vita

Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.

View More On Wikipedia.org
  1. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Kabla ya vita raia wanaambiwa shikeni silaha teteeni nchi yenu,baada ya vita wanasema war crime mbona siwaelewi hawa mabeberu

    Nato wamechanganyikiwa na sasa wanajiandaa kuwapa silaha zaidi hivi hawa watu wana akili sawasawa ,havi raia gani huyo anakufa pembeni ya kifaru ??????
  2. britanicca

    JamiiForums Tanzania Thread number 2 Hassara Ya Urusi kwenye Vita Ya Ukraine

    Uzi wa awali ulieleza jinsi Urusi alivyopoteza, Vitani ila huu utaangalia Uchumi na uwekezaji MAUZO Mauzo nje yameshuka kwa asilimia 30 tokea amewekwa vikwazo Hungary imesitisha uingizaji wa mafuta Ya Urusi kwa asilimia 20% Ufaransa imepunguza utegemezi wa mafuta ya Urusi Kwa asilimia 30%...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Katika wakati huu wa hali ya uchumi duniani kuwa mbaya ni kuwa muangalifu sana

    Mzuka wanajamvi, Katika hali hii ya uchumi wa duniani kudorora na city kupanda bei kupitia maelezo ni kuwa muangalifu Sana katika matumizi, kusave na usalama wako na familia yako. Uhalifu umeshamiri na vitendo viovu kama umalaya n.k. Huu siyo wakati wakujionesha kwenye umma una pesa nyingi au...
  4. data

    JamiiForums Tanzania Watumishi tunapoelekea Mei Mosi tumwambie nini Rais Samia?

    Shime shime shime watumishi wenzangu ...asiye na mwana aeleke jiwe. Tunapoelekea Mei Mosi ya kwanza ya Rais Samia S. Hassan akiwa katimiza mwaka mmoja kazini si vibaya tukatanguliza yale tunayotarajia kusikia toka kwake. Kama alivyotuahidi nyongeza ya mshahara mwaka huu bila shaka hilo...
  5. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Vita ya UKRAINE ukilinganisha na IRAQ inaonyesha Ukatili wa US/NATO na upendo wa Urusi

    Kipigo cha Iraq wakuu kilikuwa ni cha kikatili sana. Ziliruka ndege mamia juu ya Anga Siku ya kwanza zikadondosha mabomu kama mvua Baghdad. Hata sisimizi wa Iraq walijua kuna wanadamu katili. Uchunguzi wa UN ulipuuzwa. Anapigwa MTU bila kuonyesha uhalali wa upigwa. Na dunia nzima...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Kauli ya vitu kupanda bei kisa vita ya Ukraine inapindishwa na walioielewa wanafunga mikanda kimyakimya

    Imenibidi kwa mara nyingine nijiridhishe kwa kurejelea kusikilizwa hotuba ya Mhe.Rais iliyokuwa inazungumzia kupanda bei kwa vitu kunakosababishwa na vita vya Ukraine na Russia na mapokeo ya kauli hiyo. Sio kwamba nimetumia muda kusikilizwa tena sikusikia vizuri ila nilifanya hivyo kuongeza...
  7. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Simba ikipigwa Vita vya Ukraine vimechangia!

    Sina maneno hivi vita ni hatari sanaa hivyo Mnyama akiondolewa tusilaumiane mana hata Mama anajua hilo!
  8. funaku

    JamiiForums Tanzania Ni namna gani vita vya RUSSIA na UKRAINE vimeathiri utalii?

    Tumejionea athari za kiuchumi hususani kupanda kwa bei ya mafuta nchini. Swali langu ni Je sekta ya utalii Tanzania imeathirika au inatarajiwa kuathirika vipi katika kipindi hiki? Ni kwa namna gani tunaweza kukabili mtikisiko huo?
  9. 2019

    JamiiForums Tanzania Ni sawa kiongozi wa dini kubariki vita au wanajeshi wanaoenda kupigana?

    Katika nchi hii, watu wananen kati ya kumi sawa na (78%) wanajitambulisha kuwa Waorthodox. Lakini uvamizi ulioongozwa na Vladimir Putin - ambaye, kwa bahati mbaya, ameharibu mamia ya makanisa kwa mashambulizi yake ya angani - ultikisa nguvu ya UOC-MP. Hali ilikuwa tete baada ya mzalendo wa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Vita Ukraine kuikosesha Liverpool Ubingwa

    Mzuka wanajamvi! Uvamizi wa Urusi nchini Ukraine na kusababisha vita vikali baina ya Urusi na Ukraine kujilinda. Huenda ikasababisha Liverpool FC isichukue ubingwa wa EPL msimu huu wa 2021-22. Ukizingatia uingereza ni mshirika wa karibu na Ukraine akimsaidia kwa silaha , hela, chakula na...
  11. BigTall

    JamiiForums Tanzania Ukraine yajiandaa kwa vita vya kemikali, Marekani yatoa usaidizi

