wake

In fluid dynamics, a wake may either be:

the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).

View More On Wikipedia.org
  1. polokwane

    JamiiForums Tanzania Tufanye ufuatiliaji kwa kijana aliye ongea na RC. Dar leo kujua usalama wake wakati wote

    Nimewaza tu hilo na hasa kwa historia na tabia ya serikali hii ya sasa tuliyo nayo.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ameongeza Ushawishi Wa Tanzania Barani Afrika na Duniani Kote Kwa Ujumla wake. Ingekuwa Ni Nchi Ndiye Angekuwa Rais Wake

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Kwa sasa Tanzania ndio Habari ya Mjini Barani Afrika,Ndio Jina linalotamkika midomoni Mwa Wa Afrika. Ndio Nchi ambayo kila mtu anatamani kuitembelea na kufika na ndio sababu ya kuona ongezeko kubwa sana la idadi ya watalii wanaokuja kutalii na na hata...
  3. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Usemi wa "Usimuamini mwanamke kwa asilima 100" ndio aliopita nao Bilionea Christiano Ronaldo kabla ya kumuoa "Nyonga mkalia ini" wake.

    Inasemekana kuwa Cristiano Ronaldo na Georgina Rodríguez walisaini mkataba wa kabla ya ndoa mnamo Agosti 10, 2026, siku moja tu kabla ya harusi yao ya faragha nchini Ureno. Naamini tulishaletewa habari hii hapa jamvini lakini hebu kidogo tuuelezee kwa ufupi mkataba huo. Mkataba huo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mpira wa Bongo sasa hivi brand kubwa inalipa; Fei anaandaliwa signing fee ya bilioni 4 na mshahara 120M, Okello kacheza nusu msimu tu kauzwa bilioni 2

    Mpira wa Bongo siku hizi unaonyesha wazi: ukijenga brand, fursa na pesa vinafuata. Fei Toto kwenye dirisha hili la usajili, dau la kuvunja mkataba wake lilifika hadi bilioni 3.5. Azam wameamua kumuwahi mapema wakijua amebakiza miezi 6 tu kwenye mkataba na timu zinaendelea kumnyemelea. Kuna...
  5. M

    JamiiForums Tanzania {Inadaiwa ni mkewe}: Kwanini mtu amchape hivi Mke wake? Hi si sawa na haikubaliki

    Wakati watu wakipiga kelele kuhusu adhabu ya viboko shuleni mtu anaamua kukata fimbo anamcharaza mke wake, kwanini lakini. Hii sawa, nimekwazika sana
  6. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Video: Wenye wake zenu wanaoenda gym kuna ushauri wenu huku

    hakika mazoezi ni muhimu kwa afya mma hata madaktar wanatushauri lakini kuna mengi yanazungumzwa juu ya wake za watu na matrainer, tazama video kisha tuambie maoni yako...
  7. Foffana

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Yanga akiendelea kutumia mawinga wake hivi msimu huu hatoboi

    Kocha wa Yanga anazingua sana pamoja na Mawinga wake Zakuoani na Kangwanda Hao Mawinga ni talented sana ila sometimes vichwani mwao sijui huwa wanawaza nini Winga hatari zote duniani kwa sasa na mawinga wenye akili wote kwa sasa wanacheza kama Inverted wingers washatoka kwenye traditional...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mawifi hawawapendi Wake wa Kaka zao? Madini yaliyojificha kwenye wimbo '12,600 Lettres' wa Franco Luambo

    Hapa chini tuangalie uchambuzi wa wimbo ambao wengi wetu tunaujua kama 'Bandeko Ya Basi', lakini jina lake halisi la usajili ni "12,600 Lettres" (Barua 12,600). Huu ni moja kati ya kazi bora na mahiri zaidi za mwanamuziki mashuhuri wa Kongo, Franco Luambo Makiadi akishirikiana na bendi yake ya...
  9. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Baada ya Dr.Samia S. Hassan kuhitimisha awamu yake ya pili ya Urais 2030, unadhani kuna mbadala wa mrithi wake zaidi ya Dr.Emmanuel J. Nchimbi?

    Toa maoni yako kwa uhuru na amani, Na Mwenyezi Mungu akubariki sana 🐒 Mungu Ibariki Tanzania
  10. M

    JamiiForums Tanzania Alijidai fundi jikoni, akaaibika mbele ya wageni wake. Umewahi pika chakula kibaya?

