vijana

  1. T

    JamiiForums Tanzania Jinsi vijana wasivyojua thamani ya muda

    JINSI VIJANA WASIVYOJUA THAMANI YA MUDA LIFE BEGINS AT 40.... HOW OLD ARE YOU? Life Begins at 40.... Huo ni msemo wanao Waingereza wakimaanisha maisha yako ijapokuwa yanaanza toka milele iliyopita na toka umeumbwa au toka umefika duniani na toka umeanza kukua nk nk lakini bana maisha #halisi...
  2. G

    JamiiForums Tanzania "Kumradhi! Kuna changamoto kidogo" zimekuwa nyingi sana

    Oops !!
  3. G

    JamiiForums Tanzania Matajiri ambao vyanzo vyao vya pesa havijulikani, huku ndiko baadhi wameanza kuokota magunia ya pesa, si pesa za masharti ila Jela inakuchungulia

    Kumekuwa na baadhi ya vijana mjini wenye jeuri ya kuonyesha nguvu ya pesa lakini imebaki kuwa siri yao namna wanavyozipata pesa. Kuna matajiri wanaoingiza pesa kihalali lakini wapo pia matajiri wanaoingiza pesa kwa kuvunja sheria na kukiuka maadili, si kila tajiri wa kutamani mali zake bila...
  4. Inside10

    JamiiForums Tanzania Vijana wajuaji wa kibongo

  5. Mr Sir1

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Kupenda Mishangazi

  6. Cecil J

    JamiiForums Tanzania Utandawazi usikuharibu, Epuka mahusiano na binti au vijana wa shule! Jela kupo na vyumba vya cell za polisi vinahitaji watu.

    Habari wana Jamiiforums. Ni matumaini yangu muwazima wa afya! Naomba niende moja kwa moja kwenye mada, miaka ya hivi karibuni kutokana na ukuaji wa Teknolojia ya habari na Mawasiliano taarifa nyingi za mahusiano baina ya wanafunzi na walimu au hata watu wengine tu ambao si walimu zinafika...
  7. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Kwanini vijana wengi wenye umri (22-30) wanaoishi mkoani Mwanza ni washamba

    Nimekuwa nikifanya ishu Na harakati mbalimbali Na watu tofauti hasa vijana, lakini nimekuja kugundua vijana wengi wa mwanza wenye umri ( 22-30) ni washamba sana, waoga wa maisha yaani hawajiamini kabisa hasa unapompa Dili ngumu, Wana tamaa sana hasa Na vijipesa vidogo vidogo, Na wakivipata...
  8. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Vijana wahitimu wa Vyuo Vikuu wanataka nani awapambanie?

    Hawa vijana hawawezi jipigania, hawawezi shinikiza ajira, haeawezi oaza sauti zao, hawa wanataka mtu baki awapiganie, na apigwe Mabomu na Polisi wakati anawapigania wao wakiwa kwenye keybord. Vijana wa vyuo vikuu mtaani ni wengi mno na CCM haitaki wapate hata ajira ili iwatumie ipasavyo hasa...
  9. Last_Joker

    JamiiForums Tanzania Vijana wanaoponda 'White-Collar' Jobs: Ajira za Ofisini au hujasoma Chuo Kikuu?

    Unajua, siku hizi ukiwasikiliza vijana wengi, wanaonekana kuchukia zile kazi za ofisini za saa 9 mpaka 5. Utasikia wanasema, “Ah, ajira za ofisini ni utumwa tu” au “Kwa nini niteseke na mshahara wa mwezi wakati kuna biashara na fursa za mtandaoni?” Sasa swali linakuja, ni kweli ajira za ofisini...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mambo yakuzingatia kwa vijana katika ndoa

    Ushauri kwa vijana kuhusu ndoa ni muhimu, kwani ndoa ni hatua kubwa inayohitaji maandalizi ya kiakili, kihisia, na kifedha. Hapa kuna mambo muhimu ya kuzingatia: 1. Kujitambua na Kujitayarisha Kabla ya kuingia kwenye ndoa, ni muhimu kwa kijana kujitambua, kujua malengo yake maishani, na kuwa na...
  11. mriringa

