Habari wadau.
Najiuliza kwa nini vijana matajiri wenye hela wanafanya harusi simple zisizo na michango wala sherehe kubwa zisizozidi bajeti hata milioni mbili.
Mbwana Samatta alifunga ndoa akiwa anacheza mpira ulaya hakuna sherehe wala nini
Majizo mmiliki wa EFM alifunga ndoa na Lulu...
"Serikali yenu, tunajua tatizo la ajira na tutajitahidi kutengeneza fursa mbalimbali ili vijana wapate ajira.” Leo ni tarehe 9 Juni, 2024, takribani miaka miwili na miezi yake kadhaa tangu kauli hiyo itolewe na Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.
Suala la iwapo...
Katika pitapita zangu vijijini kulikuwa na ligi inaendelea katika kijiji kimoja wapo hapa nchini Tanzania.
Niache unafki nimevutiwa sana na uchezaji wa vijana wawili katika ile ligi.
Mmoja ni winga.
Ni dogo wa miaka kama 17 hivi ni 17 kweli sio za mchongo.
Dogo kipaji anacho, kwanza ana...
Ndio inapaswa iwe hivi, waziri wa kilimo ajue kupiga jembe haswa tena la mkono.
Waziri wa TEHAMA ajue masuala ya IT na wizara zingine zote wawe wanafanyiwa majaribio na kupewa mitihani kabla hawajaingia kwenye wizara husika.
Minister Of Sports Uganda.
Vijana nchini tumekuwa watumwa, kwenye Kaampuni kutwa tunashinda tumevaa tshirts yenye logo za kampuni na hatulipwi ipasavyo
Kukitumika kivuli cha kujitolea tuvaa nguo za kampuni kuliko mavazi yetu tuliyonunua dukani. imagine six days uko na tshirt ya kampuni na Jumapili pekee kwa Kanisa ndio...
Takwimu zinaonyesha taifa la Japan (kizazi cha waJapan) kinaenda kufutika kabisa ndani ya miaka 100 ijayo. Hii inatokana na kiwango kidogo zaidi kuwahi kushuhudiwa cha uzazi huko Japan, ambapo kwa wastani mwanamke mmoja anazaa mtoto mmoja, ‘fertility rate ni 1.2’.
Maana yake wanashindwa hata...
Malezi
Malezi ndio Msingi bora wa kutengeneza watu bora na watu wa maana katika nchi ,malezi yasipokuwa mazuri kwa watu hakika tutatengeneza Tanzania ambayo itakosa kuwa na viongozi wazuri na wanaowajibika katika kuhakikisha kwamba tunasonga mbele.
Malezi sizingumzii kwa watoto tu hata kwa...
Kijana kuwa makini na hawa wazee, wazee ni watu wa bad sana, hasa kwa sisi wapambanaji ambao wapenzi wetu wapo mbali.
Kizazi chetu hiki Love Distance ni ngumu sana na hazidimu sababu Mwanamke/Mwanaume anampenda mwanaume/Mwanamke anayemuona na sio kumpenda Mwanamke/Mwanaume anayemsikia sababu...
Hadithi ya kuhuzunisha
Changamoto Za Vijana
Tatizo la ajira kwa vijana ni kilio kilichokosa mfariji wa kudumu. Japo kwa Afrika kilio cha ajira machozi yake ni damu Tanzania Vijana wanaongezeka na tatizo linaendela kukua uku wazazi wengi ambao walifurahia ujio wa watotot wao kwa kuwapa majina...
VIJANA ACHENI MAISHA YA GHARAMA KUBWA MKIPATA FURSA ZA AJIRA: BASHUNGWA
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewasihi vijana wenye taaluma za Kihandisi kujipanga, kuwa na subira pamoja na utayari wa kujitoa, sambamba na kuacha kuishi maisha ya gharama kubwa na yenye tamaa mara tu wapatapo...
It is another blessed Tuesday and thank Allah for this wonderful moment OK OK OK twenzetu kwenye Mada yetu Wakuu hahahahaha I'm back again
Wakuu ama kweli kilimo hakimtupi Mkulima aisee hawa wahenga bwana hawakukosea hata kidogo mazee within 3 month kilimo kimenipa milioni 40 na nililima hekari...
Mkurugenzi wa Jinsia wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Badru Abdunuru aliyekuwa mgeni rasmi katika hafla ya mafunzo ya ujasiriamali na elimu ya fedha akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni 150 Mkurugenzi Mtendaji wa Asasi ya Data Sustainable...
Tanzania ina utaratibu wa kutenga kiasi cha fedha kutoka kwenye mapato ya ndani ya halmashauri zote kwa ajili ya maendeleo ya vijana, wanawake na walemavu. Fedha hizo hutokana na asilimia 10% ya mapato ya ndani ya halmashauri, ambapo asilimia 4% hutengwa kwa vijana, asilimia 4% kwa wanawake na...
Je, unadhani ni fursa zipi amabzo vijana zinawza kuwapa uhakaika wa kujiajiri hadi kufikia 2050 zitakuwa bado sustainable ukijumuisha mabadiliko mbalimabli yanayoweza kujitokeza katika uchumi, siasa, teknolojia, elimu, mazingira na kadhalika
Yani ukiwa handsome, kwanza watu hawakuzanii vitu vya ajabu kama wizi, kukipotea kitu anaangaliwa mtu mwenye sura ngumu ndo anadhaniwa ni mwizi.
Pia tunapata favor maeneo mengi, yani hata kazini unakubalika sana, kuna wadada hadi wanakwambia uwape mbegu.
Nashauri vijana kuzingatia mama au baba...
Ujuzi ni kufahamu na kuelewa hali, habari na maelezo yanayohusu mazingira tunapoishi.
Kijana ni mtu kuanzia miaka 18-35 yaani baada ya balehe na mabadiliko ya maumbile toka utoto kuelekea kubwa.
Hakika asilimia kubwa ya vijana wengi huwa tunanjozi na ujuzi mwingi tunapoanza hatua za maisha...
Muda mrefu sasa mfumo wetu wa elimu umekuwa hauendani na mahitaji ya soko la ajira, lakini pia hauendi sambamba na mabadiliko ya dunia katika nyanja ya teknolojia yaliyopo kwa ujumla kwani kama taifa tumekuwa nyuma zaidi huku baadhi ya mataifa yakituacha mbali sana katika nyanja ya elimu...
Tatizo la ajira kwetu sisi vijana apa Tanzania limekuwa changamoto kubwa ambayo inahitaji suluhisho la haraka na endelevu. Kwa kuzingatia umuhimu wa kuweka mikakati madhubuti, serikali, sekta binafsi, na jamii tunaweza kushirikiana katika kumaliza tatizo hili.
Kwanza, kuwekeza katika elimu na...
Ndoto za kijana yeyote makini ndani ya taifa itatimia kama ana afya Bora tu na sio Hela nyingi.hela Zita tafutwa kama kijana ana nguvu na afya tele.vitu muhimu ambavyo vina tunapaswa kuvifanya Kwa kutunza vizazi vijavyo.
1.tufanye mazoezi.n vizuri miili yetu tukiipa kipaombele kwenye mazoezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.