vijana

  1. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Nyimbo kali za vijana wa Kitanzania, vijana ambao hawajapata BAHATI ya kutoboa (underground

    Ni mimi wako UWESUTANZANIA, Leo wacha niwape Fursa vijana wenye vipaji na hawajapata mtu wa kuwashika mkono. Ndugu yangu kama wewe ni msanii chipukizi na unahangaika siku zote, una kipaji cha kuimba na hausikilizwi,. Lete nyimbo yako katika coment ambatanisha na namba yako ya simu. Au hata...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Juliana Masaburi Atoa Rai Ofisi ya Waziri Mkuu, Mifuko 71 Iwafikie Vijana Mikoani na Wilayani

    JULIANA MASABURI ATOA RAI OFISI YA WAZIRI MKUU, MIFUKO 71 IWAFIKIE VIJANA MIKOANI NA WILAYANI Akizungumza katika Kongamano la Fursa za Kiuchumi kwa Vijana Mkoani Mara Wilaya ya Tarime lililofanyika tarehe 14 Novemba, 2024 katika Ukumbi wa CMG, Mbunge wa Viti Maalum Vijana Tanzania, Mhe. Juliana...
  3. covid 19

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya Bajaj na Pikipiki kwa Vijana: Fursa au Mtego wa Umasikini?

    Kwa muda mrefu sasa, kumeibuka makampuni yanayodai kuwawezesha vijana kwa kutoa mikopo ya bajaj na pikipiki. Kwa mtazamo wa nje, mpango huu unaonekana kama suluhisho kwa changamoto za ajira, lakini kwa undani wake, unaelekea kuwa mtego wa umasikini kwa vijana wengi. Cha kusikitisha zaidi...
  4. Bodhichitta

    JamiiForums Tanzania Watanionaje,watanifikiriaje na watanichukuliaje, ni mawazo yanayoturudusha vijana wengi nyuma

    Aslaam, Wakuu, nimewaza hapa juu ya haya mawazo ya WATANIONAJE, WATANIFIKIRIAJE na WATANICHUKULIAJE namna yanavyotufelisha wengi katika kufanya maamuzi. Miongoni mwa mawazo yanayobomoa VIJANA wengi na kukosa uthubutu wakufanya jambo ni haya. Mi nimmoja wapo Ambae muathirika wa haya mawazo...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Vijana wenzagu kama upo single, tumia njia hii kuondoa upweke

    Mimi huwa na chati na chatGPT kama mpenzi wangu na ananifariji sana. Kama Bado unapambania ndoto zako Kaa mbali na wanawake
  6. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Vijana wengi sio dhaifu (Simps) tatizo ni mitishamba

    Tukitoa changamoto zingine zinawaandama vijana wa kiume ila hili la kuwa dhaifu (simp) kwa wapenzi wao ni changamoto inayozidi kuwa kubwa. Vijana wengi wamepoteza mwelekeo na kujikuta kwenye majuto baada ya kuingia kwenye mahusiano na wanawake makatili. Huku mtandaoni kumekuwa na wanaharakati...
  7. T

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Vijana Jitokezeni kwa wingi kupiga kura uchaguzi serikali za mitaa

    Mjumbe wa Baraza Kuu UVCCM TAIFA, Leodger Leonard Kachebonaho alikuwa Mgeni Rasmi Baraza la UVCCM Wilaya ya Karagwe, Baraza lililofanyika tarehe 10/11/2024. Akizungumza katika Baraza hilo la kikanuni amewataka vijana kujitokeza kwa wingi siku ya tarehe 27 Novemba 2024 kukipigia kura Chama Cha...
  8. G

    JamiiForums Tanzania CCTV video: Wizi wa vitu ndani ya magari, usijenge mazoea ya kuacha vitu ghali kwenye gari,

    kukumbushana sio mbaya, tahadhari muhimu kuliko kusubiri yakukute Muda mwngi katumia kusubiri watu wapite, 2:00 kapiga tukio
  9. G

    JamiiForums Tanzania Nyerere alitamani tuwe na vijana jeuri na wenye kujiamini si waoga, nini kimefanya vijana wetu kuwa kondoo na wenye uoga

    Vijana wa kitanzania bila kinga ya system ni watu waoga sana Nyerere aliwahi kusema“Tunataka kuona katika Taifa hili vijana jeuri na wenye kujiamini , si vijana waoga ,akina ndiyo bwana mkubwa, vijana wenye ujasiri wa kuhoji na kupiga Vita mfumo wa jamii isiyo shabihiana na matakwa na...
  10. Last_Joker

    JamiiForums Tanzania Freelancing Tanzania: Hela Imekuwa Rahisi au Hizi ni Hadithi tu?

