vijana

  1. S

    JamiiForums Tanzania secretarieti ya ajira kuna tangazo linadai vijana wa uvccm ambao ni walimu wawasilishe taarifa zao kuna nini kinaendelea??

    hili ndo tangazo linalosambaa mtandaoni inadaiwa wanachama baadhi wa uvccm wamepokea huu ujumbe hili swala ni serious linahitaji ufafanuzi wa kina
  2. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Enyi wazee wa Kiafrika wenye miaka 60 kazini ondokeni achieni vijana nafasi kwasababu wana ujuzi mpya

    Enyi wazee wa kiafrika wenye miaka 60 kazini ondokeni achieni vijana nafasi kwasababu wana ujuzi mpya, mnang’ang’ania kana kwamba hamjazaa Enyi wazee wetu miaka 60 ya kustaafu imeshatimia bado hamuachii viti mmekua kama hamjazaa mbona vijana tupo Vijana wenye ujuzi mpya wapo mitaani...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Jimbo Apongeza Vijana 32 wa Musoma Vijijini Waliotembea kwa Miguu Kutoka Butiama - Mwanza

    MBUNGE WA JIMBO APONGEZA VIJANA 32 WA MUSOMA VIJIJINI WALIOTEMBEA KWA MIGUU KUTOKA BUTIAMA HADI MWANZA Leo ilikuwa siku ya Kikao cha Baraza la Vijana wa CCM (UVCCM) wa Wilaya ya Musoma Vijijini. Kikao kimefanyika Kijijini Murangi, Makao Makuu ya Chama Wilaya Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini...
  4. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Video: Hivi ndivyo UVCCM walivyosepa na kijiji Mbagala kwenye tuzo za maalum za vijana

    Wakuu, Humu mitandaoni uaweza kudhani kuwa UVCCM haina wanachama hai lakini hawa jamaa wana nyomi la kutosha. Hapa sijui ni watu wamefuata muziki au wamemfuata Mwenyekiti wa UVCCM, Kawaida lakini nyomi ni kubwa. Kumbe Lucas Mwashambwa na ChoiceVariable wako wengi sana huko mtaani?
  5. fasiliteta

    JamiiForums Tanzania Vijana wa kamati kuu CHADEMA komaeni, mabadiliko si lelemama

    Baada ya kina boni yai,yericko, Ntobi kuleta ubwanyenye miaka nenda Rudi. Nimefuraha tangu juzi Vijana wengi wa kamati kuu wameinuka na kupambana live, mpaka kina Boni Yai ambao wanahisi wao ndio ma-first born wameanza kurudi nyuma. Komaeni makamanda, Muda ndo huu haiwezekan chairman...
  6. F

    JamiiForums Tanzania KERO VETA DSM wanawachagulia vijana course wasizotaka

    Kuna kero imejitokeza VETA DSM kwa matokeo ya vijana usaili uliofanyika miezi kadhaa nyuma. Vijana wamefata matokeo na kujikuta wamechaguliwa course ambazo hawakuomba. Mfano kijana aliomba umeme wa magari anajikuta amechaguliwa course ya plumbing na wakijaribu kuomba ufafanuzi wanajikuta...
  7. LoneJr

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya mtindo wa maisha wa vijana;Je, vijana wa Leo wanaishi vipi tofauti na vijana wa miaka 20-30 iliyopita?

    Habari wakuu, kama namna mjadala unavyojieleza ni mabadiliko yapi ya mtindo wa maisha wa vijana wa sasa yapo tofauti na vijana wa miaka 20 -30 iliyopita? Hasa kwa kuzingatia; Lifestyle ya ''hustle culture '' - Je, vijana wanavutiwa na maisha ya ''hustle''[kujibidiisha kufanya kazi nyingi kwa...
  8. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Vijana tunafeli wapi?Kwani lazima kubet?

    Inshu ya betting inathiri kizazi,aisee huwezi amini hali ni mbaya watoto wa Miaka 14 wanabet,huu mchezo umekuwa kimbilio kwa rika ya vijana lakini athari zake ni mno. Kuna matatizo ya kisaikolojia kwa wachezaji after couple of years watapata madhara makubwa,ikiwemo Ugonjwa hatari wa...
  9. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Deus Sangu: Tutaanza kufanya vipimo vya afya ya akili kwa vijana kabla hawajaajiriwa Serikalini

    Wakuu, Inakuaje vijana mmekuwa na utovu wa nidhamu kiasi hiki mpaka mnatakiwa mpimwe afya akili kabla hamjawa watumishi wa umma huko Serikalini? Akizungumza leo Jijini Dodoma na Naibu Waziri , Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deus Sangu wakati wa akifunga kikao kazi cha siku...
  10. Introvert Music

    JamiiForums Tanzania Nawashauri vijana wenzangu tafuteni hela halafu shabikieni mpira achaneni na mambo ya siasa

