vijana

  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Vijana sio waaminifu. Nusura niingie JELA. Sitakuja kumdhamini Mtu walahi

    Nakumbuka 2018 nilikuwa na pikipiki Tatu. Mbili Boxer Moja Haugue, nikatafuta Vijana Watatu. Vijana wawili waliochukua Pikipiki za Boxer nikawaambia badala wanipe elfu 10 Kwa Siku kama bodaboda Wengine wafanyavyo Kwa maboss zao Mimi nikawaambia wanipe elfu 8. Kwa wiki wantumie elfu hamsini...
  2. milele amina

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Wito kwa Vijana wote wa Tanganyika, kujiandikisha bila kukosa, mamia kwa maelfu kupiga kura 2024 na 2025

    Katika mazingira ya kisiasa ya Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekuwa kikishikilia madaraka kwa muda mrefu, na hali hii imezua malalamiko miongoni mwa wananchi, hususan vijana. Nishati, matumaini, na sauti za vijana katika umri wa miaka 18 hadi 45 zinaweza kuwa chachu ya mabadiliko...
  3. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Vijana ndoa muhimu, Gerald Hando amezeeka ghafla

    Gerald Hando live hajaweka makeup msibani kwa Dida,niseme amezeeka ghafla. Naamini ni uchungu wa kufiwa na mke ,upweke unamzeesha. Ukifiwa na mke usikae zaidi ya miezo sita bila kuoa,sonona itakumaliza
  4. milele amina

    JamiiForums Tanzania Hasara za Matembezi ya vijana yanayopangwa na Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM)

    Matembezi ya vijana yanayopangwa na Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) yana hasara kadhaa zinazoweza kutokea kwa vijana wasomi na wasioajiriwa katika jamii kutokana na matembezi haya. 1. Kutengwa Kijamii Matembezi yanaweza kuonekana kama shughuli za kijamii, lakini kwa vijana...
  5. trojan92

    JamiiForums Tanzania Kwanini Sasa hivi Mashangazi wanawapenda vijana Siri ni nini hasa.?

    Kwanini Sasa hivi Mashangazi wanawapenda vijana Siri ni nini hasa? Moja kwa moja kwenye mada Imekuwa trend siku hizi kusikia mahusiano ya mwanamke mkubwa mnene hivi mwenye nyama nyingi aka mshangazi. Ishu yangu iko hivi; Juzi nilikuwa ofsini. Akaja dada mmoja bonge ofcourse ni mkubwa kwangu...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Mji Kibaha kutoa mikopo ya Tsh. Bilioni 1.6 kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye ulemavu

    Halmashauri ya Mji Kibaha inatarajia kutoa mikopo kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye ulemavu yenye thamani ya Shilingi 1,169,428,549 ili kuwawezesha kupambana na adui umasikini Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kibaha Dkt.Rogers Jacob Shemwelekwa ametangaza uwepo wa fedha hiyo kwa...
  7. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Vijana wa mwaka 1990 mnazeeka ujue nyie sio watoto tena

    Vijanaa wengi waliozaliwa mwaka 1990 bado wanajiona ni watoto. Nawakumbusha kwasasa mna miaka 35 kasoro, umri ndio huo maji ya jioni. Toka maghetoni, toka kwenu nenda katafute maisha, wakati ni sasa.
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana wa Kenya waanzisha chama cha siasa kiitwacho INJECT

    Barua ya usajili: Mwamba mwenyewe ndio huyu (mwazilishi): Meanwhile in Bongo:
  9. Suley2019

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Nimesanuka, mitaa yote niliyokaa Viongozi wa Serikali za Mitaa ni Wazee, kwanini Wanawake na Vijana hatuzishobokei nafasi hizi?

    Salaaam Wakurungwa, Katika harakati zangu za mtu mweusi nimejikuta nikiishi mitaa isiyopungua mitano katika mikoa tofauti tofauti. Harakati zangu zimenifanya kila nikihamia mtaa niwatafute viongozi wa Serikali za Mitaa kupata huduma mbalimbali. Kautafiti kangu kwa mitaa yote niliyopita ofisi...
  10. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Alichokifanya P Diddy iwe Funzo Kwa Vijana Wengine Wapenda Kitonga

    Samaleko.. Binafsi nampongeza P Diddy Kwa alichowafanyia Hawa Vijana Wapenda Kitonga akiwemo Mjomba Nchumali na Wenzake, Kongole sana kwake. Nilienda Vacation Zanzibar ila nilichoona kinafanyika kule Mashambani ni ufirauni mtupu, wanaume wanajiuza Kwa Rangi Nyeupe kuliko hata wadada, So Sad...
  11. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Vijana wa 1980's tunaelekea kuwakana mastaa tuliokua nao, tuliiga kila aina ya maisha waliyoishi, hatukujua ya sirini

