wake

In fluid dynamics, a wake may either be:

the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).

View More On Wikipedia.org
  1. G

    JamiiForums Tanzania Mbinu ya Lissu kugoma kula ni dhaifu sana kulinganisha na mahasimu wake walivyo makatili. Wanafurahia hiyo mbinu

    Chadema tafuteni mbinu yenye impact haswa Kwa mlioko nje sio Mwenyekiti . Kwa mahasimu ambao wanatamni unyongwe ufe mbinu ya KUACHA kula haiwezi kuwatisha hata kidogo Huu ni ushauri Kwa Chadema na Mwenyekiti Lissu Mod usiunganishe uzi
  2. Wazolee

    JamiiForums Tanzania Injili ya Yohana hadi leo hi mwandishi wake hajulikani

    We may never know for certain who wrote the Gospel of John, any more than we can know who wrote the books of Matthew, Mark and Luke. We do know that John is a gospel apart, however. Early Matthew, Mark and Luke are so alike in their telling that they are called the Synoptic Gospels, meaning...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Hakuna Mtanzania anapaswa kuwa na huruma na Lissu. Hata mke wake hajawahi kwenda kumuona gerezani

    Ndugu zangu Watanzania, Kama wewe ni Mzalendo wa kweli wa Taifa hili na unayependa Amani na usalama wa Taifa hili kwa Tanzania bora ya leo na kesho basi hupaswi hata kidogo hata chembe kuwa na huruma na Lissu. Hakuna Mtanzania Anapaswa hata kupoteza muda kumuombea Lissu. Hii ni Kwa kuwa mtu...
  4. uhuruborn

    JamiiForums Tanzania MANGE KIMAMBI AWE MAKINI NA INFORMERS WAKE: SI KILA TAARIFA INAYOVUJA INA MAANA YAKE NI KWELI

    Katika siasa, si kila taarifa unayopewa na mtu wa ndani ina maana kwamba huyo mtu anataka kukusaidia. Wakati mwingine, kuna watu wanaotoa taarifa kwa sababu zao binafsi, kutafuta umaarufu, kulinda maslahi yao au kupima upepo wa kisiasa kabla ya jambo fulani kufanyika. Ndiyo maana Mange Kimambi...
  5. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Chief Mangungu wa Simba ndo muda wake huu sasa

    Sasa hivi mmesahau. Match ya pili tukija wachapa mtaanza kutoa milio chief Mangungu andoke. Je kwa sasa aendelee au bado yupo yupo kwanza? Tuambiane mapema nyie mikia. Maana yeye ndo huwa mnamwangushia Jumba bovu. Maana kwa sasa tumewapumzisha naye baada ya kuwaachia mpate ushindi hii match moja.
  6. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Kuna kiwanja nataka kununua ila kipo katika mtaa ambao upimaji wa viwanja haujafika. Je inawezekana kumtafuta mpimaji anipimie na kuniwekea bikon?

    Karibuni wakuu
  7. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Alafu mtu anakuja kusema Wamarekani ni mashetani. Shetani ni huyo anaekuhuburia kil siku hivyo ili aulinde ushetani wake

    Hata hizi pesa zilizo rudishwa zinaenda kupigwa juu kwa juu na wala ugali.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Je, Mama yake Gigy Money ndio chanzo cha tabia alizonazo mtoto wake?

    Msanii Gigy money ameendelea kumtupia lawama mama yake huku akisema inawezekana maisha magumu anayo yapitia sasa ni kutokana na malezi mabovu aliyo lelewa na mama yake. Pia Gigy amesema, mama yake alimzaa Kwa bahati mbaya Kwa sababu mimba yake aliitoa na kwenda kumtupa chooni ila Kwa bahati...
  9. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Nchi ya pili kwa uchumi mkubwa africa inashindwa kupambana na wanajihad wanaojificha vichakani na kuua wananchi wake kila siku. Uafrika ni laana!

    Haya mambo yapo connected huko nigeria na deep state inacheza mchezo wa draft na maisha ya watu huku wakitembelea ma range rover na kuishi nyumba zenye fensi ndefu za ukuta na watoto wao wakiwasomesha nje ya nchi.
  10. PROFOUND NOTION

    JamiiForums Tanzania Ila JF 😁, kila mtu ana pesa, ana nguvu za kiume, anatongozwa na wake za watu , kila mtu haishi kwa shemeji yake na kila mdada humu ana keboz makubw🔥

    Maisha yaendelee
  11. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Lissu ateuliwa kushindania tuzo ya haki za binadamu. Aibu kwa Samia na washauri wake

    Akishinda Samia na genge lake watapata aibu kubwa.👇
  12. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Sergeant Major Kabera yana mizizi ya uhasama kati ya Kagame na mtangulizi wake, Fred Rwigyema?

