the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).
Mwanasheria Keneth Nkiko (28) anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara kwa tuhuma za kumuua mpenzi wake, Magreth Richard (22), mfanyabiashara na mkazi wa Manispaa ya Musoma akimtuhumu mpenzi wake huyo kuwa na mahusiano na wanaume wengine.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara kupitia kwa Kamanda...
Kijana mkenya Walter kipkoech umri wamiaka 23, amuua mpenzi wake na kumkata kichwa, kisha kukimbia nacho.
Jeshi la polisi lafanikiwa kumkamata, ambapo inasemekana chanzo ni kutoka kua mwaminifu Binti huyo wa miaka kumi nana 18 mwanafunzi wa kidato cha nne.
Baada ya kutekeleza shambulio hilo...
True emotional whiplash is running a vast East African realm where the domestic policy is quiet, but the cross-border business imports are shockingly loud.
Spare a thought for the realm’s leading matriarch. It is a profound sorrow to lose a lifelong partner—a quiet, distinguished scholar of the...
Huu ndio utu.
Hii ndio ethics
Sio wema kabisa watoto hawa wawe exposed na kuwa targeted.
Sio kila mtu anakili ya alfajiri, watu vichwa vyao vimejaa giza.
Maxence Melo Cookie Payge Active 255Fixer
Angalio Mama Samia asiko omba msamaha kwa Lissu hatamaliza muhula wake! Naombeni save hii na mtakuja kuniambia. Itakuwa kama Magufuli asikofanya hivyo haya ni maono yangu. Kama wewe ni mbishi puuza lakini tulisema kabla Magu naye hajawa hayati. Poleni CCM inakuja
Samia Suluhu Hassan ameutaka Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), kuimarisha nafasi ya mabunge katika kushughulikia changamoto za dunia, akisema mvutano wa kisiasa na kijiografia, migogoro na kutokuwa na uhakika kiuchumi vinazidi kuhitaji ushirikiano wa kimataifa.
Ujumbe huo wa Samia ameutoa usiku...
Mwaka 2018 serikali ya Marekani si walijifanya kuipiga ban kampuni ya China, Huawei. Now the tables have turned!
Leo Oktoba 5, Huawei na Qualcomm wameingia multi-year broad patent license agreement.
Yaani Qualcomm kampuni kubwa ya Marekani kwenye telecommunication, itakuwa inanunua baadhi ya...
WanaJamvi muhali gani...!
Kumekuwa na matukio mbalimbali ya kuhusu mgongano wa jinsi baina ya ME na KE na changamoto kubwa baina yao ni KE kutaka kuonekana. Mwaka 1998 kulifanyika mkutano mkubwa wa akina mama huko CHINA BEIJING na kauli mbiu kuu ni "Haki sawa maisha ni 50/50 hahhahahha na...
Kwa mtazamo wa kawaida, unaweza kufikiri hivi:
“Mwanamke anayependa mali akijua kwamba mume wake amegundulika na ugonjwa hatari unaoweza kusababisha kifo, kwa nini asifurahi kimoyomoyo na kusubiri tu? Mume akifa, anarithi mali kirahisi.”
Lakini hapa ndipo kuna upande mwingine wa hesabu ambao...
divorce
gharama
gharama za matibabu
habari
hawezi
hivyo
huwa
jamii
jicho
kijamii
kinga
kulinda
kuomba
kupunguza
kuugua
kuvunja
kuvunja ndoa
maamuzi
mali
matibabu
mume
mume wake
mwanamke
ndoa
ndugu
talaka
ugonjwa
wake
Hakuna kitu wanaume tunavutiwa na kuwa na mwanamke mzuri(pisi kali), mrembo na ukamuoa akawa mke wa kupendezesha nyumba.
Lakini wiki iliyopita mume aitwaye Kweka kamuua huyo dada mrembo kwa risasi na kwa hasira kisha kajisalimisha polisi.
Wakuu mwenye details za huu mkasa wa kusikitisha.
UPDATE...
"Mmeona yule mtu anaitwa Wicknell Chivayo huyu wa Zimbabwe. Maisha yake aliyokuwa anaishi ni kama vile hatakufa. Alitaka kuja kwenye mkesha ambao tulikuwa nao juzi, mimi ndiye nilikataa.
Walipiga Simu anataka kuja kwenye mkesha kutoka Zimbabwe nikasema hapana. Ni kweli anatoa kwa wachungaji...
Tanzania mauaji kati ya wanandoa, wapenzi au ndugu wa karibu kwa mwaka ni kama watu 300 tu nchi nzima, hiyo ni sawa na wastani watu 10 tu kwa mkoa mmoja kwa mwaka mzima.
Ukiangalia takwimu hili ni jambo ambalo hata halipaswi kusumbua kichwa na kusababisha vijana na watu wazima kuandika nyaraka...
Wakuu wa jukwaa hili, natumai mko salama.
Kuna jambo zito la kiutamaduni na kifamilia limenileta mezani leo kutoka kwa rafiki myangu wa karibu sana wa kiume. Kijana yuko hatua za mwisho za kwenda kutoa mahari na kuoa, lakini amegundua mchanganyiko fulani kwenye familia ya binti unaomnyima...
Leo imekuja siku ya furaha kwa Max Verstappen baada ya kushinda (P1) Bahrain GP uko Malaysia.
Ikumbukwe, mara ya mwisho mwamba kushika P1 ni Abu Dhabi GP, December 2025.
Nafasi ya pili ni Kimi na ya tatu Hamilton.
Mvua imezingua sana mwanzoni na ilipelekea Russell kua DNF baada ya gari...
1. Waliozungukwa na marafiki wengi ambaondoa zao zimevunjika au hawajaolewa, aina ya wale wanawake wa mjini ambao wapo huru sana na kupenda maisha ya starehe
2. Kama mkeo ni muumini wa makanisa ya kilokole na wachungaji wake ndio hawa wachumia tumbo na wacheza mazingaombwe, ishi nae kwa akili...
Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Askofu Bagonza amesema kuna kauli za viongozi zinatolewa kwa vitisho kuwachukulia hatua watu wasiokubaliana au kutoisikiliza Serikali.
Amesema, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila, alisikika akiwaambia madereva kuwa asiyemsikiliza ahakikishe ameiaga...
■India
■Thailand
■China
■Vatican
■Saudi Arabia
■Jamii zilizomo msitu wa Amazon
Hizi ni sehemu ambazo ukienda lazima ukute utofauti mkubwa wa imani yako na utaishia kuwaita waabudu masanamu na mashetani ila pia na wewe wataishia kukucheka kwa namna hio.
Kabla ya muarabu na Mzungu kuja...
Naomba niwakumbushe wafuasi wake kwamba wasifurahie mambo yaliyowasilishwa mbele ya hadhara kwa ajili ya mtuhumiwa, watesi wake bado wanamuwazia mabaya; kumbukeni ana risasi anatembea nayo, hii ilisababishwa na shambulio lililofanywa usiku kweusi kwenye makazi ya wachawi ambayo usiku kucha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.