vijana

  1. S

    JamiiForums Tanzania Nchi ina kampuni 21 za kucheza kamari halafu uniambie tutakuwa na vijana jasiri na wapenda mabadiliko

    Nchi yeyote ukipumbaza vijana basi utashinda na ndo ccm ilipofanikiwa. sasa hivi vijana hawa uwezo wa kushinikiza wapate ajira wao wanakomaa na kamari . psychologically kamari hua inatengeneza matumaini hewa kwamba ipo siku utawin mwisho wa siku unageuziwa kibao
  2. Mindyou

    JamiiForums Tanzania RC wa Tanga: Kuna vijana 30,000 wako nyumbani wanalelewa na dada na mama zao. Walipoulizwa wamesema hawatafuti ajira

    Wakuu, Vijana wa Tanga mna salamu zenu huko kutoka kwa RC wenu. =========================================== Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe Balozi Dkt Batilda Burian amesema Halmashauri ya Jiji la Tanga bado kuna Changamoto ya Vijana wenye Umri kati ya Miaka 15-35 ambao wanataka kulelewa na Mama...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Pande 2 za vijana wanaokosoana mtandaoni kwa sababu ya misimamo yao ndani ya chama chao

    Nionavyo mimi: 1) Naendelea kusikiliza na kusoma wanayosema baadhi ya vijana wa chama cha siasa, aina ya kauli wanazotumia dhidi yao wenyewe, inasikitisha sana. Hakuna sababu ya kufanya hivyo. Kuna haja ya kufanya "harmonisation" au "coexistence of the two sides". 2) Kwa upande mwingine, ni...
  4. CARIFONIA

    JamiiForums Tanzania Haya mambo yanatesa sana vijana wa taifa hili

    Haya ni baadhi ya mambo yanayotesa sana vijana wa taifa hili. 1. Pombe kali, visungula, double kick 2. Betting 3. Ngono zembe 4. Simba na yanga 5. CCM Kama kuna vingine unaweza kuongezea
  5. Royal Son

    JamiiForums Tanzania Vijana kuwaogopa Wanawake

    Habari Wakubwa, Naona kuna. Tukio sio la kawaida naanza kuona vijana tunaanza kuwaogopa Wanawake sijui kaka zetu walifanikiwa vipi. Tena hawa kataa ndoa. Ndio wanatuharibu kabisa kisaikolojia kabisa. TUNAKWAMA WAPI 🙏
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Peter Msigwa: Vijana msipoteze muda kusikiliza porojo za CHADEMA, wanagombana waliko, hawana mwelekeo

    Kada wa CCM mchungaji Peter Msigwa awataka vijana wote nchini kupuuza propaganda za CHADEMA na Kuiunga Mkono CCM. "Vijana msipoteze muda kusikiliza porojo za CHADEMA, wanagomba huko waliko, hawana mwelekeo, wamepoteza dira. Wakina mama fanyeni biashara zenu, vijana msipoteze muda kusubiri...
  7. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Geita: Wazee wa mkoa wawataka vijana kuchangamka na kuacha kuilaumu serikali

    Ikiwa leo Tanzania Bara inaadhimisha miaka 63 ya Uhuru wazee waliozaliwa kabla ya uhuru mkoani Geita wamewataka vijana kuacha kuilalamikia serikali kwamba haileti maendeleo kwenye jamii zao Badala yake waiunge mkono izidi kuleta maendeleo kwani mpaka sasa Tanzania imepiga hatua kubwa ya...
  8. Teknotee

    JamiiForums Tanzania Vijana wezangu nipeni elimu kijana wenu

    Wakuu, naomba kuuliza: Je, kuna madhara yoyote yanayoweza kutokea unapokula mfululizo karanga mbichi, mbegu za maboga, muhogo mbichi, na vyakula vinavyosadikika kuimarisha mfumo wa uzazi wa mwanaume, lakini hushiriki kabisa tendo la ndoa kwa muda mrefu, ila unakula tu kujiimarisha na kujiweka sawa?
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa UVCCM, Kigoma: Abuya awataka Vijana kuwajibika na kuonyesha Uadilifu katika Uongozi

    Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kigoma, Ndugu Emanuel Abuya, amekutana na wenyeviti na wajumbe wa serikali za mitaa vijana, akisisitiza umuhimu wa uwajibikaji katika nafasi zao za uongozi. Alisema kuwa chama kina imani kubwa na vijana, hivyo ni jukumu lao kuonyesha mfano bora kwa vitendo. "Twende...
  10. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la Siasa Tanzania: Kwa Nini Vijana Wanajihisi Kusalitiwa na CHADEMA?