    Siku zinakwenda namkumbuka Tupac Amar Shakur 2Pac msanii mwenye sauti yenye nguvu katika muziki wa hip hop,Alijitokeza sana kuhamasisha vijana na jamii kuhusu masuala ya kijamii na kisiasa,Nyimbo zake nyingi ziliangazia ubaguzi wa rangi,umaskini, na ukosefu wa haki za kijamii,je angekuwepo hai...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Vijana wanaosemekana kufukuzwa kazi TBS iwe chachu ya kuigwa kwa vijana wengine

    Hawa vijana iwe chachu ya kuigwa kwa vijana wengine. Vijana Hawa wanaosemekana kufukuzwa wana kampuni yao ya CALIBRATIONS, TESTING pamoja na Automations watu tuliopo kwenye constructions industry tunawaona sana. Na bahati nzurii kampuni yao ipo accredited inaruhusiwa kufanya kazi nchi yeyote...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya leo ya CHADEMA yamedhihirisha unafiki wa Watanzania hasa vijana tofauti na Wakenya

    Vijana wa Kitanzania tofauti na wa Nchini Kenya mahodari sana kuandana na kulalamika kwenye mitandao ya kijamii kuliko kuingia barabarani (Road) Baada ya Chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) leo kuwataka wananchi wa Tanzania hasa vijana kujitokeza kwa wingi kuamndana jijini Dar mwitikio...
  14. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vijana wa Dar hatupo tayari kuandamana, tumeridhika na utendaji wa Rais Samia!

  15. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jokate Mwegelo: Vijana tusitumike kama mgongo kwa wengine kwa maslahi yao kuelekea uchaguzi

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM Taifa Joketi Mwegelo amewataka vijana wa kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika chaguzi zijazo. Akizungumza kwenye ziara ya siku moja akiwa Mkoani Iringa Katibu huyo mbele ya vijana amewataka...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Breaking News: Maelfu ya Vijana Wakutana Kuunga Mkono Rais Samia na Kuonya Dhidi ya Vurugu Nchini

    Kizazi kipya kwa maendeleo ya taifa! Vijana tunaungana na kutoa msimamo rasmi wa kumuunga mkono Mhe. Rais Samia kwa uongozi wake mahiri na jinsi alivyowekeza kwa vijana na kuwataka wanasiasa na wanaharati kumaliza mambo yao kwenye meza ya mazungumzo. Wasitumie vijana vibaya na kuwapotosha. Pia...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Nini kinasababisha Utumishi kuchelewesha kutoa Majina ya Kuripoti kazini?

    Tanzania, mara nyingi, ajira zinatangazwa na waombaji hutakiwa kusubiri kwa wastani wa miezi 2 kabla ya kuitwa kwenye mahojiano. Baada ya mahojiano, waombaji wanapaswa kusubiri tena miezi kadhaa kabla ya kuripoti kazini. Hali hii imekuwa kama desturi katika utumishi wa umma. Kwa mfano, ajira...
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Vijana wa kike wengi wa Tanzania kuongelea mapenzi, mahusiano na ngono zaidi inaashiria nini?

    Kuanzia kwenye mitandao ya kijamii kama Twitter, Instagram hata hapa JF hadi mtaani nimekuja kugundua vijana wa kike wengi bongo mazungumzo yanayowashughulisha na kuwaweka busy zaidi ni mahusiano, mapenzi, ndoa na ngono. Ni wanawake vijana au mabinti wachache sana utakuta wanaongelea siasa...
  19. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Pole kwa vijana wajinga wote

    Vijana wengi wa kileo ni wajinga. Cha ajabu ni kwamba wameenda shule ila ujinga bado ungali vichwani mwao. Sijui tuwaite wapumbavu au tuishie kwenye level ya ujinga tu. Mahari 3.5 ml, 4.5, 3ml, 4ml na vikorokoro vingine juu. Hizo mahari watu wa kale mnaowaiga mmewahi kusikia wamewahi kutoa kwa...
  20. kesho kutwa

    JamiiForums Tanzania Nimenunua pikipiki sijui kuendesha vip hawa vijana hawatanipiga hesabu za siku?

    Wale wazoefu naomba msaada jinsi ya kuweza kuepuka kuletewa hesabu finyu. Nimewza niwe najaza oil full tank then yy anipe hesabu yote kisha nimlipe mwisho wa mwezi. Naomba ushauri, pia maeneo gani yana kua na wateja wa kutosha ili dogo atege hayo maeneo. Nipo iringa.
Back
Top Bottom