the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).
Kama habari ilivyo hapo juu, je mmejaribu kuwaza na kuwazua kuwa hali ya Samia na machawa wake ikoje baada ya waziri wake wa mchongo kuzomewa pale daresalama.
Wakuu nina rafiki yangu jana kamfumania mke wake na mfanyakazi wake wa bustani ambaye kazi yake ni kukata majani na kulisha ng'ombe.
Jamaa aliambiwa na marafiki zake na yule kijana kuwa mkeo analiwa na huyo kijana wako, jamaa akatengeneza mtego akafika usiku alipofungua mlango alikuta mke yuko...
Unapata wapi nguvu za kupiga tako? Kwenye paja la huyo mwanamke kuna tattoo ya ya moyo na mshale. Alafu kuna jina mpenzi wake ambaye yeye anakuambia walishaachana.
Alafu kwa upuuzi na ujinga unapiga tako kwa bidii kama unaendesha mtumbwi.
Are you insane?
Tumekuwa tukiambiwa kuwa imani ya kiisilamu hairuhusu kuchelewesha kumzika marehemu. Ayatollah Ali Khamenei alifariki tarehe 28/02/2026. Mara ya kwanza niliwaelewa Iran kwa kuchelewesha mazishi ya kiongozi wao kwa kuwa hali ya kiusalama na kijamii ilikuwa haijatulia. Lakini hapo juzi juzi...
Kulingana na ufaulu wa kidato cha sita kuendelea kupanda na kuwa juu kadri miaka inavyozidi.Ni muda muafaka sasa mamlaka husika zikafanya jitihada za kimakusudi kutanua wigo wa masomo ya kozi za afya nchini.
Katika nchi ya Tanzania bado wahitimu wengi wa kidato cha sita tahasusi ya PCB...
Kundi la Hamas limetangaza kuvunja serikali yake ya utawala wa Gaza ili kupisha kamati ya wataalamu wa Kipalestina itakayosimamia shughuli za kiraia katika Ukanda wa Gaza. Hatua hiyo ni sehemu ya mpango wa mpito uliokubaliwa katika mazungumzo ya kusitisha mapigano.
Swali: Nani aliwapa Hamas...
Mtu wa Sura Mbili ni nani?
Ni mtu mwenye maisha ya aina mbili. Uso mmoja wa kuonyesha watu, na uso mwingine wa kweli anaouficha.
Mbele ya watu ni malaika. Maneno yake ni kama asali. Anaweza kukushika mkono na kusema "mimi niko nawe 100%".
Lakini nyuma yako ndio shetani halisi anayekumaliza...
Naandika waraka huu kwa masikitiko makubwa nikiwakilisha sauti za vijana wengi ambao wanapitia mateso na unyanyasaji ndani ya kampuni ya utoaji mikopo iitwayo Orbit Microfinance Services inayofanya shughuli zake Zanzibar.
Kampuni hii imekuwa ikiendesha utaratibu wa kuajiri vijana unaoambatana...
Anonymous
Thread
jinsi
kampuni
kampuni ya mikopo
mikopo
vijana
wafanyakazi
wake
Salama
Sheikh mwaipopo ni nani? Nani anamtuma kila siku anakuja front na watu waliovaa ninja anasema ana vikosi vya mbwa mwitu vya kuvamia na kuua
Sasa kama ni strategy ya kuzuia maandamano ni ya kizamani lakini mtu binafsi anamilikije kikundi cha watu wenye mafunzo na wakimaliza kazi yao hiyo...
Nimeangalia video ya Guest aliyolala aliyekua dereva wa John Heche kwa kweli inaonekana ni ya bei rahisi, binadamu naye anahitaji utulivu na kupumzika hasa baada ya safari ndefu akina John Heche na Wahuni wenzake walilala Hotel za Maana Dereva akaenda kuchukua Chumba cha sh. 3,000/= the guy kuna...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinasikitika kuwatangazia kifo cha, Suez Dani Maradufu ambaye ni dereva wa Makamu wa Mwenyekiti Bara, John Heche.
Suez amekutwa amefariki leo asubuhi Jumatano, Julai 01, 2026 chumbani kwenye nyumba ya wageni aliyofikia, mjini Kigoma. Mwili...
Tarehe 1 Julai inawakilisha lango kuu la kiroho la katikati ya mwaka (Mid-Year Portal) linalogawa kalenda katika pande mbili sawa.
Katika mifumo ya kiroho, tarehe hii si siku ya kawaida, bali ni majira ya mpito ambapo milango ya kiroho hufunguka ili kuruhusu mabadiliko ya kiutawala, tathmini...
Shekhe Mwaipopo kaongea maneno ya uchochezi wazi wazi kila mtu ameona lakini bado yuko uraiani anadunda tu. Je, haya maongezi angekua ameongea mtu mwingine mlengo mwingine angekua bado yuko uraiani?.
Tuseme Mwaipopo ni mwana CCM ni kada wa chama...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), aliyemaliza muda wake nchini Tanzania, Khalifa Abdulrahman Almarzouqi, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 26 Juni, 2026.
Kwa wale wapenda nchi na haki naomba tujadili jinsi ya kufanikisha maandamano ya 7/7. Ishu za kuwaongelea hao viongozi fake ni kupoteza muelekeo kabisa. Na wanataka kututoa katika reli. Tuanze kutumia muda mwingi kujadili matamko yao.
Hapa ishu ni moja tu. Je tumesalenda kwa matamko yao ama...
Mlinzi wa John Heche,take care,narudia yake care usidhanie unalinda jokeri
Yeye jukwaani ananyumba akiwa anaongea wewe umesimama pahala pamoja tu,
Take care kiapo chake ni either ufe au afe.
Hivi Tundu Lissu wakati wa kupigwa risasi kwa Nini hakuwa na ulinzi ilihali alikuwa mnadhim mkuu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.