vijana

  1. N

    JamiiForums Tanzania SoC04 Vijana wengi wanapoteza matumaini na kuangukia sehemu mbaya sababu ya kujenga imani akimaliza masomo kupata ajira ni lazima

    Kumekuwa na ongezeko kubwa la vijana wengi kupoteza matumaini na wengine kuangukia kwenye matumizi mabaya ya mihadhalati na wengine kujitoa uhai na baadhi yao kuamua kuwa vibaka na majambazi hii yote kwa kutaa tamaa ya maisha (ukosefu wa ajira) Hii inatokana na mifomo yetu ya elimu hatukuweza...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya CRDB Bank Foundation, UNFPA kushirikiana kuwainua vijana kiuchumi

    Dar es Salaam. Tarehe 23 Mei 2024: Katika kuongeza ujumuishi wa wananchi kiuchumi hasa makundi maalumu, Taasisi ya CRDB Bank Foundation imesaini mkataba wa makubaliano kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu Duniani (UNFPA) kuwawezesha kiuchumi vijana kuanzia miaka 18 hadi...
  3. I

    JamiiForums Tanzania SoC04 Selikali iongeze wawekezaji wengi hata kwa kuwapunguzia kodi ili fursa za ajira ziwe nyingi kwa vijana

    Mtazamo wangu naona serikali iweze kupunguza kodi kwa wawezekaji ili waje kwa wingi vijana wengi waweze kupata ajira. Tazama hata nchi zilizoendelea ajira ni nyingi mpaka watu wanafuatwa na kampuni ili waajiriwe angali bado mtu yupo chuo. Hivyo inasababisha hata maendeleo kwa nchi kwani kodi...
  4. mcbbrandog

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kuwapa fursa vijana wenye vipaji

    Serikali itoe fursa kwa vijana wenye vipaji na uwezo Serikali tungeomba iwape fursa vijana wenye uwezo na taaluma mbalimbali tanzania tumejaliwa kuwa na vijana wengi wenye uwezo mbalimbali katika sekta mbalimbali mfano kuna vijana wengi wanataaluma computer science wapo tu mtaani awana kazi...
  5. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Ngoja niseme nanyi vijana wa leo

    Kwanza sio lazima niwasalimie maana nitapoteza muda tu...🤨 Ipo hivi. Jukumu la mzazi wako ni kuhakikisha unakua na afya njema, unapata malazi na mavazi mazuri na kisha unapata elimu na maarifa ili ukawe mtu mbele za watu duniani. Kazi ya mzazi wako sio kukutafutia mali na sio jukumu la mzazi...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Baraza la Vijana la Bunge la Tanzania lazindua Mpango Mkakati wa 2024-2029

    Mwishoni mwa wiki hii, Baraza la Vijana la Bunge la Tanzania likiongozwa na Zainab Katimba limezindua mpango wake wa kwanza wa mkakati wa miaka mitano (2024-2029). Baraza hili la vijana ni chombo cha kuwaunganisha vijana na kutoa fursa za kipekee kujadili masuala yanayowahusu moja kwa moja. Ni...
  7. Razorblade

    JamiiForums Tanzania SoC04 Wazazi na Malezi

    Kumekuwa na changamoto kubwa sana ya mmomonyoko wa maadili katika jamii yetu ya kitanzania na sababu kubwa ya changamoto hii ni wazazi kutoa malezi duni kwa watoto. Malalamiko yamekuwa mengi sana kuhusu mmomonyoko huu wa maadili kwa miaka ya hivi karibuni lakini inasahaulika kwamba msingi mkuu...
  8. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Vijana fanyeni makeke muhamie Latvia, hamtojuta

    KAMA ULIKUWA HUJUI... Nchi ya Latvia ina idadi kubwa ya wanawake kuliko wanaume katika bara lote la ulaya Wanawake ni asilimia 17 zaidi ya idadi ya wanaume Yaan kwenye wanawake 117 kwa wanaume 100 hivyo wanawake 17 wanabaki zaid Na katika chuo kikuu cha Latvia idadi ya wanawake ni...
  9. thefather

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kivipi mikopo itawainua watanzania hasa vijana na sio kuwa janga linalo sababisha maafa na kuaribu ndoto za wengi

    Mikopo rahisi na rafiki ni miongoni mwa njia bora kabisa inayo weza kuwainua watanzania wengi hasa vijana kwa kutoa fursa ya kupata mitaji na kuwezesha ndoto,ubunifu ,ujuzi na vipaji mbalimbali walivo navyo vijana hii itapelekea kupunguwa kwa wimbi kubwa la vijana wasio na ajira mitaani na...
  10. Pendragon24

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ilani ya Taifa ya vijana katika Tanzania tuitakayo

    Kwa kipindi kirefu sasa kumekuwa na propaganda inayoenezwa na wanasiasa, wafanya biashara na viongozi wengine wa serikali inayowakandamiza na kuwajaza hofu vijana wengi wa taifa hili ambazo kwa namna moja ama nyingine zimewakosesha uelekeo vijana wengi katika kupigania uhuru wao wamawazo na saa...
  11. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kuzaliwa na kutunzwa kwa tembo vijana

    Wakati wa kuzaa unapokaribia, jike atatafuta mawasiliano ya karibu na mwanamke mwingine katika kitengo cha familia yake kwa ajili ya ulinzi wakati wa leba. Wakati mwingine familia nzima huzunguka mwanamke anayejifungua, na kumlinda kutoka pande zote. Wanawake huzaa wakiwa wamesimama. Kuzaliwa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunaenda wapi? Tunahitaji wazee wa busara waoga au vijana ambao hawaeleweki?

