, wananyanyaswa, na kubaguliwa huko Kongo, lakini Serikali ipo kimya. Mabolozi wana kazi gani? Huo Uchumi utakuaje kama Magari ya Tanzania yamawekwa foleni 24/7? Hayo mapato ya bandari mtapataje? One stop...
  3. PSEUDOPODIA

    Nendeni Kilimanjaro International Leather Industry (KLICL) pale magereza moshi mkanunue mikoba original ya ngozi, acheni kuchezea pesa za watanzania

    Unaenda kununua mkoba wa milioni 13 wakati mna kiwanda kinatengeneza mikoba ya ngozi original pale moshi. Unapata mkoba safi wa ngozi hapo hapo unatangaza bidhaa za nchi yako. Hivi huko vyuoni mnaendaga kusoma nini?
  4. O

    Kwa mujibu wa takwimu, kati ya Watanzania 10 maskini, 7 ni wanawake. Sasa kwa nini wanawake hupewa nafasi zaidi za kufanikiwa kuliko wanaume

    Wataalamu wa mahusiano na saikolojia wamekuwa wakieleza kwamba mwanamke hupata mafanikio ya mapema kuliko mwanaume, na kwamba dunia huwa rahisi zaidi kwa wanawake kuliko wanaume. Je, uhalisia wa hoja hizi ukoje ikiwa kati ya watu 10 maskini, 7 ni wanawake?
  5. Idugunde

    Tafiti zinaonyesha kuwa Watanzania wengi wanamsongo wa mawazo sababu ya utawala wa CCM chini ya rais Samia. Keki ya taifa anafaidi yeye na watu wake

    Leo Bungeni ni Mkwilima wake ndio ameutangazia umma kuwa Watanzania hasa Watanganyika kuwa wana stress na msongo wa mawazo. Kwamba wameshadata. Utaaje kudata kudata wakati wewe huwezi kupata milo hata miwili? Rais na familia yake na hata wakwe zake wanafaidi keki ya taifa? Hii nchi ni mali ya...
  6. U

    Tume ya Jaji Chande imejibu kila swali la Watanzania na kuacha maoni nini chakufanya kwa weledi kabisa

    CCM OYEEE ,Kazi na Utu tunasonga mbele. Watanzania tume ya uchunguzi ya matukio ya octoba 29/2025 ya jaji chande ilishamaliza kazi yake na Ripoti ilishawasilishwa kwa mheshimiwa Rais . Hii tume ni ya watanzania ,na Mambo na uchunguzi umefanywa na wanasheria wetu nguli wakiongozwa na jaji jaji...
  7. Pascal Mayalla

    Je Wajua Chuki ni Ugonjwa?. Chuki ni Ugonjwa Hatari Unaua!, na Unaoambukiza kwa Kasi!. Watanzania Tuacheni Chuki!, Tiba Yake ni Upendo!. Adui Mpende!

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo, nikiwahimiza Watanzania, tuache chuki, ni ugonjwa hatari unao eneo kwa kasi kwenye taifa letu, uliokolezwa na kilichotokea October 29. Je ni wangapi miongoni mwetu, wajua kuwa chuki ikizidi ni ugonjwa?. Chuki ni ugonjwa...
  8. Y

    PICHA: Ushirika wa PPPC na TPSF ni game changer kwenye kujenga Uchumi mkubwa na wa kisasa | Watanzania tuchangamkie fursa huko huko tunakoishi

    Shirikisho la Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) kwa kushirikiana na Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPPC) wamesaini makubaliano muhimu ya ushirikiano yanayolenga kuimarisha nafasi ya sekta binafsi katika miradi ya ubia (PPP). Hatua hii inatajwa kuwa ni mwendelezo wa jitihada za...
  9. Pascal Mayalla

    Ushauri: Je WaTz tuwe macho na makini na baadhi ya majirani zetu wanatupenda kweli au?, 'I fear the Greeks, especially when they bring gifts'

    Wanabodi, Kufuatia ziara ya jirani yetu mmoja, kwa jina la utani Kasongo, hivi karibuni nchini mwetu na kulihutubia Bunge letu, akatufungua macho kuhusu fursa za mtambo wa kusafisha mafuta ghafi, kwa ubia, na kueleza sisi ni dugu moja, tunapendana sana!. Je ni kweli sisi Africa Mashariki, je...
  10. K

    Kuna ushahidi wowote unaoonyesha uhusika wa Vyombo vya Usalama katika mauaji ya Oktoba 29??

    Imenibidi niulize tena swali hili, ambalo watu wengi wameamini tu kwa kusikia/kuambiwa kwamba ni "vyombo vya dola" vinahusika na mauaji hayo. Hivi vyombo vinavyojulikana ni polisi, Jeshi, au hata TISS? Kuna ushahidi wowote unaoonyesha uhusika wa polisi au jeshi katika mauaji hayo? Picha zote...
  11. U

    Kitu kimoja kikubwa sana ambacho Kinafanya watanzania wengi kuupenda uongozi wa Rais Samia

    Mtindo wa Uongozi wa Maridhiano na Kusikiliza Kwa list fupi: 1. Kufungua nafasi ya siasa – Aliwaruhusu mikutano ya vyama, akaachia wanasiasa waliokuwa jela/uhamishoni 2. Kusamehe na kusikiliza – Kauli “msiniite mama” ilionyesha unyenyekevu, anakutana na makundi yote 3. Kupunguza uhasama –...
  12. Idugunde