    Uchunguzi wa mazingira ya kifo cha Robert Kabera nchini Uganda umefungua upya mjadala kuhusu migogoro ya ndani ya RPF, urithi wa Fred Rwigyema na madai ya kutengwa kwa baadhi ya watu waliokuwa karibu na waanzilishi wa chama hicho. Kifo cha aliyekuwa mwanajeshi wa Rwanda, Sergeant Major Robert...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Sheikh Alhad: CHADEMA ni muhimu kuingia kwenye maridhiano kutokana na ukubwa wake

    Mwenyekiti wa Taasisi ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT) Sheikh Alhad amevitaka vyama vya siasa nchini kuweka mbele maslahi ya taifa na kukubali maridhiano kwa ajili ya kulinda amani, umoja na maisha ya Watanzania. Amesema maridhiano yanahitaji busara, hekima na utayari wa kila upande...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Tanzania nchi ya kwanza barani Africa kwa watu wake kuwa na kipato kikubwa na furaha

    Utafiti uliofanywa na indepemdent firm kutoka marekani waonesha Tanzania imepanda viwango vya hali ya juu kwa gdp pet capita kuwa kuwa kuwa na uwekezaji kuongezeka sana kwa sera stable na predictable za awamu hii. Kipindi cha nyumba yaani cha JPM nchi ilitaka kudumbukia shimoni na sasa...
  15. BABU NYAU

    JamiiForums Tanzania Jeska Kikumbi aweka wazi msimamo wake kuhusu Fredi Vunjabei..

    Mfanyabiashara maarufu na mmiliki wa baa za Kitambaa Cheupe, Jeska Kikumbi, amefunguka kuhusu sababu zinazowafanya watu kumhusisha kimapenzi na mfanyabiashara mwenzake, Fredi Ngajilo maarufu kama Fredi Vunjabei, huku akieleza msimamo wake kuhusu suala hilo. Jeska amezungumzia mada hiyo...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ni Buheri wa Afya na Anaendelea Vizuri Kabisaaa na Anawatakia Kila La Heri Kidato cha Nne Katika Mitihani Yao .Huu Ndiyo Ujumbe Wake .

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ni Buheri wa Afya , anaendelea vizuri kabisa ,Yupo Salama kabisa , ni Mzima wa Afya,Yupo vyema kiafya na kimwili na anaendelea kutoa maelekezo na kutekeleza vyema...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Kina wa Msemo wa Eleanor Roosevelt na Uhusiano wake na Maisha ya Sasa

    Msemo wa Eleanor Roosevelt na kioo cha fikra zetu hapa jukwaani, Heshima kwenu wakuu wa jukwaa hili la kipekee. Leo nimekaa chini na kutafakari kwa kina kuhusu kauli moja maarufu sana duniani inayohusishwa na Eleanor Roosevelt, mke wa aliyekuwa Rais wa Marekani, Franklin D. Roosevelt. Aliwahi...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Kina wa Msemo wa Eleanor Roosevelt na Uhusiano wake na Maisha ya Sasa

    Msemo wa Eleanor Roosevelt na kioo cha fikra zetu hapa jukwaani Heshima kwenu wakuu wa jukwaa hili la kipekee. Leo nimekaa chini na kutafakari kwa kina kuhusu kauli moja maarufu sana duniani inayohusishwa na Eleanor Roosevelt, mke wa aliyekuwa Rais wa Marekani, Franklin D. Roosevelt. Aliwahi...
  19. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Mfalume Ahabu ( Samia wa Leo) alikua na Manabii wake 450 wa Uongo walomtabiria anayopenda kusikia, Nabii Eliya na Mikaya walimtabiria Mabaya tu!!

    Mfalme Ahabu aliwachukia San Nabii Eliya na Mikaya kwakua walikua wanamtabiria Mabaya siku zote, Chuki ikaenda mbali Kiasi cha Ahabu kutafuta kwa nguvu zake zote Kumuua Eliya Na Mikaya . Mfalme Ahabu , Aliondoa Ibada ya Mungu katika utawala wake, Israel ukaanza kuabudu miungu Baali, miungu...
  20. Mejasoko

    JamiiForums Tanzania Rais Samia alishinda kihalali kwenye ulimwengu wa roho na mpinzani wake mkubwa (Lisu) alikubali huku akipokea manuizo hayo kwa bashasha!

    Ulimwengu wa roho inabidi uwe Pro active sana!, Ilikua kabla hata ya uchaguzi mkuu wa Chadema Mama yetu kipenzi aliona mbali akamaliza kile ambacho kingemsumbua sana October 29, 2025, watu wanadhani ni mauaji ila sio, August 2024, rais alitembelea Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan aliamuru...
Back
Top Bottom