Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.
Yeye akiwa ni Muislam na mie Mkristo;
Alikuwa pisi haswa, mtoto mkaree kila angle na anayajua mapenzi haswa, nikasema tabu za nini hasa ukizingatia binti mwenyewe ananitii kila nnalomwambia, sikuwa na upinzani wowote kwake, najipigia mwenyewe tu ki uhakika.
Sasa nilivyotangaza tu kumuoa na...
Nancy Pelosi pledges US support until 'fight is done'
Nancy Pelosi pledges US support until 'fight is done'Close
The speaker of the US House of Representatives, Nancy Pelosi, has met the Ukrainian president, Volodymyr Zelensky, in Kyiv.
Ms Pelosi said Ukraine was fighting for everyone's...
Kwa mtazamo wangu
1: Hakutakuwa na WW3
2: Russia hatatumia Nuclear wala Ukraine haitajisalimisha.
Russia itachoka, na wataingia makubaliano ya kusitisha vita ikiwa hoi kabisa na majeraha mengi bila kutumia Nyuklia zake.
3: USA atakuwa na nguvu kubwa kuliko MTU au taifa lolote kuliko hapo...
Nimepitia mijadala kadhaa ya vijana mbali mbali nimeona Tatizo ama lipo katika syllabus tunayotumia kuwafundishia masuala ya kidipomasia ya mataifa mbali mbali ,vijana wengi sana hawana ufahamu Kabisa , vita wanaijadili kama Mpira kwamba yeyote anaweza kupigwa, Vita inajadiliwa kama hadithi za...
Wasalaam
Wakati sisi tukiwa na mipango ya miaka minne tu mbele ya maendeleo na jinsi itakavyokuwa nchi na sio dunia, wenzetu wa huko mbele huona miaka mia ijayo kuwa dunia itakuwa vipi?
Hotuba ya juzi ya makamanda wa USA ilionyesha kabisa kwamba dunia si salama na dunia iwe tayari kukabiliana...
Urusi iligonga miundombinu ya reli kote Ukraine siku ya Jumatatu kwa lengo la kuzuia usambazaji wa silaha za kigeni, huku Marekani ikitangaza kuwa itatoa silaha zaidi licha ya pingamizi la Moscow.
Takriban watu watano waliuawa na 18 kujeruhiwa katika mashambulizi ya Urusi katika eneo la...
Nimetafakari sana juu ya misada inayotolewa kila uchao na Marekani kwenda Ukraine, na jambo Moja limenijia kichwani, VITA YA SYRIA, tunakumbuka wakati utawala wa Assad ulivyokaribia kuporomoka Baada ya kupata mashambulizi mazito Toka Kwa ISIS(ISLAMIC STATE OF IRAQ AND SYRIA), kundi la kigaidi...
Kama ungekuwa na busara ungewaita Rais Putin na Zelensky meza moja kujadiliana namna ya kumaliza vita hii lakini umeamua kuwa upande wa Ukraine. Huu ni ujinga mkubwa sana, unachochea uanzishwaji wa vita vya tatu ya dunia. Uko tayari?
Acha kiburi Marekani, ndiyo maana afande sele alikuambia ule...
Nipo nasoma soma taarifa fulani na kuzufanyia analysis, nikakutana na taarifa ya huyu Gen. Oleg Mityaev huyu alikua ni General wa 4 wa Russia kuuawa vitani Ukraine. Kufa kwa mmoja au wawili ni hali kawaida vitani, lakini kufa kwa Generals 9 si jambo la kawaida.
Ikumbukwe, Russia iliteua...
Hakuna mji wowote duniani ambao umekuwa ni mji wenye umuhimu sana kwa watu wengi kama ulivyo mji wa Jerusalem. Mji wa Jerusalem ni mji ambao una umuhimu kwa Wayahudi, Wakristo na Waislamu. Mji wa Jerusalem unajulikana kama mji wa amani lakini Jerusalem ya leo n ahata kihistoria haujawahi kuwa...
Inasikitisha sn nchi iliyokuwa na bandari yake wanalima wana export nje mazao leo kuanza maisha bila bandari, maana nnasikia puttin anataka kuunganisha huo mji wenye bandari uwe sehemu ya donbass.
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky ametoa tena wito wa kufanya mkutano na Rais wa Urusi Vladimir Putin katika juhudi za kumaliza vita nchini mwake.
Zelensky ambaye alishawahi kuomba kukutana na kiongozi huyo amesema hakuwa na hofu ya kukutana na Putin iwapo hilo lingesababisha makubaliano ya...
Katika muendelezo wa mapambano huko Ukraine tumeona Urusi inavyopata ushindi kwa tabu sana kutokana baadhi ya nchi za magharib kuendelea kumpa siraha rais wa ukraine kitu ambacho kitafanya hii vita ichukue mda mrefu sana.
Hivyo Basi kama Putin hatofanya maamuzi ya haraka kumkimbiza yule...
Tangu vita vimeanza hii ni week ya tatu putin amekuwa akisika mara kadhaa akiliomba jeshi la Ukraine na wanajeshi wa Ukraine kusalender vita hiii lakini bado madogo wanakomaa
Je, ni kwanini Putin anawataka wanajeshi wa Ukraine kusalender?
Bilionea Oleg Tinkov wa Urusi amelaani Vita inayoendelea Nchini Ukraine akidai ni 'wendawazimu' na 90% ya Warusi hawaiungi mkono kwani hakuna anayenufaika nayo
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Tinkov amependekeza Mataifa ya Magharibi kumpa Rais Vladimir Putin njia ya kutokea na kukomesha...
Kama kuna Kitu Watanzania wote tunatakiwa Kupongezana sana tena 24/7 na Kumshukuru mno Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere ni Kitendo chake cha kutoruhusu Ukabila nchini ila tubakie tu na Utanzania Wetu kama Kitambulisho chetu Kikuu.
Kenya Ukabila ndiyo utamua Rais wao.
Nimetafakari na kugundua silaha zinazopelekwa Ukraine ni nyingi sana.
Nimesoma Ujerumani wanasitisha kuendelea kumsaidia maana wataishiwa silaha wamebakiza akiba.
Mchambuzi mwingine anasema hats US atakoma siku zikiendelea maana silaha zake zitapungua kwenye akiba zake.
Najiuliza nchi...
Shirika la Fedha la Kimataifa, IMF, limeshusha makisio ya ukuwaji wa uchumi wa dunia mwaka huu, likisema uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine umechangia kwenye kuichafuwa biashara ulimwenguni na kupandisha bei za bidhaa.
Siku ya Jumanne (Aprili 19), IMF, ambayo ni mkopeshaji mkubwa kwa zaidi ya...
Kwanza naomba nitoe declaration. Mimi ni mtanzania haswa ninaependa kuona maendeleo ya hii nchi.
Nirudi kwenye mada, hii royal tour ni deal sana hasa kwa namna inavyotarajiwa na watanzania wengi.
Sote tunaamini Tanzania itafunguka na tutapata pesa kwa ajili ya mradi.
Lakini pia Mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.