    Kama ipo ipo tu; CCM na Rais Samia wanazidi kudharauliwa na Watanzania, CHADEMA inazidi kukubalika

    Ziara ya Drogba na Rais Ruto ina umuhimu gani kwa maisha ya mtanzania amabae anaishi kijihini ambapo maji na umeme ni tatizo kubwa. Mpaka sasa Watanzania wengi wanaoishi vijijini na hata miji mikubbwa kama Mwanza na Dar majji tatizo.. Ziara ya Ruto ina umuhomu gani kwa Tanzania. Ujenzi wa oil...
  13. S

    Huyu jamaa aliyekuwa akipigia makofi kwa nguvu kauli ya Samia ya kuchapa Wakenya na Watanzania ni nani?

    Mojawapo ya utopolo wa hali ya ujuu uliotamkwa wakati wa hotuba ya Samia kwenye ziara ya Ruto ni hili suala la kusema wanaharakati wachapwe, wakiwa Kenya au Tanzania. Sasa wakati wasikilizaji wakipigwa na butwaa na kauli ya Samia kuna jamaa yeye alikuwa mstari wa mbele kupiga makofi kwa nguvu...
  14. R

    Rais Ruto: Maadui wetu siyo Wakenya wala Watanzania, ni ajira na umasikini

    Rais wa Kenya, William Samoei Ruto, leo Mei 5, 2026, amelihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akisisitiza umuhimu wa ushirikiano wa kiuchumi na kuunganisha nguvu katika kupambana na changamoto zinazozikabili nchi zote mbili. Pia soma Samia: Nimeongea na Rais Ruto, wale watoto wetu...
  15. MakinikiA

    Kesho Mei Mosi watanzania wajiandae kifikra

    SAsa kesho ndio tunasikia kupanda kwa nauli za usafirishaji,wenzetu kenya wameshaingia kwenye phase 2 yaani uhaba wa mafuta kutoka phase 1 ya kupanda bei. Kesho Bi mkubwa atakuja na bla bla kibao najua kwa sababu washauri wake hawajui kufanya analysis ya mambo vizuri. Kwa hiyo watanzania...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    Kwa Tabia na akili za Watanzania wengi. Hata CCM ikitoka bado chama kitakachotawala kitakuwa CCM B

    Hamjambo! 1. Kuna tabia ambazo Watanzania wengi wanazo ambazo zinazalisha upatikanaji wa viongozi wa ajabuajabu. 2. Nitakupa mfano WA baadhi ya tabia na fikra hizo; a) Watazania wengi hawaupendi Ukweli. Watanzania wengi hawaupendi Ukweli. Ukiwaambia Ukweli watakuchukia Sana. Msingi mkuu wa...
  17. M

    Pongezi kwa Mkurugenzi wa TTCL, Moremi Marwa, kwa juhudi kubwa za usambazaji wa fiber internet mitaani, yenye bei nafuu na kasi kubwa

    Sasa TTCL wameamua kuingia mazima kwenye huduma za intaneti ya kisasa. Usambazaji wa fiber internet unaendelea kwa kasi kubwa, hasa maeneo ya mijini ambako huduma hii inazidi kuwafikia wananchi wengi zaidi. Tofauti na zamani, sasa wanafika hadi mitaani, wakizungumza na wakazi moja kwa moja ili...
  18. U

    Hebu acha ushamba wa kusema eti 𝗦𝗵𝗲 𝗵𝗮𝘀 𝗮 𝗱𝗼𝗰𝘁𝗼𝗿𝗮𝘁𝗲 𝗱𝗲𝗴𝗿𝗲𝗲 𝗶𝗻 𝗹𝗮𝘄 Sema SHE has a doctorate in Law!

    Watanzania bwana maneno mengi lakini lugha ya kiingereza ni mtihani mkubwa sana kwenu ! Kwa taarifa yako Ukishasema ana 𝗱𝗼𝗰𝘁𝗼𝗿𝗮𝘁𝗲 basi maana yake tayari anayo elimu ya juu kabisa ya kiwango cha shahada ya tatu yaani (PhD!) Acheni ujuaji
  19. Mad Max

    Kuna Group FB linaitwa “Mabaharia Sailors SA” la Watanzania waliopo South. Aisee, kila siku matangazo ya mwili unarudishwa Tanzania

    Katika pitapita feeds za Facebook nilikuta a na ili group: [MABAHARIA(sailors)SOUTH AFRICA. Sijakosea kuandika, linaitwa ivo ivo, lina member kama Elfu 50+ na liko Active kinoma. Katika kusoma soma nilikutana na admin wao anaitwa MohamediT Msangi, aisee jamaa kila siku anatangaza Mtanzania...
  20. Samia atosha tukutane2030

    Hali ya Watanzania kuishi kwa matumaini kuwa ipo siku watabutua kwenye kamari inatishia Usalama wa Taifa

    Usalama wa Taifa ni nyanja pana sana. Suala la ulinzi wa pesa za nchi na wananchi linapaswa kuwa sehemu ya mkakati wa Usalama wa Taifa. Watanzania kwa ujumla wao kila siku hupoteza mabilioni ya pesa kwenye kampuni za betting wakitarajia ipo siku watalala maskini na kuamka matajiri. Siku...
Back
Top Bottom