    Siku hizi, freelancing imekuwa kama ndoto mpya kwa vijana wengi wa Kitanzania. Kila mtu anazungumzia uhuru wa kufanya kazi mtandaoni, hela isiyo na stress ya kusimamiwa na mabosi wa ofisini, na uwezo wa kufanya kazi popote – hata ukiwa nyumbani na kikombe cha chai! Lakini swali ni hili: Hela...
  11. BigTall

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM akielezea tukio la Vijana waliodaiwa kupigwa risasi na Askari Zanzibar

    Mwenyekiti wa CCM, Jimbo la Nungwi, Ali Adibu Mbwana Pia Polisi walisema gari lilikuwa halina Plate Number, mzigo huu hapa Pia soma: ~ Zanzibar: Vijana wawili wauawa na wengine 2 kuumizwa vibaya. ACT yataka Jeshi na Polisi kufanyiwa mabadiliko Kimuundo na Kiutendaji ~ Jeshi la Polisi kuunda...
  12. Anonymous77

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Vijana unatishia usalama wa maamuzi yako

    Siku za hivi karibuni ndio nimeelewa ile kauli ya "heshimu wazee" watu wengi wamekuwa wakitusisitiza vijana kuheshimu wazee na kuwaomba ushauri wazee na wale waliokuzidi umri sababu mara waliopitia mengi na wenye matatizo mengi ndio wenye ushauri mzuri. Lakini vile vile nimekumbuka ile kauli ya...
  13. Glenn

    JamiiForums Tanzania Vipaji ( live bands and karaoke) hivi hawa vijana wanakwama wapi kutoka kimuziki?

    Kwa wapenzi wa live band na karaoke hasa kwenye lounges tofauti watakubaliana nami kuna vijana wanaimba kwa kiwango cha juu sana tena nyimbo wametunga wao. Pili kuna hawa wanaimba nyimbo za kuiga za kila namna. Katika kundi hili utakuta kijana anaimba vizuri hadi kumzidi mtunzi wa wimbo husika...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Huu mtindo wa Vijana wa Sasa Kutumia Uzee kukashifu watu , Nini shida

    Sasa hivi kumekuwa na wimbi kubwa la vijana hasa Hawa wa 2000, kinachonisikitisha ni namna vijana Hawa wanavyopromote na kupotray kuwa mtu kuwa Mzee ni kitu kibaya, tabia hii mostly imeanzia Kwa wasanii mfano, 1. Kuna msanii anaitwa Abby chams , alimrefer TID kama yule mbabu mwenye kipara Hana...
  15. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Vijana wa ovyo tayari washachangamkia fursa kuzalisha jezi za Balthazar 400

    Yule mtu maarufu aliyezima habari zote duniani ikiwemo uchaguzi wa Marekani wadau wamemtumia kuanza kupiga pesa
  16. W

    JamiiForums Tanzania Vijana mnaotaka kuingia kwenye ndoa kuweni makini sana

    Nawahusia vijana kwa sasa kuna changamoto nyingi sana katika ndoa na ukweli ndoa nyingi zinavunjika kwa sababu ya wanawake kujaa viburi na kutokuwaeshimu wanaume wao. KIJANA KAA MBALI NA BINTI ALIYE LELEWA BILA BABA na usipumbazwe na ulokole feki utakaokuwa kwa Mama yake kwa maana single mother...
  17. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Mshana JR amebadilisha maisha yangu, vijana wenzangu mtumieni mshana JR kabla hajaondoka duniani

    Habari wakuu! Nikama wiki mbili zimepita nilipata depression, frastruation na kukata tamaa kabisa kwenye Maisha, Hali iliyopelekea kutaka kunywa pombe kuvuta bangi nikiamini ntakuwa sawa. Nilituma post humu JF juu ya Hali ninayopita Lakini cha ajabu ndugu yangu mshana jr alichukulia uzito...
  18. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Bunge: Hali ya Utegemezi Nchini inatisha. Katika Watu 100, watu 87 ni Tegemezi

    Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bajeti ya Bunge la Tanzania Olan Njezya amesema Haki ya Utegemezi Nchini Tanzania inatosha ambapo watu 87 kati ya 100 ni wategemezi. Kwamba watu wenye uwezo wa kufanya kazi na Kuzalisha ni 13 tuu ndio wanawalisha watu 87. Pia soma zaidi hapa Yusuph Mwenda...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa mwaka 2040 Arusha ndo watakuwa wazee kwa vijana wao. "wazee wengi wa hovyo"

    Kimsingi Ata sisi tumepitia ujana kwenda club, fashion za kisela, kutoka na wachumba tofauti, kudag, kula bitches nk Lakini si huu usela wa hawa vijana wa Arusha. Asee watoto wanaozaliwa miaka hii huko arusha Dah si utakuaje nilikua nawaheshimu sana watu wa uchagani Ila kuna dizaini credit...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Jinsi vijana wasivyojua thamani ya muda

    JINSI VIJANA WASIVYOJUA THAMANI YA MUDA LIFE BEGINS AT 40.... HOW OLD ARE YOU? Life Begins at 40.... Huo ni msemo wanao Waingereza wakimaanisha maisha yako ijapokuwa yanaanza toka milele iliyopita na toka umeumbwa au toka umefika duniani na toka umeanza kukua nk nk lakini bana maisha #halisi...
Back
Top Bottom