    Tanzania tuko njia panda kwa kweli. Tuna vijana ambao wamekulia kwenye uchawa na wanajali uongozi tu na wazee ambao hata kama wanajua na wana busara wanaogopa mawe ya CCM. Upinzani tuna vijana machachari ambao wapo tayari kwa lolote, kuna wanaopenda uboss na madaraka na wengine wamenunuliwa. Je...
  13. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Vijana wengi wa KATAA NDOA hawajielewi

    JF habari!!! Mwanzo 1:28 (KJV) Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi. Hilo ndilo kusudio kuu la Mungu. Yeyote yule anapinga ujue wazi yupo upande...
  14. Gotze Giyani

    JamiiForums Tanzania Mfumo mbovu wa elimu ndio unazalisha ukosefu wa ajira kwa wasomi vijana wa kitanzania

    Wadau habari za muda poleni na majukumu ninaomba kuuliza kwa wazoefu kwa nini serikali aitaki kuona elimu yetu imepitwa na wakati wabadili mfumo wa elimu uliopo uwe kama nchi zilizoendelea ili nasisi tuweze kupunguza matatizo ya kukosa ajira kwa wahitimu wa chuo.Mfano unakuta ajira zimetangazwa...
  15. CHAGOSI GERALD

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA ikifanikiwa kukamata vijana wa 1995-2012 mwaka 2030 Uraisi ni wao.

    Sijui Chadema wataacha lini kupiga siasa za mitandaoni na kuingia vijijini ambako asilimia kubwa ya wapiga kura wanatokea huko. CCM wanajibebea tu maujiko kwa mama zetu, uncle zetu, Baba zetu, shangazi zetu Babu zetu na Bibi zetu hii yote ni kwa sababu CCM wanabebwa na Historia. Asilimia kubwa...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Tanzania yangu na tatizo la Ajira kwa vijana

    Kumekuwa na wimbi kubwa sas ama kilio kikubwa juu ya kanga la ukosefu WA ajiraa miongoni mwa vijana wanao hitimu ngazi mbali mbali za elimi, na hata walioko mtaanii pia. Huku upande mwingine tukisikia wimbo wa Tanzania ni tajiri na fursa nyingi. Nini kifanyike? Kwa maoni yangu kwa miaka kadha...
  17. sangaone98

    JamiiForums Tanzania Wakati vijana wanapambana na swala la kutafuta ajira au kujiajiri

    Hiki ni kipindi kigumu sana kwa upande wa vijana hasa kwa watoto wa kiume. Mambo yamegeuka kabisa. Zamani jamii ilikuwa inaamini mtu alie soma ndie mkombozi wa jamii hasa kwenye swala la uchumi lakini mambo yamekuwa sio kwa miaka ya 2000 to date. Kila mmoja anashuudia maajabu yanayo fanywa na...
  18. sangaone98

    JamiiForums Tanzania Jamii imewatelekeza vijana wa kiume na kuweka nguvu kubwa kwa upande wa kike

    Ukweli inatakiwa usemwe wazi kwamba leo hii jamii imesahau kabisa kuhusu mtoto wakiume ikiamini anaweza kujipambania bila hata ya kupata msaada kutoka kwa jamii inayo mzunguka. Ni wazi kwamba Taifa lijiandae kupambana na kumuinua kijana wa kiume ifikapo 2030+ Kwasababu leo hii jamiii yetu...
  19. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania SoC04 Katika kuboresha mpira wa miguu nchini kwa Vijana, napendekeza UMITASHMITA na UMISETA iwekwe chini ya TFF na kutolewa TAMISEMI

    Hili ni andiko langu kwa wapenda soka nchini. Bila shaka mtakubaliana nami, kwamba, tangu kuanzishwa kwa UMITASHMITA na UMISETA, kumekuwa na malalamiko mengi kwa walimu na wadau wengine kuwa, UMITASHMITA NA UMISETA hazijatusaidia sana kwenye sekta ya michezo hususani mpira wa miguu, hii...
  20. wheedenTz

    JamiiForums Tanzania Vipengele wezeshi kwa vijana katika mchakato wa katiba mpya bado vinazungumzika?

    Ni mara ya kwanza kuandika kitu humu ila wadau wa jukwaa la katiba naomba kuuliza hivi vile vipengele wezeshi kwa vijana (enabling provision) walivyodai kuwekwa kwenye ile Katiba ya Warioba bado ni vinapewa kipaumbele kuelekea hili sakata la katiba mpya? Au vijana tushapigwa chini watu...
Back
Top Bottom