Sifa
Awe na basic knowledge ya magari madogo(Zingatia).
Muaminifu na mchapakazi
Garage iko Iko Makuburi, Ubungo.
Hakuna malipo.
Tuma message ya kawaida au whatsapp +255688758625 (usipige simu tafadhali).
Habari wanaBodi..
Mara kadhaa Kila ninapofatilia mijadala humu, hasa Jukwaa la siasa, hua napata ukakasi kidogo na tashtwiti ya kujua Nini hasa kipo nyuma ya pazia..
Ukiangalia Jukwaa la siasa hoja nyingi Sana zinazowekwa humo ni spana za kupinga "mazuri ya viongozi wetu" katika kutuongoza...
Habari wadau.
Vijana wengi wanachelewa sana kufunga ndoa kwa kisingizio cha kusubiri mwenza bora. Ukweli ni kwamba marrying late doesn't guarantee you will marry right.
Vijana fungeni ndoa mapema na wenza wenu. Waiting long doesn't guarantee a good marriage
Hello !
Mwanzoni mwa mwezi May 2024 mke wangu aliniambia kuwa kadi za CCM zinefika, mjumbe kaandika jina lako hivyo twende ukachukue kadi yako.
Nilitafakari, inakuwaje mjumbe aandike jina langu kwenye orodha ya wanaohitaji kadi za CCM bila ridhaa yangu.
Kwakuwa nilikuwa free nikaona nisigombane...
Kwa sasa timu yetu haina beki wa kulia mzuri, Shomari Kapombe amechoka lazima tukubali, uwezo umepungua, hana kasi, hana krosi, mzito, anakaba kwa mazoea na majeruhi ya sasa hiv yakimpata ndio imetoka hiyo.
Beki wa kulia pekee mwenye uwezo wa kucheza Simba na akaliamsha kisawa sawa ni Kevin...
Ili kuharibu taifa lolote, anza kwa kuharibu mfumo wake wa elimu. Mfumo wa elimu wa Tanzania kwa sasa unawaandaa vijana kuwa wafanyakazi wa serikali au taasisi binafsi, jambo ambalo limepelekea wengi wao kuishi maisha duni huku wakisubiri ajira kutoka serikalini na kwenye taasisi binafsi...
Habari wadau.
Kwa wapenzi wa wedding industry jina la MC Katokisha sio geni. ni Mc mmojawapo wa class ya juu anaechaji hela nyingi kwenye soko la harusi. Pia MC Katokisha ni msomi mwenye CPA, na degree za kutosha za chuo kikuu cha Dar es salaam na experience ya kutosha ya big four firm, Ernst...
Ewe kijana unapoingia katika maisha tambua ya kwamba wakwe zako ndio maadui zako kwani baada ya ndoa na Sterling movie hii ni mke wako sasa naomba unisikilize kwa haya machache
1.wakwe zako wengi huamini nyumbani kwako ndio nyumbani kwao na ndugu zako sio nyumbani hivyo mkeo atatumika kama...
Tarajali ni kipindi ambapo wafanyakazi hupokea mafunzo ya kazi chini ya uangalizi maalumu katika shirika ama kampuni fulani kwa kipindi cha muda fulani ili kupata uzoefu utakao muongezea thamani katika kazi yake ili apate soko katika ajira kirahisi.
Hapa tanzania tuna taasisi inayowasaidia...
Kwanza kabisa niseme wazi mimi ni mwanachama wa kawaida wa CCM nisiye na cheo chochote ndani ya chama. Wala siko kwenye kundi la kiongozi yeyote. Kwa hiyo huu uzi naandika bila kujali niko CCM. Nimeamua kwa makusudi kuwakumbusha viongozi wa serikali na chama kuacha kuendelea kuwavuruga vijana wa...
Kuna tatizo gani kama mfano ukiamua kumpa Mama yako Tsh 300,000/ kwa Mwezi na Baba yako nae ukampa Kiasi hicho hicho? Inasikitisha sana kuona Mzee wako ambaye alijipinda ' Kitandani' hadi Leo ukawa hivyo ulivyo na Great Thinker hapa JamiiForums unambagua Kimatumizi na Kumjali zaidi Mama. Najua...
Ni ukweli usiopingika kwamba katika maendeleo ya nchi yeyote basi rasilimali watu ndio mhimili mkuu kwasababu wao ndio huwezesha kitu kinaitwa human capital kama ilivyotambulishwa na Theodore W. Schultz (1961) ambao ndio msingi a maendeleo katika Nyanja zote za siasa, uchumi, teknolojia, na...
CHANZO CHA PICHA,DIANA CHANDO
Maelezo ya picha,Balozi wa vijana Umoja wa Afrika -AUMaelezo kuhusu taarifa
Author,Na Esther Namuhisa
Nafasi,BBC News, Dar es Salaam
Saa 7 zilizopita
"Unajua mimi nina macho makubwa, mara nyingi nikiweka kazi zangu watu wanaanza kuuliza kuhusu muonekano wangu...
Huko vyuoni mbona hamuweki vitengo vya kuratibu nidhamu na maadili ya watoto wetu wawapo masomoni,
Mbona mmefanikiwa kuratibu taaluma na kudhibiti wizi wa mitihani vyuoni.
Vyuoni imekuwa sehemu ya kuwabadilisha vijana kuwa
Makahaba wa hadharani
Mapenzi ya jinsia Moja.
Kutumia mihadarati...
Unaona kwamba msichana unayechumbiana naye sasa, ana nafasi kubwa ya kuifanikiwa kimaisha haraka kuliko wewe.
Ndiyo maana hupaswi kutumia ujana wako wote kujenga uhusiano na mwanamke. Ukweli ni kwamba anaweza kutoka kwenye mahusiano hayo kwa urahisi na kwenda mbele na kuolewa na mwanaume...
Kutokana na ukosefu wa ajira katika nchi yetu ,Elimu ya ufundi stadi imekuwa mkombozi wa vijana wengi sana ndani ya nchi yetu kwani wamejengewa uwezo wa kazi mikononi mwao lakini uwezeshwaji wa vijana kimitaji ili waendeleze shughuli zao za kiufundi kwa kufungua karakana zao binafsi na kufanya...
anthony mavunde
bodi ya mikopo elimu ya juu
fani
kisasa
kuendeleza
kuwawezesha
mfano
mfumo
mitaala
nyenzo
serikali
teknolojia
ufundi
veta
vijana
vyuo
wahitimu
wahitimu wa vyuo
wizara ya elimu
zao
SULUHISHO LA TATIZO LA UKOSEFU WA AJIRA RASMI KWA VIJANA NCHINI TANZANIA.
Ndoto ya kila mzazi au mlezi ni kuona kijana anapata ajira rasmi mara tu anapohitimu masomo yake.Huku ajira ya serikalini ndio lengo kuu.Pia inachochea maendeleo kwa taifa kuajiri vijana wenye ufahamu wa ujuzi mpya...
Tanzania ya baadaye inaangazia mwelekeo wa uchumi endelevu unaoweka msisitizo mkubwa katika kuleta fursa za ajira na ujasiriamali kwa vijana. Kupitia mipango ya kibunifu na utekelezaji wa sera makini, tunalenga kujenga uchumi imara ambao unawanufaisha wananchi wote, hususan vijana. Hapa ni maono...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.