    Katika kitu ambacho nawashauri vijana wenzangu tafuteni hela shabikieni mpira ila msishiriki mambo ya siasa sababu africa siasa ni Kwa vijana wajinga tu ambao watapoteza mda wao kumsikiliza mwanasiasa nadhani mmejionea wenyewe kinachoendelea mitandao I mimi natafuta hela nakula bata lakini...
  11. Bob Manson

    JamiiForums Tanzania Maslahi binafsi yanayohujumu harakati na maisha ya vijana

    Huwenda nimechelewa kufahamu hili kwasababu ya umri wangu na uzoefu wangu, nimegundua Tanzania hakuna upinzani wa kweli. Vijana wanapoteza maisha yao, wanaumizwa hata kupotezwa, yote ni kwasababu ya kupigania haki sambamba na kuwa upande wa upinzani, ajabu viongozi wao wanafanya mambo kwa...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Vijana wataka umri wa kustaafu upunguzwe hadi miaka 50

    Wakati suala la ajira, kuboresha elimu, matumizi ya teknolojia vikitawala, vijana wametaka dira ya Taifa 2050 ipunguze umri wa watu kustaafu kwa lazima hadi kufikia miaka 55 kutoka 60. Hayo yamesemwa leo Desemba 18, 2024 wakati vijana wakitoa maoni yao kwenye rasimu ya Dira ya Taifa 2050...
  13. Knock life

    JamiiForums Tanzania Yabarikiwe matumbo yaliyowazaa hawa vijana ambao wamelipa Taifa heshima kubwa.

    Hasheem Thabeet Diamond Samatta Kanumba Kuwapata vijana Kama hawa sio jambo jepesi.
  14. F

    JamiiForums Tanzania Vijana wa siku hizi acheni mambo haya yanawamaliza

    Vijana wa siku hizi acheni mambo mengi ya kijinga ambayo ni pamoja na: 1.Kubeti 2. Energy drinks 3. Pombe 4. Club life 5. Too much time on social media 6. Ushabiki wa mpira wa miguu uliopitiliza na 7. Uwolowolo Mmekuwa rojorojo kama mkate kwenye chai. Watu wanapata shida kutambua kijana wa kike...
  15. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Ama kweli katika siasa hakuna jambo linalotokea kwa bahati mbaya. Alaumiwe mama Abdul, vijana wa Kaunda suti, au viongozi wa chama?

    Habari zenu wanaJF wenzangu Wakuu kuna mambo mengine yanashangaza sana, kiasi ya kwamba sometimes mtu unajiuliza kwamba haya mambo yanayotokea huwa yanakuja tu yenyewe au kuna mtu/watu wanayapanga yatokee kwa sababu fulan. Kwa leo naomba nizungumzie haya yanayotokea kipindi hiki cha mwezi...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Asilimia 95 ya vijana nchini humiliki video za ngono kwenye simu

    Vijana vijana vijana! Nimewaita mara 3 kumbe hali ndiyo ipo hivi kuwa umiliki wa video za ngono ni mkubwa kuliko kumiliki maarifa mazuri na pesa. Mbona hii ni balaa sana! =================== Imeelezwa kuwa zaidi ya asilimia 95 ya vijana nchini wameathiriwa na ukuaji wa kasi ya teknolojia ya...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Debora Tluway Atembelea Chuo cha Vijana Kaskazini Unguja, Azindua Bananza la Utamaduni

    Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji UVCCM Taifa, Komredi Debora Joseph Tluway tarehe 14 Desemba 2024 ametembelea Chuo cha Vijana Kaskazini Unguja na kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na Chuo hicho Aidha, Mhandisi Debora Joseph Tluway amezindua Bonanza la Utamaduni Kaskazini Unguja...
  18. NYOLODO

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi: Vijana 30 wa kubandika Poster DSM

    CLOSED
  19. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Ujumbe Kwa vijana mnaojipanga kusoma masters ili muwe ma boss : Ili upande cheo hauhitaji masters unahitaji mganga mzuri.

    Habari wakuu, Kwanza niweke wazi mimi Omoyogwane nipo Gamboshi bariadi nafanya research huku, kama kuna mtu anataka kuja PM sitamjibu Lengo la huu uzi ni kushare kile nilichokiona na kukijua, kama una swali uliza hapa hapa . Kupanda cheo kuna mambo mengi nyuma ya pazia tena ya kutisha na...
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Kushirikisha Vijana Kupambana na Uhalifu, Bashungwa Atoa Onyo Kali

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amesema Wizara kupitia vyombo vya usalama na taasisi nyingine za Serikali zitashirikiana na Vijana ili kupata suluhu kwa baadhi ya changamoto zilizopo na zinazoendelea kujitokeza katika jamii ikiwa ni pamoja uhalifu, kupambana rushwa, dawa za...
Back
Top Bottom