    Nakumbuka mwaka 2015 jijini Dar es Salaam, kipindi ambacho kishindo cha kampeni za CHADEMA kilikuwa kikubwa. Kati ya matukio yaliyonivutia ni kundi kubwa la watu nililoliona maeneo ya Magomeni likielekea Msimbazi kuhudhuria mikutano ya chama. Ingawa wakati huo sikuwa na mshikamano wa karibu na...
  11. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Vijana kama hawana msaada kwa maendeleo ya taifa, anasema Jaji Warioba alipewa uwaziri mkuu kwasababu alikuwa chawa wa Nyerere hivyo asikosoe uchaguzi

    Wanajamvi salaam Vijana kama hawana msaada kwa maendeleo ya taifa, Huyu kijana anayezeeka vibaya aliyejitambulisha kwa jina la Joseph Yona mkazi wa Chalinze anasema Jaji Warioba alikuwa Chawa ndo maana akapewa uwaziri mkuu hivyo hana haki ya kukosoa uchaguzi wa serikali za mitaa kwa sababu...
  12. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Video:Vijana wa hovyo hii Code Ni ya mwisho sitawaambia tena.

    Vijana akiingia geto hakikisha harudi salama. Siyo demu anakuaga unaanza kujiuma uma tu... Mwamba kapita mle mle. Hii ni ya mwisho sitawaambia tena 🙌🙌😋😋
  13. Surya

    JamiiForums Tanzania Hasa Vijana acheni uvivu, Njia ya mafanikio..

    We talk about Gift. au Talanta kila Mtu anayo ya kwake... Kwahiyo unatakiwa ujue Elimu sio Ufunguo wa Maisha, Kwa sasa ukija duniani na jambo la kifundishwa darasani hupati kazi, wasomi wa syllabus ni wengi sana. Sasa mbinu ya kujikwamua ni hii... Angalia wewe unaweza sana Kitu gani, alafu...
  14. S

    JamiiForums Tanzania licha ya kutoa mishahara kidogo lakini Tanzania imeshindwa kuajiri vijana

    wafanyakazi wa Tanzania wanamishara kidogo mno kama wakiajiriw lakini ajira ni changamoto. mishara ya kenya uganda na rwanda ni mikubwa ukilingnisha na Tanzania ukicheki statistics za ajira zilizotolewa tangu 2016 ni kichekesho nchi itaendelea vp wakati nguvu/ vijana kazi ni pure jobless
  15. didy muhenga

    JamiiForums Tanzania Vijana na nafasi za uongozi Marekani

    Wanajamvi kuna suala la USA kutowaamin vijana kwa upande wangu nimeshuhudia masenators wengi ni wazee ha hata viongozi mbalimbali wa mataasisi na hata pia cabinet secretaries na member of house of Representatives. Je ni kweli USA haimini ktk vijana ktka masuala ya uongozi?
  16. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Vijana na mishangazi hali ikoje huko dar

    Hili jina linatrend sana hapa jijini ni nilikuja jambo hili kugundua jambo hili ni kubwa baada ya kuona makamu wa rais naye kuwaonya wasipende mashangazi kwanini vijana wanapenda watu wazima wamama hawa asilimia kubwa wanakuwa wabovu + je vijana hawalijui jambo hili hata mabinti nao kwa sasa...
  17. BigTall

    JamiiForums Tanzania Vijana wenzangu wa Zanzibar tuwe makini, wengi wanatepeliwa kwa kuambiwa wanatafutiwa safari ya nje ya Nchi

    Huku Zanzibar kumeibuka tabia ya Watu ‘kupigwa’ sana pesa kwa kisingizio cha kutafutiwa safari za kwenda nje ya Nchi. Wengi ninaowafahamu waliokutwa na changamoto hiyo wameingizwa mjini kwa kuambiwa wanatafutiwa safari ya kwenda Nchini Canada, wanashawishiwa kuwa watakuwa na maisha mazuri...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Waziri Tabia Mwita: Walioshiriki Samia Fashion Festival 2024 wawezeshwe kulinda vipaji vyao

    Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Tabia Maulid Mwita amewaagiza Viongozi wa Baraza la Sanaa, Sensa ya Filamu na Utamaduni kuhakikisha Wanawawezesha Vijana walioshiriki katika Tamasha la Samia Fashion Fastival 2024 ili kulinda na kuendeleza vipaji vyao. Ameyaswma hayo katika...
  19. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Kila Mtoto Ana Hadithi: Athari za Malezi Katika Safari ya Maisha ya vijana

    Malezi ni msingi wa ukuaji wa vijana na yana athari kubwa katika utu na maamuzi yao wanapokua. Kila mzazi ana mtindo wake wa malezi, lakini kwa mujibu wa wanasaikolojia kama Diana Baumrind, kuna mitindo mikuu minne ya malezi: Mabavu (Authoritarian), Mwenye Upendo Kupindukia (Permissive), Mwenye...
  20. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Coober Pedy na Somo kwa Vijana wa Kitanzania: Fursa Katika Changamoto za Maisha

    Katika jangwa la kaskazini mwa Australia Kusini, kuna mji mdogo maarufu ulimwenguni kwa uzalishaji wa vito vya opal unaojulikana kama Coober Pedy. Zaidi ya asilimia 70 ya opal zinazoteumiwa duniani hutoka katika mji huu, ambao ulianzishwa mwaka 1915 baada ya wachimbaji kugundua vito hivyo vya...
Back
Top Bottom