    Imeripotiwa kuwa Marekani imekuwa ikituma vifaa vya kinga (PPE) kwa Ukraine kwa ombi la nchi hiyo ili kujiandaa kwa shambulio lolote la silaha za kemikali wakati wa vita dhidi ya Urusi inayoendelea. Msemaji wa Baraza la Usalama la Kitaifa la Rais Joe Biden alithibitisha kwamba "vifaa vya kuokoa...
  12. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakati wenzetu wanang'aka kuhusu vita DRC, Waganda tayari wameanza kuchangamkia fursa, Wakenya tusichelewe

    Wafanya biashara wa Uganda wamehojiwa wengi wameanza jitihada za kuchangamkia soko la DRC na fursa zilizopo, hii ni baada ya DRC kuwa mwanachama ndani ya EAC. Wakenya tusichelewe, bahari Hindi na Atlantic zimeunganishwa, tupambane.... Naomba pia serikali zetu zirahisishe suala la vyeti kama...
  13. britanicca

    JamiiForums Tanzania Russia Vs Ukraine hakuna mshindi wa Vita ila kwa Haraka Urusi amepoteza in reality

    Habari za wakuu hapa ni vema uzi uachwe kuonesha nani kapoteza kwa namna tofaut tofauti, Kuna Nyuzi nyingi Sana hapa ila huu utakuwa wa kitaalamu Na shuhuda nilizoshuhudiwa siyo kwa kusimuliwa Wengi wameeleza chanzo cha Vita hii ila kwa hapa naonesha Matokea tu 1. Mpaka sasa week Jana natoka...
  14. MK254

    JamiiForums Tanzania Urusi yaanza janja janja za kuvuta Belarus kwenye vita

    Hali imekua ngumu, Ukraine waligeuza kibao na kuanza kuwasukuma Warusi, hao Warusi walijaribu kubembeleza Belarus waingie kwenye vita ikashindikana, sasa wameanza janja za kupiga mabomu ndani ya Belarus ili ionekane kana kwamba Ukraine wameshambulia. Ndege ya Urusi ilipaa kutokea Belarus kisha...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kama Tanzania haifungamani na upande wowote, kwanini hatununui mafuta ya Bei rahisi Urusi?

    Nianze Kwa kutoa pole kwa changamoto za kuishi! Kama kichwa kinavyojieleza, kumekuwa na taarifa kuhusu kupanda Kwa Bei za mafuta na gesi duniani, huku Urusi, Moja ya wazalishaji wakubwa wa mafuta na gesi akishusha Bei ya bidhaa hizo ambapo mataifa makubwa, ikiwa ni pamoja na Yale yaliyomwekea...
  16. Replica

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nimeagiza tozo ya mafuta irudishwe, asema nauli na bei za bidhaa vitapanda. Sababu ni vita ya Urusi

    Leo Rais Samia amepokea ripoti ya CAG Ikulu Dodoma na kuongelea mambo kadhaa ikiwemo suala la mafuta. Rais Samia amesema waziri husika aliondoa tozo ya Tsh 100 kwenye lita ya mafuta bila kuangalia upana wake ikiwemo tayari ilikuwemo kwenye bajeti ambayo ilipitishwa na Bunge hivyo Rais ameagiza...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Vita vya Urusi na Ukraine vyaifadisha Tanzania

    Uwekezaji katika uchimbaji wa gesi na mafuta nchini Tanzania utaongezeka kwa Dola Bilioni 10 sawa na tsh. Trilioni 23.2. Awali, Tanzania na kampuni ya uchimbaji mafuta na gesi ili ya Equinor ASA na Shell Plc zilikubali kuwekeza Dola bilioni 30 sawa na Tsh. Trilioni 69.58 ambapo kutokana na...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Vita ya kiuchumi kati ya Urusi na Mataifa ya Magharibi imefikia Patamu sana

    Lengo kubwa la mataifa ya magharibi ni kuiangusha kiuchumi Urusi ili hatimaye idhoofike kijeshi. Kufikia lengo hilo walimpata rais msanii na mchekeshaji Zelensky wa Ukraine, ambaye walimvimbisha kichwa na kumdanganya kuwa aigomee Urusi kuhusu kuruhusu majimbo ya mawili yaliyoko mashariki mwa...
  19. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Mchekeshaji alivyomuhadaa mbabe wa vita Putin

    Hakika Wana Ukraine wanapaswa kutembea kifua mbele hadi hivi sasa mpira ni mapumziko wamesha mchapa mtu tatu kwa nunge. Hii vita watu waliichukulia poa akiwemo anayedaiwa kuwa mbabe wa vita Vladimir Putin, kutokana na ubutu wa jeshi la Ukraine wengi wetu tulijua ndani ya muda mfupi Putin na...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Vita vya Urusi vimeigharimu Ukraine $564.9bn kufikia sasa

    Vita vya Urusi dhidi ya Ukraine vimeigharimu Ukraine $564.9bn (£429.3bn) kufikia sasa katika uharibifu wa miundombinu, kupoteza ukuaji wa uchumi na mambo mengine, kulingana na waziri wa uchumi wa Ukraine. Mapigano hayo yameharibu kilomita 8,000 (maili 4,970) za barabara na mita za mraba milioni...
Back
Top Bottom