Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.
Rais Joe Biden wa Marekani anailaumu Russia kwa kusababisha ongezeko la bei ya Mafuta na Gesi nchini mwake.
zaidi soma hapa.
-----
President Joe Biden has blamed Russia for the record-high gas prices in the United States, while pressing Congress to temporarily suspend the federal gas tax to...
Tuna amani, sawa..! Ila cha moto tunakipata
Kwamba 10,000 inaishia kwenye lita moja tuu ya mafuta ya kupikia na tena ni ya kupima yenye viwango vya chini kabisa cha uzalishaji
Kwamba ukiwa na 20,000 unarudishiwa 10,00 tu kwenye kilo kumi za sembe ambapo mahindi tunalima wenyewe
Kwamba ukiwa...
Akihutubia Umoja wa Afrika (AU), Rais Volodymyr Zelensky amesema Afrika ni "mateka" katika Vita ya Urusi dhidi ya Taifa lake, kwani kuzuiwa kwa usafirishaji wa Nafaka Ukraine kumepelekea uhaba ambao unaweka Mamilioni ya watu katika hatari ya njaa.
Amesema inawezekana Vita inaendelea mbali na...
Tarehe 1 January 2022 dola moja ya Marikani (USD) ilikuwa sawa na Rubles 77 za Russia. Baada ya vita kati ya Russia na Ukraine mwezi Februari 2022, Russia iliwekewa vikwazo (sanctions) lukuki za kiuchumi na dunia inayoongozwa na Amerika na nchi za Ulaya. Lakini leo nchi hizi zilizoweka vikwazo...
Kwa kweli Putin ameamua kuharibu Urusi na kuirudisha nyuma mbali sana, hatari sana kwa nchi kuongozwa na akili za mtu mmoja, anafanya maamuzi na kuchemsha na kuharibu kila kitu kichizi chizi.......
Since the invasion of Ukraine began, we have been tracking the responses of well over 1,200...
Katibu Mkuu wa NATO, Jens Stoltenberg ameonya kuwa Vita kati ya Urusi na Ukraine inaweza kuendelea kwa miaka kadhaa, ikielezwa Vikosi vya Urusi vinazidisha mashambulizi dhidi ya Ukraine eneo la Mashariki mwa nchi hiyo
Amesema Mataifa yanatakiwa kuendelea kuisaidia Ukraine hata kama gharama ya...
Nguri wa vita ADMIRAL RADAKIN kutoka nchini Uingereza ambaye pia ni mkuu wa majeshi amesema kuwa Klemlin imeshindwa vita kimkakati. Amesema kuwa Klemlin imetumia 25% ya nguvu zake na kupata ushindi kiduchu usiendana na rasilimali alizotumia.
Ameeleza kuwa Klemlin inaendelea kupungukiwa na...
Ukraine imeelemewa katika uwanja wa vita japo kila siku inasingizia kuwa haina silaha za kutosha. Mwishowe nchi za magharibi zimeweka wazi kuwa Ukraine hadi sasa imeshapewa silaha nyingi sana kuliko kiasi ilichoomba!! Imepewa mifumo ya kushambulia vifaru kwa kiasi kikubwa mno kuliko idadi ya...
Imeelezwa kuwa Urusi imeingiza takribani Dola Bilioni 97 kwa kuuza mafuta na gesi ndani ya siku 100 tangu kuanza kwa vita baina ya taifa hilo dhidi ya Ukraine.
Utafiti huo umefanywa na Kituo huru cha Utafiti wa Nishati na Hewa Safi (CREA) ambacho kimeeleza kuwa Umoja wa Ulaya, Marekani na...
Mexico’s president slammed NATO’s policy on the Russian invasion of Ukraine on Monday, calling it “immoral.”
President Andrés Manuel López Obrador’s did not mention NATO or the United States by name, but his comments were the latest example of his party's ambiguous stance on the invasion...
MAISHA NI VITA, USIKARIRI KUTUMIA SILAHA MOJA!
Anaandika Robert Heriel
Wataalamu WA vita watakubaliana na Mimi kuwa uwapo kwenye vita hakuna kanuni ya Moja Kwa Moja inayotumika, mtapigana kadiri adui ajavyo na kadiri Hali ilivyo, hakuna kukariri silaha Fulani ndio lazima uitumie kila sehemu...
Nimekumbuka namna hayati JPM alivyoanza kupambana na mishahara hewa mara tu baada ya kuapisha baraza lake la kwanza la mawaziri. Ikawa ni vita iliyochukua sehemu kubwa ya awamu yake.
Mishahara hewa, kodi hewa, malipo ya ustaafu hewa. Alikuwa akirudia sana katika hotuba yake namna nchi hii...
Raia wa urusi ni wahanga wakuu wa vita inayoendelea sasa, awali waliaminishwa kuwa vita ina nia njema ya kuikomboa nchi dhidi ya wanazi na kuwa itachukua muda mfupi lakini sasa haijulikani itaisha lini
FUATILIA HAPA
As war drags on, weary Russians yearn for a return to normal life
Robyn Dixon...
Kramatorsk. Vikosi vya Russia vinavyohusika katika mapigano makali mashariki mwa Ukraine vimeuteka mji wa kimkakati wa Lyman na kuzingira kituo kikuu cha viwanda, Moscow imedai.
Hata hivyo Ofisa wa Ukraine amekanusha kuwa mji wa Severodonetsk ambao ni kitovu cha mapigano makali ya wiki...
Nionavyo silaha zote tunazotumia ni za kizamani na hazifai kabisa kabisa katika mapambano ya kivita vya kileo.
Kuna Hapasoniki, kuna drones,kuna thermobaric ambayo inapoteza oxyen kutoka centre point ya mlipuko kwa kilomita 2 na nusu, kwa maana atakaekuwa ndani ya eneo hilo maisha yake ndio...
Dunia inakabiliwa na tishia la kuzuka kwa vita nyingine Kati ya China na Taiwan.
China inadai Taiwan ni sehemu yake huku Taiwan wakisema wao ni Taifa huru sio sehemu ya China.
Wakati huo huo Biden ameapa kutumia nguvu za kijeshi kuisaidia China ikiwa China itafanya uvamizi.
Mamia ya Meli vita...
Sasa ni mwendo wa Mafumbo na Kukomoana tu..
Baadhi ya Maaskofu wa Katoliki..
"Wakatoliki mnaokwenda kwa Mwamposa ni Wendawazimu na tutaanza Kuwatenga Kanisani Kwetu kwani hatupendi Waumini wanaotangatanga wakati katika Ukatoliki kuna kila Kitu"
Mtume Mwamposa wa Kanisa lisilo na Jina na...
Huyu kichaa ataachiwa apigane mwenyewe.... Kuna wanajeshi wameamua liwalo na liwe hawapigani.
_________________
More Russian soldiers refuse to fight in Ukraine
Prepared to face consequences, many Russian troops are disobeying their officers and are not willing to go to Ukraine...
Salama wandugu,si ajabu zile billion zilizotolewa kwa ajiri ya kupunguza Bei za mafuta tusione manufaa yake tutashangaa Vita Ukraine imeisha na Bei ya mafuta ipo palepale na billions zetu zimetumika na wajanja nimeamua kuja hapa baada ya kuona Hali ni tete kwenye usafiri wa umma wameanza mwendo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.