    Siku moja shangazi yetu alituambia kuwa atakuwa na wageni wa muhimu wanakuja kumtembelea nyumbani ivyo tuweke mazingira sawa kwenye kila kitu kusiwe na dosari kama mjuavyo nyumba ikiwa na watu wengine inakuwa na hekaheka inahitaji kurekebishwa mpangilio. Basi tukafanya hivyo huku yeye akienda...
  11. Freyzem

    JamiiForums Tanzania Huyu Peter Shalulile ni kiporo cha ugali, usajili wake ni wa mhemko tu, hamna mchezaji hapo

    Huo ndio ukweli usajili wa Peter Shalulile ulikuwa zaidi wa muhemko na kutaka kukomoa tu. Kwenye hii derby kipindi cha kwanza kaonyesha failure tayari, na hata ile game ya bonanza. Mchezaji anakimbia kama jani la papai linalodondoka... huyo tukubali ni usajili wa Yanga uliofeli. Kazi yake...
  12. Heci

    JamiiForums Tanzania Leo ndio siku ambayo Ibrahim Doumbia anaenda kusimika ufalme wake wa soka duniani

    Dunia leo inaenda kumheshimisha Ibrahim Doumbia. Tayari mpaka sasa Doumbia anaenda kudidimiza vichwa vinne pale Jangwani. Wataimba haleluya
  13. mamamzungu

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kumwambia ukweli huyu shemeji yangu kuwa mtoto sio wake bila mgogoro?

    Yamenifika kooni najisikia vibaya kuendelea kuigiza kwa shemeji yangu na nahisi kama na mimi naendelea kushiriki dhambi ya kuiba damu ya watu Ipo hivi nina sister yangu ambae ana mtoto wa miaka 3 sasa.. baba mtoto halisi waliachana toka mtoto akiwa na miezi 5 na akamtelekeza matunzo hatoi...
  14. polokwane

    JamiiForums Tanzania Ni busara serikali na viongozi wake kukaa kimya na kuacha kuzungumzia yale ya oktoba 29 2025, huu ukimya usiwafanye mjione washindi mkaendeleza kejeli

    Nikisikiliza kauli zao hawa watu, wamekosa hekima kabisa, serikali imejaa wajinga na wajivuni, na hakuna yeyote mwenye viashiria vya hekima ya kiuongozi kati yao na hasa kwa wale waongeaji ongeaji juu ya hili Msisahau mnapo kuwa mnaongea hizo kejeli zenu dhidi ya yale mliyo wafanyia...
  15. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Tanzania Nchi Iliyosahau Mashujaa Wake: Kumbukumbu ya TANU na Uhuru wa Tanganyika

    https://youtu.be/ZgzpXeu9eRY?si=HgH6XfcePFIMrxuI
  16. K

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Je mtu anaweza kumeza ulimi wake?

    Kwa kipindi kirefu inaaminika kuwa mtu akipwata na kifafa/degedege anaweza akameza ulimi hivyo hutumia kijiko,kijiti au kumuweka kiganja cha mkono mdomoni kama njia ya kumsaidia. je kunauwezekano wa mtu kumeza ulimi?
  17. O

    JamiiForums Kenya Charlene Ruto Afanya Sherehe ya Koito na Mchumba Wake Mtanzania Isaya Yunge

    Binti wa Rais William Ruto, Charlene Ruto, amefanya sherehe ya jadi ya Koito na mchumba wake, Isaya Yunge, mjasiriamali wa teknolojia kutoka Tanzania. Sherehe hiyo ilifanyika Jumamosi, Agosti 8, 2026, katika Intonna Heritage Farm, Kilgoris, Narok County, huku familia za Charlene na Yunge...
  18. Msanii

    JamiiForums Tanzania Shetani amezoea kulaaniwa na haachi uovu wake; vivyo hivyo tunailaani CCM na haitaacha maovu na ukatili wake

    Ifike mahala tuelewe kuwa hili dubwasha CCM limeishi kinafiki katika miaka yake ya ujana sasa limezeeka limegeuka kuwa shetani. Wanafikia kumdhuru yeyote anayekinyooshea kidole kusimamia ukweli. Wakosoaji wamekuwa wakiokotwa aidha wametteswa au wameuawa. CCM imemeza vyombo vyote vya Ulinzi na...
  19. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Nini kinamfanya mtu muda wake mwingi anakuwa TOXIC sana kwa watu?

    Kuna watu ambao ndimi zao ni kama za nyoka Mioyo yao imekunjamana Macho yao yamejaa moto Vidole vyao vya ku-type vina upanga Kauli zao ni za kukatisha tamaa Lugha yao ni matusi. Nini ni sababu ya haya yote ambapo unakuta mtu robo tatu ya siku yake anachagua kuwa hivi utafikiri ametumwa na...
  20. realMamy

    JamiiForums Tanzania Mwanaume hodari anajua kumdekeza mke/Mpenzi wake

    Nyumba sio kambi ya kijeshi wala sehemu ya kutoa amri. Ni mahali pa upendo, utulivu na furaha. Mkeo au mpenzi wako ndiye mshirika wako wa maisha. Baadhi ya wanaume hujifanya ni makamanda wa Jeshi nyumbani kwa kutoa amri za hapa na pale. Mfano "Nipe maji ya kunywa" "Niwekee maji...
Back
Top Bottom