    JamiiForums Tanzania Vijana tukumbushane kama sio kuelimishana maana Giza lipo karibu

    Wakati unamlaumu mzazi kuwa maskini jiulize wewe hadi Sasa unapambanaje na umaskini hasa wa familia Yako au nawewe unasubiri uje usemwe na wanao?? Tanzania tumejaliwa kuwa na maeneo mengi ya kilimo kwa kila mkoa lakini maeneo hayo yapo wazi hakuna zao lolote. Ngoja niwasanue vijana wenzangu...
  12. Magical power

    JamiiForums Tanzania Kwanini mnapenda MISHANGAZI vijana?

    Kwanini mnapenda MISHANGAZI vijana?
  13. S

    JamiiForums Tanzania swala vijana wa kiume kujenga misuli kwa steroids/protein ni ushamba na kutokujiamin

    .
  14. Annie X6

    JamiiForums Tanzania Sijaamini hadi nilivyoona vijana wamejiajiri kubet. Anashinda kibandani na mikeka hadi jioni

    Dunia imekwisha. Vijana hawafanyi chochote zaidi ya kushinda kubet Jijini Dar es salaam ndio kazi anakula analiwa jioni anarejea na unga na dagaa
  15. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Napendekeza ufanyike usajili kwa vijana wote wanahamia majijini kutafuta maisha

    Sasa hivi vijana wa vijini wanahamia Wilayani na mikoani kwenda kufanya uchuuzi. Vijana wa Wilayani na mikoani wanahamia Dar es salaam. Kijana hata elimu ya kidato cha nne hana, cheti cha ufundi hana, ufundi au ujuzi wowote hana anakimbia kijijini anakwenda mjini . Ufanyike usajili kwenye...
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini vijana wakitoka kimapenzi na mishangazi inachukuliwa na kulelewa?

    Kwa nini vijana wadogo wakitoka kimahusiano na wamama watu wazima(mishangazi) au hata wakioana nao kabisa inachukuliwa kama wanalelewa na maneneo yanakuwa mengi sana wakati mabinti wadogo wakitoka au kuolewa na wazee inaonekana ni mahusiano ya kawaida tu? Haya yote si mapenzi tu kila mtu na...
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kigwangalla aambiwe amefika alipofika kwa mbeleko zaidi, aache kudharau vijana mafukara.

    Huyu mwanasiasa huwa anajiweka hustler mpambanaji sana wakati kila mtu anajua amefika hapo alipo kwa mserereko na kubebwa, mzazi wake alikuwa mtu wa chama, kuupata ubunge mara ya kwanza yeye mwenyewe alishindwa kura za maoni akabebwa na baadaye jimbo likagawanywa ili aendelee kubaki mbunge...
  18. Massawejr

    JamiiForums Tanzania Ni nini chanzo cha vijana wengi kuwa na tamaa

    Muda mwingi nimekuwa nikikaa na kuwaza kuhusu hili swala la vijana wengi kuwa na tamaa. Tumekuta vijana wengi wakiwa wanaingia katika wimbi kubwa la majanga na hasa ni tamaa, Tamaa imefanya vina wengi wakumbwe na majanga mbalimbali kama magonjwa na wengine tunaona wakiwa wanapoteza maisha...
  19. incredible terminator

    JamiiForums Tanzania Hawa vijana wa Bongofleva walipotelea wapi?

    Hawa Vijana hata social network zao haziko Active kabisa kuonesha hawataki hata kujihusisha na mambo ya kisanaa na kijamii, Ninachojua ni kwamba walikuwa vijana wanajitahidi sana ila Gafla walizima kama taa wala hakuna sehem wanaongelewa au kujiongelea kwenyewe. 1.FUTURE JNL, Huyu kijana...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Vijana wengi tumekosa mikopo

    wakuu.. hatuelewi na serikali hii' vijana wengi wameandikiwa NO APROVED ALLOCATION na vyuo vimefunguliwa tayari... hili ni janga
Back
Top Bottom